Тёмный

Medani ya Vita Part 2 

Citizen TV Kenya
Подписаться 5 млн
Просмотров 277 тыс.
50% 1

Wenyeji Afmadhow washerehekea ushindi wa KDF. Kila nyumba ilikuwa ikitozwa Sh 1,600 na Al Shabaab.
Kukombolewa kwa mji wa Afmadhow na wanajeshi wa Kenya wakishirikiana na wale wa serikali ya mpito ya Somalia kulikuwa ni sawa na kuwasili kwa mwokozi kwa wenyeji wa mji huo. Kwa muda wa miaka minne , wenyeji walikuwa wakilazimishwa kulipa ada ya shilingi elfu moja na mia sita kila chumba kwa kundi hilo. Kando na hayo, mkuu wa wilaya ya afmadhow alifukuzwa kutoka kwa afisi zake na zikawa zikitumika kama afisi za kundi hilo haramu. Franklin Macharia anaarifu katika sehemu ya pili ya makala ya medani ya vita.

Опубликовано:

 

3 июн 2012

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 29   
@mutasimbilah3798
@mutasimbilah3798 12 лет назад
اللهم أعزّ الاسلام والمسلمين ودمّر أعداء الدين .. واخذل مَن خذل الدين اللهم انزل عليهم رجزك وعذابك اٍله الحق اللهم انزل بأسك الذي لايرد عن القوم المجرمين اللهم عليك با كينيا فانهم لا يعجزونك اللهم منزل الكتاب ، مجري السحاب ، هازم الأحزاب اهزمهم
@mutasimbilah3798
@mutasimbilah3798 12 лет назад
Mungu Awaangamize makafiri na washirika wao
@martinmutiso9633
@martinmutiso9633 5 лет назад
Mungu hawezi angamiza watu pengine yule wako wa kishetani
@bakarikalama6099
@bakarikalama6099 5 лет назад
Saa hii wanarapiwa na wanajeshi
@machax002
@machax002 12 лет назад
THE BRAVEST MILITARY KDF.
@arnoldanodeh3816
@arnoldanodeh3816 5 лет назад
Watajia hawajui. Hii ni KDF
@TheCassonovaa
@TheCassonovaa 12 лет назад
i salute you guy'z well done
@rashidsimba3638
@rashidsimba3638 7 лет назад
Allah awazidishie
@bensonmusili3866
@bensonmusili3866 4 года назад
Allah washing
@yusufbakari1935
@yusufbakari1935 12 лет назад
Still work starts now
@e_know4d222
@e_know4d222 4 года назад
healla, kwajil ya kununua silaha na wsnaowauzia je??
@bashkaclassic6832
@bashkaclassic6832 2 года назад
Somalian don't fear Economy must continue .Bravo my people
@hasanpochnene4542
@hasanpochnene4542 Год назад
Kaiala
@pierreniyindagiye5457
@pierreniyindagiye5457 Год назад
11
@saamiya2445
@saamiya2445 Год назад
❤️🩸Alshabab dalka ayaga leh kabaxa nacaladi idin dhashay wase😏🦧
@boqortoyostudio4280
@boqortoyostudio4280 2 года назад
somali asxanka ayey Hilmamen
@selemanmtipu6644
@selemanmtipu6644 5 лет назад
mmmmh wakiwakataza mambo dini ilo si kweli
@bakarikalama6099
@bakarikalama6099 5 лет назад
Wanahabari niwaongo sana
@yusufbakari1935
@yusufbakari1935 12 лет назад
Ni urongo walikua hawalipi chochote
@somaliskysports1673
@somaliskysports1673 4 года назад
Wwe ndo unajua
@abuumansur9007
@abuumansur9007 6 лет назад
Nyie makafir wa Kenya mutauliwa wote insha allah
@rodgersbruno6300
@rodgersbruno6300 5 лет назад
Do don't know wat u are talking about, you have no idea of urself
@martinmutiso9633
@martinmutiso9633 5 лет назад
Yaani washangilia kuuwawa kwao alafu wasema inshallah ju huyo mungu wako ni shetani apendae kifo cha watu, you need to change
@jezabellvidiinamalwa9041
@jezabellvidiinamalwa9041 4 года назад
Mmmmmhh...uongo mtupu
@wahaaabi7663
@wahaaabi7663 4 года назад
JIHAAD. JIHAAD. JIHAAD.! Hakika wale walio kufuru watatumia Mali zao. Kuizuwia njia ya ALLAH.? KDF Ni makafiri tu popote walipo watauwawa Kisha. Popote pale.......
@yassinnjige7484
@yassinnjige7484 4 года назад
ALLAH ata ili nda dini yke inshallah na mjaheedeen watashinda kwa uwezo wa ALLAH
@vincentnyawa
@vincentnyawa 3 года назад
Ona vile wananchi wanavyofurahia kazi iliyofanywa na kdf. No ishara tosha shabaab walikuwa wanawagandamiza wananchi.
@machax002
@machax002 12 лет назад
MUNGU GANI? MUNGU WA AL SHABAAB NI WEAK.
Далее
Викторина от ПАПЫ 🆘 | WICSUR #shorts
00:56
🤡Украли У ВСЕХ🤪
00:37
Просмотров 171 тыс.
KDF in Kismayu after Capture
2:53
Просмотров 24 тыс.
Your Story: Cooking In Time Of War
3:35
Просмотров 3,2 млн
Maiti Iliyozikwa Kakamega Yafukuliwa
3:24
Просмотров 1 млн
Ni Nini Kilichotokea Baragoi?
2:48
Просмотров 1,1 млн