Тёмный

#MEDANIZASIASA 

Star TV Habari
Подписаться 155 тыс.
Просмотров 33 тыс.
50% 1

Karibu utazame chaneli yako pendwa ya Star TV Africa.
Jiunge nasi kupata habari za kitaifa na kimataifa, makala, burudani na habari za michezo katika nyanja zote!
Kutoka Ilemela - Mwanza, Tanzania mpaka ulipo, TUNAKUFIKIA!
Star TV Brightens Your Day !

Развлечения

Опубликовано:

 

30 июн 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 121   
@billwaltermbilinyi2055
@billwaltermbilinyi2055 Год назад
The real dokta we can be proud of. Achilia mbali ya siasa, huyu ni kiongozi
@bakaramourshaaban
@bakaramourshaaban Год назад
Asante sana ndugu mwandishi kwakumuuliza maswali muhimu ,ila Mzee anakwepa
@Kasyetaderrick
@Kasyetaderrick Год назад
Odemba you are the King of Political Interview...Safi sana !!
@afropatriot7769
@afropatriot7769 Год назад
The best politician left in Tanzania
@johnsonchonja4032
@johnsonchonja4032 Год назад
Chief odemba apewe maua yake aseeee ni 🔥🔥🔥🔥
@charleskingimwakasagule5752
Anzisha chama chako Mzee bado wengine tumekumiss sana mm nakupenda mismamo yako mungu akubaliki
@angelsgabriely3575
@angelsgabriely3575 Год назад
Safi sana dr silaa,..na hiyo mikataba ya bandari iandikwe kwa lugha ya kiswahili ili wananchi wote waelewe,.waache upuuz wao hakuna kuuza bandar
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Год назад
NENDA SHULE WEWE NA AKUTAFSRIE KIKOJOZI WEWE NENDA KAKOJOE 😢😢😢😢
@nghabiorganicchickentanzan3671
​@@OmmyJames-xn7jiBasi utakuwa umeona umejibu sahihi !!!!!! Huzuni sana aiseeh .
@angelsgabriely3575
@angelsgabriely3575 Год назад
@@OmmyJames-xn7ji we ndo uende shule fala wewe!..hata maandshi yako yanaonyesha ubongo wako umejaa mavi hata std7 ulfel!.lugha ya Tz ni kiswahili hvyo ni muhimu kiswahili kitumike kwa wananchi wote sawa na lugha yao ilivyo,..shoga wewe
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Год назад
@@angelsgabriely3575 WAGALATIA HAKUNA TENA KUIBA KWENYE BANDARI YETU 👍 INABIDI MUKARUDI KULIMA MAANA MJINI HAMUWEZI TENA
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Год назад
@@angelsgabriely3575 WEWE ANGELS 👼 BIASHARA YA UMALA IMEKWISHA RUDI MACHAME UKACHEZE KAMARI NA KUNYWA MBEGE HAHAHAHA 😀😀😀😀
@ellymaz2187
@ellymaz2187 Год назад
Binafsi namkubali sana huyu mzee.
@bryanmagee5681
@bryanmagee5681 Год назад
Star tv natumaini hii tv ni mashuhuri sana tanzania na ulimwengu . Mtume wetu Rais pombe Magufuri alifunga mikutano ya dharura baada ya Chana cha chadema kuandamana pale jijini dar es salama. Kipenzi chetu dada yetu Aqurina alipo uwawa na wahuni wa chadema kwa kupigwa risasi hadharani ndipo mtume wetu Rais wetu alipofunga mikutano ya hadhara Tanzania.
@chrissymarcus5051
@chrissymarcus5051 Год назад
Thanks @Odemba kwa kufanyia kazi maoni yangu kuwaita watu Kama doctor slaa, Waite na akina shivji, Lisu na ikiwezekana wafanye mdahalo studio
@josephlorri431
@josephlorri431 Год назад
Tatizo la main stream media ni kwamba hawafanyi 'live' coverage kwa hao watu.. ni machawa. Vipindi mubashara ni kwa lusinde,'Dr ' musukuma et al.
@getitdoneright1938
@getitdoneright1938 Год назад
Well said Doctor
@zingiberofficinale9843
@zingiberofficinale9843 Год назад
Odemba namkubaaali sanaa.. Sema pia hapa kakutana na mwamba kichiiz yaan. Dr. Slaa yuko deeep kichiiz
@samwelimalongo9668
@samwelimalongo9668 Год назад
Huu mkataba hatari sana kitaifa bila shaka hautapitishwa ukipita lazima Mungu ataingilia kati isaya 18:7
@andriessegotsane
@andriessegotsane Год назад
Umemuoji vizuti san broo ftpm27
@ayubumwakabana2137
@ayubumwakabana2137 Год назад
Alaaaaa kumbe walitunyima huduma ya mafuta 🙄🙄🙄🙄🙄
@nghabiorganicchickentanzan3671
Mwenye nyumba hana viatu , Odemba anaviatu !!😅😅😅😅
@mpwamtaa
@mpwamtaa Год назад
Mzee anakiri sanaa❤❤❤❤❤❤❤❤
@peemoneybags410
@peemoneybags410 Год назад
Wee huaminiki bwana ndumilakuwili mbinafsi tu huna lolote. Leo hiihii ikitokea Samia huyohuyo akikupa nafasi hutoskika tena ukiongea utakaa kimya. Huna ishu danganya wajinga wajinga
@kigahedavid2178
@kigahedavid2178 Год назад
Kalime Mzee tulikuamin
@law93king
@law93king Год назад
mzee jasiri kinoma🙌
@muhammadalibhaz1390
@muhammadalibhaz1390 Год назад
Dr slaa unahekima sana nakukubali sana lowasa hakustahili kupokelewa chadema na kuteuliwa kugombea urais kupitia chadema kinyesi ukitoa sehemu Moja nakuhamisha bado iitanuka
@anosiata8242
@anosiata8242 Год назад
Dr nakuaminia sana Uko vizuri
@muddyausi8470
@muddyausi8470 Год назад
Mwishoni nimekuelewa mzee
@josephlorri431
@josephlorri431 Год назад
Mzee ni kijana zaidi kuliko umri wake.. ukiishi ukweli utaishi miaka mingi.. huyu baba haumizi nafsi yake kwa kuishi unafiki.. mwanafalsafa hasa
@mawazoselemani614
@mawazoselemani614 Год назад
Umetumwa kuharibu mjadala wa Bandari umepewa hela na watu ivuruge mjadala
@tozzowilliams308
@tozzowilliams308 Год назад
Poor mindset
@abelikatemi8385
@abelikatemi8385 Год назад
Startv tafuteni camera bora.
@bakarikaoneka1080
@bakarikaoneka1080 Год назад
1. Ili tusiipasue nchi kwa misingi ya udini, Ukanda, tutmie lugha yenye hekima na busara. 2. Tujizuie kudharau watu wenye mitazamo tofauti n ya kwetu. 3. Wale ambao wana mawzo mbadala, wayaw4ke kimaandishi kifungu kwa kifungu na kuwakilisha maandishi hayo kwa AG. 4. Tuheshimu mamlaka kama tulivyoagizwa na Mwenyezi Mungu kupitia vitabu vitakatifu. 5. Tujizuie na ihemko na hasira kwani tabia hizi siyo sehemu ya uongozi bora.
@azonmlazo7013
@azonmlazo7013 Год назад
Asante sana baba kwa letuteral,huu ndio ubobevu na sio blabla za akina CC........
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA Год назад
Nimesikiliza jambo...nimenote neno mapinduzi
@bakaramourshaaban
@bakaramourshaaban Год назад
Kwanza wewe mzee muongo kwanza hakuna ukumbi wa Jakaya Nyerere
@muddyausi8470
@muddyausi8470 Год назад
We mzee mbatia alikua ccm
@MabulamalembekaMoris
@MabulamalembekaMoris Год назад
mwandishi umenifurahisha kwa namna maswali unavyo uliza kwa kutulia
@bakaramourshaaban
@bakaramourshaaban Год назад
Wewe mzee muongo tena muongo usituongopee , wewe una chuki binafsi ,wewe siulisema Tundu Lisu alipigwa na genge la Mboe , unakataa acha ubandidu
@amalikakiva4937
@amalikakiva4937 Год назад
Huyu mwandishi ni genius sna,anamchimba slaa ajue anafikiria nn na yeye anajileta inawezekana huyu jamaa ni usalama na anasema kabisa wananchi wapindue nchi
@jamaa2760
@jamaa2760 Год назад
"UKWELI UTATUWEKA HURU"
@faridhassan6834
@faridhassan6834 Год назад
Docta vipi njoo basi upewe ubalozi,punguza njaa mzee kalee wajukuu.
@ezekielmaenda7001
@ezekielmaenda7001 Год назад
Lazima hata ukisema ukweli utapingwa.Wenye akili na busara wataamua.Hata Yesu alikataliwa na wakamuua.Dr.Slaa wapuuze endelea .
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf Год назад
Jamani huyu mwandishi WA medani ni WA chama ganii
@eliapendamaleto
@eliapendamaleto Год назад
Shida uyuvjamaa anayemuhoji dk slaa alizunguka mbali sana akachelewa kuhoji hoja za msingi
@venantrugabela6798
@venantrugabela6798 Год назад
Ujinga kabisa. Unauliza kitu cha 2015 baada ya miaka 8? Bahati mbaya mwandishi hajui kwamba Dr. Slaa ana PhD ya Philosophy
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 Год назад
Mzee una uroho wa mamlaka kama ulishindwa kuwachunga kondoo. Nyumbu huwaweza.
@martinesongelaeli2579
@martinesongelaeli2579 Год назад
🇹🇿👏👏👏👏
@mawazoselemani614
@mawazoselemani614 Год назад
Wanataka kukugombanisha na tundulisu katika nguvu ya mjadala wa Bandari tumia hekima Mzee Dr slaa...usijibu mada za miaka sita iliyopita
@tozzowilliams308
@tozzowilliams308 Год назад
Maskini hujui hata kesho yakoo
@nicojohn3920
@nicojohn3920 Год назад
Kwa uchambuz wa doctor na Muuliza swali kam mtangazaji utajua Nini maana ya taaluma kwa kweli ni watu ambao wameenda shule maswali yana tija majibu yana tija this is what we want in politics no blabla like mwita waitar I hate him as he reacts bungen yaani asiyempend Samia atafute chama chake nonsense in politics
@kapistranhaule-rn6ft
@kapistranhaule-rn6ft Год назад
Hujui majizi hayo WEWE umeandikiwa MASWALI namajjizi bila kujua
@HassanAli-lb6wy
@HassanAli-lb6wy Год назад
Huyu chama gani
@hamidumpiga6283
@hamidumpiga6283 Год назад
Slaa mnafki sialipewa ubalozi uyo mbona alitulia
@josehaulee1508
@josehaulee1508 Год назад
Odembaaaa kwenye misimamo yakee
@alexmhufu2513
@alexmhufu2513 11 месяцев назад
Tanzania naona kiza kinene mbele yako eeeh MUNGU ingilia kati jambo hili wanyonge tunakandamizwa hata pale ambapo hatuko tayari kwa hilo MUNGU tulindie watu kama hawa watetezi wa wanyonge
@bahatymarco3450
@bahatymarco3450 Год назад
Odemba ujipange unapomhoji mtu makini Kama Dr slaa, Ni aibu kuuliza maswali ambayo huna evidence, kuja na porojo za mtandaoni
@nicojohn3920
@nicojohn3920 Год назад
Doctor slaa hakika kwa mtu anayefikiria na kutumia ubongo vizur atakuelelew na kwakweli unastahili kuwa kiongoz wa nchi tena ngazi ya juu kabisa sijui ni ipi ila ikiwezekn mfalme na siyo rais.
@eliasnganira7661
@eliasnganira7661 Год назад
Tutashinikiza serikali ijitoe
@kapistranhaule-rn6ft
@kapistranhaule-rn6ft Год назад
WEWE acha kutaja KAniSA Wala msikiti WEWE na huyu wa star tv NI darasa MOJA hamsomi hovyo kabisaaaaaa
@williamsenkoro2210
@williamsenkoro2210 Год назад
Slaa achana na Hawa waandishi wanakuomba interview Ili kukubana maswali hayo kukuchafua Ili walipwe😮
@amirjuma6928
@amirjuma6928 Год назад
Ila huyu mzee ni kiboko kuanzia dk ya 45 mpk mwisho odemba katulia kama kamwagiwa maji
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 Год назад
Ni ushabiki tuu na mihemuko. Mzee amepoteza busara. Hata kama unaweza kuwa unaongea mambo sahihi lkn chunga mipaka na ukizingatia yeye ni kiongozi wa Dini.
@josehaulee1508
@josehaulee1508 Год назад
Mwandishi pekee mwenye kuliza maswali kwa umakin
@lgffumbuka183
@lgffumbuka183 Год назад
Samia hakusaini Katiba, kasaini nani? Au haikusainiwa? Akiyesaini anapata wapi madaraka hayo? Huyu interviewer ni very weak, hafai, anatukanwa bado hana maswali ya msingi. He is mesmerised, a complete idiot.
@bakaramourshaaban
@bakaramourshaaban Год назад
Vipimo vipo baada ya kutolewa ubalozi ,ndio maana unachuki
@tozzowilliams308
@tozzowilliams308 Год назад
Chuki ipii,,??
@angelomalimi2444
@angelomalimi2444 Год назад
Hongera baba
@mnanasuly2585
@mnanasuly2585 Год назад
Huyu slaa hana akili kabisa
@YaeLondon-xy7sh
@YaeLondon-xy7sh 10 месяцев назад
Heshimu mawazo ya mtu
@frankkaronge1609
@frankkaronge1609 Год назад
Mwandishi umesahau loliondo,
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 Год назад
Hii ccm bila moto kuwaka hawawezi kuwa na nidhamu watanzania tuodokane na woga hawa wajinga watatutesa sana tusipoamka
@bakaramourshaaban
@bakaramourshaaban Год назад
Siuwashe wewe uo moyo
@johnbwirabukiza1878
@johnbwirabukiza1878 Год назад
Samia msaliti mkubwa wataifa si muzarendo haswa tulikua namashaka name m ukumbuke a ll ipotemberea kagera aliwambia wananaichi eti Magufuri anamasalimia wakati anajua kwamba aishafaliki hata anajitambulisha kwavitendo huyo ndiye aliondoa pombe John Mgufuri masaliti mukubwa huyo
@bakermusa9033
@bakermusa9033 Год назад
Vyombo vyote mmelamba asali
@samoramussa5336
@samoramussa5336 Год назад
Wabunge kazi yake nini mbona hata hawajui au makusudi, kazi yabunge nikusimamia serekari au kuipongeza tu hata kwa mabaya? Msemaji wa serekari alinichosha kusema tutapata mahela, dp yeye hayataki hayo mahela, pesa nzuri niile ulio ipambania bwana, msiiuze nawaomba mtapigwa na MUNGU kwajinsi watanzania wanavyo lia kuhusu bandari zao, wandishi hayo maneno ya slaaa haywaumi kweli?
@Wami-Sababisho
@Wami-Sababisho Год назад
Ndio maana JPM Alikuona wewe unakitu na utafika mbali ''Mtu mwenye akili timamu hawezi kusaini mkataba huo" na "ikishindikana ni KUMPINDUA Rais🤐🤫😂" mwisho wa kumnukuu. Kwa maneno uliyo yaongea na kujiamini Umenikumbusha JPM.Chukua form ya Urais uchaguzi ujao 🤫🤐
@amalikakiva4937
@amalikakiva4937 Год назад
Kapindue wewe na wtoto acha kudanganya wtu
@RajabuMsuya-yp9uv
@RajabuMsuya-yp9uv Год назад
Baba,njo,ccm,,ndochama,chetu,tawala,upinzani,ndo,unatugawa
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Год назад
DR.SLAA SAFI SANA, NI BOLA HATA UNGEKUWA RAIS WETU.
@ezekielphilemon7343
@ezekielphilemon7343 Год назад
Wewe ndie Rais wangu ajaye,
@ulayaz
@ulayaz Год назад
Slaa anatafuta riziki sasa kama kanisani kakosa, c.c.m., kakosa, chadema kakosa, anarudi tena chadema. Tusubiri tuone hizi tamaa na njaa za wanasiasa uchwara
@tozzowilliams308
@tozzowilliams308 Год назад
Poor mindset,,,,mpaka ujee uuzwe ndo utajuaa
@abednego3876
@abednego3876 Год назад
Lisu haingii ata robo kwa huyu mzee, alaf mwandishi ana pretend sana .
@bakaramourshaaban
@bakaramourshaaban Год назад
Jibu maswali wewe mzee acha fitna
@tozzowilliams308
@tozzowilliams308 Год назад
Fitina IPi???
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Год назад
SLAA UMEJULIKANA UKO NA MASLAHI YA MAJIZI BANDARINI NA KANISA LA KATOLIKI WAMEIBA KWA MIAKA60 SASA WANAFANYA PROPAGANDA KUPOTOSHA WATU NO MORE EXEMPTIONS KWENYE BANDARI YETU WAGALATIA WACHACHE WALIKUWA WANAIBA NA WANASIASA UCHWARA
@wilsonsikahanga1761
@wilsonsikahanga1761 Год назад
Ommy ..Kanisa katoliki limeiba limeiba nini kwa hiyo miaka uliyoitaja, ?
@wilsonsikahanga1761
@wilsonsikahanga1761 Год назад
Yaani pamoja na malizake nyingi kutaifishwa na serikari kanisa katoliki limeiba?
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Год назад
@@wilsonsikahanga1761 LIMEIBA PESA NYINGI SANA SANA NA VIONGOZI WANAJUA ILA WANAOGOPA LABDA UTUSAIDIE TUINGIE DEMOSTRATION kkkkkkkkk
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Год назад
@@wilsonsikahanga1761 MPAKA KESHO WANAIBA PALE BANDARINI NGOJA SYSTEM MPYA IFUNGWE NA DP WORLD UTASIKIA MA PASTOR WAKIANGUKA KKKKKK
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Год назад
DP WORLD WANAKUJA NO MORE MAJIZI SERIKALI ITAPATA KODI NA BANDARI ITABORESHWA NA AJIRA ITAONGEZEKA. NA BAA ZITAPUNGUA INACHOHITAJIKA NI ELIMU WATANZANIA WAPEWE UJAMAA UMEPITWA NA WAKATI 😇😇😇😇😇
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Год назад
unafilwa kumamako wewe na hao unaowakuwadia.
@josephrutta6834
@josephrutta6834 Год назад
Hujui unachoandika. Pole
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Год назад
@@josephrutta6834 WAGALATIA NO MORE UWIZI BANDARINI
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Год назад
No BODY TRUST YOU MZEE MLANGO WA BANDARI UMEFUNGWA RUDI KANISANI KAUZE MAPAPAI USEME YAMETOKA MBINGUNI AMA UFUNGASHE VIRAGO UWENDE UKALIME NO BODY LISTENING TO YOU HAKUNA DILI NA MAJIZI YALIYO BAKI 😅😅😅
@Swahili_Digital_World
@Swahili_Digital_World Год назад
Inatakiwa tujibu hoja siyo kukashifu...
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Год назад
@@Swahili_Digital_World problem hamuelewi hamuko OPEN MINDED mnachosikia kwa watu majizi muna amini MIMI NILIKUWA NAJUA WAGALATIA WASOMI KUMBE NI RAHISI KUPOTOSHWA EASY 🤪🤪🤪🤪🤪
@EL-DAD.
@EL-DAD. Год назад
Nmegundua huna darasa kichwani!!! Endelea tu kuandika ujinga wako!!! Namuhurumia mama yako aliyeleta kitu cha ajabu duniani!!!
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Год назад
@@EL-DAD. KWANI WAGALATIA SIKU HIZI WAMEKUWA KONDOO KWENYE NYUMBA YA HAHAHAHA LOVE IT
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Год назад
@@EL-DAD. TUKUTANE MWENGE KWENYE MISA YA SAA NNE PASTOR LEO ANAUZA PAPAI MILION LIMETOKA MBINGUNI 😍😍😍😍HALAFU TUNAKUTANA NA HOLY GOST LIVE FACE TO FACE
@MabulamalembekaMoris
@MabulamalembekaMoris Год назад
mwandishi anamaswali kama wakili kizimbani😂😂😂😂
@johnsonchonja4032
@johnsonchonja4032 Год назад
🤣🤣anaitwa chief odemba noma sana
@amalikakiva4937
@amalikakiva4937 Год назад
Kapindue wewe na wtoto acha kudanganya wtu
@amalikakiva4937
@amalikakiva4937 Год назад
Kapindue wewe na wtoto acha kudanganya wtu
Далее
#MEDANI ZA SIASA: HASHIM RUNGWE SPUNDA ANATEMA CHECHE
1:29:07
Symmetrical face⁉️🤔 #beauty
00:15
Просмотров 4,5 млн
Магия вне Хогвартса
0:11
Просмотров 3 млн
Шойгу посадят?
1:00
Просмотров 3,3 млн
Тот самый вайб
0:25
Просмотров 908 тыс.
starman #starman #superman #supermanmeme #shorts
0:20