Hiviiiii nyiee Watu ambao mnaombaaa likeee mzipelekee wapiiii❤❤❤ Kam unataka like shutiiiii movie yako❤❤❤iwekee RU-vid tukusapotiiiiii kukuwekeaaa likeee❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ languuu n hilooooo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉
@aishaomar2287 wanaume wa sahv wananipigia cm,wanasema npe hela yaan mtu hauna uhusiano wa ndugu au mpenzi kosa ulimpa namba, wanashindwa kuomba wanasema npe hela😀
Ahmedi mungu akuweke sana filamu zako nyingi nyingi zina fundisha pia zinahuzunisha lakini pia mda me engine tunakosa furaha pale ambapo hatuna pesa pia isitoshe tunapoteza vitu tuvipendavyo sababu tuuu tunakosa pesa