Hiii move mulicheza sana vizuri ila imagine tangu nianze kufuatilia hii series sijai pewa like ata moja na n shabik wenu mkubwa kutoka kenya naombeni like zangu team hemad
Wangapi wamecheka😂😂😂😂Chande alipoenda kwa RAFIKI yake ili amuelezee kuhusu ndoa yake😂😂😂😂RAFIKI yake hata hakutaka kujua ni nini chande anapitia akamjibu pambana na mkeo😊😊😊😊 Maana Rafiki yake jogoo hapandi mtugi🙌🙌🙌🙌
Jaman eeh hatujuwan ila sote tunatama hii film me nimeikubal sana lakin kila mmoja wetu ajifunze na hiki kitendo alicho kifanya hemedy....kaoa sehem amaby hapendwi💔
Hemedy KAKA ongela sana kwa Kazi yako. Niseme tu Mungu akusaidie kuwa na mwenendo bora katika kazi zako na mafanikiyo. Usijione kuwa pekeyako tupo mashabiki wako sehemu zote KAKA. asante!🇲🇿🇲🇿
Aslm alaikum broo nimefurah cnn kuiachia episodes ya 4 hakika ww ni mbambanaji na mbamba naji hachoki akichoka kapata kabla ya mambo mzur kuna majaribu ndani yake muamini mungu utafika tuh good 👍 job nakupenda buree broo mungu akutangulie kwa kila hatua Allah bless 🙌you ❤❤❤