Mm nampenda ken ya soil sana ,na msiongelelee ndege vibaya ,wacheni Mungu ampandishe yeye mwenyewe,na alishe familiar yakee , Good work ndege ya muthanga🙏🙏♥️♥️
I love this woman mengele,,,they she loved ken with a motherly love and she saw ken in a better way than judging him..kasolo wakati alilia ety Yatima ooh Yatima akainuka..so tuachane na ken ashine juu ya kudance yake
Problem ya kutoka kwa poverty and you lack education....everytime you got something you think you're the first one to have it....wakamba haki.....coming from poor background and your poor mentality still in you
Akh nyinyi ukwel amkufanya poa,,yaan mmekaa mdiscuss mtu wa mungu achaneni na yeye mungu anampendea hivyo,,kwa hivyo kasolo eka kusilila ken aka mweene amusilile,,,