Тёмный

Mganga Olonde | Pst EZEKIEL tayari nishamroga nkammaliza kabisa, nkitoka Tanzania nitammaliza kabisa 

Pashwa TV
Подписаться 236 тыс.
Просмотров 17 тыс.
50% 1

Watch, like, Share. For mentions and content collaborations, text us at +254733290656
_____________________________________________________________
►Support our shows on PayPal: bit.ly/ZadkDonate
►Subscribe NOW if you are new: bit.ly/3nKxDpK
►Follow Zack on Instagram: zad_ke
Evangelist Ezekiel biography today, news Ezekiel Case, Ezekiel church news updates

Развлечения

Опубликовано:

 

7 ноя 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 45   
@alvinkennedy2606
@alvinkennedy2606 9 месяцев назад
Olonde wa mungu endelea operation Maliza wakora....
@janehoffmann2803
@janehoffmann2803 8 месяцев назад
Mimi nimefuatilia hii issue ya Pastor Ezekiel, vile anasema akonanguvu kuliko maombi hata bibi mwenye ukonaye alikuwa wa Pastor Ezekiel mybe mtu anaweza kukufuata wewe wenye mybe hawana akili kwahivyo unataka hizo pesa zake?......wewe mchawi mimi niko Germany nasikuogopi chochote mimi mzaliwa lamu twakuwa tukiona majini namacho yetu kuanzia saatisa nanusu mpaka saakumi namoja, dawa yahiyo mizimu yenu najuwa dawa yake,mimi napatia watu mawaitha, jivu yajikoni, changanya naleon juice, then uombe maombi yako ukimaliza then jipake mwili mzima ulalenayo utakuja kuona majibu yake but hata kama ni siku saba uchawi wote itawaregerea wenyewe ,mimi nishaa pitia hii yote ninajuwa nini ninaongea nilikuwa nimeteseka miaka more than 8 years.
@sylviakiraga8230
@sylviakiraga8230 9 месяцев назад
Sasa hata nyinyi wenyewe hamuoni kuwa mnapoteza muda wenu Ezekiel hata siku moja hajawai kuwajibu mnaona ni mjinga apana mungu atakuja mwenyewe na lazima wachawi wasarender in Jesus name na muache wivu. Na nmeenda bila hivyo kitamramba na Ezekiel saii yuko free
@innocentmwangome9768
@innocentmwangome9768 7 месяцев назад
Nyumba ya kazi ajenge nzuri basi ama atuonyeshe pia
@Carolochieng-bl5hk
@Carolochieng-bl5hk 4 месяца назад
Imeandikwa kwa bible kuwa my people perish because of lack of knowledge
@user-yc2hg1wu1l
@user-yc2hg1wu1l 9 месяцев назад
Hata sisi tunaomba nabii wa uwongo akufe,
@luluauma1886
@luluauma1886 8 месяцев назад
God above all uganaga ni nothing, God has our final say.
@josephodongo-fu9qb
@josephodongo-fu9qb 7 месяцев назад
Nipe huondo Mr. ni mayienga from Likoni
@gracekahunda
@gracekahunda 9 месяцев назад
Sasa mwerevu na mjinga ni Nani hapo!! Unapga mtu na hajui!! Na hata hakushughulikii, wewe unakosa usingizi, unahangaika, na Ezekiel hata hakushughulikii!!
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 9 месяцев назад
Praise God my brothers,Olonde acha sarakasi utaumia Bure na wewe sio mganga wa kweli.infact nimekuja kujua kuwa ulikuwa mchungaji na maisha ilipo kulemea ndio uka kimbilia maisha ambayo ni ya kuji changanya.go and get a Life Brother acha kucheza na injili ya MOTTO.Nitafute Mimi achana na EZEKIEL Sio Rika Lako.
@nawangawamalwa6044
@nawangawamalwa6044 9 месяцев назад
Exactly mwambie ache kujigamba mungu anabaki tu kuwa mungu
@HezronPeter-go8cc
@HezronPeter-go8cc 9 месяцев назад
ukweri bro.
@alvinkennedy2606
@alvinkennedy2606 9 месяцев назад
Ezekiel mwizi wa kawaida na Dr olonde ana expose unyama wa Ezekiel anaofanya
@AndiaperisPeris
@AndiaperisPeris 9 месяцев назад
Alikwibia nini
@user-sz1pl5im1s
@user-sz1pl5im1s 8 месяцев назад
Injili ya moto ni gani?
@user-tm5nh3gx2h
@user-tm5nh3gx2h 7 месяцев назад
Operation iendelee, updates please
@norahfrank
@norahfrank 8 месяцев назад
Hutamweza kwa jina la Yesu
@norahfrank
@norahfrank 8 месяцев назад
Huyu ana jigamba for nothing.huyu anapigana na Mungu Mwenyewe. Mwisho wako ni mgumu sana
@EstherWanjiku-vw6ez
@EstherWanjiku-vw6ez 6 месяцев назад
Imagn Ezekiel Hana tyme ya ujinga yeye anamtumikia mungu wake ipo siku utaenda kupiga magoti akuombee
@ivankiptoo6041
@ivankiptoo6041 4 месяца назад
no way pigia mungu magoti sio binadamu
@nawangawamalwa6044
@nawangawamalwa6044 9 месяцев назад
Huyu mtu ananibow
@norahfrank
@norahfrank 8 месяцев назад
Hatukutaki Tanzania.usituletee laana zenu kuwapiga vita watumishi wa Mungu.mnachanganya giza na nuru.Usije kwetu ng'oooooo
@lydialimera
@lydialimera 8 месяцев назад
Wanawake wawili wamekutana kwa umbea munahangaika poleni sana😅😅😅😅
@ivankiptoo6041
@ivankiptoo6041 4 месяца назад
ant christ all the way ezekiel one of them
@alexmuuo5694
@alexmuuo5694 8 месяцев назад
Mtapeli wewe
@nellywanjiru2189
@nellywanjiru2189 9 месяцев назад
It's very sad dont you've anything else you can interview?.
@ivankiptoo6041
@ivankiptoo6041 4 месяца назад
dajall or ant christ tomba ezekiel
@gracekahunda
@gracekahunda 9 месяцев назад
Sasa kitambo munga Tana ahongwe pesa,!!! Dawa zako zilikuwa hazifanyi kazi ama!!!? Kitambo Senate ihongwe wewe ulikuwa wapi!!? Na unasema nimkali wao!! Mungu akusamehe kesi iliisha!
@aplokimo405
@aplokimo405 9 месяцев назад
Eeeeerhhhh eherrr.ibwa wewe unatutishia nini na Tanzania
@jbodhiambo56
@jbodhiambo56 9 месяцев назад
Uchawi is nothing
@GraceNganda-eq4he
@GraceNganda-eq4he 8 месяцев назад
L CT
@beatsbykingslayer
@beatsbykingslayer 6 месяцев назад
😂😂😂😂Story za jamba
@gracekahunda
@gracekahunda 9 месяцев назад
Tafuta another content ufanye achana na maisha ya watu, pambana na Hali yako!! Uganga ukikushinda okoka nawewe!! Ufunguwe hiyo cult, coz kinakiwasha nn!!??? Daily Ezekiel , hata mkikula chakula haishuki vzuri, roho juu juu!!! Kesi iliisha hakuna kesi!! So utajpanga
@alvinkennedy2606
@alvinkennedy2606 9 месяцев назад
Ngoma ndio imeanza ...huwezi uza Figo za watu na uishi maisha ya amani Ezekiel ana pesa lakini haimpi Amani hana amani damu ya wale aliye uwa Zita msumbuwa
@sylviakiraga8230
@sylviakiraga8230 9 месяцев назад
Angalia kinyumba ulichonacho hata huwezi kujicompare na Ezekiel onyesha mali kama za Ezekiel halafu ukuje umuadress au uwaambie wakuu wako wakupe mali hadi ushinde Ezekiel na ukicheza utakufa mapema baba na ww reporter nakuonya achana kufuata yy utaregret my brother i can see your very humble bt i wonder why are you following this person for sure
@alvinkennedy2606
@alvinkennedy2606 9 месяцев назад
The Truth hurts Ezekiel ni mkora Wakawaida
@Jessicabrown187
@Jessicabrown187 9 месяцев назад
​Hata kama mi si mfuasi wa Ezekiel huyu mchawi naye Ako na shida mingi..ukiroga mtu ubwekangi vile ye ubweka lazma Ezekiel amemfinya mahali
@Jessicabrown187
@Jessicabrown187 9 месяцев назад
​Hata kama mi si mfuasi wa Ezekiel huyu mchawi naye Ako na shida mingi..ukiroga mtu ubwekangi vile ye ubweka lazma Ezekiel amemfinya mahali
@BashirMahero
@BashirMahero 8 месяцев назад
Mwanamke mjinga sana jibu unione
@user-sz1pl5im1s
@user-sz1pl5im1s 8 месяцев назад
Mali sio uungu.
@carroljames8692
@carroljames8692 9 месяцев назад
How could Ezekiel's bribe penetrate your powers?
Далее
Советы на всё лето 4 @postworkllc
00:23
Bad News from Central Bank of Kenya
10:18
Просмотров 6 тыс.
HOW MY AUNT INTRODUCED ME TO EATING HUMAN MEAT AND BLOOD
1:20:51
Ах как прекрасно
0:17
Просмотров 29 млн