Тёмный

MGOMBA WENYE SANDA WAZUA TAHARUKI 

CHUMBA CHA HABARI CLOUDS MEDIA GROUP
Подписаться 633
Просмотров 56
50% 1

WAKAZI wa Kata ya Ibadakuli Manispaa ya Shinyanga wamekumbwa na Taharuki baada ya kupatikana kipande cha Mgomba kilichofungwa Sanda na kuviringishwa Jiko la Mkaa, ndani ya chumba kilichotakiwa kufikishwa Mwili wa Marehemu Monica Juma (29) aliyefariki Oktoba tano Mkoani Singida.
Chama cha Wanawake Wanasheria nchini TAWLA kimeishauri serikali kuandaa kanuni na sheria zitakazotoa muongozo kwa wazalishaji wa bidhaa za vyakula dhidi ya viwango vya kemikali kwenye bidhaa.
Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua amesema hatajiuzulu kutokana na hoja ya kumwondoa madarakani kwani hajafanya kitu chochote kwa Wakenya, hivyo atapigania haki yake kubakia katika nafasi hiyo.

Опубликовано:

 

8 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
Kũhagũrwo gwa Gachagua, #iNooroRũciinĩ
21:01
Просмотров 3,3 тыс.
WALIOKUTWA WAKIFUNDISHA UTAPELI SHINYANGA WAKAMATWA
13:59
How to Cook Juicy Steaks? Chef Kanan Recipe 🔥
00:59
Просмотров 725 тыс.
Shinyanga inavyoongoza kwa ndoa na mimba za utotoni
25:06
EXCLUSIVE: MKEWE LISSU AFUNGUKA, NGUMU KUAMINI (PART 1)
26:26
Hukumu ya kesi ya Nyundo na wenzake wanne
38:03
MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA MSALALA
4:01
How to Cook Juicy Steaks? Chef Kanan Recipe 🔥
00:59
Просмотров 725 тыс.