Kila mwaka unapofikia kilele wakenya huukaribisha kwa njia mbali mbali. Baadhi hufika katika maeneo ya burudani, wengine kanisani, baadhi wakisalia nyumbani. Lakini mji wa Kisumu umempokea mgeni wa kipekee ambaye ameandaa maombi katika uwanja wa Kibos ambayo yamevutia maelfu ya Wakristo kutoka hapa nchini na nje ya nchi.
Watch KTN Live www.ktnkenya.tv/live
Watch KTN News www.ktnnews.com
Follow us on / ktnkenya
Like us on / ktnkenya
30 дек 2015