Am here again and again I can't get enough of this song....KWELI HUYU YESU NO MZURI SANA HAKUNA MWINGINE KAMA YEYE .. ...NEXT TIME BRO NIITE TUMTUKUZE MUNGU ME WEWE.
Niseme tu ukweli wimbo mzuri video nzuri sauti ujumbe, napenda na kubarikiwa sana kumuinua YESU namna hii, Mungu unaemtumikia hata kuacha mtumishi wake
Saaafiii saaaana kaka anguuu,,,, Ama kweliiii YESU ni Mzuuuuriii,,, Inajidhihilisha kuanzia kwako Mwenyew Mana Furaha na TABASAMUU vimetawalaa kwako,,, Barikiwa saaaana
🛐BREAKFAST✝ *USIPOOMBA VITU HAVITOKEI* *Mathayo 7* 7 Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtaona; bisheni, nanyi mtafunguliwa; 👉🏼Mungu wetu ni Mungu wa utaratibu lazima TUOMBE,TUTAFUTE NA KUBISHA. 👉🏼Hacha kulaumu Mazingira, Watu, Serikali au kujilaumu JIBU LAKO NI KATIKA MAOMBI. 👉🏼Ukiomba Mungu anakuonesha Njia na kukufanyia wepesi. 👉🏼Vitu vya kiroho ni vya kikanuni kulia hakusaidii bila kufuata kanuni. 👉🏼Ongeza Bidii na Ibada. 🛐 #FAMILYGOSPEL* Baraka kwako Mpendwa wangu
Liit Kaka may the Lord continue to bless you end lead you katika safari lako LA Mziki😇😇😇😇🤗🤗 continue blessing us with ur wise words and cool music😇 be blessed🙏🙏🙏🙏
safi saana imanayachu ulabheleye chane balikiwa saana mtumishi wa Mungu me pia wa kigoma nyimbo yetu hii ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-EdMfWErB7yM.html