Тёмный

Minu Calypto: Snura ameniacha bila sababu, 'Sijamsaliti, sina kosa, amenivuruga' 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 54 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 368   
@mwanaishahussein2635
@mwanaishahussein2635 4 года назад
Minu kwakweli ulimpenda sana Snurra ingawaje ni mkubwa ki umri lkn yeye alkuhadaa tena mbele ya umma kijifanya anakuchumu na maneno mengi yakukuluwaza.Maoni yangu kwako Minu ni, kuwa na Subira na ALLAH atakupa mke wa kufa kuzikana, Insha Allah🤲🤲🇰🇪
@enterenter1921
@enterenter1921 2 года назад
Uje ufute hii comments yako 🤣🤣
@jasmineshechambo3401
@jasmineshechambo3401 5 лет назад
Pole sana ila huwez jua mungu kakuepusha na nn
@vailethalabama8255
@vailethalabama8255 4 года назад
This guy is real😍
@shymedybrown1055
@shymedybrown1055 5 лет назад
Mtangazaji upo vizuri komaaaa. Nimekuelewa
@lindawasike8228
@lindawasike8228 5 лет назад
Minu uko vizuri usijali mungu atakusaidi utatoka kimziki kwa wakati wake In Shaa Allah
@TheSalma1999
@TheSalma1999 5 лет назад
Pole its ok baba Mungu atakusaidia your cute utapata atakayekupenda your still young babaa praying for you
@beatricelucas9809
@beatricelucas9809 5 лет назад
Pole sana.. Muna mapenzi ndivyo yalivyo tulia tu Utapata Mwingine Akupendae
@ummulkheirzubeir6320
@ummulkheirzubeir6320 5 лет назад
Minu mzuri sana usijali utapa wakukupenda tena
@ipyanaangellah2452
@ipyanaangellah2452 5 лет назад
Nimekupenda Minu, unaonekana upo real sana na una mapenzi ya kweli kwa Snura maana hujaonesha pride kuwa umeachwa. Snura msamehe bhana, usisikilize maneno ya watu, dogo anakupenda.
@shumishatry4305
@shumishatry4305 5 лет назад
Cute boy mashallah
@shumishatry4305
@shumishatry4305 5 лет назад
Agness john😃😃😃😃
@OmanCom-ky8tn
@OmanCom-ky8tn 2 года назад
Nakupenda sana minnu pole sana kaka mungu atakupa mke bora
@emadasmar5714
@emadasmar5714 5 лет назад
Uyo likuwa yuwatafuta sabbu.ila likuepukalo lina khery nawe angalia maisha yako
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 5 лет назад
Ndo ayoo ya aunteziekiel n iyobo mapenz y mastar jmn kha🙌
@aishavogelmann6735
@aishavogelmann6735 5 лет назад
Woiiiiiii pole sana .....hakuwa wako ....wako atakuja nakama niyeye atarudi insha allah
@hkikajama6680
@hkikajama6680 5 лет назад
pole sana minu omba mungu aludishe moyo kapo yenu ilipendezatu ata mm naamini itakuwa wanamchezea maana alikuwa anajimaliza atosikilizawatu, nawaambeeni kwa mungu muwesawa
@subirachuttar6490
@subirachuttar6490 5 лет назад
Daaaah!! Minu umeniumiza sana aisee!! Pole sana.
@lailmeeea4908
@lailmeeea4908 5 лет назад
Kumbe Mtanga mwenzangu pole sana yataisha ucjali
@hasnaabduly4945
@hasnaabduly4945 5 лет назад
Daaaa sijuz tu hapa siku ya valentine mlitutambia hapa hapa leo yamekua haya 😀😀😀😀😀😀mapenz nyoko Sana wallah
@tatut3889
@tatut3889 5 лет назад
Kumbe unakumbuka eeh 😀😀😀😀😀😀😀😀😀
@mabrukimohd5283
@mabrukimohd5283 4 года назад
Hhhhh daah kumb bad unakumbk daah mapenz ufukara
@evakisinda3773
@evakisinda3773 5 лет назад
Da Snura msamehe jmn Minu wetu ona anavyolalamika tunaoumia ni ss
@farajachavala7449
@farajachavala7449 5 лет назад
EVA KISINDA dah nimempenda ghafla anajieleza vzr
@scollorpatrick7214
@scollorpatrick7214 5 лет назад
Pole sana minu
@kalamuyantajajr2605
@kalamuyantajajr2605 5 лет назад
Duh! Ila Dogo kwa kweli waokekana kumpenda sana Snura. Pole, endelea kumbembeleza huenda akarudisha moyo wake ila akishikilia msimamo wake, achana naye ufanye mambo mengine. Wanawake kila siku wanazaliwa.
@khadijasalum2302
@khadijasalum2302 5 лет назад
Mtoto wa kiume unachanganyikiwa kukaa na mwanamke kinyumba kesho je utamjibu nini mola wake wakati pumzi zinatuhada dunia tunapita binadaam tushtuke mauti any time je tumejiandaa nini kumjibu mola wetu msibaa mkubwaa
@najmasalimsalim2741
@najmasalimsalim2741 5 лет назад
Msiba mkubwa sana tena kulalamika haswa
@fatmakiyaka9590
@fatmakiyaka9590 5 лет назад
Ukiachwa achika ndugu usijidhalilishe bure wanawake wengi tafuta mwengine
@hassanfukala2311
@hassanfukala2311 5 лет назад
Yan ww kaka saiz yak nandy tunda umber lulu dian kmar haya chagua mmoj hap utoke nae
@siwazabron8198
@siwazabron8198 5 лет назад
duh,unatia huruma minu but angalia usije jinyonga tu,angalia maishayako achana nae kama akutaki
@halimagoodgoodsimbahalimag2940
@halimagoodgoodsimbahalimag2940 2 года назад
Minu,minu,minu,nimrkuita mara tatu njoo kwangu plzzzz km umekubali like yangu hp
@naomilukani2279
@naomilukani2279 5 лет назад
Mtangazaji naye tangu ajue neno like imekuwa kero. Mfyuuu
@khadijasalum2302
@khadijasalum2302 5 лет назад
Zinaa haidumu binadaam unatakiwa ufunge ndoa lkn Leo binadaam tunazidi kufanya machafu kwa kumsokea mungu Allah atunusuru na vizazi vyetu jinsi uchafu unaofanyika zinaa binadaam unaidhihirisha
@fatinakhamis4088
@fatinakhamis4088 5 лет назад
Daaa! Kumbe tunaozinguliwa kwenye mapenzi tupo wengi
@munaahmed8499
@munaahmed8499 5 лет назад
Fatina kuaminian tu ukiona wanatuhis ujue hawatuamin
@agnessjohn8404
@agnessjohn8404 5 лет назад
wanaume wazuri mnazingua kitandani hovyo pili hampendi kufanya Kazi mnapenda Sana kulelewa wanawake wanawatamani tu kwaajiri ya mwonekano lakini mnakera sana kafanye Kazi huko acha kulialia na mapenzi wewe snura kachoka kukulea
@awadhi7378
@awadhi7378 5 лет назад
Ati nini.....!😋😋
@naimasaid7763
@naimasaid7763 5 лет назад
Upo sahihi dear
@sefumbwinde8213
@sefumbwinde8213 4 года назад
Mmmh mapenz hay
@umikram6755
@umikram6755 5 лет назад
Mambo yakujadili ni meng ktk jamii. Achen upuuz bado waislam wazima wazinifu. We kijana nenda kasome dini acha uwehu Akil zko zakitoto
@awadhi7378
@awadhi7378 5 лет назад
Ni kweli
@chainbre275
@chainbre275 5 лет назад
Haya haya team single musipite bila like zenu jamani
@khadijahassan6924
@khadijahassan6924 5 лет назад
It so sad mmeniangusha keel minu nlikua nawapenda sn
@chainbre275
@chainbre275 5 лет назад
@@khadijahassan6924 hahaha ucjali wataregeleana 2
@dorismamf7404
@dorismamf7404 5 лет назад
Huyu ndio ushebe au duuu alivo msapraiz kwenye bathday yake snura yale mapez yakowapi jaman
@habintyramadan8518
@habintyramadan8518 5 лет назад
Metrine Bilunji jamn wabongo kwann wanakua hawaendelei ktk mahisiano yawoo bola single jamn 🙌🙌🙌
@chainbre275
@chainbre275 5 лет назад
@@habintyramadan8518 hahahaha wacha nibaki single 👌
@mariamhaidari7170
@mariamhaidari7170 5 лет назад
I'm in love with SnS mtabaki kuwa juuuu kileleni
@jessymalembeka6181
@jessymalembeka6181 5 лет назад
Yaaani nazidi kumuelewa mwijaku. Alisema haya
@deborahrichard7170
@deborahrichard7170 5 лет назад
nimependa kitu kimoja tu kwa huyu kaka, anasema ukweli hapretend kabisa
@chimamychimychimamy8482
@chimamychimychimamy8482 5 лет назад
Usijal pengine God amekuepusha navitu never know so never maid forcus bro navitu vyako God atafungua milango my prayers God locate you akupe Alikiba yebaba akumenej from Kenya +254
@khadeejaabdullah7083
@khadeejaabdullah7083 5 лет назад
Shikamoo mapz bongo Nyie wasanii mtauwa watt
@فجرالروشدي
@فجرالروشدي 5 лет назад
Minu njoo u nichukue mm Zay eti nn alamba lolooooooo itbki kuwa juuuuuu sns mambo niii 🔥🔥🔥🔥🔥
@ellymagoke6079
@ellymagoke6079 5 лет назад
Uko vizuri bhana
@anjunurdin2763
@anjunurdin2763 5 лет назад
Pole sana.mtoto wa kiume mzuri kama wewe kisha unawazi wako.huoni aibu kuongea utumbo kwebye mitandao? hao wazazi wako masikini yani unawadhalilisha sana kwa jimama Snura mtu mzima anakuzaa na pua kamaliza starehe mbali mbali utamueleza nini?? wewe mauno na umaarufu ulikuchanganya hata hukuona haya kwa mama kama yule mbele ya wazazi wako. sasa laana hiyo
@aishaaisha9094
@aishaaisha9094 5 лет назад
Haaaa mapenzi shikamoo duh usijali njoo kwangu tuendeleze gemu
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 5 лет назад
#1 on comments Haya mapenzi yakishenzi, Kiki zitawaacha pabaya, mtapata tabu sana.. atininiiiiiiiiiii lamba loloooooo.
@chainbre275
@chainbre275 5 лет назад
Wewe Pierre atabaki kuwa juu🙌🙌
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 5 лет назад
Metrine Bilunji Ameuteka mji mzima... atabaki mawinguni 🤣😂🤣🤣
@chainbre275
@chainbre275 5 лет назад
@@RamazaniMulongeca kabisa duniani inafaa mtu kma Pierre wakuleta tabasu kwa mwanadamu iwe mudogo au mukubwa big up to him
@TheSalma1999
@TheSalma1999 5 лет назад
Mbaya sana kusikiliza maneno ya watu bila ushahidi
@johnstaniley5532
@johnstaniley5532 5 лет назад
duh maskin snura msamehe mpenzi wako anatia huruma jomon
@mariamvunde425
@mariamvunde425 5 лет назад
Pole Minu
@fallymetoo191
@fallymetoo191 5 лет назад
Mapensi!mapensi! Mabaya saaaanaaa😇
@banshbansh2329
@banshbansh2329 5 лет назад
kumbe snura mjinga sana yani unaacha na mwenzio kwa manone ya watu msamehe mwenzio sio poa kubadili wanaume kila mara
@jamilajamila9682
@jamilajamila9682 5 лет назад
Mapenzi ya wasanii daima hayaendelei🤔💔
@goldensparrow1507
@goldensparrow1507 5 лет назад
Jamila Jamila wanaishi kiusanii wivu fitna uchawi
@vivianminja6332
@vivianminja6332 5 лет назад
Huyu kaka nimempenda anaongea vzr sana
@superwomen233
@superwomen233 5 лет назад
maskini anaongea mpaka anatia huruma wallah😣😣😣😣😣
@funnygirl6762
@funnygirl6762 5 лет назад
Super Women yeap
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 5 лет назад
Utafikil sister fey na horystar
@ashuraussein7582
@ashuraussein7582 5 лет назад
😂😂😂😂😂
@جميلةجميلة-ع5ن1ق
@جميلةجميلة-ع5ن1ق 5 лет назад
Pole sana kaka mapenzi yana shida
@davidphares5316
@davidphares5316 5 лет назад
duh pole sana
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 2 года назад
Nimerudi baada ya ndoa hongera broii
@mimaakenirram1405
@mimaakenirram1405 5 лет назад
mm nilikuwa nawapenda sana mungu awajalie murudiane pia nyinyi wanaume mnakuwa waongo unakataa ujatongoza mwanamke siyo kweli me wangu juzi tu katongoza rafiki yangu arafu arafu kakataa kata kata na misamaha juu anasema huyo demu ndo kamtaka mwenyewe
@jamilasadam4235
@jamilasadam4235 5 лет назад
Mskn minhal hakuwah penda mwanzon kama avompend snuu that’s y aongea kwa hisia sana
@jacksonmathayo6510
@jacksonmathayo6510 5 лет назад
Ina umaga sanaaaaaa tena sanaaaaaa we acha tuu
@Daphne362
@Daphne362 5 лет назад
Kila kitu kina mwisho...pambana na maisha yako we bado mdogo
@mariamsaid1093
@mariamsaid1093 5 лет назад
Yani wanaume wakitendwa wao wanajua kulalamika lkn wao mahodari kutenda lamba loloooo
@shamimuabubakari3508
@shamimuabubakari3508 5 лет назад
Hahahhahaha ulijuaje mpendwa acha yaan wanatiaga huruma utadhani watu wa maana vile kumbe hata wao wanaumiaga eeee dah nyau sana hawa hahahahha
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 5 лет назад
Umeonaeeeeeee,
@mariamsaid1093
@mariamsaid1093 5 лет назад
Shamimu 🤣🤣🤣 eti manyau
@habintyramadan8518
@habintyramadan8518 5 лет назад
Shamimu Abubakari 🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🤣
@hatamimnimempendabulejaman1596
Yeah shuwa mkuki Kwa nguruwe Kwa binadam uchungu halafu wanawake ni wepesi wa kusamehe lakini wanaume kusamehe ni shida
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 5 лет назад
Baadhi ya wasanii papuchi zao ni brand ivyo ulijisahau ww ukapenda mapenzi ya home huo ndio ustar bro unapenda machoni na mdomoni sio moyoni ila umetuwakilisha vyema mwanzo mgumu tafuta papuchi nyingine ya nguvu kuliko hyo big up usikonde wala nn km unataka mapenzi kua km zed anto penda anaependa mapenzi sio show love
@janniehenry9589
@janniehenry9589 5 лет назад
Fanya mambo ya msingi bro..achana na mapenzi.
@herminachrispas8858
@herminachrispas8858 5 лет назад
Minu mbona unaweza ishi bilayeye usioneshe udhaifu wako bhana!ukimwagwa mwagika broo.YOU CAN.
@wahabiramadhani7365
@wahabiramadhani7365 5 лет назад
Mkaka mzuri jamn
@asmahomary7833
@asmahomary7833 5 лет назад
Pole san jomoni inauma kuachwa bila sababu daaaah
@isihakanyirenda8474
@isihakanyirenda8474 5 лет назад
you still young and you have time to find another dont complain in the media broo endelea na mambo zako usipasuke kichwa
@memisaphusseni7190
@memisaphusseni7190 5 лет назад
Pole kaka likua akupendi I think
@hidayajuma3068
@hidayajuma3068 2 года назад
Itakuwa tayali wameisha mchezeya snula. Jinsi walivokuwa wakipendan asikwambiy mtu. Wameisha loga amkatae minu. Wanamuona minu nec
@leylasaid2616
@leylasaid2616 5 лет назад
Amechoka kukuleaaa...labda umwanaume Wa Dar..
@newvisiontv4932
@newvisiontv4932 5 лет назад
Kweli
@zakyahya4645
@zakyahya4645 5 лет назад
Itakua ivyo
@jaquevan9464
@jaquevan9464 5 лет назад
Sasa kama handsome kaachwa hawa wabaya vipi
@christinageorge2989
@christinageorge2989 5 лет назад
Hahaaa
@bestegame340
@bestegame340 5 лет назад
Ukiwa na mpz msipende kujionesha ktk tv unaona Sasa
@jessydaktari5209
@jessydaktari5209 5 лет назад
Ushauri mzuri
@rebekamsukwa4770
@rebekamsukwa4770 5 лет назад
Umeona eeeh walijiamin saan
@babubabz4507
@babubabz4507 5 лет назад
Kulelewa nikubaya walia hivyo ule amepata bwana mwengine utabaki ulalamike tu ingekua wamlisha hayangetokea yote hayo
@leenstunner7914
@leenstunner7914 5 лет назад
Ww kaka mbona mzuri af unahangaika na jimama ambalo linakusumbua
@salmathequeen6140
@salmathequeen6140 5 лет назад
Alikuwa analelewa ndo maana
@aslaysizo6509
@aslaysizo6509 5 лет назад
Njoo dm
@leenstunner7914
@leenstunner7914 5 лет назад
@@aslaysizo6509 🙄🙄🙄
@judithkameta9157
@judithkameta9157 5 лет назад
Leen Mimah huenda wanamlea
@munaahmed8499
@munaahmed8499 5 лет назад
Karibu Tanga lushoto ndio home unalima huku unafanya kazi zako
@ashuraussein7582
@ashuraussein7582 5 лет назад
Kaka mzuri😋minunjokwangu jamani🤗
@angelcosmo2903
@angelcosmo2903 5 лет назад
Ashura ussein Ashura ussein ahahahaha nmekupenda bure bidada,,
@ashuraussein7582
@ashuraussein7582 5 лет назад
@@angelcosmo2903 asante😍
@kuruthumomary3533
@kuruthumomary3533 5 лет назад
Jamanii mtanga mwenzangu waja Leo waondoka leo pole mwaya ila tanga maboy wetu wazur balaa hahahaa cheki Toto km lisomari vile uku km mreno dadekiii zao hao waliovunja penz lako hawaendi mbingunii😪😪 hata lift hawapati mwaya 😔😔 😔
@mwambajrking7575
@mwambajrking7575 5 лет назад
Karibu kwa "Masingle Boy" wenzako km mimi, piga mishe zako utapata anaekupenda huyo sio ridhk yako muache aende
@banshbansh2329
@banshbansh2329 5 лет назад
Snura asipo kuwa makini atachezewa na wanaume kira mara mapenzi hayaingiliwi rudiana na mwilenzio maisha yaendelee watu wakiona mnapenda lazima watie maneno kuwa makini sana mahusiano yako
@سبحانالله-ح7د
@سبحانالله-ح7د 5 лет назад
Kijana smat. Mapeni ni majani huota popote. Utapata kizazi sanaa.
@saumuathuman206
@saumuathuman206 5 лет назад
shikamoo mapenzi
@hawagondwe2056
@hawagondwe2056 5 лет назад
Malipo hapa hapa duniani c alimuacha nisha bby huyu mungu kalipia some inavouma ukiuwa kwa upanga ,,,,
@fauziahalifauziahali6212
@fauziahalifauziahali6212 5 лет назад
aki mapenzi kumanyokoo😣😢😠😠😠😠😠😠😠
@nuruabraham3769
@nuruabraham3769 5 лет назад
Fauziah ALI Fauziah Ali hahahahaaa uwiiiii, umenifurahisha
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 5 лет назад
Mapenz yetu watz mungu atuona 😁😁😁
@فجرالروشدي
@فجرالروشدي 5 лет назад
Ati nn lamba loloooo khaaaa npo hapa nimetulia na wapta na wapta namuona minu hapo ndni ya mjngo zaynashi hapa from muscat nawakubli sana
@ashuraussein7582
@ashuraussein7582 5 лет назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Naona umemuiga pierre
@bimaisarankamia4153
@bimaisarankamia4153 5 лет назад
Ila haya maisha mh .bd kijana mdogo tafuta maisha tu Sasa uone Kama kunamtu atakusumbua inaonyesha umeumia kwely kuachana na snura.lkn ndio imesha tokea maisha mengine yaendelee
@shanizyusuf8210
@shanizyusuf8210 5 лет назад
Mapenzi mubashara shikamoo mpnzi
@hamidajuma7804
@hamidajuma7804 5 лет назад
Snura msahe mwenzio hakuna Aliekamilika katika hii dunia
@hustlerlady3652
@hustlerlady3652 5 лет назад
Pole sana minhal ila snura alikupenda sana labda ww umemzingua ndo mana akaamua kukuacha
@justineriziki8835
@justineriziki8835 5 лет назад
Wadada zetu mujitazame kweli. Munahitaji kuombewa. Hakuna mudada hata mumoja anayeishi kwenye ndoa hivi kwanini ? Mujuwe munamukwaza Mungu mujuwe kweli.
@samanthaali873
@samanthaali873 5 лет назад
Mmh mdogo kweli Snura puunguzeni jamani
@jamirarashid4343
@jamirarashid4343 5 лет назад
pole
@nikitarewis2598
@nikitarewis2598 5 лет назад
Jamani mapenzi yenye mtandaoni hayadumu
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 5 лет назад
Mapensii mabaya mapensii mabayaa
@bahatiguyana8464
@bahatiguyana8464 5 лет назад
Beauty Ibrahim mapensii au mapenzi
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 5 лет назад
@@bahatiguyana8464 nimemuiga mpenz wa harmonize sara anashindwa kusema mapenzi anasema mapensii
@ashuraussein7582
@ashuraussein7582 5 лет назад
@@beautyibrahim8428 🤣🤣🤣🤣
@suzzyvicent1101
@suzzyvicent1101 5 лет назад
Beauty Ibrahim noma sana
@kalamuyantajajr2605
@kalamuyantajajr2605 5 лет назад
@@beautyibrahim8428 In Sara's voice
@ashamecky7772
@ashamecky7772 5 лет назад
Hii nyimbo jina lake litakua #kuwachwa
@mouzahal-alawi6474
@mouzahal-alawi6474 5 лет назад
Minu unaonekana ni innocent..achana nae we bado still young..utapata mrembo na wa size yako.. asikuringiee...
@casandrahhelman7639
@casandrahhelman7639 5 лет назад
Bwanaaaa weeeee anatia huruma cz kakosa vya buree 😂😂😂😆😆🤣. Me hao watoto nna mkosi nao hawa. Nataka jibaba tu.😎🤣😂💃💃
@tatut3889
@tatut3889 5 лет назад
😀😀😀😀😀😀😀😀tena vizee
@jasminyiddysulaiman9807
@jasminyiddysulaiman9807 5 лет назад
😀😂😂😂😂 wewe kama mimi tu
@hopennko5242
@hopennko5242 5 лет назад
jaman mkaka mzuri mpaka raha
@luckyvenance4576
@luckyvenance4576 5 лет назад
Mi mwanaume akiachwa nafurahi, wao mbn ma engineer wakuacha pumbavu
@tatut3889
@tatut3889 5 лет назад
Nisha anaruka uko aliko 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
@marysixmund5713
@marysixmund5713 5 лет назад
Tatu T kama namuona nisha
@neemanyamhanga1775
@neemanyamhanga1775 5 лет назад
Yani anaamani kabisaa nisha,ukiumiza na wew utaumizwa 😄😄😄😄kwedraaaaaa
@salmaothman153
@salmaothman153 5 лет назад
Achana nae huyo ww kijana mzuri nunga embe lisikusumbue mwache akatafute wazee wenzio huko
@aminamohamed9955
@aminamohamed9955 5 лет назад
Njoo kwangu mm nakupendaga Sana 😨😨😨
@mouzahal-alawi6474
@mouzahal-alawi6474 5 лет назад
SnS mtabaki kuwa juu.. wabunifuu
@beatricekamengekamenge5543
@beatricekamengekamenge5543 5 лет назад
Hii yamekupat naww kulelewa ndugu fanya kazi fyuu
@magymagy2156
@magymagy2156 5 лет назад
Wana ume wa Dar 😂😂😂 Walezi wawana 🤗🤗
@pittypritty3094
@pittypritty3094 5 лет назад
njoo kwangu sikufichi kama hakuna kuaminiana hakuna mapenzi na kama hakuna wivu pia hakuna mapenzi I think snura wivu wakimapenzi ndio ulomfanya agombane na ww afu we handsome bwana lazima awe na wivu baba kubali matoke akigoma kukurejea basi njoo kwangu nitakuwa sina makosa
@kibongobongo4608
@kibongobongo4608 5 лет назад
😁 😁 😁 Mapensi mapensiiiii mabaya mabayaaaa We achika tu wapo weeeengi piga kazi Dogo tengeneza jina lako amekutengenezea njia itumie
@jenifersamwel8990
@jenifersamwel8990 5 лет назад
Kazi ipoo
@anaupendo8751
@anaupendo8751 5 лет назад
Hivi wasani wanatufundisha nini mimi naona kuriko kua kiooo cha jamii wao wamekua kiliyo cha jamii hawatufundishi chochote zaidi ya uhuni 😏😏😏
Далее
Salama Na Shilole Ep 5 | MAMA Part 1
30:50
Просмотров 234 тыс.
Бокс - Финты Дмитрия Бивола
00:31
He went ALL in 😭
00:12
Просмотров 2 млн
MTU HACHAGULIWI MPENZI / NDOA YA SNURA NA CALYPTO
3:05
Бокс - Финты Дмитрия Бивола
00:31