Тёмный

MIRAJI | WANAOSEMA GSM WATAFUTE KAZI YA KUFANYA | TUSIJIONGOPEE YANGA BADO BORA PASI 516 MECHI MOJA 

Finest Online II
Подписаться 22 тыс.
Просмотров 31 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

11 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 39   
@JoshuaMalomba
@JoshuaMalomba 7 дней назад
Nakukubali sana kwa kuchambua mpira miraji maramoja
@nurumpoma9695
@nurumpoma9695 7 дней назад
Ndio..maana napenda kukusikiliza miraji .maramoja unajua mie ni yanga lkn nakufatilia sana ww na changamba na mzee said kuliko kisugu na masatu hawajui chochote
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 3 дня назад
Kisugu masatu na yule anajiita mchungaji sio wazima Sawa Sawa wao muda wote povu tu
@VeronicaNyondo
@VeronicaNyondo День назад
Kubwa kuliko💃🙌
@EdinaLaulent
@EdinaLaulent 3 дня назад
Miraji uzur bro unaongeaga mpira ushabiki unawekaga pemben unaongelea mpira hongera sana
@malietamaliet
@malietamaliet 6 дней назад
Jmn niliwatafuta sana kumbe mko uku miraji na chagamba
@AminayusephyYusephy
@AminayusephyYusephy 4 дня назад
hata mim jaman
@petrowililo
@petrowililo 5 дней назад
huyu mtangazaji anajua kutengeneza sauti nakupangilia maneno vzur mpk rahhaaaa,wakiwa na miraji unaenjoy mazungumzo
@abdallayunnus3475
@abdallayunnus3475 7 дней назад
Nkubali miraji
@HassanMkina-z6b
@HassanMkina-z6b 4 дня назад
Kaka umetutesa sanaaaa kaka dah 😢😢😢😢😢😢😢😢
@salmoncelestine6840
@salmoncelestine6840 6 дней назад
Miraji na Chagamba❤
@AminaSalum-pk5fw
@AminaSalum-pk5fw День назад
Miraj, mchambuz Bora tz
@errydeo8865
@errydeo8865 3 дня назад
Wachambuzi wengi ni hovyo ni mashabiki! Tusisngalie ligi tu! TANGIA PRE SEASON,YANGA KAPOTEZA MCHEZO MMOJA TU NA WAXUNGU!!! leo mchambuzi eti yanga wameshuka kiwango! Strikers huwa wana phase ya kutofunga( hiyo sasa inakua sio kazi YA GAMONDI NI KAZI YA PYSCHOLOGIST WAO KUREKEBISHA HILO) na pia ,pamoja na strikers wao kukosa magoli ya wazi,team efforts zinawafanya washinde! AND THATS WHAT CHAMPIONS DO! FINDING A WAY TO WIN!
@petermalulu796
@petermalulu796 3 дня назад
Chagamba miraji nmemuona bado mzee said tumekutafuta sana aisee tutendeee haki tumekuzoea we kila game ya yanga na simba lazma uwahoji miraji na mzee said
@LazaroPetro-y1s
@LazaroPetro-y1s 7 дней назад
Miraj we unajuwa mpila
@johnmaganga-k4m
@johnmaganga-k4m 3 дня назад
Nakubal sanaaa😂😂😂😂
@nicholauslupimo2851
@nicholauslupimo2851 2 дня назад
Wewe umeshapewa chakula na GSM ushakuwa chawa
@EdwinKyando-fk7mn
@EdwinKyando-fk7mn 3 дня назад
Nikweli kabisa huu ndo uchambuzi wa mpira jamaa anajua sana kisugu ni chawa tu
@ChachaRhobi-x7m
@ChachaRhobi-x7m 7 дней назад
Nakubal san miraj ndoo mana napend kukusiklz san two mana una madin san na kuombea maish malef san kaka miraj na changamb
@MalifezaMajidi
@MalifezaMajidi 4 дня назад
Miraji na kukubali kujuasoka
@WistoniMtewele
@WistoniMtewele 4 дня назад
Miraji mimi natamani hata kuwa na namba yako najua kunamambo mengi unajua nje ya mpira najua utanisaidia kaka angu
@angeljosephatvenancea5699
@angeljosephatvenancea5699 4 дня назад
Afadhali mmerudi jamani, nilikuwa najiuliza ni Nini mbaya na nyinyi
@KwizeraEnock-ny1by
@KwizeraEnock-ny1by 3 дня назад
Miraji awe mchambuzi tu
@HamisiYusuf-s1u
@HamisiYusuf-s1u 4 дня назад
Ndomna kila sku naangalia siwaoni mpka niwasach poleni ila tuko pamoja bega kwa bega
@omarhassan7603
@omarhassan7603 7 дней назад
Yanga imeanza kutoa makucha yake
@adrianorayner6551
@adrianorayner6551 7 дней назад
😂😂 yalikuwa wpi?
@errydeo8865
@errydeo8865 3 дня назад
​@adrianoraynwana michezo mingapi!? Utajua walikua wapi 19/10 er6551
@sulledabo7267
@sulledabo7267 3 дня назад
Juz nilipata tabu Sana kuitafuta wallah dah so poa
@hellenmchomvu6296
@hellenmchomvu6296 4 дня назад
😂Miraji
@rassulluis1947
@rassulluis1947 3 дня назад
Hamia yanga kaka
@errydeo8865
@errydeo8865 3 дня назад
Haibadilishi ukweli kwamba Makolo mbovu
@salmoncelestine6840
@salmoncelestine6840 6 дней назад
We Miraji ni mtu kabisa,,
@vaxminja9053
@vaxminja9053 4 дня назад
Dube amekosa magoli zaidi ya 12 hadi sasa
@MariamDavid1
@MariamDavid1 7 дней назад
😢
@anastahiliutawala3879
@anastahiliutawala3879 7 дней назад
Huyu nae
@protamwenyegzaketv7408
@protamwenyegzaketv7408 6 дней назад
😅😅😅😅😅😅
@errydeo8865
@errydeo8865 3 дня назад
Ukweli unauma
@suleimanabdu3215
@suleimanabdu3215 4 дня назад
Duh. ;mm mnyama lkn kwa ulichoongea unafaa kabisaa kuwa mshauri mkuu wa msimbaz
@MashakaIbrahim-n2h
@MashakaIbrahim-n2h 3 дня назад
Miraji wewe mtu wa Mpira achana na hao wapumbavu
Далее
Обыкновенное чудо
00:48
Просмотров 760 тыс.
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Просмотров 5 млн
TANZANIA Vs Djibouti Extended Highlights|Afcon Q U20
11:13
Обыкновенное чудо
00:48
Просмотров 760 тыс.