Тёмный

MIRAJI : YANGA WAKATILI | UKIJAA HAWAKUACHI SALAMA | AZAM ALIKOSEA HAPA | DUBE USAJILI SAHIHI 

SOKA BINGWA TV
Подписаться 16 тыс.
Просмотров 55 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 33   
@edwardmchodo1069
@edwardmchodo1069 28 дней назад
Miraji anaujua sana mpira. Ni mtu muhimu sana na mpira unamuhitaji kwa asilimia 100 kwenye swala la uchambuzi.🙏🙏🙏🫶
@dicksonmzao8376
@dicksonmzao8376 28 дней назад
Miraji najua nachambua vizuri lakin yule refa eli sasi aliwabeba pamoja na vibela wote wa wawiliw
@leonardmasanja4047
@leonardmasanja4047 28 дней назад
Miraji nakujua unasema vizuri juu ya mpira , lkn eti Simba ailiwawini Yanga hiyo siyo kweli bro, Simba refa aliwabeba sanaaaa, Yule ni makolo mwenzenu mkubwa, alikuwa anakata move Sana za Yanga ili kuwakata stimu, Elly sasii kila akiichezesha Yanga ni adui mbona hili hulisemei, aliiua Yanga sanaaaa pamoja na Hao Simba wenzenu Yule dada refa wa akiba na msaidizi wa refa mkono na kumbuka miraji hawawote TFF na Bodi ya ligi iliwapa tuzo, walikataa magoli mawili na penati moja, hata hiyo penati mnayoidai kwamba Boka aliifanay jamaa aliona aibu kuitoa maana alishainyonga mno yangaaa
@HusseinOmaly
@HusseinOmaly 27 дней назад
Jama anajuwa ila kwasimba mulibebwa
@RoseMuniss-y5q
@RoseMuniss-y5q 28 дней назад
Miraji sasa ivi kawa tu kama shabiki ndo maana mzee said kaja juuu zaidi...
@AshaNchira
@AshaNchira 28 дней назад
Miraji Sasa anayumba anahangaika tuu anakuwa ndomolakuwili Hana ushauri Kwa Simba Bora mzee saidi chagamba amuache kumuhoji.
@leonardmasanja4047
@leonardmasanja4047 28 дней назад
Mebebwa Sanaa sanaaa, usijisifie miraji sema kweli.....next time tipeni refa mwingine, tupeni hata komba, muone kazi, unaisifia beki yako bure ndio maana huwa mkifungwa mnadai kuna mtu kajongwa, hakuna timu pale !.... ..na mbona sasa mnarudu sokoni kusajiri wengine!....Makolo bila sasii na Yule mama wa kihaya hamtoboi, Hao wanawabebeni sanaaaa
@buharimwanga284
@buharimwanga284 27 дней назад
Mechi ya tar nane imempa raha sana bila kujua kwamba refa na kibendera aliwabeba akakataa magoli ya wazi
@josephchristopher1887
@josephchristopher1887 21 день назад
Mechi ya simba na yanga aliharibu refa kwa kutaka kubalance balance matukio tukakosa uzuri wa mechi ila simba alikuwa anafungwa nyingi na ndio ungekuwa mgogoro hadi ligi inaisha mshukuru sana yule refa
@saidmbarouk3553
@saidmbarouk3553 7 дней назад
mfumo 😂😂😂😂😂
@kolosii4351
@kolosii4351 28 дней назад
Chagamba na mwenzio msijizime data, refa aliwabeba. Mngepokea kipigo kilekile.
@gonnetheboss1708
@gonnetheboss1708 26 дней назад
Bro yanga hakulala hoi but refa alibeba simba tunatafuta offside ilipo hatuioni but kilichofanyika magoli yalioingia golini yalikua mengi ikashindikana yote kua offside
@MkudeMatombo
@MkudeMatombo 28 дней назад
Nakuelewa mwamba
@chrisantusnditi8670
@chrisantusnditi8670 27 дней назад
Tukutane oktoba 19 ,hapo utajua kwamba mna beki line nzuri au refa alibalance matokeo.
@user-bn1sc6ds1c
@user-bn1sc6ds1c 28 дней назад
Miraji simba wachezaji .ni wabovu subirii ligi iyanze usilalamike
@Majhidymhessa
@Majhidymhessa 28 дней назад
Mr Miraji‼️ Alex Sanchez alitokea UDINESE Italy akajiunga Arsenal then Manchester United then upooo
@Msungutv4569
@Msungutv4569 28 дней назад
ona hii ng,ombe arsenal imemnunua toka barca
@JolotaErastoJuma
@JolotaErastoJuma 28 дней назад
Miraji kuchambua mpila ana weza sana sio kama wachambunzi wetu kama wakina maulidi
@nickbrown8350
@nickbrown8350 28 дней назад
Maulidi sio mchambuzi
@kolosii4351
@kolosii4351 28 дней назад
Miradji unamtetea Fei? Ishara ya kufunga midomo na kuwakatia mashabiki mauno nini?? Kwani akifunga na kutoa ishara ya kumshukuru Mungu kunakuwa na shida gani???
@edwardmchodo1069
@edwardmchodo1069 28 дней назад
😀😀😀😂😂😂😂😂
@sharlynshabani6815
@sharlynshabani6815 28 дней назад
Oh
@chiefnumborecords4819
@chiefnumborecords4819 27 дней назад
Mimi ni shabiki Wa yanga ila Feisali Salum jamani Nampa mauwa yake aiwezekani Kila ukishinda usishangilie uombe tu msamaha no huo ni mchezo Wa foot ball lazima ufurahie unacho kufanya kama ni kizuri bhana
@AshaNchira
@AshaNchira 28 дней назад
Mirji we ovyo sana nilikupenda wakati unahojiwa.na chagamba kupitia simba lalaki sasa sikupendi tena kuku sikiliza kwani umebadidilika wakati simba iko hali ngumu ukageuka ndomola kuwili unatakiwa uchunguzwe wewe.
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 28 дней назад
Azam aliingia kwenye mfumo ndio maana kapigwa 4
@AmeirAlly-tn8hw
@AmeirAlly-tn8hw 28 дней назад
Miraji tafuta tv uwe mchanbuzi,upo vizuri Sana
@chiefnumborecords4819
@chiefnumborecords4819 27 дней назад
Ila mirajjji nyinyi mashabiki Wa simba mnajifariji sana Kwa kufungwa goli moja MKUMBUKE refarii alikataa goli mbili za pacome na Azizi pia penart ya Azizi pia je zote zingekubaliwa ingekuwaje Leo ungesema Nini nyie Cha kufanya ngojeni tarehe 19 tuone ukali wenu mbele ya Yanga msipo kula Tano zingine nipo palee nimekaa
@ShabanKisu
@ShabanKisu 28 дней назад
Ww ni shabiki wa ssc sikupendagi unavyoisifikiaga utopolo
@magrethmakauki235
@magrethmakauki235 28 дней назад
Miraj ongea ukwel, refa kawabeba zilikuwa tubulele laaa
@user-ks9tn4uw1m
@user-ks9tn4uw1m 28 дней назад
Wakongo ndowalivo wanapenda mambo ya chuki
@KulwaLucas-w2i
@KulwaLucas-w2i 28 дней назад
Umesema kwel kaka
@JohnHerbet-os7uh
@JohnHerbet-os7uh 28 дней назад
Urojo anahaha hovyo 0 ucmsifie hafai
@SamsonDulle-n4l
@SamsonDulle-n4l 28 дней назад
Azam hamna k2 kwamaana kila msimu usajili hua ni wakutisha lakin hatuonagi ubora wake
Далее