Тёмный

Miriam Lukindo - Umekuwa Mwingi (Offcial Music Audio) 

Miriam Lukindo
Подписаться 17 тыс.
Просмотров 25 тыс.
50% 1

Nakumbuka niliupata wimbo huu June 2023 “UMEKUWA MWINGI”
Wakati huo nilikuwa napitia mambo mengi mno ya kuumiza moyo na ku dhohofisha nafsi
Lakini kila nilipokuwa nikitaka kukata tamaa nilizikumbuka rehema na fadhili zake zilivyo kuwa nyingi kwangu na maisha yangu kwa ujumla kama Miriam Lukindo Mauki kama inavyo sema katika kitabu hichi
Psalms 40:5
BWANA, Mungu wangu, umefanya kwa wingi Miujiza yako na mawazo yako kwetu;
Hakuna awezaye kufananishwa nawe;
Kama ningependa kuyatangaza na kuyahubiri, Ni mengi sana hayahesabiki.
Na wakati huo pia , Baba yangu mzazi alikuwa hospitali akifanyiwa operation iliyokuwa sensitive, na katika mwezi huo huo tulikuwa tumemzika Shangazi yangu ambaye ndiye aliye mwachia ziwa Baba yangu. #MiriamLukindo #UmekuwaMwingi

Развлечения

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 87   
Далее
Miriam Lukindo - Wamekuja ( Official Music Video )
6:23
How to Build a Homemade Bike Using a Barrel
00:21
Просмотров 996 тыс.
AMEFANYA by MIRIAM LUKINDO WA MAUKI
5:56
Просмотров 72 тыс.
Nikurejeshee
12:42
Просмотров 391 тыс.
Miriam Lukindo - Umenikumbuka (Live Music Video)
9:45
WEWE NI SABABU by MIRIAM LUKINDO WA MAUKI
5:57
Просмотров 112 тыс.
Joel Lwaga - Umenishangaza (Official Music Video)
5:26
Magreth James (UNAWEZA OFFICIAL VIDEO)
5:42
Просмотров 6 млн
SIJACHELEWA
10:40
Просмотров 220 тыс.
Человек-паук из поколения Z
0:46