❤❤❤ chado kaishiwa pozi baada ya kufika geto tuu 😅 ety we unaitwa najma au kidem jau ina maana alisahau kama yeye ndo umuita ivyo daaah sema iki kipande nimekiludia zaidi ya mala 3 like za kutosha kwa chado a. k .a baba najma😂😂 me alike iyo kapo ya kidem jau na muuni chado❤❤❤
Musiwe munaharakisha muendelezo jamani mambo mazuri hayatk harka inaweza kutengenezwa kw hataka lkn editor akakosea so ni lazma atulie ili alete kitu kizuri jamani kama unaniunga mkono gonga like hapa