@@JessicaIrakoze-w4e kweli kabisa Leo nimeinjoy sana make hii episode imekuwa ndefu kidogo ajali kuwa na meendelezo uhuru mungu atasaidia chado the one
Chado master....👏🔥So far so good movie inaend vyema sana nafrahishwa na Uchaguzi wako wa characters... Mpangilio wa matukio .... ila kuna kitu naona kime miss sikumbuki ni episode ya ngap "Ulienda na Baga kukutana na Boss mmoja Yule boss akamind kwa kua Baga almis behave then yule boss akawafukuza akakwmbia atahitaj kukuona kivyako " ikaishia pale kile kipand hakijaendlea ad leo🙄 imekaaje hyo masta
kazi nzuri chado masta🎉 mii naon mweny atalipa zile million 10 n video Queen 😂😂 n itakuwaj Mr manyonga akikutana n mama ngwengwe🙄🙆 kutok burundi naombeni like ata mbili🤗
Yani manyonga ndio baba ngwengwe duuuh apo ndio I.likie it 😊😊😊😊😂😂😂 ....Twendeneni nalo sasa yani apa n.mwendo wa mission impossible wanangu chukueni maua yenu 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
Kama una D mbili uwezi kuelewa, jojo na chado ni mtu na mdogo wake kabisa na mali halizo tapeliwa na wazazi wake baada ya kufa yote ni kwa sababu ya manyonga, ili uweze kuielewa mission impossible utulize kichwa saaana, chado ni master kweli kaipika hi hadi imepikikaaa naomba like zangu jamani.
Kubwa Sema Leo #CHADO umezingua padogo kwa sisi wafuatiliaji wa series wewe huyo jamaa humjui jina ukampa jina #JITU wakati unaingia ukamuita #SOLO jina analoitwa na #MANYONGA nani kakutajia jina lake huyo Baalia tungeishi nalo hilo #JITU ungetufanya tuishi maisha ya kweli ndani ya MOVIE....