Hii film nilipo Anja kuitazama mwanzo nilizani niwaupuuzi sasa nimejua kumbe niyakutuelimisha asanté sana nyote mulio usika kutuandalia elimu ya Futur, nawakubali🧏🇨🇩
Ila kupenda wahuni raha sana an kuna mhuni nilimpenda nilikua 4m4 jaman jamn hii mov kama inanihusu maana nilikua sisikii k2 juu yake , bange , sigara , pombe zake lakn nilimpenda ivo ivo