Тёмный

MKALI WENU: MLELA MALAYA TU/ Anavaa SHANGA/ AMEMUAMBUKIZA EBITOKE KAKASIRIKA/ FULL INTERVIEW 

Tiki Tv
Подписаться 422 тыс.
Просмотров 100 тыс.
50% 1

Katika exclusive interview na mchekeshaji maarufu hapa Tanzania Mkali Wenu amefunguka mengi kuhusu kazi za sanaa maisha ya wasanii na sanaa pamoja yeye kufany cover za nyimbo za wasanii pia amefunguka yamoyoni kuhusu kinachoendelea kati ya mchekeshaji mwenzake na muigizaji wa filamu Tanzania (Ebitoke na Yusuph Mlela) na kutoa siri za mlela na hata ebitoke kwasababu anaujua mwanzo wao ulivyokuwa.. itazame Full interview kupata ukweli kamili na undani wa stori hiyo pamoja na mambe mengine mengi..
usisahau KU-SUBSCRIBE kwa kubofya sehemu yenye maandishi mekundu chini ya video, kisha bofyo kengele itakayotokea ili tuwe familia moja.
MKALI WENU Amlipua MLELA MALAYA TU/ BABA Anavaa SHANGA/ AMEMUHARIBU SANA EBITOKE/ ATAKOMA
#EBITOKE #MLELA #MKALIWENU #EXCLUSIVE INTERVIEW

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 205   
@adolphyamin1245
@adolphyamin1245 4 года назад
Mkali nimemuelewa sana yan Mwanamke anahitaji awe na mtu wakujivunia sio mariooo wakubusu tu
@bethm6587
@bethm6587 4 года назад
Ati marioo
@rhobinakotak2023
@rhobinakotak2023 4 года назад
Awt
@saidntisi5994
@saidntisi5994 4 года назад
Huwa napenda san wa2 wanaojikubali wenyew,nimemkubali kijan,kama unamkubali jamaa nipen like zang
@swazi-bmzwabusarawysd8083
@swazi-bmzwabusarawysd8083 4 года назад
Toka Atlanta georgia🇺🇸 namkubali sana mzuka wangu mkali wenu 💯 brother keep up
@sebastiansalumubinseblo3207
@sebastiansalumubinseblo3207 4 года назад
Kama unamkubali mkali wenu gonga like
@mwanatumusalim9470
@mwanatumusalim9470 4 года назад
Sijapenda ulivyo songa mungu atuongozeee
@daniellamutima4334
@daniellamutima4334 4 года назад
Team Kipigo oye eeh kumbe na mukari wetu naye kasha anza kujitapa dakika 30 tu daaaaaah shida
@wanderenyeura9011
@wanderenyeura9011 4 года назад
Jamaa amejibu vizur kwenye hukumu aseee, big up Mkaliwenu
@geraldrenatus2996
@geraldrenatus2996 4 года назад
Daaah mkali wetu komed sana hahahahaa et unapiga ngumi nzito sana safi jiamini bro
@yasinamiri7649
@yasinamiri7649 4 года назад
Nimeiyona iyo tishet ya soja kama nawe umeiyona gonga like twende sawa
@saudorsaugold6643
@saudorsaugold6643 4 года назад
Nampendaga mkali wetu habari zikufikiye from Burundi
@godgiver100
@godgiver100 4 года назад
urakoze, zirashitse.
@mukeragabilodiana9391
@mukeragabilodiana9391 4 года назад
Maraya mbaya sana. Yakuharibu waschana. Waschana mukimuona huo murera kimbia 💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃. Iri asiharibu ubikira wenu. 👈👈👈👈👈👈👈👈👈👈
@mbappecasemiro8812
@mbappecasemiro8812 4 года назад
Mhhhh mhhhhh mhhhhh mhhhh ndio sw au
@susanraphael5894
@susanraphael5894 4 года назад
nimependa comment yako hahahaaaa
@logatesimon9046
@logatesimon9046 4 года назад
Daaaaaah
@harunadaaprincesaidi5522
@harunadaaprincesaidi5522 4 года назад
@@logatesimon9046 noma
@nizigamaclaudine7842
@nizigamaclaudine7842 4 года назад
Ni kweli umesahau kingine ni Mwizi mukubwa 😗
@Richesfam
@Richesfam 4 года назад
I miss mkali wenu! He’s funnier than anyone else
@innobeihumila9583
@innobeihumila9583 4 года назад
Mkali we noma so baba alisaidiwa na shanga
@elibarikiskawa7918
@elibarikiskawa7918 4 года назад
Nimekkubali sana unahisia zilizo tulia
@nourumouniry7120
@nourumouniry7120 4 года назад
Nacheka tu kama mazur yaani wee mkali wew mungu anakuona
@rashidkalabi8212
@rashidkalabi8212 4 года назад
Mihayo mingi sana...Hali ya hewa kwann ulimwambia abaki zanzibar
@ndikumanaernest9560
@ndikumanaernest9560 4 года назад
Nakubali mkali
@augustinofrank1737
@augustinofrank1737 4 года назад
aise babaako noma sana hiyo
@MilleniumDigitalVide
@MilleniumDigitalVide 4 года назад
SAFI.. MKALI UNAFUNGUKA VIZURI MPAKA RAHA
@robertmagary445
@robertmagary445 4 года назад
Nakubali handsome boy
@yohanapetro4937
@yohanapetro4937 4 года назад
Nimekuelewa mkali kweli ww ni mkali
@siayakopaul6759
@siayakopaul6759 4 года назад
Mkaliwenu umenikera kwasababu umesuka hata hiyo interview sitazamiii ng'ooooo
@babyj8063
@babyj8063 4 года назад
yaan hap ndo ana ponikera mwanaume..kusuka aahh posmoo,!!
@kadilisaidi9807
@kadilisaidi9807 4 года назад
Kweli mkali wenu unajua mziki hadi ukasema nyimbo za Ali kiba kuziimba ni tabu kwakua zinagusa hisia kuliko vichekesho vya Diamond.
@jonathanmundeda4461
@jonathanmundeda4461 4 года назад
Yeye mama kweli huon kasuka
@OmanOman-gc1zu
@OmanOman-gc1zu 4 года назад
nimechek kwa saut😂😂😂😂 jitunze kaka mungu atakuletea mwema🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻💯
@babyj8063
@babyj8063 4 года назад
😂😂😂😂
@hussainsamkwazu2746
@hussainsamkwazu2746 4 года назад
Muongoo huyoo alikuaa anamtongozaa dada yangu flani mbezi tangi mbovuuh pumbavuuh zakee😄😄😄😄😄
@aminamusini8781
@aminamusini8781 4 года назад
uko vzur mkal wao big up sana
@aminanoor5637
@aminanoor5637 4 года назад
😃😃 eti kesi kesi za mabaharia ataweza😃😃😃
@mwindadisalmini5346
@mwindadisalmini5346 4 года назад
Aaaaaah uyo vesti ulovaaa ww umejidai kuigeuza Co wkti tu naijua mnapenda vifaa vya jeshi c muende xaxa mkahenye nyau nyinyi
@Oman-bi2ej
@Oman-bi2ej 4 года назад
mkali kweli mkali
@lilfilvobrown5551
@lilfilvobrown5551 4 года назад
Ndugu yangu tiki ni mama lao 😁😄😃😀😀
@umutoni-roussel5233
@umutoni-roussel5233 4 года назад
You right Mr 👍👍
@habibhabiba.saleh.5590
@habibhabiba.saleh.5590 4 года назад
NC
@naimahhussein8430
@naimahhussein8430 4 года назад
Jamn ww kaka kumbe upo huku😍😍😍😍😍let's subscriber 👌😍😍😍
@firtekfluidconnector1537
@firtekfluidconnector1537 4 года назад
Welcome back Kelvin Shayo.
@firtekfluidconnector1537
@firtekfluidconnector1537 4 года назад
@@tikitvog Karibu sana, tulikumiss sana, tupo pamoja bro
@tobaramadhani7139
@tobaramadhani7139 4 года назад
Aliesikia neno demu mkali kumamake agonge like
@OmanOman-gc1zu
@OmanOman-gc1zu 4 года назад
umetisha kaka
@florabuzoya3948
@florabuzoya3948 4 года назад
Usimchanganye Mungu na wanadamu wewe
@zulfamziwanda794
@zulfamziwanda794 4 года назад
Mkali wao uko vzr sana ila usisuke bhana
@feyfarid0448
@feyfarid0448 4 года назад
Mwisho utashoneya wiving
@mr.kephacy7682
@mr.kephacy7682 4 года назад
Mkali wenu unanichekesha sn
@maryammct3967
@maryammct3967 4 года назад
Sukumandani mlela
@AbdallahAbdallah-lt3ut
@AbdallahAbdallah-lt3ut 4 года назад
Mbona mukali amefanana na demu
@funnycomedyvines1467
@funnycomedyvines1467 4 года назад
hahahahahhahaha
@neemalkiswaga6126
@neemalkiswaga6126 4 года назад
Hahahahaha
@fanuelstephano2264
@fanuelstephano2264 4 года назад
Ndomana kaimba mama lao
@aminanoor5637
@aminanoor5637 4 года назад
tokeni uko ngoja asuke mbn wasanii wengne wanasuka amuwakatazi
@shabanikitogo6613
@shabanikitogo6613 4 года назад
Wewe kweli mama lao
@kingfrenk5230
@kingfrenk5230 4 года назад
Katika utajilike
@annaangetile6890
@annaangetile6890 4 года назад
Uko vzr
@mukeshikiluwa5678
@mukeshikiluwa5678 4 года назад
Mungo et mpaka umri huo ulivyo komaa hivyo hujawahi kudet acha kudanganya w2 ww labda unamatatizo c bure
@tozzytozzy3609
@tozzytozzy3609 4 года назад
Kumpiga nay huwezi bro usitudanye
@harunadaaprincesaidi5522
@harunadaaprincesaidi5522 4 года назад
eti dudu baya anakuogopa nacheka tu km mazuri
@janesarah6711
@janesarah6711 4 года назад
Haha 😂 Ati mama yao any good job 🙏
@kabutimwona5798
@kabutimwona5798 4 года назад
Mkaliwetu vip tena kichwani hapo au wa kinondoni nini
@neemalkiswaga6126
@neemalkiswaga6126 4 года назад
Hahaha jamani baba lao mama lao
@megahits8304
@megahits8304 4 года назад
Huyu jamaa Bangi..
@nadyakisho811
@nadyakisho811 4 года назад
ww koma usimtaje mungu kwa ujinga wko nyoooo mungu kusifiw ni haki yake na utukufu wk kwan uliumbwa ujee usuku jidume zima
@hjhj6230
@hjhj6230 4 года назад
Yaani chefuu
@kibasamohamedi8029
@kibasamohamedi8029 4 года назад
Haaaaa haaaaaaaaaaaa et unapiga ngumiiiiiiiiiiiii
@salmagungurugwa6854
@salmagungurugwa6854 4 года назад
Bora mwenzio anavaa shanga azionekane kuliko ww uliesuka hakuna tofauti apo
@fatmamacharia3593
@fatmamacharia3593 4 года назад
@mlelandro Malaya wakuwekwa na wake style up shenzi
@nabiimwokozi633
@nabiimwokozi633 4 года назад
Upovizuri
@rosesamwelitenga4648
@rosesamwelitenga4648 4 года назад
Uyo mwanaume wa hapo katikati mbona kasuka ka miee!! Dunia nyoko
@diamondplatnumz6155
@diamondplatnumz6155 4 года назад
Maisha yake usingilie maisha yawatu
@rosesamwelitenga4648
@rosesamwelitenga4648 4 года назад
@@diamondplatnumz6155 duh haya buanaa 🏃
@siliakilojasi3587
@siliakilojasi3587 4 года назад
Unazingu.umesuka.mze baba
@khalekichambo1131
@khalekichambo1131 4 года назад
Babako alivaa shanga 😂😂😂😂😂😂😂 umemtia aibu mzee wako kama bado yupo hai
@halimahamis1288
@halimahamis1288 4 года назад
Lugha ya matusi kwa interview sio poa.Tiki Tv muwe mna-edit kabla ya kutoa
@Rashidmhedhery
@Rashidmhedhery 4 года назад
Channel ya kijinga na isiyo na Maadili Usi subscribe upuuzi huu
@rosesamwelitenga4648
@rosesamwelitenga4648 4 года назад
@@Rashidmhedhery haahaa una vituko😂😁
@zakiazakia4552
@zakiazakia4552 4 года назад
Sura leo kama ebitoke fumua nywele izo mpuuzi mkali unaanza nawewe kuwa kama madada
@tatudijah6773
@tatudijah6773 4 года назад
ebu fumua hizo nywele bhanaa
@kcdxjb6720
@kcdxjb6720 4 года назад
Pow 🇧🇮🇸🇦🤣😃🤣😃🤣😂😂
@vgatg2514
@vgatg2514 4 года назад
Hahahah my stress killer
@نايفالشمري-ط3د
@نايفالشمري-ط3د 4 года назад
Wah the world is manipulated everywhere sure God come for rescre plz
@hadijakabona955
@hadijakabona955 4 года назад
Daa umejibu vizuli ukweli mtupu
@funnycomedyvines1467
@funnycomedyvines1467 4 года назад
kabisa aseee
@jenifajerad4012
@jenifajerad4012 4 года назад
Yani mkeo ata faidi sana ww kidume
@daudijuma9093
@daudijuma9093 4 года назад
@Jenifa vp upo tayr utolew posa na Mkali wenu!?
@alnooroman1058
@alnooroman1058 4 года назад
nikweli san
@alphoncenaalphonce1667
@alphoncenaalphonce1667 4 года назад
namuona mamalao
@sebastiankatalle2732
@sebastiankatalle2732 4 года назад
Wimbo wenyewe hujui kaandikiwa
@nadyakisho811
@nadyakisho811 4 года назад
umeenza lin kusuka na ww au ndo huo umario😀😀😀
@abubakaryalmas7673
@abubakaryalmas7673 4 года назад
Yan wasanii wa bongo bhana 😁😁😁 kuiga kwingi
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 4 года назад
Bora Mungu awanyang'anye naniliuuuu iliwabaki kuwa wanawake tu
@Oman-bi2ej
@Oman-bi2ej 4 года назад
jaman tanzania ni nchi huru.. hivyo kila mtu anahaki yakuchagua anacho taka fanya basi ananya....bibilia inasema samsoni alikua mwenye nguvu sana sababu alikua nanywele ndefu ambazo hakuwahi kukata kwa kipindi kirefu toka kuzaliwa....so can you imagine alikua na muonekano gani kabla ya kukutana na delila....na fikiri urefu wa nywele zake ni mara 100 ya rasta za damian Marley....so kusuka sio mbaya isipokua ni kitu kisichompendeza mungu kama ilivyo kakayako kunyoa kiduku....wwe kubadilisha rangi yko mnyeusi...maumbile...na nywele za bandia.
@hjhj6230
@hjhj6230 4 года назад
@@Oman-bi2ej sasa km akimpendez mungu mtu unafanya ili iweje
@fauzal5257
@fauzal5257 4 года назад
Ahaaaaa yani wewe🤣🤣🤣chinzi kweli
@fuxudyf6600
@fuxudyf6600 4 года назад
Njo kwangu mkali sitokusaliti afu nakuzimia mnoo
@rahsrahs9546
@rahsrahs9546 4 года назад
Nice ❤️👄❤️❤️
@fredric540
@fredric540 4 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣 pick up line ya kingeleza na kifaransa 🤣🤣🤣
@godfreykapalale2733
@godfreykapalale2733 4 года назад
kusuka unapoteza bland yako bro
@mamass7481
@mamass7481 4 года назад
Mm mwanaume yoyote akisuk ana nibowa. Hebu tuachiyen cc akina dada tusukee. Tupendeze tuwa vutiye. Ila mukilala. Hujuwi nani amchezee mwezake. Kichwa. Haya vaeni na shanga. Na bikin. Na sidiriya. Sote tuwe sawa hena musisaha kupak. Kope badikeni. Wadada nyiye. Ovooo. Noooo.
@nahyaseif6226
@nahyaseif6226 4 года назад
Sawa sawa umesema kwel ovyoo asaa
@jackytony2607
@jackytony2607 4 года назад
@@tikitvog kanyoe huko nyoo
@richardkyando1516
@richardkyando1516 4 года назад
Upendezi ukisuka
@alphoncenaalphonce1667
@alphoncenaalphonce1667 4 года назад
hahhaha yani nimecheka kwa sauti
@godgiver100
@godgiver100 4 года назад
Hahahah..mtangazaji umemkazania Ebitoke, tehteh..!!
@godgiver100
@godgiver100 4 года назад
Haina nouma aisee, Jeshi-mate wako hapa.
@japharimahamud5021
@japharimahamud5021 4 года назад
Mkali acha Usenge wa kusuka watakupakuwa au unataka kupakuliwa
@hadijakabona955
@hadijakabona955 4 года назад
Uko vizuli mkali nakukubl sn tuuuu umeongea pnt
@milywinnie3043
@milywinnie3043 4 года назад
Daa wana ume watu wa ajabu San Yusuf utalipw na mung nakwambia
@kirobaonlinetv4128
@kirobaonlinetv4128 4 года назад
Sindio ndugu yangu
@jenifajerad4012
@jenifajerad4012 4 года назад
Njoo jamani mm🤣🤣🤣
@ruqyaabdallah781
@ruqyaabdallah781 4 года назад
Nikeliwewe Nimamakeli Maanaukoki Chwani
@hamishamis9905
@hamishamis9905 4 года назад
Mkaliwenu sasa nywele zishakua tyr....hapo bado kuolewa tu ......au,,,,?
@esideyaya6750
@esideyaya6750 4 года назад
Mkali ana səma tu amuna kitu apo. iyo interview sielewi ata all topics I didn't get any of that's
@sanimoclassic1917
@sanimoclassic1917 4 года назад
Hzo camera zenu za cm nn mbona video mbaya hvyo
@luganojacob
@luganojacob 4 года назад
Sasa iyo ndo kamera inatoa kito hasilia
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 года назад
Msenge wewe!!!!
@fridakaria9012
@fridakaria9012 4 года назад
Kwani lazima utukane
@muddyville
@muddyville 4 года назад
Unabanduliwa na wachawi
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 года назад
@@fridakaria9012 kwani neno msenge ni kutukana???
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 года назад
@@muddyville inawezekana ukawa umeikumbuka kazi yako ya zamani!!!
@fridakaria9012
@fridakaria9012 4 года назад
Unawezakana kwako ilo ni jina la shangazi ako
@philomenakitabu6182
@philomenakitabu6182 4 года назад
😂 😂 mamalao unakuja na kucheki joo
@khadijahaji2970
@khadijahaji2970 4 года назад
The Hair style u look like mamaa....mama yao.......
@aishamusa6806
@aishamusa6806 4 года назад
Yani Ww ujatulia
@SaidSammedia
@SaidSammedia 4 года назад
Wasanii wote unawakalisha du siamini .kutana na kishoka au bavo tuone kama kidume
@rocyncathbert4527
@rocyncathbert4527 4 года назад
Hahaha
@rozzymsupa1162
@rozzymsupa1162 4 года назад
Huyu jamaaa ni fala sana😂😂😂😂😂😂
@jimmyirakoze5840
@jimmyirakoze5840 4 года назад
Yani uyo kaka nakuunga mukono saana unavyo viongea vyote vina ukweli mimi sio mutanzania ila nime kuelea sana yani una akili sana
@daudijuma9093
@daudijuma9093 4 года назад
@Jimmy Irakoze 🤗Ati Namuunga Mukono nimkon au mukono!? 🤗haup mutanzania au Mtanzania!? 🤗
@venanceradislaus656
@venanceradislaus656 4 года назад
Uko vzr
@brigitamash2007
@brigitamash2007 4 года назад
huyu jamaa mkali simuelewi siku zote
@funnycomedyvines1467
@funnycomedyvines1467 4 года назад
mbona anaeleweka vzuri we una tatizo binafsi itakuwa
@paulmafuru7283
@paulmafuru7283 4 года назад
Duuh huyo ndg yako ana tabu kila kitu ndg yako hapo
@manjaruujr146
@manjaruujr146 4 года назад
hakunaga MWANAUME MALAYA mzee
@babyj8063
@babyj8063 4 года назад
hivi na nyie mnaamini kabisa kwamba mkali wenu ni BIKIRA 😂😂😂😂
@hhhaaa1184
@hhhaaa1184 4 года назад
😂😂😂😂😂nami nimeshangaa inawezekanaj nahicho kifua😂 jamani
@dyanatanz6574
@dyanatanz6574 4 года назад
Midume mizima imesuka mtasuka mbaka chin ya mapumbu. Iv mna Mama na baba kwel.Na kama mnawazaz mbona hamuwaheshim walio wazaa jaman. Hata kama unapesa nitajil kushinda dunia yote usimzalilishe mzaz wako aonekane kama ndio amekulea ivo.
@funnycomedyvines1467
@funnycomedyvines1467 4 года назад
Dahhh kweli umeongea dada +Dyana Tanz
@sollo1182
@sollo1182 4 года назад
🤣🤣🤣
@vannymoke7153
@vannymoke7153 4 года назад
Hapo dyna amegotwa
@fatmazjuma2851
@fatmazjuma2851 4 года назад
Dyana Tanz hshhhhhhhhhhhhhhh
@breackychangwe3240
@breackychangwe3240 4 года назад
Ukiongea Kuhusu mtu Kama mkali wenu Ni sawa na kujisumbua maana yote anayoyaomgea Apo ya kweli Ni mawili tuulize sisi tunaeishi nae kitaa
Далее
DIMBWI | FILAMU | MLELA, NIVA na TAIYA | PART {1}
13:43
MASAI APAGAWA NA YANGA | NG'OMBE WANGU NAWAPA YANGA
14:25