Тёмный

MKOA WA TABORA KUINGANISHA MIKOA YA KATAVI NA KIGOMA KWENYE GRIDI YA TAIFA 

Tanescoyetu
Подписаться 6 тыс.
Просмотров 237
50% 1

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Doto Biteko amesema mikoa ya Katavi na Kigoma iko mbioni kuunganishwa katika Gridi ya Taifa kutokea mkoa wa Tabora.
Ameyasema hayo tarehe 07 Julai 2024 wakati akikagua maendeleo ya njia ya kusafirisha umeme ya msonngo wa kilovoti 132 kutoka Tabora hadi Katavi na Kituo cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme cha Ipole Mkoani Tabora.
Aidha, ametoa rai kwa wananchi kuilinda miundombinu ya umeme.

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
Раскрыла секрет дочки!
00:37
Просмотров 354 тыс.
TANESCO NA WADAU   TABORA
1:53
Просмотров 31