Тёмный

Mkristo hatakiwi kutoa Fungu la Kumi - Sehemu ya Pili 

Spirit Gathering Ministry
Подписаться 2,1 тыс.
Просмотров 14 тыс.
50% 1

Mkristo lazima Aelewe Kuwa Kutoa Kwako Mbele Za Mungu Hauzalishi IMANI bali IMANI ndiyo inayomzalisha Mtoaji.
Utoaji Wetu Haupimwi Kwa Asilimia Bali kwa IMANI
Fungu La Imani Ndio Maelekezo Ya Mungu...
Na Lazima ujue Sadaka Hii mnayoita Fungu la Kumi Ni Ya Mungu Wala Sio Ya Mtumishi...

Опубликовано:

 

16 авг 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 119   
@SpiritGatheringMinistry
@SpiritGatheringMinistry Год назад
UNAWEZA TUMA SADAKA YAKO KUPITIA NAMBARI HIZI.: MPESA-0755640454/ TIGO PESA-0719275409/ AIRTELMONEY- 0789186301 Majina ni GODLOVE CHARLES.... Walioko Nchi Za NJE MPESA +255755640454 GODLOVE CHARLES
@charleskamundi9952
@charleskamundi9952 3 месяца назад
Sasa wewe umesema sio kila mtu anapokea sadaka kwanini umeweka namba za kupokea sadaka si usubiri miguu yetu iongozwe na Bwana Au basi acha tumpe Mungu mwenyewe maana sadaka ni ya Mungu
@yohanamartin4897
@yohanamartin4897 22 дня назад
Najifunza hii 2024 ...ni ajabu sana ..MUNGU anipe kuelewa ..MUNGU akubariki mtumishi
@Mushidebb
@Mushidebb Год назад
Ni sadaka ya Mungu peleka kwa yatima jaman peleka kwa masikini ....
@frankelias1116
@frankelias1116 Год назад
Daaah nahidaji mda sana kuelewa hili somo
@ushindimwasaka9426
@ushindimwasaka9426 Год назад
Nimeelewa sana nina swali naweza muacha mke wangu aliyechepuka nikaoa mwingine
@preciousmunuo142
@preciousmunuo142 Год назад
Mmmmh umemshuhudia akikutenda ubaya
@lawimoses2514
@lawimoses2514 Год назад
Unaweza kumsamehe, na ukampeleka Kwa mchungaji wako Kwa ushauri zaidi na pia kuwaombea, na kama amekusudia kwenda mbinguni na labda alichepuka Kwa bahati mbaya basi ukimsamehe ataacha hiyo tabia. Wanandoa pia tuombeane ili adui asivuruge ndoa zetu
@janesuma-is4wc
@janesuma-is4wc 17 дней назад
Kama umemkamata biblia inaruhusu kama ujamkamata ni hisia zako kanae chini msuluhishe msimame pamoja
@arizonavocationalcollege4761
God Bless you Man of God.🙌 Nimeelewa🙏
@Brendacherotich190
@Brendacherotich190 Год назад
May God bless you man of god 🙏🙏
@mordekaikiwango3600
@mordekaikiwango3600 Год назад
Daaah aiseee Hapa nimeelewa sana hadi moyo unaniumaaa
@user-mw9ls6ic1q
@user-mw9ls6ic1q 2 месяца назад
Biblia ni kubwa sana kama unafikiri umefuzu utakuta kunamwingine anaibua kingine fanya unacho jua hakuna mkamilifu ktk Dunia hapa
@mordekaikiwango3600
@mordekaikiwango3600 Год назад
Ameeni somo kubwaa sanaa hill Yani hapa nimee elewa sanaa
@paskarimwanjera55
@paskarimwanjera55 Год назад
Sijakuelewa elimu yako uazeupa elimu yako ikusaidie mwenyewe pole watowe ninisasa kaka mazambahu ya mungu
@anitababyderickwasike7872
@anitababyderickwasike7872 Год назад
Be blessed man of living God
@gladnessjoseph9847
@gladnessjoseph9847 Год назад
Haleluyaaaa sijamalizaa lkn nabarikiwaaa mnoo
@mordekaikiwango3600
@mordekaikiwango3600 Год назад
Apostle kweli Mungu Nimwemaa niliwahi kufundisha kuwa sadaka ya fungu la kumi unapaswa upeleke mahali ambapo Mungu alipo pachagua watu wengi hawakunielewa ila Ukweli watu wanafungwa na sheria walizo zikuta kanisani
@emmanueljacob4303
@emmanueljacob4303 Год назад
Thanx God for teaching. Forgive us,we don't know what we was tithing .Give us the new beginning. God bless u Man of God.
@mayrastephen2997
@mayrastephen2997 Год назад
God bless you apostle
@nakshnakshnaksh680
@nakshnakshnaksh680 Год назад
Nimeelewa ss. God bless you
@samwelchilijila
@samwelchilijila Год назад
Uko sahihi mtumishi..nyongeza yangu Mungu alishatoa maelekezo wapi kwa kutoa au namna ya kutumia fungu la kumi,wala sio wadhaniao kuwa anakula mchungaji,wachungaji hawapaswi kudai fungu la kumi sababu sio haki yao.. Maelekezo ya Mungu itatumika na familia mjane yatima mwenye shida na utamwalika mlawi..sio aivhukue..tirati sura ya 12 na 14 na 18.
@diananaswa4842
@diananaswa4842 8 месяцев назад
❤❤❤❤nmekupata vemaa
@johntz8881
@johntz8881 10 месяцев назад
Amen aposto🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@josephinechaildofgod5371
@josephinechaildofgod5371 8 месяцев назад
Nimesikia upako.juu.ya haya maongeo
@lawimoses2514
@lawimoses2514 Год назад
Na Zaka inapelekwa mahali ambapo ushirika wako upo(Kanisani unaposali) maana hapo ndipo unapata chakula cha kiroho. Huwezi kutoa popote unapotaka. Lazima upeleke Zaka yako Kanisani unapolelewa kiroho.
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m 9 месяцев назад
Haya mambo ya zaka anania na mkewe walifia madhabahuni mwangalie sana
@oteche15
@oteche15 Год назад
Welcome to Kenya man of God... Hii ni ujumbe tunaotaka sasa
@emmanuelathuman896
@emmanuelathuman896 Год назад
Fungu la kumi Ni kwajili ya msosi tu sio Mambo mengine
@prophetsammytukuza3699
@prophetsammytukuza3699 Год назад
Amen
@davidkizito6900
@davidkizito6900 Год назад
So powerful
@pastormarkokabisatv6821
@pastormarkokabisatv6821 Год назад
Mungu anasema makuhani watakula sadaka zake kumbukumbu 18:1. Kwahiyo makuhani wana ruhusa ya kupokea zaka kwasababu sadaka za Bwana nipamoja na zaka acha kupotosha watu.
@wambuakasimu2431
@wambuakasimu2431 Год назад
Very true
@sirnunda3758
@sirnunda3758 Год назад
Agano jipya wote tumefanyika kuwa makuhani,pia wote tumejaliwa vipawa sawa fuatilia utabiri wa nabii Yoel matendo ya mitume 2:16-24
@asheryruboze4930
@asheryruboze4930 5 месяцев назад
❤kutoa fungu la Imani iko vizuri.je matumizi yake ktk Imani yakoje?
@gtgmediaproduction764
@gtgmediaproduction764 Год назад
Wewe nimpotoshaji wa aandiko
@edgarpius9111
@edgarpius9111 10 месяцев назад
Unaweza ukawa miongoni mwa wadanganyifu alafu bado kijana mdogo
@gideonmaganga1522
@gideonmaganga1522 Год назад
Aseee
@claudetoyi2707
@claudetoyi2707 Год назад
Kabisa uko sahii sana kwa ili somo umefunguwa ili andiko kiasi kwamba andiko linabaki uchi aisee
@shelizaomary2536
@shelizaomary2536 Год назад
Ameen
@SusanaSimoni
@SusanaSimoni 2 месяца назад
Hajasoma kitabu cha waebrania 7:1-11,pia 1korinto.16:1-2
@MaloleKatelezu-ws3ux
@MaloleKatelezu-ws3ux Год назад
Siyo kweli kwamba ibrahimu hakuzishika sheria za Mungu ibrahimu alizishika sheria za Mungu kikamilifu soma Mwanzo 26:5
@FestoEliasMhh
@FestoEliasMhh Год назад
We vp; ni nani aliye kuroga ili upotoshe watu; hata useme katika agano jipya hatupaswi kutoa zaka; mmetumwa na ibirisi ili kupotosha watu wa imani ya Mungu aliye juu sana, wasifanye mambo yawapasayo kufanya ambayo kwa hayo watajazwa baraka nyingi; kwa jina la Yesu nawamru mkawaingie nguruwe.
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 Год назад
Ni kweli,Mungu atakuongoza wapi upeleke.
@clausemsemwa297
@clausemsemwa297 Год назад
How
@cuthbertsebastian2705
@cuthbertsebastian2705 Год назад
Ukuhani ulikuwa kipindi cha agano la kale mbona Yesu mwanzilishi wa agano jipya hakutoa?
@wilfredlukowo9476
@wilfredlukowo9476 Год назад
Darasa zuri
@johakimmarko5751
@johakimmarko5751 8 месяцев назад
Ahha zaka lazima apewe mtu aliye juu yako. Mafundisho ya byakati za mwisho ndio haya kwaiyo siyashangai
@johnmutitu4594
@johnmutitu4594 Год назад
Hujui kutofautisha fungu la kumi na sadaka,we unahekima ya kimapepo ya kupotosha nyumba yako.fungu la kumi ni la Mungu,na nitozo (we pay tithe and not give tithe),pia unashida na wachungaji,mahali mchungaji apelekako fungu la kumi ni yeye na Mungu,sehemu yako ni kutoa fungu la kumi ili ujiondolee lawama
@pastordenischanneltanzania5324
haya ndiyo mafundisho ya nyakati za mwisho naza hatari.
@josephinechaildofgod5371
@josephinechaildofgod5371 8 месяцев назад
No.yuko sawa huyu
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 6 месяцев назад
Hayuko sawa
@jessicamorrison289
@jessicamorrison289 Год назад
Ukisoma story ya Ibrahim, zaka aliyotoa kwanza haikuwa mali yake, ni zile mali walizochukua baada ya kushinda vita.,haikuwa jasho lake wala.
@kuwait9033
@kuwait9033 Год назад
baba nambatangu iyo natamani unit owe kwenyegiza
@josephinechaildofgod5371
@josephinechaildofgod5371 8 месяцев назад
Mimi nimekuelwa
@kuwait9033
@kuwait9033 Год назад
Shalom shalom nikonashida naweye nataka use babayangu wakiroho nimependa maubiri yako ulemustar ruka 6 .12 nimepapedasana
@samwelmsigomba994
@samwelmsigomba994 27 дней назад
Wewe kaongo kweli, hivi haya mafundisho mnapopolewaga wapi?
@epafrasgray5725
@epafrasgray5725 Год назад
Hao walikuwa wanaambiwa makuhani Walawi anzia Malaki 2 kabla ya 3. Hapa utawaangamiza wasio na maarifa. Zaka yangu nakula mwenyewe kwa kuwa wote walio na Kristo ni Makuhani. Wewe endelea kuzipata kwa wale ambao bado wananyonya maziwa.
@samwelchilijila
@samwelchilijila Год назад
Katika kristo hatuna fungu la kumi,someni WAEBRANI SURA YOTE YA 7
@judithfimbo3743
@judithfimbo3743 Год назад
Wapi part 3
@johnsonbvincent810
@johnsonbvincent810 Год назад
MATHAYO 23:23. Ole wenu waandishi na mafarisayo wanafiki! Kwa kuwa MNALIPA ZAKA za mnanaa na bizari na jira lakini mmeacha mambo makuu ya sheria Yani, adili ,rehema na IMANI; hayo imewapasa kufanya Wala Yale mengine MSIYAACHE. -YESU Kristo aliongelea swala la ZAKA liendelee kutolewa anawambia mafarisayo mnatoa zaka lakini mmesahau kuwa na IMANI na adili kuweni wenye Imani na Wala msiache kutoa zaka "WALA YALE MENGINE MSIYAACHE" nukuu ya neno la mwisho kwenye Hilo andko IMANI isiwe sababu ya wewe kutotoa zaka Imani pasipo matendo imekufa toa zaka ukiwa mwenye Imani, mwenye adili na moyo wa rehema.
@rosecasmiry485
@rosecasmiry485 Год назад
Hii ni Kambi ya wezi wa zaka hapo anayefundisha na wanaoshabikia wote ni wezi tu
@wambuakasimu2431
@wambuakasimu2431 Год назад
@@rosecasmiry485 ww usitoe fuata Imani yko,bt I wonder Kama ww n mkristo unasoma Bible gani???
@felidaandison6711
@felidaandison6711 Год назад
Mtoa nada Yuko sahihi,Pia wewe uko sahihi.Ambapo hapaeleweki nihapa.Agano lakale na jipya ni tofauti,Sheria ya agano jipya kwakila kipengele yesu aliiboresha.mfano-Anasema mmesikia watu wake walivyosema usizini,lakini Mimi nawaambia....Pia kuusu kutoa tunatakiwa tuwazidi mafarisayo waliotoa fungu la kumi.Angalia yesu anavyosema Mt5:20
@reachglobal9939
@reachglobal9939 Год назад
Hapo ilikua Bado Kristo hajafa na kufufuka hvyo Sheria ilikua Ina operate,Agano jipya unatoa Kwa moyo2koritho9:Lakini nasema neno hili, Apandaye haba atavuna haba; apandaye kwa ukarimu atavuna kwa ukarimu. Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni, wala si kwa lazima;
@yakobomkristo872
@yakobomkristo872 7 месяцев назад
​@@wambuakasimu2431Bila Ya Shaka Hujamuelewa rosecasmiry. Rose Yupo Pamoja Na Wewe.
@sarahluvai6580
@sarahluvai6580 Год назад
Barikiwa sanaaa Mtumishi 🙏🙏🙏🙏
@m.m.tvmbebamaono
@m.m.tvmbebamaono Год назад
Itumbua kimetiwa mchanga
@m.m.tvmbebamaono
@m.m.tvmbebamaono Год назад
Kitumbua kimetiwa mchanga
@benjaminsamwel5059
@benjaminsamwel5059 Год назад
Aisee am oves🤣🤣
@Bonde_la_baraka_kwaya
@Bonde_la_baraka_kwaya 9 месяцев назад
Hakili ni zamuhimu
@BenetsonKimbisa-zc9ni
@BenetsonKimbisa-zc9ni Год назад
Mdo 5:1_11.
@josephshiyo8356
@josephshiyo8356 Месяц назад
mafundisho ya UONGO kabisa, upotoshaji wa makusudi kabisa
@mahershalalhashbazi2189
@mahershalalhashbazi2189 Год назад
Mwayachunguza Maandiko,Kwa sababu mnadhani kwamba ninyi mna uzima wa milele ndani yake;na hayo ndiyo yanayonishuhudia(Yohana 5:39) Je! Kwanini watu walikula Zaka iliyosehemu Takatifu sana ya Mungu,waliyopewa makuhani tu?) YESU ASEMA; KWA KUWA MIMI BWANA SINA KIGEU GEU;.......(Malaki 3:6) Je!YESU KRISTO BWANA,Mungu aliyezuwia kunywa pombe ktk Sheria yake ni kigeugeu? hata aruhusu kunywa tena kwa fedha za ZAKA? (Lawi 10:9 Usinywe divai wala kileo chochote.........). V/S Kumbu 14:26......na zile fedha uzitumie kwa chochote itakachotamani roho yako,ng'ombe au kondoo,au DIVAI au KILEO...... ANDIKO LINAUWA nakushauri soma vema BIBLIA ndipo ufundishe watu Neno la Mungu,usifundishe Maandiko unaua watu.
@sawakashita4672
@sawakashita4672 Год назад
Duh Confusion akili za mbayuwayu ongeza na zako
@deodatatilia-qz2qh
@deodatatilia-qz2qh 10 месяцев назад
Acha kudanganya watu wewe mpotosha mkubwa wa neno la Mungu tena acha kabisa
@erasmobenardsangu-1854
@erasmobenardsangu-1854 6 месяцев назад
iviwewe kijanauna takanini kwa mngu ahanimejuwa una bifunawa wachu ngaji waache ware mana niseemyao utako ndasanakijana sipcti mkowap
@pastorkari8802
@pastorkari8802 Год назад
Mtumishi, unanachanganya katika somo la fungu la kumi, kumbuka hata kama agano halisemi chochote juu ya zaka, Yesu hakuja kufuta torati bali kuikamilisha [Mathayo 5: 17-19], kwa hiyo kusema fungu la kumi haliwahusu wakristo ni kuwadanganya watu.
@hassanbukambu931
@hassanbukambu931 21 день назад
Aliitimilizaje Kwa upande wa zaka.
@juliusmollel8597
@juliusmollel8597 Год назад
Hujui unachokisema wewe
@martinakyoo148
@martinakyoo148 Год назад
Vipi ni dhambi kwa anayetoa ? Nikitoa kwa hiari yangu kunashida yeyote? Akila Pastor au ikategemeza huduma ya ninapoabudu kuna dhambi? Nivizuri atoaye atoe akijua anamtolea nani na kwa nini;ikiwa si Mungu aliyekubarikia,si Mungu aliyekulinda ,kupa uzima then usitoe. Ahsanteni
@eustelachiwanga3470
@eustelachiwanga3470 5 месяцев назад
Ikiwa fedha nimekopa kwa kusolve changamoto fulani na au nimepewa zawadi nayenyewe inatakiwa kutoa fungu la kumi?
@user-sz4xs1np9b
@user-sz4xs1np9b 8 месяцев назад
uko sahihi brother amli 10 zamungu fungu lakumi haimo 😂 sisi ni bone again so how come
@SusanaSimoni
@SusanaSimoni 2 месяца назад
Wewe ni mpuuzi kama umeshindwa kufuata neno la mungu muumba omba ufe acha stori chafu wewe
@gretagonga2966
@gretagonga2966 Год назад
Kutokuelewa na kifungo aise! Ndio maana watu wanatoa hawaoni baraka ...kumbe ni wrong direction 😃😃😃 And why wanasema inaliwa madhabahuni tu 😄
@wambuakasimu2431
@wambuakasimu2431 Год назад
Fungu la kumi inafaa kutolewa kanisani ili kusikosekane chakula,wacha kupotosha watu ww
@emmanuelkibona3177
@emmanuelkibona3177 Год назад
Mtumishi somo zuri saana but i have a question apart from dhaka, je kuna sehemu biblia inafafanua kwamba pesa ni sabuni ya roho kama ambavyo mitaani tumezoea kusikia je hata kama kuna mistari inayoelekea na tafsiri ya huo msemo tafadhari nisaidie kufahamu
@neleajohn5398
@neleajohn5398 Год назад
Hapana dear biblia inasema kwamba fedha ni jawabu la mambo yote. Muhubiri 10:19 Huo msemo ni wa wanadamu tu
@mahershalalhashbazi2189
@mahershalalhashbazi2189 Год назад
Zaka ya Fungu la kumi sio Sadaka ni KODI ya Ufalme wa Mungu na imeamriwa iliwe/itumiwe na Kuhani anayeipokea.(Hesabu 18:21,24). Zaka inatolewa ktk kila kila kitu (Luke 18:12) Hata siku unayopewa kuiishi umepewa masaa 24,hayo masaa yako yakupasa uyatolee Zaka(soma vema Bible).
@wambuakasimu2431
@wambuakasimu2431 Год назад
Ww,imeandikwa fungu la kumi lipelekwe nyumbani mwa bwana ili kiwemo chakula,wacheni kupotosha watu nyinyi
@deodatatilia-qz2qh
@deodatatilia-qz2qh 10 месяцев назад
We mwenyewe hapo ulipo unatafuta hilo fungu la kumi roho chafu kabisa kutoka kuzimu unohyo wewe hata shetan hujibadili na kuonekana kama malaika
@lawimoses2514
@lawimoses2514 Год назад
Agano jipya linatuelekeza kutoa Zaka, soma luka 11:42, na malaki inasema leteni Zaka kamili ghalani ili kiwemo chakula nyumbani mwangu malaki 3:10. Agano LA kale na jipya yote yanatuelekeza kutoa zaka
@cuthbertsebastian2705
@cuthbertsebastian2705 Год назад
Lakini ktk ufunuo sisi wote tumekuwa makuhani, kwahiyo agano lipi unazungumzia mtumishi?
@furahayabwana6127
@furahayabwana6127 Год назад
🤣🤣🤷‍♀️
@pastorkari8802
@pastorkari8802 Год назад
Unaposema fungu la kumi Ni la Mungu siyo mtumishi, hujui mdomo wa Mungu Ni mtumishi? , Akila mtumishi amekula Mungu, Uliwahi kuona mikono ya Mungu ikipokea sadaka za watu? Akipokea mtumishi amepokea Mungu, nakusaidia mtoto wangu, usijichanganye.
@farajafredrick108
@farajafredrick108 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@safeniamwakajinga9048
@safeniamwakajinga9048 Год назад
Kazi Sana Shida yakanisa laleo wavivu kusoma wavivu kusikia huyu kijana anapotosha eneo hili nahuku akijua anajua
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 6 месяцев назад
Jamaa anapotosha
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 6 месяцев назад
Lakini Yesu alisema watatokea waalimu wa uongo manabii wa uongo wakipotosha matukufu Unatafsiri uongo kabisa mimi siyo mchungaji ni mshirika ila neno la Mungu nina lielewa
@oteche15
@oteche15 Год назад
Na lazima utoe kila mwezi?
@deodatatilia-qz2qh
@deodatatilia-qz2qh 10 месяцев назад
Kama mkristo haruusiwi kutoa fungu la kumi nani sasa atoe ?shetan kwahy kwa mfundisho yako haya unataka walete kwako?
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m 9 месяцев назад
Wasilipa zaka makanisani wamefurahi saaana hapa ameongea juu ya ibrahimu na melkisedek hivi ibrahimu alikuwa na mchungaji anayemchunga iliampe zaka yake!! Hata yakobo mjukuu wa ibrahimu alimwahidi Mungu kulipa zaka je angempanani maana hakuwa na mchungaji aliyemchunga sehemu kadhaa ktk agano la kale Mungu amewaagiza wana wa harun kuchukua zaka na matoleo hanania na safira walikufa kwa kumdanganya mchungaji ushauri wangu huyu mtumishi aongee swahili pekee mbona anachanganya kuna wacongo wengi hawajui engl
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 6 месяцев назад
Jamaa anatafsiri vibaya andiko la zaka
@drdd774
@drdd774 Год назад
Kwenye zaka babu umechemsha, siyo kwa uongo huo, haya ndiyo "mafundisho yadanganyayo"Wanaokupongeza baadhi, ndiyo wakwepaji wa kutoa zaka, hicho unachofundisha mmmmmmhhhh.
@fourtunatashio2597
@fourtunatashio2597 Год назад
Huu ni uongo mkubwaaaa. Zaka ni ya Mungu kweli. Lkn Mungu amewapa makuhani....daaà kweli huku Kuna waalimu wengi Ila hatuna wababa wengi. Mungu akusamehe.
@pastormarkokabisatv6821
@pastormarkokabisatv6821 Год назад
Nikweli Kabisa, Mungu alisema makuhani watakula sadaka zake kumbukumbu 18:1. kwa andiko hili kuhani anaweza kupokea zaka kwasababu sadaka za Bwana ni pamoja na zaka.
@IsraelMwakagire-hn8pn
@IsraelMwakagire-hn8pn Год назад
Ndugu yangu kwa mafundisho haya kazi ipo
@pastordenischanneltanzania5324
huyu jamaa anamanisha siyo mtoe zaka bali zaidi ya zaka,siyo seemu ya kumi bali zaidi uyu jamaa kama unasari kwake uspotoa zaidi ya zaka kama mjane wewe siyo agano jipya
@neemamalakilevi2661
@neemamalakilevi2661 Год назад
Kwa hiyo fungu la kumi tusitoe tutafute makuhani kwanza mmh so mtumishi wewe ni kuhani au wewe ni mtume tu nataka kujua sehemu ya kutoa maana heading ya somo inamiss lead kwa ufungu fungu la kumi litolewe ila kwa kuhani kwa hiyo sisi wenye wachungaji makuhani tuendelee kutoa kwenye makanisa yetu
@IsraelMwakagire-hn8pn
@IsraelMwakagire-hn8pn Год назад
Wateule tuwe macho
@mordekaikiwango3600
@mordekaikiwango3600 Год назад
Daaah aiseee Hapa nimeelewa sana hadi moyo unaniumaaa
@nkoyiisack6808
@nkoyiisack6808 Год назад
😂😂
@nkoyiisack6808
@nkoyiisack6808 Год назад
Aiseee😂
@alexlugela2756
@alexlugela2756 Год назад
Ambae hajaelewa anamatatizo ya ubongo,somo limejitosheleza!Maandiko yamejitosheleza kabisa,wewe Kama hujaelewa endelea kuibiwa endelea kutoa mpaka ukome! Lakini mabadiliko hakuna ng'o
@denisedward2983
@denisedward2983 Год назад
Amen
Далее
Я НЕ ОЖИДАЛ ЭТОГО!!! #Shorts #Глент
00:19
БАТЯ И СОСЕД😂#shorts
00:59
Просмотров 2,2 млн
Nguvu ya Kufunga na Kuomba
2:51
Просмотров 7 тыс.
VITA VYA ROHONI. APOSTLE GC ANGEL
14:13
Просмотров 581
SADAKA NA FUNGU LA KUMI
48:56
Просмотров 19 тыс.
NINI TOFAUTI KATI YA SADAKA NA ZAKA?
9:11
Просмотров 1,7 тыс.
FUNGU LA KUMI KATIKA AGANO JIPYA - MWL. HURUMA GADI
22:11