Тёмный

MKUTANO MKUU WA SIMBA 2024 | Mo Dewji atangaza ujenzi mkubwa Mo Simba Arena 

Azam TV
Подписаться 2,8 млн
Просмотров 9 тыс.
50% 1

MKUTANO MKUU WA SIMBA 2024: “Tunatarajia kujenga kambi bora ya mazoezi” maneno ya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC ambaye pia ni Rais wa Heshima, Mo Dewji akielezea mipango ya ujenzi wa mradi mkubwa wa Mo Simba Arena.
Mo Dewji ameonesha muonekano wa michoro ya namna Mo Simba Arena itakavyokuwa
Ni kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka 2024 wa Simba SC (AGM), ambao unafanyika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere Dar es Salaam.
#MkutanoMkuuWaMwakaSimba2024 #SimbaSC #MkutanoMkuu #AGM

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 34   
@SalumuLigulugulu
@SalumuLigulugulu 4 часа назад
Mungu apokee Dua zetu na maneno ya mo maan tumechoka kuteseka Simba nguvu moja
@shingejuma
@shingejuma 4 часа назад
Simba nguvu moja
@StraitonKipaka
@StraitonKipaka Час назад
Nguvu moja simba❤
@YusuphGuga
@YusuphGuga 4 часа назад
Good tajiri
@mwenealexis3111
@mwenealexis3111 Час назад
Utopolo mutateseka sana na simba
@AbdallaAli-dn6xp
@AbdallaAli-dn6xp Час назад
Yanga acheni maneno.gsm hafanani na mo.
@LukindoMathias
@LukindoMathias 4 часа назад
Simba nguvu moja ubaya ubwela
@AbdallaAli-dn6xp
@AbdallaAli-dn6xp Час назад
Nyuma mwiko wanaumia sana.
@Rashidimaliki-e2g
@Rashidimaliki-e2g 43 минуты назад
Mkutano mkuu 2024
@Arexmakaliusi
@Arexmakaliusi 3 часа назад
❤Simba yang imerudi kwenye Hali iliyo kuwa hawal name Alex makaliusi😅
@boniventuraKamkama
@boniventuraKamkama Час назад
Wanachama oyeee
@SalimMohd-g6x
@SalimMohd-g6x 22 минуты назад
Simbaoyeeeeeeeeeeee neno fitna limenifanya nishangirie nikiwambalii
@JamesLuis-y2c
@JamesLuis-y2c 2 часа назад
Matajiri wa bongo ni tatizo sana
@cloudykayombo9028
@cloudykayombo9028 3 минуты назад
Da inatisha
@ErickJonhfredy
@ErickJonhfredy Час назад
🎉❤
@LutenganoCharles-d7t
@LutenganoCharles-d7t 46 минут назад
Kamchukue Fei na Akamiko pale Azam mtakuja kunishukuru
@AnnoyedFlowerPot-mr2ps
@AnnoyedFlowerPot-mr2ps 2 часа назад
Kadi kadi kadi zizalishwe zije
@MuddiLii
@MuddiLii 2 часа назад
Simba guvumoja
@Kabeya410
@Kabeya410 52 минуты назад
Ati mpanzu kaja yale yale ya manzoki kweli mnaongoza MBU MBU MBU 😅
@SaluMaige-m1v
@SaluMaige-m1v Час назад
Ni aibu kwa vilabu vya simba na yanga kutokuwa na viwanja vyao
@kelvin7ithuiumwasamaki987
@kelvin7ithuiumwasamaki987 52 минуты назад
Ila simba wanadanganywa jmn😂😂😂😂
@abuuajmal1467
@abuuajmal1467 4 часа назад
Vigelegele😅
@albertvalentino130
@albertvalentino130 2 часа назад
Mnajitekenya na kucheka wenyewe ---- yaani " mchakato wa mabadiliko hauja kamilika,lakini tayari Simba,inamwekezaji,hayo ni maajabu "
@mucksinbambali492
@mucksinbambali492 2 часа назад
Ulitaka atekenywe mamaako
@JohnsonMichael-c2x
@JohnsonMichael-c2x 4 часа назад
Kila siku mnatuamia tunajenga uwanja
@hadibjumbe
@hadibjumbe 10 минут назад
Semeni mangungu hatumtski.
@kanaelikanuya7919
@kanaelikanuya7919 Час назад
Maneno matamu kwenye mikutano ya hizi club utekelezaji o hapa zinapigwa zinazopatikana kwa sasa , jamani embu jengeni bac viwanja tuache maneno
@Kabeya410
@Kabeya410 53 минуты назад
😅Ati mafanikio yepi hayo msimu uliopita mafanikio ilikua ngao wanaume ngao wanawake leo zote hazipo 😅imebaki mashabiki bora 😅timu hakuna 😅kenge nyie kolokwinyo fc aka kolozdad fc aka mbeleko
@babycandycharles7816
@babycandycharles7816 Час назад
Nyumamwiko wanaumia nn wakti nyie yotehaya mnaiga kwa yanga huyo mo kaanza Leo kutangaza kujenga uwanja naelammechanga zimeliwa nammefungwa midomo leo anakujatena naswalalilelile namtaanzishiwa tena michango namtaona hakunajipya lolote lililoongelewa lakuwastuwa yanga yote yazamani ilamashabiki wa Simba simmezowea kudanganywa endeleni kulamtoli nyamazikochini mtazikuta 2050 hahahaha
@ShukuruMakoko
@ShukuruMakoko 3 часа назад
Sema hii mikutano ishiweinaletwa katika yaligi ipangwe baada yamsim tunakuwanavituvingi
@PoulinSimon
@PoulinSimon 4 часа назад
Kuna vitu vya kujifunza kwa matajiri
@musamshema7838
@musamshema7838 3 часа назад
Kwani hii nini? Kama genge2
@ajuayemwinuka6653
@ajuayemwinuka6653 3 часа назад
Uongo mtupu
@mwenealexis3111
@mwenealexis3111 Час назад
Utopolo mutateseka sana na simba
Далее
Women’s Free Kicks + Men’s 😳🚀
00:20
Просмотров 6 млн