Тёмный

MNEC MFINANGA "HATUTAMVUMILIA MTUMISHI WA UMMA ATAKAYECHEZEA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO" 

DENIS DIGITAL TZ
Подписаться 1,2 тыс.
Просмотров 31
50% 1

NA WILLIUM PAUL, SAME.
WATUMISHI wa Umma wametakiwa kuhakikisha wanasimamia kwa umakini fedha ambazo zinaletwa na Serikali kwa ajili ya miradi ya maendeleo na kudai kuwa Chama cha Mapinduzi na Serikali hakitamvumilia mtu yeyote atakayetumia fedha hizo vibaya.
Kauli hiyo imetolewa na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi Taifa (MNEC) kupitia mkoa wa Kilimanjaro, Seleman Mfinanga wakati wa ukaguzi wa utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi kwa wajumbe wa Kamati ya Siasa mkoa wa Kilimanjaro wilayani Same.

Опубликовано:

 

29 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
How the Most Elite Spy Agency Operates
22:42
Просмотров 1,4 млн
Шоколадная девочка
00:23
Просмотров 189 тыс.
Редакция. News: 136-я неделя
45:09
Просмотров 1,4 млн
TURKEY | A Muslim Superpower?
13:52
Просмотров 110 тыс.
This rabbi reveals why Muslims can't be defeated
6:18
Просмотров 511 тыс.
Mchungaji Peter Madaha apata Mke mwema EAGT Nzega
6:37