Msanii wa kizazi kipya Mo Music ameeleza sababu za kuiita EP yake jina la Katemi kuwa ni kauli ya babu yake kabla hajafa alimuagiza kuutangaza ukoo wake wa KATEMI
16 сен 2024