Тёмный

Mocco Genius - Mar Gaya (Lyrics Video) 

Mocco Genius
Подписаться 72 тыс.
Просмотров 176 тыс.
50% 1

Music by Mocco Genius performing ''Mar Gaya" (c) 2024 Imagination Sound
All Profile link Click here: linktr.ee/mocc...
Listen to Mocco Genius on Digital Streaming:
Audiomack:audiomack.com/...
Apple Music: / mocco-genius
Boomplay:www.boomplay.c...
RU-vid: / moccogenius
Spotify:open.spotify.c...
Deezer:www.deezer.com...
Connect with Mocco Genius on Social Media:
Instagram: / moccogenius
Facebook: / moccogenius
Twitter: / moccogenius_
©2024 Imagination Sound.All rights reserved.
#MoccoGenius #margaya

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 880   
@omaryluambano3495
@omaryluambano3495 2 месяца назад
Mziki mzuri uwa ujifichi kama unakubalina na mimi like apa twende sawa team mziki mzuri 🎧❤️
@user-ol2ep8fp8h
@user-ol2ep8fp8h 2 месяца назад
Kaka mocco, nisiwe muongo huu mwaka hamna nyimbo km hii ww ni bonge la artist unaejua kubadil radha yan bac ni jina 2seme lkn hii ngoma ilitakiwa kuwa 1 on trending 2siwe waongo kaka mpk nacomment namaanisha huwa sicomment ovyo jaman mpen mkono mocco .....🙏🙏🙏
@AziziSalehe
@AziziSalehe 2 месяца назад
Umeachwa lin kaka😂
@Heisbilluh
@Heisbilluh 2 месяца назад
​@@AziziSalehe😂😂😂 ukorof TU kuoga aaaah
@GodsonGadsny
@GodsonGadsny Месяц назад
We ni mdada bila ubish😂😂😂😂​@@AziziSalehe
@festonoma
@festonoma 2 месяца назад
Ngoma yangu pendwa 2024 Aya mayatima wamapenzi km mm gongeni lake 👉👉
@kisapionlineinfochanel720
@kisapionlineinfochanel720 2 месяца назад
Kama umeikubali nyimbo kama mimi gonga like kwenye comnt hii tujuane
@GoldNation_ink
@GoldNation_ink 2 месяца назад
Nice
@MFLC-
@MFLC- 2 месяца назад
Hakika kwa bongo fleva Tanzania ndo inasonga mbele kimataifa❤❤❤❤❤❤
@directorkali5245
@directorkali5245 2 месяца назад
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@mohcreative
@mohcreative 2 месяца назад
Bongo fleva manake ni fleva za bongo km cjakosea
@MFLC-
@MFLC- Месяц назад
Ndio​@@mohcreative
@LilaFrancis-c8m
@LilaFrancis-c8m День назад
Wimbo wangu pendwa mwaka 2024❤❤❤
@erivannytz5342
@erivannytz5342 2 месяца назад
Kama umerudia zaidi ya mara mbilii huuu wimbo tujuane hapaa
@Makondtz
@Makondtz 2 месяца назад
Mocco ajawai kuniangusha twende kazi likes mara2 mb2❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@super_boy_tz
@super_boy_tz 2 месяца назад
Nilikuwa nakuchukulia poa sana kwenye music 🎶 sorry kaka. 🙌🙌🙌
@SOS_VILLA
@SOS_VILLA 2 месяца назад
Me too
@KostantineSwai
@KostantineSwai Месяц назад
Noma kaka kazi kali sana
@Shokolokobango9385
@Shokolokobango9385 17 дней назад
bado ujasema
@YCBSALOON-ev4wk
@YCBSALOON-ev4wk 2 месяца назад
Kihindi kidogo ngoma kali broo
@witnaofficial
@witnaofficial 2 месяца назад
Uyuu anaimba vizuri kuliko wasanii wa kubwa tz,
@user-nn3qi9ti7f
@user-nn3qi9ti7f 2 месяца назад
😮
@dr_donye
@dr_donye 2 месяца назад
Mocco genius kila ngoma ya moto 🔥🔥👑 lazima ukalisheeee
@GoldNation_ink
@GoldNation_ink 2 месяца назад
Ushaa nena
@Majaliwa-lr5sh
@Majaliwa-lr5sh 2 месяца назад
Mocco genius anajua mpaka anakera,naomba kiba aifanyie challenge ❤
@BennyboneBone
@BennyboneBone Месяц назад
Kwanini ulichelewa kuanza music naombeni like wa ajiri ya huyu mwamba🎉
@benardsimtowe1719
@benardsimtowe1719 2 месяца назад
Fundi sema unge ifanyia remx na kiba nyimbo kali sana
@Tcher90
@Tcher90 2 месяца назад
Angefanya remix na shreya goshal. International is the way.
@abbynendy5237
@abbynendy5237 Месяц назад
Hakika iko vyema sana
@AloyceAdson
@AloyceAdson Месяц назад
Kaka sema mimi nakuomb san kwa mungu ufike mbali sana maana kitu kizuli akijifichi kabis
@majaliwasidi1293
@majaliwasidi1293 2 месяца назад
ungemshirikisha mbosso ingeenda snaaa, ngoma kali
@kibudimpoz
@kibudimpoz 2 месяца назад
Ngoma kali sana sema round hii rmx ufanye na yammy maana anachembe chembe za in🇮🇳
@Tcher90
@Tcher90 2 месяца назад
Mocco mtu asikuambie haujui…!!! Natamani ungemshirikisha Shreeya Goshal verse 2. India yote ingekukubali. Much love bro from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪.
@BlackvoiceOg
@BlackvoiceOg 2 месяца назад
Chuma kwa moko nipeni like zangu hapa❤️❤️❤️❤️❤️🎉
@TimeLove-f9v
@TimeLove-f9v 8 дней назад
Ngoma kalii sana imenitoa machozi wallah imenishika moyoni kinoma mocco eshima Yako mzeee
@alexelieza8802
@alexelieza8802 2 месяца назад
Dah, mocco unanipa mawazo ya kuanza kukufatilia, kichupa🔥🔥👏
@enockgogy5458
@enockgogy5458 2 месяца назад
Ngoma kali sana ira ungeua angekwemo mkuu alikiba mzee wa yooo
@althamdb5501
@althamdb5501 2 месяца назад
Tushawachoka hao
@nanadimpozy7730
@nanadimpozy7730 2 месяца назад
Ngoma yangu ya mwaka hii hapa kutoka Kwa Moco, hizo zingine gawaneni
@scoladelicious987
@scoladelicious987 2 месяца назад
Icho kihindi tutaweza kukalili kwel ila uko vzur 🎉🎉
@JejemingaMinga
@JejemingaMinga 2 месяца назад
Bahilam wanawake awaogopi moto 🔥🔥nasisi wanaume tiwapeleke moto🔥🔥🔥😱😱
@AllyMwarrabhouh-b2o
@AllyMwarrabhouh-b2o Месяц назад
Nyimboo kalii Sana nimesevu yakuitia namb Moja na namba mbili na upande wa sms nyimbo ndo hiii kaliiiii sanaa
@kevoo_Tz
@kevoo_Tz 2 месяца назад
Duuuh umefanifany niludie ngoma mala kumi
@paulmoshi
@paulmoshi Месяц назад
Same as me my blood❤
@frankmanyelezi215
@frankmanyelezi215 2 месяца назад
Nimeludia zaid ya mal tatu hiii nyimbo broo umetisha sana
@bernardamandus4122
@bernardamandus4122 2 месяца назад
Genius ni mmoja tu bongo hii..Ngoma kali Mocco@Music in Blood
@frankgerard715
@frankgerard715 2 месяца назад
AAAAAAH MOUJAA 👆 njoo Kwa comment tu, support MOOOOCCO
@Mkubya
@Mkubya 2 месяца назад
Kazi nzuri kaka kuanzia LEO mm fan wako
@bashlayzer8447
@bashlayzer8447 2 месяца назад
Moko unajua mpka basii tenaaa nime kuadd kwenye list za wasanii wanao konga moyo wangu❤❤❤
@johnpetro1069
@johnpetro1069 2 месяца назад
Uko kwenye safari nzuri kijana mwenzangu❤❤❤❤ Good music ❤❤❤❤i really love it
@Chida
@Chida 2 месяца назад
Umetishaaaaaa sana mwambaaaaaa
@mukrimkhamis678
@mukrimkhamis678 2 месяца назад
Mocco Genius Genius mocco Gonga likes kma na ww Genius##
@konimaster5868
@konimaster5868 2 месяца назад
very emotional,my 1st emotiomal song this year ever.kama unakubal like
@WilleTz-z5o
@WilleTz-z5o 2 месяца назад
Chukuwa mauwa yako 🔥🔥🔥🫡🫡 unajuwa kaka 🫂🫂
@allymwilu8089
@allymwilu8089 2 месяца назад
Mwenye mziki wake fundi kabisa
@Shokolokobango9385
@Shokolokobango9385 2 месяца назад
WaBongo sijui kama kuna kitu wanachoshindwa
@AziziAlly-xc6nm
@AziziAlly-xc6nm 2 месяца назад
Uyu jamaa anajua sana
@MTone-ql5nn
@MTone-ql5nn 2 месяца назад
Kaka unajua sana mungu kakubariki by Musa 🎶
@Directorshadeah
@Directorshadeah 2 месяца назад
Uyu ndio alikua ataki kuimba waka mlazomisha Anza kuimba ila mocco sasa izi ngoma tungezipata wapi tz🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@maulidjuma2451
@maulidjuma2451 Месяц назад
Duuh ni 🔥🔥🔥 na fresh umenikosha sana
@akidakidinilo9616
@akidakidinilo9616 2 месяца назад
hii ngoma kali sana,hapa ulikaa ukaandika kw ufund wa hali ya juu
@anuaralmas8620
@anuaralmas8620 2 месяца назад
doooh❤ alooo linajua bhna ili jmaaa💥
@Marjanatz-i2s
@Marjanatz-i2s 3 дня назад
Kaz yako imenigusa sana kaka
@morganmachairi2090
@morganmachairi2090 2 месяца назад
Hakika huyu ni fundi.nipee likes za mocco
@SalhaShaibu-mn5ye
@SalhaShaibu-mn5ye 4 дня назад
Napenda sanaa sanaaaa tu
@chidi_don
@chidi_don 2 месяца назад
Unajua sana 🔥📌
@SelestineLoya
@SelestineLoya 2 месяца назад
Daaaah kali sana
@adolphmwangoje2887
@adolphmwangoje2887 2 месяца назад
Ngoma Kali sana
@AugustineZongwe
@AugustineZongwe Месяц назад
Nyimbo kali sana kwa sisi tulioteswa
@karemiddy
@karemiddy 21 день назад
Ku Play 2 hiiiii nyimbo chumba cha jilani kajikuta akilopoka ludia tena kaka
@Mkubya
@Mkubya 2 месяца назад
Ushauri promote huu wimbo vibaya sana kaka, ongea na management vizuri utafika mbali
@KelvinRemmy-hu8vn
@KelvinRemmy-hu8vn 2 месяца назад
Mocco u r so talented brother 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🌞 hii mar gaya sio poa
@Peterngalula-xo1el
@Peterngalula-xo1el 2 месяца назад
Huyu jamaa Dah!!!!! 😮😮😮😮 Kunamda siamini kama ni yeye asee bonge la nyimbo yani
@Zuchu11
@Zuchu11 Месяц назад
Wimbo wangu wa mda wote.
@mustafajaku9772
@mustafajaku9772 Месяц назад
B4 nilijua km unaforce ila now nakuelewa ww ni big artist Buddy Big up from SA
@HalimaAlfan-u7v
@HalimaAlfan-u7v 8 дней назад
nyimbo nzuri xana mocco❤❤
@mosesfryson289
@mosesfryson289 29 дней назад
Bongo kwa ajabu ety hi song haijafika M kwel but unajua xana mwamba verse nzur,melody mzk mzur u kill them🤝🤝
@gabrielchilango1927
@gabrielchilango1927 2 месяца назад
Hatari big tune feeling it from 254msa kenya mocco genius mwenyewe
@Peterpinchez7979
@Peterpinchez7979 2 месяца назад
Wow bro mocco genius hii nimekubali one love bloody from USA 🇺🇸
@kpplumbing7
@kpplumbing7 2 месяца назад
Mocco Yani Aka kanyimbo sijui kakutungia nani au ulifikilia nn Yani Uindi ndani
@Jk_rules_
@Jk_rules_ 2 месяца назад
Tamu Sana❤
@venfreysand8835
@venfreysand8835 Месяц назад
Unawez toa ngoma za kawaida ila ukija gonga moja inakuwaga nyokoo kama moco
@amoslutgel6981
@amoslutgel6981 Месяц назад
😀huu ujinga inabidi niache jamani mi nilikua namchukulia poa genius kumbe anajua aisee hatari 🔥🔥🔥
@dakmanjakablack
@dakmanjakablack Месяц назад
Mixing and mastering sawa
@revocatusmtahaba9955
@revocatusmtahaba9955 Месяц назад
Nyimbo mzuri sana,here listening from Burundi
@ombenigodwin6405
@ombenigodwin6405 7 дней назад
Sema ww msenge unajuaa
@hassangwerenya7827
@hassangwerenya7827 2 месяца назад
Ungeimba na king kiba ama nandy 🎉
@user-zx2ny5fw4h
@user-zx2ny5fw4h 2 месяца назад
Moto wa mocco sio kitoto
@DainaNgonda
@DainaNgonda 2 месяца назад
mocco is trying to show dem artist whos boss...keep it up mamen
@YCBSALOON-ev4wk
@YCBSALOON-ev4wk 2 месяца назад
Oy broo ngoma Kali
@zzzzzzzz2350
@zzzzzzzz2350 Месяц назад
kweli Genius, keep the good music alive
@BarakaAllen
@BarakaAllen 2 месяца назад
Mocco karibu mjini
@ammedizofficial1742
@ammedizofficial1742 2 месяца назад
Mocco is back ...Kenya tunasema karibu bro
@EziusMaregesi
@EziusMaregesi Месяц назад
Nakubali unaweza 🎉🎉🎉🎉🎉
@ayubumwangi7517
@ayubumwangi7517 Месяц назад
Ngoma mzur sana
@azizanasibu5388
@azizanasibu5388 2 месяца назад
Mwamba anajua...
@brianthoya4849
@brianthoya4849 2 месяца назад
Kubabake Goma langu limetoka🎉
@abdizboss127
@abdizboss127 2 месяца назад
Aaah moujaa..una kipaji sana mzee
@albertalex1608
@albertalex1608 2 месяца назад
Duuuh Mocco unajua kaka, uandishi🤌🏾🔥
@edwardkasmiri5460
@edwardkasmiri5460 2 месяца назад
Daaaah una balaaaa Mwambaaaa
@naftalkipngeno4482
@naftalkipngeno4482 2 месяца назад
nimeungojea Sana huu wimbo kaka
@Bailimtoaji
@Bailimtoaji Месяц назад
Aloo bonge la Ngoma hongera sana kaka🎉
@khizzer_jr
@khizzer_jr 2 месяца назад
Remix Yammy ataweza sana Mocco
@officialmalando
@officialmalando 2 месяца назад
Nimekubali kaka ni noma sana 🎉 hili goma Kali sana
@user-xy6yf4kz2i
@user-xy6yf4kz2i 2 месяца назад
Mziki mkali sana hu kweli we niginius🎉🎉🎉
@walidibalinago7790
@walidibalinago7790 4 дня назад
Duuh mmetutesa hatimae official imetoka
@RichadGeogre
@RichadGeogre Месяц назад
Yani hii ngoma kama umeniimbia mm kaka
@dexterrockbeats7871
@dexterrockbeats7871 2 месяца назад
noma sana mdogo wangu kazi nzuri
@ngabungabrain6574
@ngabungabrain6574 2 месяца назад
Nakubali combination ya lua
@mdachiog5211
@mdachiog5211 Месяц назад
Hit ya mwaka ni hii itaenda taratibu piga remix na mbosso
@pancrasshirima
@pancrasshirima Месяц назад
Wimbo mzuri hongera
@user-sz2uc3hd9q
@user-sz2uc3hd9q 2 месяца назад
Unajua sn ila jitolee kabla kuachia kaz zako ztafika mbal sn
@mussamontellijr2802
@mussamontellijr2802 2 месяца назад
Hii ngoma kali mwaka 2024 Kwa wale waliopitia changamoto kwenye mahusiano polen jmn hii ngoma itawaliwaza😂
@orestonjalika632
@orestonjalika632 2 месяца назад
SIKU ZOTE ULIKUWA WAPI MWAMBA KUTOA KALI KAMA HII. KWA UFUPI UMEFUNIKA SANA NA TAYARI UMEJIPATA. HONGERA
@user-zf3ng6ue1x
@user-zf3ng6ue1x 2 месяца назад
Dah ngoma kal
@EsterNanyaro-c1x
@EsterNanyaro-c1x Месяц назад
See. Ngoma Kali San kwa
Далее
Kusah ft Femi One - Amen (Official Video)
3:19
Просмотров 211 тыс.
Marioo feat Stans - 2025 (Visualiser)
3:21
Просмотров 832 тыс.
Buki - Ikitokea (Official Lyrics Video)
3:36
Просмотров 88 тыс.
Mocco Genius - Yamenishika (Official Video)
3:20
Просмотров 350 тыс.
D Voice feat Zuchu - Nani (Official Lyric Audio)
3:16
K2ga - LEO (Official Music Video)
2:54
Просмотров 171 тыс.
Mocco Genius -Mimi (Visualizer)
2:46
Просмотров 74 тыс.
Whozu - Mii (Official Lyrics Video)
3:14
Просмотров 515 тыс.
Nandy feat Billnass - Totorimi (Visualiser)
3:52
Просмотров 599 тыс.