LYRICS Ukifika kwa Kona Ndo mazuri utaona Ndo utukufu wake Ye hawachi Wana wake Ata wakati unadhania Maisha yako ni bandia Shida zakuvamia Amini zaidi mara Mia (CHORUS) Amini amini eeh Amini amini eeh Omba na ulale Mazuri ukuja ngware (*2) Ni ngumu kuamini matime Unaona Kama anatake time Hausongi una mark time Atakuja na yake time Nimesoma bibilia na nimeona Wana muamini anawaona Nimesoma bibilia na nimeona Wanao muamini anawaona (CHORUS) Amini amini eeh Amini amini eeh Omba na ulale Mazuri ukuja ngware (*2) (BRIDGE) Humming Wanao muamini eh Hawa haibiki milele Humming Hii ni yako Kama unapitia kitu yoyote Unadhani ni ngumu unadhani ni kubwa Sana Sio shida yako ni shida ya mungu All you have to do is take it the lord in prayer Omba na ulale Mazuri ukuja ngware
@THE WAJESUS FAMILY ,MIMI NI BIG FAN WENU AKI... NAOMBA PIA MNI SUPPORT MIMI NA GROUP PARTNER WANGU ..HUD bOyZ 254.we are about to relieve our very first gospel tune.. Please support us pamoja tushikilie gospel ya Kenya
I’m amazed at how diverse your skill is! You write and execute so well. This is a reminder to all those nay sayers GOSPEL IS NOT DEAD! You are a credible vessel Moji, May God reward your faithfulness!
My mom was told she is sick right now she can't have the smile we used to have together my brother sent me this song naamini mom atakua poa your songs really talk about my life...keep my mom on prayers everyone
Moji God is using you for this generation, don't stop doing it for His glory...keep spreading the gospel(not industry) of our Lord and saviour Christ Jesus 🙏
I see a heart that seeks God in you Moji Shortbaba. Keep pursuing righteousness my brother- i keep praying for the Kenyan Gospel Ministry every day. And you are clearly a leader and a trendsetter! Edit: PS- What inspired you to write ile wimbo ya size 8 na masterpiece inaitwa 'high bila ndom'? Where is the scriptural backup in that song? After such a powerful song (amini), naona ati umeandika 'high mbila ndom'? Cm'on Moji!!
just enjoy the song. moji dosnt have to sing about painful or deep songs to praise god. he can be playful in that way. perhaps in "high bila ndom" you werent the target audience
🔥🔥🔥🔥You know what... straight Up, This Is By Far the Coolest/ Most Awesome song Ever Sung by Moji ShortBaba (Followed by "IMANI" of Course). The Beats, Lyrics... The Flow of Melody... (Always On Replay) 😊😊😊 Awesome Piece. 👌
I don't get how this song is at 63k views.Why?Mziki kama hii should be at 1mil+views by now.This is one of those good songs. Shukran for this one Moji.Hii ngoma hunikeep sane sana.