Тёмный

MOSSAD: KIKOSI CHA "WAUAJI" WENYE SIRI NZITO/WANATUMIWA NA SERIKALI/SIRI ZAO HIZI HAPA, S01EP32. 

Dar24 Media
Подписаться 733 тыс.
Просмотров 21 тыс.
50% 1

Shirika hatari la kipelelezi nchini Israel, (MOSSAD) linatajwa kuwa ni miongoni mwa mashirika hatari ya kijasusi, walitekeleza matukio ya kutisha na yaliyo tikisa dunia.......
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24news@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24Tz
⚫️ Facebook: @dar24news
⚫️ Twitter: @Dar24News
#MossaD #Intelligence #Maelezo

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 25   
@marianmartin7483
@marianmartin7483 2 года назад
Brother uko vizuri sana, hongera kwa kazi hiyo ya tafiti.
@meckcassius3983
@meckcassius3983 2 года назад
Wew jamaa unajua sana mzee wangu
@WINNERSPREDICTS-dp1qd
@WINNERSPREDICTS-dp1qd Год назад
Kaka kazi nzuri sana. Naomba ongeza zaidi picture effects katika story. Sehemu nyingine weka pozi kisha achia sound effects kuendana na story. Upo vizuri sana kwenye simulizi, na uchaguzi wa simulizi hii ni mzuri sana
@kalidushimaria9540
@kalidushimaria9540 2 года назад
Noma sana
@yohanakaini
@yohanakaini 2 года назад
kazi nzuri
@smukelomkhize9775
@smukelomkhize9775 2 года назад
Tupe issue Hizo Mwamba naku-appriciate Mwamba
@Kagineemmanuel
@Kagineemmanuel 4 месяца назад
Inatisha sana
@michaelmlewa2346
@michaelmlewa2346 Месяц назад
The spy season 1 2019 Wame act matukio yake
@michaelthobias9967
@michaelthobias9967 2 года назад
Hawa jamaa noma kweli
@EzekiaMyila
@EzekiaMyila 4 месяца назад
Wanastairi
@macrostudios3735
@macrostudios3735 2 года назад
🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@crescencesangawe6890
@crescencesangawe6890 Год назад
Uko njema Sana story za kijasusi,Ile ya Iraq ilikuwaje vile!
@johnjoseph1106
@johnjoseph1106 Год назад
Kama una kili ni wauaji wenye siri nzito basi siri zao haziko hapa
@aminielkombe66
@aminielkombe66 Год назад
KGB ndo imeizaa FSB,, umechanganya kidogo
@WINNERSPREDICTS-dp1qd
@WINNERSPREDICTS-dp1qd Год назад
Hapo hatamimi nilikuwa najiuliza Historia niliyosoma nimeisahau? Story nzuri sana, details kama hizi zinanogesha
@samsonhumbe8220
@samsonhumbe8220 Год назад
Kweli Israel ni hatari sana, muda wote jamaa wako kazini, hawalali na hawajawahi kulala. Waarabu wenyewe nawajua habari yao.
@Mrofficial_FoReX
@Mrofficial_FoReX 13 дней назад
hiz ep nazipataj kw zote naon c zion
@LadislausyStanislausy
@LadislausyStanislausy 9 месяцев назад
Nipe hiyo michepuo
@islamdalalnadidalal8833
@islamdalalnadidalal8833 2 года назад
Tupe historiya ya jeshi la marekani
@kamarukamaru7768
@kamarukamaru7768 11 месяцев назад
Taifa teule
@geraldtarimo3210
@geraldtarimo3210 Год назад
Israel nihatari sn
@mathewkomba6724
@mathewkomba6724 Год назад
Bro sio Kila mossad ni muuaji.kikosi mahususi cha mauaji ndani ya mossad kinaitwa "Kidon".
@amazingclarasson8177
@amazingclarasson8177 2 года назад
muuaji
Далее