Тёмный

Movie imetafsiriwa kiswahili : kila alieangalia hii Tv alikufa baada ya siku saba (7) 

E 7bits
Подписаться 162 тыс.
Просмотров 56 тыс.
50% 1

Kuna hiyo video ambayo ukifanikiwa kuiona, unahesabu siku saba (7) unakufa, karibu kusikiliza huu unyama, alafu dondosha maoni yako hapo chini....
Movie Name : Ringu
Year : 1998
Genre : Horror, Mystery, Thriller
WhatsApp: +255 62 494 4364
⚠️DISCLAIMER
Copyright Disclaimer: - Under section 107 of the copyright Act 1976, allowance is mad for FAIR USE for purpose such a as criticism, comment, news reporting, teaching, scholarship and research. Fair use is a use permitted by copyright statues that might otherwise be infringing. Non- Profit, educational or personal use tips the balance in favor of FAIR USE.

Развлечения

Опубликовано:

 

24 сен 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 54   
@LydiaErnest-j1b
@LydiaErnest-j1b 15 дней назад
Mbn hyo sio konka tunaemujua jaman huyu kapooza sana tofaut kabsa na kwwnye movie. Nyngne
@e7bits_tz
@e7bits_tz 15 дней назад
Video ya zamani sana hii
@LydiaErnest-j1b
@LydiaErnest-j1b 15 дней назад
@@e7bits_tz hapo sawa nakubal sana ♥️♥️
@AnitaProspa
@AnitaProspa 4 часа назад
😅pooa san
@Mambalyelibarick
@Mambalyelibarick 5 месяцев назад
Na unavyo sema unaeza kutufanyia ma harakat ya kuipat, unakua tayar umeielezea au inakuwa bad haijatafsiriwa mkuu
@AbdulwahidTariq
@AbdulwahidTariq 3 месяца назад
Ushakuwa Start sasa Unaanza ku2vimbia na Hautaki Kumaliza Move tenaa😏😏
@mammyspecial2
@mammyspecial2 Месяц назад
Tuwekee muendelezo
@jerryroy1769
@jerryroy1769 7 дней назад
🎉🎉🎉
@ELLAHENOS_
@ELLAHENOS_ 10 месяцев назад
This movie is so ❤❤❤❤
@e7bits_tz
@e7bits_tz 10 месяцев назад
Wewe tena😅✌
@ELLAHENOS_
@ELLAHENOS_ 10 месяцев назад
@@e7bits_tz ❤❤❤ unajua aise
@JordanDonatus
@JordanDonatus Месяц назад
👍🏼vp kuhusu animation
@user-ec1oh3xo6o
@user-ec1oh3xo6o 5 месяцев назад
Sina neno👏👏👏👏👏
@Rhobimdenish
@Rhobimdenish 3 месяца назад
Uwe wamalizia
@dorcaserick4473
@dorcaserick4473 4 месяца назад
Jmn jmn jmnnnnnnnn.......mbon tulianz vzr babaa
@user-nc4pg9xv2b
@user-nc4pg9xv2b 7 месяцев назад
Good one
@user-wk8xg7gw8t
@user-wk8xg7gw8t 10 месяцев назад
Iko Bomba kinoma kazi nzuri ❤
@ELLAHENOS_
@ELLAHENOS_ 10 месяцев назад
😋😋😋 anyway
@likopa_msanii
@likopa_msanii 7 месяцев назад
Kaka kwann usiwe unazimalizia2 mana sisi wengine kutafuta movie mtiani muda hatuna
@khadijaumazi3308
@khadijaumazi3308 8 месяцев назад
Dah!
@OhahaMchina
@OhahaMchina 4 месяца назад
Gonga like hapa Kam umekubali performance
@officialevoddy
@officialevoddy 10 месяцев назад
Kaka kama unavyojua kuwa uliturahishishia kbs na kupata link ila netnaijA imefungiwa ,sasa tutakuwa tunapataje movie unavokuwa unafanya reviews 😢😢
@e7bits_tz
@e7bits_tz 10 месяцев назад
Mtakuwa mnanichek WhatsApp
@officialevoddy
@officialevoddy 10 месяцев назад
Tume number yako kaka
@e7bits_tz
@e7bits_tz 10 месяцев назад
0673110644
@user-qm1vw9xw2b
@user-qm1vw9xw2b 5 месяцев назад
🎉​@@e7bits_tz
@itsyourboy1407
@itsyourboy1407 9 месяцев назад
Boss fungua telegram na weka link boss itakuwa rahis
@user-ic8yd8ej1p
@user-ic8yd8ej1p 10 месяцев назад
Vp mwanang
@scollamwanisisi2739
@scollamwanisisi2739 7 месяцев назад
Yaaan saut tu ndo inanileta uku
@djzkhankb3754
@djzkhankb3754 6 месяцев назад
Unyamah
@user-tn6ts5fh4x
@user-tn6ts5fh4x 3 месяца назад
Mm nimeikosa
@tariqmasudi4400
@tariqmasudi4400 2 месяца назад
Wanawake ndio wanaongoza kupenda picha za kutishaa siku iz wamekuwa sugu awaogopi
@irenekishimba5863
@irenekishimba5863 8 месяцев назад
Inaitwaje
@ZainabSaleh-yq9zv
@ZainabSaleh-yq9zv 3 месяца назад
❤❤❤
@user-ee8ry2tj3j
@user-ee8ry2tj3j 5 месяцев назад
😊😊
@IreneChuwa
@IreneChuwa 11 дней назад
Hii movie wamebadilisha tu watu ya Kwanz nimeona n ya 2002 matukio n haya haya mpk mwisho an😢 ilikuwa ya kizungu inaitwa The ring 2002
@IreneChuwa
@IreneChuwa 11 дней назад
Mm nloiona Yan hio kanda wanayoiangalia n maisha ya couple fulan amby ilikosag mtoto ko wakaasil mtoto kumbe huyo mtoto anageuk matatz kwao n kam ana laana fulan inayopelkea mama ake kumtup Kwa kisima na yeye anajiua sasa huyo mtot ndo anayeua na njia ya kupona pekee kam umeshaion hio tape bs inabd uitoe copy umpe mwingn aangalie hvo ndo utaponea kufa 😢
@user-jt9zp4sh8o
@user-jt9zp4sh8o 4 месяца назад
Unyama
@user-jz4pm5fw9u
@user-jz4pm5fw9u 5 месяцев назад
Haupo online bro tuna kusach sana
@user-zl4sk3zm9l
@user-zl4sk3zm9l 4 месяца назад
Naitaka ila iwe imetafsiriwa
@jay_cod911
@jay_cod911 6 месяцев назад
Nimesha ipata
@user-mi8ww1sk8l
@user-mi8ww1sk8l Месяц назад
UKIWA UNATANGAZA JITAHIDI BASI ATA KUCHANGAMKA AH UNATOA SAUTI KAMA UMECHOKA HATUINJOI WALA NINI YANI AH KAMA HUTAKI SI USEME TU BANA 😢😢😢
@YvonnegipsonGipson
@YvonnegipsonGipson 12 дней назад
Sema wewe ndo hui enjoy sio atu enjoy hauwienjoy nanani wewe ukipewa hii kazi ufanye utaweza ebu kadinywe ulale ukue😂
@christophoraadriano8243
@christophoraadriano8243 4 месяца назад
Hii movie wazungu nao wali igiza ilionyeshwa Azam one 😂
@user-km9pb7ex5f
@user-km9pb7ex5f 6 месяцев назад
Hii muvi imefanana na ile inayo itwa the ring
@ronnyBeatz255
@ronnyBeatz255 6 месяцев назад
Story ni ileile
@user-dt7mt6yf9g
@user-dt7mt6yf9g 6 месяцев назад
Jmn nataman nikuone live
@dr.elimikatv1919
@dr.elimikatv1919 6 месяцев назад
Hahah ushapenda
@uwezamtimbichi4303
@uwezamtimbichi4303 9 месяцев назад
Una move kali sana mwanangu
@e7bits_tz
@e7bits_tz 9 месяцев назад
Asante sana kaka🙏
@FatumaTamaisha
@FatumaTamaisha 8 месяцев назад
@@e7bits_tz uwe unatuwekea na mwendelezo sisi wengine tupo nchi za watu hata kutoka hatutoki wallah pls tusaidie tu maana kuja Whatsapp sio shida...sinda iyo buku jaman 🙏🙏
@user-ql7ro2fz5h
@user-ql7ro2fz5h 10 месяцев назад
Konkaaa
@e7bits_tz
@e7bits_tz 10 месяцев назад
😅✌
Далее
KONKA: MOVIE RECAP/REVIEW : CALL (2020)
7:28
Просмотров 56 тыс.
We will see who will do it better 😂
00:14
Просмотров 3,6 млн
Телеграмм-Колян Карелия #юмор
00:10
МАРИЯ ГОЛУБКИНА О БАБУШКЕ #shorts
00:43
Movie kwa kiswahili | BIG LOVE (2023) | LOVE STORY❤
7:40
19 июля 2024 г.
0:20
Просмотров 1,8 млн