Тёмный
No video :(

MOYO WA CHUMA PART 7 FINAL  

DIRECTOR GOZI
Подписаться 64 тыс.
Просмотров 64 тыс.
50% 1

#frp #fry #fyp ytviral #1000subscriber #foryourpage #1mviews #snakeboy #bollywood #youtube #amapiano #mkojani #kivyere #clamvevo #bestfriend #bigboss #mzimu #kicheche #kichechecomedy #lambalamba #kpnazebuu #bintinyoka #stevemweusi #mwanafunzi #mchawi #bongomovie #bongotrend #newvideo #bongoseries #newseries2023 #newmovie2023 #newfilm #tanzania #zakichawi #zamajini #zamapenzi #zashule #shortvideo #shortmovies #school #directorgozi #directorgozi #dontatv #dadawakazi #kijanatajiri #penzi #sanura #majini #indianblogger #eastafricasocialtv #shadowtv #doko #mwakatobe #chumvinyingi #babajoan

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 542   
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 2 месяца назад
Pole sana Gozi Allah akupe subra kwa kipindi hiki kigumu unacho pitia Bi strong 💪 mtu wangu😢😢😢😊😊😊
@alinassor391
@alinassor391 2 месяца назад
Pole sana kwa kuondokewa na baba m.mungu amjalie kila la kheri ktk sfr yke amsamehe makosa yke amiin amiin
@MasiNguma
@MasiNguma 2 месяца назад
🙏🙏pole sna gozi kwa kupoteza babako mungu akupe nguvu kwa wakati huu mungu
@fatumajuma9388
@fatumajuma9388 2 месяца назад
Ongera gozi kuna chakujifunza hpa ❤❤Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪😊 Walaikmuslm,Wah polen wana familia mungu awape subra nyote mlio fikwa na msiba 🤲🤲
@mariammariam5723
@mariammariam5723 2 месяца назад
Hongeren sana ❤chado umeumbuka.poleni sana kwakumpoteza baba
@tabithamwau5536
@tabithamwau5536 2 месяца назад
Pole kwa kumpoteza baba na pongezi kwa kazi nzuri, nimekuwa nikifuatilia sana moyo wa chuma
@user-ur1hz6jc7c
@user-ur1hz6jc7c 2 месяца назад
Pole saana mzee baba kwa kuondikewa na mzee wako Piah MUNGU AKUPE hekima na busara uendelee kutoa kaz nzur pamoja mzee baba
@ezekielmingaranakivuyo6279
@ezekielmingaranakivuyo6279 2 месяца назад
Pole sana gozi mungu akufariji na akutiye nguvu na mungu amlaze mahala pema peponi babayetu mzazi
@user-ee1ml6pp8b
@user-ee1ml6pp8b 2 месяца назад
Love U gozzzzzz,, kazi nzuri sanaaa,, ila pole sana Kwa kumpoteza Mzazi wako,,, hongera sanaaaa
@finegatwiri2597
@finegatwiri2597 2 месяца назад
😭😭💕pole sana kaka GOZI mungu akupe ufumilifu .tumeipenda sana kasi yako mbarikiwe
@user-cb1xx5bl5m
@user-cb1xx5bl5m 2 месяца назад
Pole sanaaa director gozi mwenyezi mungu akupe uvumilivu na subra
@Elizabet2694
@Elizabet2694 2 месяца назад
Pole sana gozi pia kizi nzuri na kaz ya mungu haina makosa kipenz nice job❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-cr8cs2qc8f
@user-cr8cs2qc8f 2 месяца назад
Daaah😢. innalillahi wainna ilaihi rajiun,pole san gozi wetu mungu akupe nguvu zaid.pole sana aisee.mungu ailaze roh yake mahl pema🤲🤲🤲🤲🤲
@charydnasey9678
@charydnasey9678 2 месяца назад
Pole sana gozi Mungu ailaze roho ya baba mahali pema😭😭na pia pongezi kwa kazi nzuri moyo wa chuma inamafunzo nzuri sana❤❤natokea kenya 🇰🇪
@Ftwm-ew3up
@Ftwm-ew3up 2 месяца назад
Pole sana mungu akupe faraja na hongera kwa kazi zuri ❤❤
@MkasyswallehsaidSwalleh
@MkasyswallehsaidSwalleh 2 месяца назад
Pole gozi ndivyo kiduni...na Asante kwa kz yko nzuri mungu akufanyie wepesi ktk wakati huu mgu😢❤❤
@mrben227
@mrben227 2 месяца назад
Kazi kubwa Sana gozi kk I really appreciate your work 🙏 mungu akupe umri mrefu kwenye maisha yko Ili uzidi kufanya makubwa,,pia pole kwa kuondokewa na mzee mungu akutie katika kipindi hik kigumu
@user-kl5ov4pj8c
@user-kl5ov4pj8c 2 месяца назад
Pole Sana Gozi Kwa Kufiwa Na Baba yako.Mwenye Ezi Mungu Akupe Moyo wa Subra.Na Hongera kwa Kazi Nzur Kaka.
@HalimaSharifu-in7tl
@HalimaSharifu-in7tl 2 месяца назад
Pole sana gozi mungu akupe faraja na pia pongez Kwa kazi yako nzr
@jhategekimana4801
@jhategekimana4801 2 месяца назад
Pole sana ndugu! Uri umunyabwenge kdi ibyo ukora imana ige ibigufashamo. RIP Mzee Ngozi.
@user-tc5le7sv7t
@user-tc5le7sv7t 2 месяца назад
Walaikum msalam innalilah wainnaillah rajiuni 😭 pole san kaka Mungu amlehemu mzee wetu ina asante sana kwa kazi nzuri mashaallah Mungu akubaliki sana buroo ❤❤❤
@user-xu5yl1ut5i
@user-xu5yl1ut5i 2 месяца назад
Pole Sana gozi kwa msiba. Napiga nakupa maua yako kwa kazi zuri🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
@philipogabriel6056
@philipogabriel6056 2 месяца назад
Pole sana kijana Mungu akupe faraja ktk kipindi hiki kigum tuko na wewe lete kazi mpya sisi ni wadau wako kiindak ndiki
@KephaRobert
@KephaRobert 2 месяца назад
Pole sana Mr Gozi kwa msiba 😭😭😭
@Zubeda-zx7wt
@Zubeda-zx7wt 2 месяца назад
Pole sana gozi kwakimupoteza baba yako Ila nagupongeza sana kwa kazi ilikuwa nzuri kabx from🇧🇮🇧🇮🇧🇮 chukraan kwamafunzo!!
@user-uz6cw3wu7s
@user-uz6cw3wu7s 2 месяца назад
Daaaah so sad news Pole sana rafiki yangu kwa kuondokewa Na Baba yako Mungu akawe mfariji kwenu.by the why Hongera sana kazi nzuri sana.
@user-zm8wo1ue7e
@user-zm8wo1ue7e 2 месяца назад
Inalilah wainalilah rajuun Pole saaaaan bro ,,, mung akupe nguvu
@user-ew2hm1qb7p
@user-ew2hm1qb7p 2 месяца назад
Pole sana Mwenyez Mungu awatie nguvu kwa kuonfokewa na mpendwa wenu.
@ibrahimunicodemo2806
@ibrahimunicodemo2806 2 месяца назад
pole sana.kijana mungu atawatia nguvu kipindi hichi kigumu
@LilianLilian-bx1ec
@LilianLilian-bx1ec 2 месяца назад
Pole Sana Mr gozi kikubwa muombee apumzike kwa Amani na hongera pia kwa kazi nzur
@MwajuJuma
@MwajuJuma 2 месяца назад
Inna lillah pole sana gozi kwa msiba wa mzee wetu allah akupe moyo wa subra katika kipindi hichi gimu na hongera sana kwa kazi nzuri
@NuruKasim-nz1fc
@NuruKasim-nz1fc 2 месяца назад
Pole sanà Gozi mungu akupe faraja na pia pongezi Kwa kazi nzuri
@directorgozi5509
@directorgozi5509 2 месяца назад
🙏🙏🙏
@user-qp4mk5gu6u
@user-qp4mk5gu6u 2 месяца назад
Pole sana kakq goz Allah akupe ujasi akufanyiebwepesi kwakila zito linalo kufikai​@@directorgozi5509
@sharifamohd3857
@sharifamohd3857 2 месяца назад
dah pole sana gozz wetu mungu akuzidishie moyo wa subra na hongera mchezo ni mzuri sana
@SwaaumuRashid
@SwaaumuRashid 2 месяца назад
Nicheki tufanye kaz
@directorgozi5509
@directorgozi5509 2 месяца назад
@@SwaaumuRashid nakucheki vipi🤔
@BasraMaisara-ke8kk
@BasraMaisara-ke8kk 2 месяца назад
Uko vizuri Sana kaka nimeipenda iyo na pole sana
@winielema-lf9kz
@winielema-lf9kz 2 месяца назад
Pole sana,kazi ya mungu haina makosa,na mungu akubariki
@evelnjuma1834
@evelnjuma1834 2 месяца назад
Pole sana chado mwenyezi mungu akupe nguvu ujasili na amani pole sana❤🇹🇿
@everlinekenga437
@everlinekenga437 2 месяца назад
Pole sana Gozi kwa kupoteza baba yko munga akutie nguvu🙏🙏🙏🙏🙏
@calebomariba-we3yk
@calebomariba-we3yk 2 месяца назад
Mungu halaze roho yake mahali pema peponi n pia asanteni sana Kwa kazi nzuri niko imara kungoja season 2
@magnibrondi3152
@magnibrondi3152 2 месяца назад
Kazi nzuri from Oman brother kozi imekwisha vizuri iyi movie ya moyo wa chuma
@jamalalfereabdulcarimo1011
@jamalalfereabdulcarimo1011 2 месяца назад
Pole Sana Gozi. Sisi sote niwaja wa mungu mungu akimwitaji mja wake ananchukuwa. Pole sana
@KhadijaSaid-vj9kh
@KhadijaSaid-vj9kh 2 месяца назад
Pole sn kaka mungu akusimamie vyema na akufanyie wepes na awape subra ktk hili
@FatumaRashidi-jk5ki
@FatumaRashidi-jk5ki 2 дня назад
Pole gozi mungu akupe nguvu
@ernestmwakalambo3938
@ernestmwakalambo3938 2 месяца назад
Pole sana kaka Gozi Mungu akupe moyo wa uvumilivu katika kipnd hiki kigum , Mungu ampumzishe kwa aman mzee.
@josephelemash
@josephelemash 2 месяца назад
Pole kWa kumpotezaa Baba. MUNGU AWatie Moyo.
@jadixtheblacker3411
@jadixtheblacker3411 2 месяца назад
Pole sana Gozi Mollah ailaze roho ya Mzee wetu pendwa mahali pema peponi,, love from Buja Bujumbura Burundi❤❤❤ We love you
@user-sc5gt6gs3s
@user-sc5gt6gs3s 2 месяца назад
Kazi nzuri. Sanaa. Ongera sana. Bro gozi
@masoudjongo
@masoudjongo 2 месяца назад
Pole sana dr gozi nachangamoto ulizopitia na ongera kwa kazi mzuri akika unatupa kitu moyo unataka
@user-ie8om7kh5w
@user-ie8om7kh5w 2 месяца назад
Poleni sana Gozi kwa kupoteza baba mungu aiweke roho yake pahali pema na apumzike kwa amani😢😢😢😢😢😢 much love from kenya congrats kwa kazi nzuri twaingoja season ya pili❤❤🎉🎉
@user-pr4ir6fe4y
@user-pr4ir6fe4y 2 месяца назад
nice movie inapendeza 2nasubili kazi zingine kwa hamu
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np 2 месяца назад
Pole sana bro safari ya wote Mungu akubariki
@AsmaHassan-eb8pl
@AsmaHassan-eb8pl 2 месяца назад
INALILLAH WAINNA ILAH RAJIU'N 😢 pole sana kaka angu utakua Sawa tu Allah akufanyie wepesi Ameen🤲. Ata hivyo kazi ni nzur sana🥰
@shelyboyshely2928
@shelyboyshely2928 2 месяца назад
Pole sana gozi kwa kuondokewa na mzee wetu mungu ampumzishe mahari pema amen
@aminareila7136
@aminareila7136 2 месяца назад
Duuuh pole sana kaka mwenyez mung akutie nguvu katka kipindi hiki kigum
@user-us2zu1km8b
@user-us2zu1km8b 2 месяца назад
Congratulations sana bro ❤❤
@agnesKibuyu
@agnesKibuyu 2 месяца назад
Pole sana Mungu akutie nguvu na akuinue. Juu zaidi
@user-xc4tn4lu7t
@user-xc4tn4lu7t 2 месяца назад
Pole sana kwa kufiwa na mzee kazi ya mungu haina makosa mwenyezi mungu akutie nguvu kipindi hichi 😢
@Elwinsimumba-jl6ej
@Elwinsimumba-jl6ej 2 месяца назад
Pole sana bro kwa matatizo hayo Mungu akutiye moyo
@user-rf2cg9tv3u
@user-rf2cg9tv3u 2 месяца назад
Pole sana kaka umepata msibakubwa pole sana Alla alaze roho yake pahala pema baba
@MaryamMaryam-ru1qt
@MaryamMaryam-ru1qt 2 месяца назад
Pole. Xna brooo na ninakupa pongez xna kwa kaz yako sisi team strong 2po mbli lkn 2nakupa pongez xna kwa kaz nzurr allah akujalie ufanikiwe
@user-yu9qn4oi3g
@user-yu9qn4oi3g 2 месяца назад
❤❤❤ nzuri sana 🔥 hongera kwa kz nzuri 😢😢ohoooo pole Sana kaka kazi ya mungu Haina makosa 😭
@user-cr4ku8jh4d
@user-cr4ku8jh4d 2 месяца назад
Ongereni sana wapenz kwazi yen zuri sana mubarikiwe wote pole san kaka angu❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂
@user-qt7qu3lr9u
@user-qt7qu3lr9u 2 месяца назад
Pole sana gozi mungu akupe nguvu katika kipindi kigumu kwa kuondokewa na baba yako
@PatrickKaundu
@PatrickKaundu Месяц назад
Pole Sana kaka ...Alf move zako ni zuri Sana na zina mafunzo Kwa maisha
@PaulGitua
@PaulGitua 2 месяца назад
Pole sana kinara Gozi kwa yaliyo tokea, mungu akupe faraja kwa wakati huu kiongozi wetu.
@HadiaSalimu-kh1mj
@HadiaSalimu-kh1mj 2 месяца назад
Pole sana gozi na ongereni kwa kazi nzuri
@user-gd6ur5bg5s
@user-gd6ur5bg5s 2 месяца назад
Pole sana mungu akutie nguvu kwa kipindi hichi kingumu🎉🎉
@roseafrael75
@roseafrael75 2 месяца назад
Pole sana G kwa kuondokewa na mzee wako,,,..Kiukweli mmeitendea haki hii series pamoja na changamoto ulizokutana nazo ongera nyingi sana 🎉🎉🎉.
@user-hw9uu4bu1t
@user-hw9uu4bu1t 2 месяца назад
Aisee bonge movie Pia pole sana Mungu akupe nguvu broo
@shidashida6060
@shidashida6060 2 месяца назад
Nimefuraaahi sana walivosameheana kama Kweli vile 😊,lla pole sana kwa kumpoteza baba,sisi sote ni waja wake na kwake tutarejea,.
@Tito_mbugi
@Tito_mbugi 2 месяца назад
pole sana kwa kuondokewa na mzazi wako,😢😢😢 mungu akupe nguvu ya kupambana zaid. na nisem bado tuko pamoja
@DhaMasta
@DhaMasta 2 месяца назад
Aqui Chamado Dha Masta Só Moçambicano 🇲🇿🇲🇿🇲🇿 Vive Província de Cabo Delgado Cidade de Montepuez Ruby Mining, Querias Dizer que gostei muito de essas filmes mais força 💪
@user-vo7yb6wp1m
@user-vo7yb6wp1m 2 месяца назад
Kazi nzuri sana watching from Kenya 🎉🎉❤
@NillyNilly-fm5pw
@NillyNilly-fm5pw 2 месяца назад
Kweli mapenzi inatawala .. ngozi kutoka nianze kuona series zako sijawai ona ukiwa umefall inlove laki hii series iko top ❤❤ nakupeda sana kutoke 🇰🇪 kenya ... na pole sana kwa kupoteza baba . Roho yake ipumzike mahali pema peponi .. ❤
@user-rs1pf1zi9d
@user-rs1pf1zi9d 2 месяца назад
Moyo wa chuma.... Mwishooooo Pole kwa kuondokewa na baba
@machozimukucha
@machozimukucha 2 месяца назад
Polesan 👏👏👏👏
@EzraBoboloy
@EzraBoboloy 2 месяца назад
Pole sana kaka Gozi Mungu akutie nguvu kwahuyu wakati mugumu ❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@AbdallahIddy-s6w
@AbdallahIddy-s6w 2 месяца назад
Pore sana kaka mungu akuogeze kwenye wakati mgum kaka kazi ninzur
@alinegitega9098
@alinegitega9098 14 часов назад
Pole sana😢😢kakayetu
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 2 месяца назад
Wah kama namuona hanifa wangu😂😂😂 jaman mnajua sana kubeba uhusika ❤❤❤😊😊😊🎉🎉🎉
@kidydee5044
@kidydee5044 2 месяца назад
Pole sana kaka Mungu akuzidishie sana pia Wacha Mzee apumzike mahali pema peponi 🔥🔥
@pwiziBarbarecia
@pwiziBarbarecia 2 месяца назад
Pole sana gozi uko alipo kwenda Apokelew vizuri 😭 uwe na moyo wa chum kam series yako
@user-zb2or6et5l
@user-zb2or6et5l 2 месяца назад
Pole director mungu akakfari na akutie nguvu
@HusseinIdachi
@HusseinIdachi 2 месяца назад
Inna lillahi wa Inna ileyhi raajiuun😭😭😭🙏pole kaka Allah akupe faraja.,,bila kusahau pangezi kwa kazi nzuri...mie ni shabiki shakiki kutoka Kenya 🇰🇪
@liwazaomary106
@liwazaomary106 2 месяца назад
Wapi chado mwisho wa ubaya aibu)pole sana Gozi kwa kuondokewa na mzazi
@ibrahimmovic2575
@ibrahimmovic2575 2 месяца назад
Daaaah pole brother Gozi for the loss ....big up kwa kazi nzuri.
@omarbakarmalumbomalumbo320
@omarbakarmalumbomalumbo320 2 месяца назад
Pole sana bro gozi mungu akupe subr ishaallah
@JonathanRichard-sh9zk
@JonathanRichard-sh9zk 2 месяца назад
Pole Sana umenifanya niwe shabiki Yako mmoja Kwa mmoja 🙏❤️❤️
@floramacheva5855
@floramacheva5855 2 месяца назад
Pole sana Gozi 😢 Mungu akupe nguvu Series ilikuwa nzuri yenye mafunzo kwetu
@user-gt6qt6yu8b
@user-gt6qt6yu8b 2 месяца назад
Pole Sana kipenzi MUNGU akutie nguvu
@jamesmuthomi5025
@jamesmuthomi5025 2 месяца назад
Congratulations Gozi kazi jema sana
@zaitunimwandetele4400
@zaitunimwandetele4400 2 месяца назад
Inna Lilah wa Inna Lilah Raji un hakikaka sis n wake n kwake tutalejea apumzike kwa aman baba,n honger pia kwa kipaji japo umepitia changamoto ngumu kwenye hii move
@user-tu2gy8mr7u
@user-tu2gy8mr7u 2 месяца назад
Pole sana gozi hongera pia kwa ujasili
@user-qq1kt3hg1l
@user-qq1kt3hg1l 2 месяца назад
Asanteni sana kazi nzuri hii gozi tuletee nyengine
@user-oj1dv7ci1v
@user-oj1dv7ci1v 2 месяца назад
Pole sana gozi mungu akufariji katika kipindi hiki kigum
@user-bs7oe7pd8o
@user-bs7oe7pd8o 2 месяца назад
pole sana na Mungu akawe mfariji wenu ktk nyakati hizi ngumu za majonzi
@kipkoechgeofry6424
@kipkoechgeofry6424 2 месяца назад
May the soul of your departed father rest in eternal life...following live from Nairobi Kenya.. kazi yako inapendeza sana Mungu azidi kukupambania haswa wakati huu wa msiba.!!
@user-lo9kv9vv3n
@user-lo9kv9vv3n 2 месяца назад
Pole kakq mzuri, unayejua kuigiza uhalisia❤
@khamzdady7977
@khamzdady7977 2 месяца назад
Pole sana brother na pongezi kwa kazi nzur 🙌
@victormkello9575
@victormkello9575 2 месяца назад
Nimesikitika sana hapo mwisho, Mungu akupe roho wa faraja bro. Ila movie imekuwa poa sana, endelea kupambana na kazi. Mengine mwachie Mungu tu.
@IgnaseTalaboe
@IgnaseTalaboe Месяц назад
😢😢😢😢😢😢pole sana kwa tukiyo hilo lakumpoteza baba
@helinasubila987
@helinasubila987 2 месяца назад
Pole wasa baba apmuzike salama
Далее
WRONG WIFE  #directorgozi   #doko #shortfilm
11:12
Просмотров 36 тыс.
SNAKE BOY | ep 35 | SEASON TWO
30:48
Просмотров 63 тыс.
KOSA LA MOYO episode 1
19:53
Просмотров 6 тыс.
HAMU MBAYA |1| Love story❤️😘
30:19
Просмотров 43 тыс.
MTEGONI [1]
22:03
Просмотров 120 тыс.
MISSION IMPOSSIBLE [33]
24:26
Просмотров 86 тыс.
PLAN B _ Episode 14
35:41
Просмотров 127 тыс.
ONE MISTAKE | LOVE STORY ❤️  full movie 🎬
38:37