Тёмный

MPAKA HOME KWA MZEE MAGARI MAREKANI UTASHANGAA ANAMILIK MJUMBA NA MKE MRUND 

VIPAJI TV
Подписаться 42 тыс.
Просмотров 186 тыс.
50% 1

HAPA NDIPO AQNAPOISHI MZEE ,MAGARI MAREKANI KAZIANAYOFANYA ALIENDA VIPI MAREKANI

Опубликовано:

 

30 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 312   
@aishaathuman6445
@aishaathuman6445 3 месяца назад
Ila maisha usikate tamaa mzee magari alikuwa jiran yetu kigogo dampo😂😂😂 pale.maisha yakawaida leo yupp nje.maisha Safi utakiwi kukata tamaaa❤
@vipajitv1799
@vipajitv1799 3 месяца назад
Shukrsn sana kWa kutazama please naomba subscribe kwa video nyinginezo
@ireneomerion
@ireneomerion 3 месяца назад
Kabsa 😂😂 na kituo Chao pale bar tz F
@hanschoppa7659
@hanschoppa7659 3 месяца назад
ile nyumba bado ipo au iliondolewa coz ilikua sehemu hatari sana pale
@maryamalhajri722
@maryamalhajri722 3 месяца назад
maisha ni kutafuta 😢nilikuwa nampenda sana uyu mbaba❤
@BondlBondl-p8j
@BondlBondl-p8j 3 месяца назад
Hata Mimi najuwa pia nilikuwa mdogo kipend yupo kigogo dampo kweli tusikate tamaa kabisa❤❤🙏​@@hanschoppa7659
@kibokibosho7476
@kibokibosho7476 3 месяца назад
Ulichokosea mtangazaji ungetafuta vipande vya movies zake kabla ya interview ili uwe inavyoonesha ungetisha sana
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 3 месяца назад
Huyu mzee ni mwigizaji mzuri sana ana kipaji.Namkubali sana.Mungu azidi kumlinda na kumpa maisha marefu.
@RachelAugustina
@RachelAugustina 2 месяца назад
Mzee rudi Home bongo movie Tz.❌
@flackomasterbaddest4155
@flackomasterbaddest4155 2 месяца назад
Boss una vifaa vizur ila jitahd mpangilio ili iwe more professional
@Witnessvlog
@Witnessvlog 3 месяца назад
Kazi nzuri junior, Interview nzuri tumeenjoy😊
@vipajitv1799
@vipajitv1799 3 месяца назад
Shukrsn sana
@TanescoTanesco
@TanescoTanesco 3 месяца назад
Witness daaah umetutenga sans,mm Peter mmasi mdogo walk.
@Jonaslukwesabenjamin-em5or
@Jonaslukwesabenjamin-em5or 3 месяца назад
Baba nakukubali sana baba Mimi ni mwanafunzi chipukizi WA saana happy kambini mantapala refugees settlement
@oparetionmaalum9030
@oparetionmaalum9030 3 месяца назад
Mainda my doter daa tuliambiwa kafariki huyu mzee kumbe ni uongo daaa
@vipajitv1799
@vipajitv1799 3 месяца назад
Noma Ahsante subscribe please
@gidesbalunguza7152
@gidesbalunguza7152 3 месяца назад
Umemuhoji vzr sanaaa, hongera junior talent,, nilichogundua mzee magar ile character yke ya ukali bado anayo yaan ndo maisha yake😅
@vipajitv1799
@vipajitv1799 3 месяца назад
Shukrsn sana share subscribe plz
@TatoTato-t7s
@TatoTato-t7s 3 месяца назад
​@@vipajitv1799mtafute nayule kevini
@HanifaBruno-lv1qf
@HanifaBruno-lv1qf 3 месяца назад
Nimefurahi sana kukuona mzee magari
@oparetionmaalum9030
@oparetionmaalum9030 3 месяца назад
Kumbe uzee ni kujitakia daa yani bado yupo kijana kabisaa anauwezo kuoa mwari wa miaka 18
@vipajitv1799
@vipajitv1799 3 месяца назад
Shukrsn sana kWa kutazama please naomba subscribe kwa video nyinginezo
@Elizakilisipinilikolika1996
@Elizakilisipinilikolika1996 3 месяца назад
Nakupenda sana baba mzee mqgari jaman mungu azidi kukinda baba yangu magari nakupenda sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@eddygad2858
@eddygad2858 3 месяца назад
Mzee Magari nilikuwa na mis sana sauti yake na muonekano wake nafurahi kusikia aliowa murundi wa kwetu hongerra sana mzee ❤❤❤❤❤❤❤😂
@vipajitv1799
@vipajitv1799 3 месяца назад
Shukrsn sana kWa kutazama please naomba subscribe kwa video nyinginezo
@hassansouzha915
@hassansouzha915 3 месяца назад
Dollar 20 KWA lisaa kwa siku masaa 12 inakua laki 6😂 bora nije huko
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 3 месяца назад
Ndo mchongo
@hassanirajabu5453
@hassanirajabu5453 3 месяца назад
Kazi gani​@@georgedaniel4962
@tomsijohni
@tomsijohni 3 месяца назад
hii ni interview au ni movie 😂😂
@vipajitv1799
@vipajitv1799 3 месяца назад
Ahsante subscribe please
@ezekielshija9251
@ezekielshija9251 3 месяца назад
Da bro nimenunua sana vifaa vya umeme pale mnadani kariakoo, nikiwa nafanya kazi polisi Salender bridge. Kumbe vipaji hujificha mahala pengine, ni mpaka viibuliwe ndo vionekane.hongera kaka
@vipajitv1799
@vipajitv1799 3 месяца назад
Sijakuelewa
@ezekielshija9251
@ezekielshija9251 3 месяца назад
@@vipajitv1799 ni msg ya Mr Magari.nilidhani Ana access ya kujibu hapa!
@mussakiziyzi408
@mussakiziyzi408 3 месяца назад
Presenter ukijua kutofautisha R na L Kidoqo utakuwa umepiqa hatua
@nomineetz255
@nomineetz255 3 месяца назад
We kijana we n mmbwa kabisaaa marekani kuna kushobokea mtu namna hiyo 😡😡 we ni k***m***
@Esam_tz
@Esam_tz 2 месяца назад
Bro mwanzo hadi mwisho wa interview huja piga hata glass moja ya maji.😢
@esthermwikali5403
@esthermwikali5403 3 месяца назад
Abdalla wacha kutulia mzee wetu mimi ni mkenya Rakini nilikua na mfuatilia
@vipajitv1799
@vipajitv1799 3 месяца назад
Shukrsn sana share subscribe plz
@FREDCHILUMBA-hf5dm
@FREDCHILUMBA-hf5dm 3 месяца назад
Iyo ya mke kumfosi tendo sio marekani tu adi bongo nivile tu wake zenu wamejawa na pepo la ngono ata wakifosiwa awajari
@BilalMuhammad-jt6sq
@BilalMuhammad-jt6sq 3 месяца назад
Mamaa ako mzazi pia kajawa na pepo la ngono mana alifosiwa na baba ako na akutoa taarifa
@vipajitv1799
@vipajitv1799 3 месяца назад
Dah
@iddymjeshi7763
@iddymjeshi7763 3 месяца назад
Nkubaya
@NathanKanick
@NathanKanick 3 месяца назад
Uliona wapi mwanamke mwenye pepo la ngono akafosiwa badala ya yeye kufosi?
@DesireHenk-pr8qp
@DesireHenk-pr8qp 3 месяца назад
Mzee magari tunakubali na mujua kwa filamu yake na kanumba na wema sepeto akimwambia je wewe uko na mtoto akamwambia bado
@fatmayussuf7970
@fatmayussuf7970 3 месяца назад
Kamata mainda wewee dah mzee magari tumekumiss hatari ,nliposema kamata mainda ulikua wapi weweeeee
@fadhilmgahi1334
@fadhilmgahi1334 9 дней назад
Mfanyakazi ya kubeba mizigo kiwandani marekani anamzidi kipesa na meneja wa kiwanda mwenye digrii bongo da marekani wanajali watu Ila ndio maana halisi na tofauti ya nchi ya dunia ya kwanza na ya dunia ya mwisho
@PitchenAlAthumanmaasoud
@PitchenAlAthumanmaasoud 3 месяца назад
Hii imeenda balaa @actor bongo movie tz @
@sirizamwili
@sirizamwili 3 месяца назад
Hongera sana kaka. Una improve kila siku🎉 Hongera sana kaka.
@vipajitv1799
@vipajitv1799 3 месяца назад
Shukrsn sana kWa kutazama please naomba subscribe kwa video nyinginezo
@IbrahimMsovu
@IbrahimMsovu 3 месяца назад
Mr Magari nahitaji Kuja Marekani
@asukulubashilwango1907
@asukulubashilwango1907 3 месяца назад
Pichen Uko state gani mwanangu mimi Niko Mzee magari sehemu moja
@PitchenAlAthumanmaasoud
@PitchenAlAthumanmaasoud 3 месяца назад
Nipo Iowa man @actor bongo movie tz @
@nadianyamuraka
@nadianyamuraka 3 месяца назад
Mzee magari ile sauti yako ya kwenye movie😂😂😂😂
@vipajitv1799
@vipajitv1799 3 месяца назад
😢 Ahsante subscribe please
@hawasaid7151
@hawasaid7151 3 месяца назад
Sauti yake tu huyu baba mashallah ❤️❤️
@vipajitv1799
@vipajitv1799 3 месяца назад
Shukrsn sana kWa kutazama please naomba subscribe kwa video nyinginezo
@johnbwirabukiza1878
@johnbwirabukiza1878 3 месяца назад
Mwanaume m kweli kabisa hajapindusha hatakidogo
@christainc.5217
@christainc.5217 3 месяца назад
Safi san myak ming simuon huy mze❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@Jonaslukwesabenjamin-em5or
@Jonaslukwesabenjamin-em5or 3 месяца назад
Umezaa wewe? Zaa wako
@ShomarSalum
@ShomarSalum 3 месяца назад
Yah tumekumc
@vannymokoca358
@vannymokoca358 3 месяца назад
Sasa wey naye camera aitoki kwa sura yako mwenyew na mic 🎤 phone zako zipo na kelele apo katikat 😂
@vipajitv1799
@vipajitv1799 3 месяца назад
nilikuwa na camera 3 unajua kila kitu nafnya mwenyewe kushut edit na kuhost so camera moja ya mzee camera moja yangu camera nyingne inashuti wote so kuna mda camera zingne zimestop inabd nitumie video iliyopo camera nyingne ulikuwa haichukui sauti
@Witnessvlog
@Witnessvlog 3 месяца назад
Magari tumemmiss na sauti yake ya thahabu🙌🏾
@vipajitv1799
@vipajitv1799 3 месяца назад
Sio poa huyu mzee😂
@tatusalehe8775
@tatusalehe8775 3 месяца назад
Mluguru mwenzetu katoboa marekani mungu azidi kukulinda
@Maymuna-wc8lz
@Maymuna-wc8lz 3 месяца назад
Chacha Mke gani huyu Ametuvalia Nguo Kama Majani ya Mgomba😂😂😂
@IsmailYusuf-nb9jt
@IsmailYusuf-nb9jt 3 месяца назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@عزيزه-ر1ه
@عزيزه-ر1ه 3 месяца назад
😂😂😂😂
@ismailabdallah4362
@ismailabdallah4362 3 месяца назад
Unahisi kuvaa uchi ndiyo sifa?
@vipajitv1799
@vipajitv1799 3 месяца назад
Ahsante subscribe please
@ednangowi6084
@ednangowi6084 3 месяца назад
I’ll swali la kwanza jamani ka. Yes kama hataki kwa nini ulazimishe?
@vipajitv1799
@vipajitv1799 3 месяца назад
So unajua waandishi tunajalibu ku Chita mtu mara mbili swali moja asiposema tunajalbu tena😂
@fatihiyadossa375
@fatihiyadossa375 3 месяца назад
Jmn mzee magari kawa kijana et 😂
@asyakhatib7942
@asyakhatib7942 3 месяца назад
@lamata msanii huyu apa mpe kazi
@vipajitv1799
@vipajitv1799 3 месяца назад
Shukrsn sana kWa kutazama please naomba subscribe kwa video nyinginezo
@ntangiregemfuruki5478
@ntangiregemfuruki5478 3 месяца назад
Mzee magari hongera umejibu vizuri sana
@vipajitv1799
@vipajitv1799 3 месяца назад
Ahsante subscribe please
@Sarah-tq2vc
@Sarah-tq2vc 3 месяца назад
Nmekumiss mzee wangu
@ramadhanimohamedisheshe7073
@ramadhanimohamedisheshe7073 3 месяца назад
Mtangazaji hamna kitu...Angehojiwa na mtangazaji mzr tungefurahia sana...lakini Mtangazaji bado sana.
@vipajitv1799
@vipajitv1799 3 месяца назад
Wali pie visa watangazaji wako wake sasa
@lizaeli6732
@lizaeli6732 3 месяца назад
Uko ndo step father hao ni watoto wa Vyagusa wa mu Iowa baba
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 3 месяца назад
Mzee Magari kapendeza , kawa kijana .
@vipajitv1799
@vipajitv1799 3 месяца назад
Sio poa yaan😂
@PerfectGirl-dj7zq
@PerfectGirl-dj7zq 3 месяца назад
Yaan marekani unafanya kazi kiwandan na unaweza endesha gari nakuishi nyumba nzuri Bongo hata kodi tuu inatushinda kweli hii inchi ngumu sana
@saidimwanyiro5147
@saidimwanyiro5147 3 месяца назад
Inawezekana mgumu ukawa ni wewe na siyo nchi
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 3 месяца назад
Daah
@STUMAIKALELE
@STUMAIKALELE 3 месяца назад
Jewel kabisa kule pesa kibao
@AdelaJohn-h1p
@AdelaJohn-h1p 3 месяца назад
Huko nako fainali uzee msione vyaelea huko mikopo ya nyumba gari unapata huko nyumba ni yako lakin utailipia kodi had wafa hakuna ubwelele bila kufanya Kaz na ukishindwa unabaki homeless unaishi mtaani
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 3 месяца назад
Mbona camera Man hajielewi sasa mbona anamshut tu muandishi inaonekana huyo nimtazania maana eatanzania kwakutojielwa tunashika namba moja
@ZeeLaVyeti4.8
@ZeeLaVyeti4.8 3 месяца назад
Hatimaye mzee magari kapatikana
@vipajitv1799
@vipajitv1799 3 месяца назад
Shukrsn sana share subscribe plz
@ezmexplores
@ezmexplores 3 месяца назад
Kitambo Sana Kumbe Yupo 🇺🇸
@vipajitv1799
@vipajitv1799 3 месяца назад
Ahsante subscribe please
@FerdinandNdayizeye-l9m
@FerdinandNdayizeye-l9m 3 месяца назад
Amen kubwa Mungu akibaruki hâta waseme buretu🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@mudymudy9453
@mudymudy9453 22 дня назад
Chaless Magal Nguli Wa Tasnia Ya Flms Tz Now Yup Ugaibun 🙏
@Jejee125
@Jejee125 3 месяца назад
Pia nataman kwel kufanya kazi uko nisaidie familia yng lkn cjapata ty mwaliko wal mwenyej ni huzuni😔😔😔
@bahatadof5543
@bahatadof5543 3 месяца назад
Kwa hiyo wewe muandishi unahoji au unaeleza,mbona mpo vilaza hivo,Kama huwezi ungempa mtu mwingine ahoji.huo wivu kwa hiyo Mzee Magari mumemiss baada ya kwenda Marekani
@brotherdaugy1073
@brotherdaugy1073 3 месяца назад
Mzee magali nimeipenda movie zake na kanumba
@vipajitv1799
@vipajitv1799 3 месяца назад
Shukrsn sana share subscribe plz
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 3 месяца назад
Nakumbuka kuna move ulikuwa na 20%
@vipajitv1799
@vipajitv1799 3 месяца назад
Ahsante subscribe please
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 3 месяца назад
😂😂 Nimekubali sana mzee endelea kukaza tz aio poa aisee
@athanaskipeto572
@athanaskipeto572 3 месяца назад
Nime ipenda kofia ina uzwa dola ngapi nikutumie uniagizie
@TibasimaDavid
@TibasimaDavid 2 месяца назад
Natamani kukuona mze magari nami niko marekani
@joycenose2356
@joycenose2356 2 месяца назад
Tupeni nasi connectn za kuja huko
@chandarotv7649
@chandarotv7649 Месяц назад
Mzee wangu barikiwa sana ,ukiingia Kwa RU-vid andika prophet chandaro Benjamin Brian
@HamisMasele-tb7lj
@HamisMasele-tb7lj 2 месяца назад
Ivi watanzania mtaelimikanga Lin?? Mtu yuko usa tu imekuwa kam vle mbiguni jaman!! Taften pesa na muachane na maisha ya mtandaon cz dunia iko mbal saaan
@esthermwikali5403
@esthermwikali5403 3 месяца назад
Magari nakosa saudi yake
@vipajitv1799
@vipajitv1799 3 месяца назад
Subscribe please 😅
@theddenis2730
@theddenis2730 20 дней назад
We jamaa unajua sana ku hoji respec
@mamboleoerasto8815
@mamboleoerasto8815 21 день назад
Mzee magari hongera kwa kazi nzuri, nilisoma na kijana wako Happy magari, Yu wap ckuhizi
@WinnieKasambala
@WinnieKasambala 3 месяца назад
😂😂😂😂 God bless you Papa... live longer 🎉
@SrsalvinaEmilian
@SrsalvinaEmilian 2 месяца назад
Jamani mzee Magali Bi mwenda yuko wapi? Waigizaji wengine? Halafu huo Msalaaba huo ni wa Yesu au fashien? Tumefurahi sana.
@Justine_Tz1
@Justine_Tz1 3 месяца назад
Ety pumbavu zao hawa kumbe wapo kama sisi😄😄😁😁 mzee magari bhan
@TrinaRoman345
@TrinaRoman345 3 месяца назад
😂😂😂😂🙌
@vipajitv1799
@vipajitv1799 3 месяца назад
Subscribe plz
@TrinaRoman345
@TrinaRoman345 3 месяца назад
@@vipajitv1799 Poa my
@Justine_Tz1
@Justine_Tz1 3 месяца назад
@@vipajitv1799 zamani sana kaka🤝🏾
@malkavoice2570
@malkavoice2570 3 месяца назад
Comments zimejaa ila nakuagiza waambie sns wa bongo wajifunze kufanya mahojiano kama ya Junior kwa kuwa hana muda ila anapangilia content.hatakam hukutaka kumsikilizA ikatokea umekosea ukaview kazi yake lazima uitazame yote. Kuna clip nimeiona esco anamuhoji jambazi lkn ile kazi kaifnya kama ni muda wake wa ziada lkn amepoteza muda,ktk muda wake wa kupumzika ila kama angechukulia serious ile kazi imetokea kama Zali aipe thamani ingelipa zaidi. Yaani ww umesikia mtu anamzungumzia Mondi kwa kina unapaswa ku react faster na kutengeneza pesa lkn Esco alirelux akawa anapigiwa story na kushoot bila kutafuta contours za kuthamanisha ile kazi amezingua. Fanya kazi kama zali pale unapoona kuna jambo zuri,yule jambazi angempa maswali kama haya angepiga viewers balaaa zaidi ya vile
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 3 месяца назад
Iv mbona naona kama ndo kua kijana heeee😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@zacherelius6972
@zacherelius6972 3 месяца назад
Africa tunaanza kua wazee kwanza tukitoboa tuna rud kwny ujana sasa
@alimasha-qh3vn
@alimasha-qh3vn 3 месяца назад
Ww noma mzee mungu akupe umri mrefu
@vipajitv1799
@vipajitv1799 3 месяца назад
Shukrsn sana kWa kutazama please naomba subscribe kwa video nyinginezo
@josephnyanda1512
@josephnyanda1512 3 месяца назад
Big up bro
@fanikiojacob7730
@fanikiojacob7730 23 дня назад
Mimi namfahamu kama mr. Chacha
@ShamsaOmary-l9g
@ShamsaOmary-l9g 3 месяца назад
Mainda my daughter 😂😂 hatari sanaaa
@Dr.manyaunyau
@Dr.manyaunyau 3 месяца назад
Magari na kutafuta namba yako imepotea
@samiemacroded-kb1er
@samiemacroded-kb1er 2 месяца назад
Siyo ya marekani tu hta south africa unakwenda rungubi faster
@uredipeter412
@uredipeter412 3 месяца назад
King fella😂
@vipajitv1799
@vipajitv1799 3 месяца назад
Ahsante subscribe please
@MsNajma-e6e
@MsNajma-e6e 3 месяца назад
Nimeipenda sisitim ya marekani hakuna kunyanyasa mtu sio kwetu mke anapgwa na anafukuzwa ndan ya nyumba
@MwaminiKashindi
@MwaminiKashindi 3 месяца назад
Hongera,sana,kaka,uto,mzee,kumbe,yupo
@vipajitv1799
@vipajitv1799 3 месяца назад
Shukrsn sana kWa kutazama please naomba subscribe kwa video nyinginezo
@abdallahnassor2945
@abdallahnassor2945 3 месяца назад
Nilisikiaga Eti Huyu Mzee Amekufa
@GRACENyanda-cn3pg
@GRACENyanda-cn3pg 3 месяца назад
Hata mm pia
@vipajitv1799
@vipajitv1799 3 месяца назад
Dah sio poa Shukrsn sana share subscribe plz
@AlouiseNgenDanDumwe
@AlouiseNgenDanDumwe 3 месяца назад
Magari kaolewa mke wake nimeishinae kambini mtanibila kasulu
@vipajitv1799
@vipajitv1799 3 месяца назад
Duh subscribe please
@aboudijaaboudija
@aboudijaaboudija 3 месяца назад
olewa na wew😂😂shida iko wapi
@MasokaJiko
@MasokaJiko 3 месяца назад
Sauti ya zaabu ❤❤
@vipajitv1799
@vipajitv1799 3 месяца назад
Noma😂
@erickmsakuzi5669
@erickmsakuzi5669 3 месяца назад
Ausindile
@HarunaAlbert
@HarunaAlbert 2 месяца назад
Nampenda sana Mzee magali ningeonana nae
@hamduntalib7689
@hamduntalib7689 3 месяца назад
Sauti ya Simba👹
@vipajitv1799
@vipajitv1799 3 месяца назад
Shukrsn sana share subscribe plz😂
@shikuhata
@shikuhata 3 месяца назад
Haya siku moja niliwaambia Mzee magari anaishi marekani mkasema hoo Mzee magari ka..... Tanzania jmn
@FerdinandNdayizeye-l9m
@FerdinandNdayizeye-l9m 3 месяца назад
Mèze magari bado anaonekana mcheshi tusana
@ibrahimusagondo5228
@ibrahimusagondo5228 23 дня назад
Mtangazaji ndio hajui kuhoji lkn mzee yupo vizuri
@joasyeliya2481
@joasyeliya2481 3 месяца назад
@aishaathuman daaah! pale kigogo mwisho kwa kina hashim ,ashraf,mudi umenikumbusha mbali sanaa
@AbelFrancis-ww7cb
@AbelFrancis-ww7cb 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂magari
@HadijaSalum-kf6gy
@HadijaSalum-kf6gy 3 месяца назад
Wategemee wamama zao😅
@NdyankaBulengo
@NdyankaBulengo 25 дней назад
Magari huyo
@rithanickolaus2881
@rithanickolaus2881 Месяц назад
Chezea pesa weweee
@pillarsman8866
@pillarsman8866 2 месяца назад
mtangazaji sauti iko chini sana fala ww unashindwa ata na unae muoji
@LawrenceKonga-g1u
@LawrenceKonga-g1u 3 месяца назад
HAHAHA fella king jeuri
@hassanmatola-ff1to
@hassanmatola-ff1to 3 месяца назад
Bonge la interview
@christinapeter7131
@christinapeter7131 2 месяца назад
Kweli kabisa hajawahi kucheka ila hutabasamu kdg tu!
@NiyonkuruAudu
@NiyonkuruAudu 3 месяца назад
Hatujajuwa anaishi mjii ngani?
@luciamsani
@luciamsani 2 месяца назад
Umetuwakilisha vizuri waluguru wenzio big up mzee🥰🥰
@athanaskipeto572
@athanaskipeto572 3 месяца назад
Mzee magali wewe ni lulu ya tanzania na michango ya mashabiki wako ume kufikisha hapo na kumbuka siku ume kuja ilinga ilifikia city lodge ipogolo mwenyeji wako alikuwa Bathoromeo Kuzugra tume kumisi sana Hongera kwa kufika huko japo hutujui magum unayo pitia na changamoto unazo pitia ila usisahau nyumbni kumenoga
@MbongoBoy-yg9tq
@MbongoBoy-yg9tq 3 месяца назад
Kwel tusikatetamaa
@gracegehazi638
@gracegehazi638 3 месяца назад
@Junior talent nataman nifike huko marekan,niwe hata nakusaidia kazi tu,nifanyie mpango jaman
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 3 месяца назад
Timiza ndoto zko kwa Mungu alishindikani jambo unaweza ukaanzia ata nchi nyingine badae ukafika unapotaka
@rithanickolaus2881
@rithanickolaus2881 Месяц назад
jamani mzee magariii,nimekumisi,nimefurahi kukuona baba etu
@njuka3515
@njuka3515 3 месяца назад
Jacob wewe tafuta mahinda
@vipajitv1799
@vipajitv1799 3 месяца назад
😂 Ahsante subscribe please
Далее
Редакция. News: 136-я неделя
45:09
Просмотров 1,5 млн
ТАРАКАН
00:38
Просмотров 1,4 млн
Bearwolf - GODZILLA Пародия Beatrise
00:33
Просмотров 333 тыс.
VETA YAWANOA MADEREVA WA MAGARI MAKUBWA
4:38
Просмотров 16 тыс.
Mpaka Home MAISHA HALISI YA AFANDE SELE NA UTAJIRI WAKE
22:55
KISA KASOMA NAE
10:57
Просмотров 191 тыс.
Редакция. News: 136-я неделя
45:09
Просмотров 1,5 млн