Тёмный
No video :(

MPANGAJI EP 1 

Txdullah
Подписаться 68 тыс.
Просмотров 79 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 252   
@VENANCETV
@VENANCETV Год назад
Pamoja na kwamba mi mgumu kucheka ila ya Leo kiboko😂😂😂
@tariqhassan1385
@tariqhassan1385 Год назад
Mpangaji anaruhusiwa Kuiuza nyumba, Eandapo atapata changamoto za kibinadam 😂😂
@user-se4ng1lt5v
@user-se4ng1lt5v 9 месяцев назад
😂😂😂😂
@mrenjoyfootball8403
@mrenjoyfootball8403 3 месяца назад
Kaisaaaaa hahhahahhaha
@EliyaUhaula-ck3pu
@EliyaUhaula-ck3pu Год назад
Haaah NYIE Jamaa watu wananicheka huku nje wanaona nacheka pekeyangu
@MM-Advanced
@MM-Advanced Год назад
Hahahahahaha.....Hii kama inauhusiano na mkataba wa bandari hivi!!!
@salumumawaya
@salumumawaya Месяц назад
😂😂😂😂 mwenye nyumba kayatimba
@user-do2rm3id2z
@user-do2rm3id2z 11 дней назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣mkataba WA mpangaji mashaliti yamenifurahisha sana
@nyotamy3678
@nyotamy3678 Год назад
Et "Relax", "na umeshasaini" 😂😂😂😂 Sema Dullah zile pigo za kuazima kitu skuizi vipi..? Nilikuwa nazielewaaa... Yule jamaa anakuja ankuita "Tx Dullah mnyamaaaaaa" alafu na ww unasema " oiiii..." 😄😂😂😄 Irudie bana ile
@Zaikadena
@Zaikadena Год назад
Ila dulah huna akila hata dah nimecheka sana ye aliona kakukomoa kumbe yeye ndo ananyongwa kabisah jmn
@yusuphmsigwa
@yusuphmsigwa 10 месяцев назад
Dullah we ni Msenge 😂😂😂😂😂😂😂😂
@bwatamuramadhani8433
@bwatamuramadhani8433 Год назад
😂😂😂 vichaa mmekutana na hii ni best combination kaka dulla
@tumajunior6080
@tumajunior6080 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🔥🔥🔥🔥anaitwa txdullaah mkataba wako mkali mwenye nyumba amekimbia❤❤❤
@theprincejr1417
@theprincejr1417 4 дня назад
Endapo mwenye nyumba atapinga anaruhuswa kuuawa hapo hapo 😂
@KALUMWASHIDAHA
@KALUMWASHIDAHA Месяц назад
Try dullah noma sana😂
@WillyWillyTZ-kw5ff
@WillyWillyTZ-kw5ff Год назад
Mpangaji anaruhusiwa kuuza nyumba endapo atapata changamoto za kibinadamu😂😂😂😂
@premissemumbere1118
@premissemumbere1118 11 дней назад
Txdulla wewe ni mukali njama yangu nakukubali 😅😅😅😅😅😅
@emmanuelgeorge5981
@emmanuelgeorge5981 Год назад
🙆🏽‍♂️😂😂😂😂😂 Tx akili azipoo 😂😂😂😂
@euniceyalledy1745
@euniceyalledy1745 Год назад
Tx banaaa hahahahahaha 😂😂😂😂😂😂😂😂 dah nyie noma sanaaaa ❤❤❤❤❤❤
@venturebown6983
@venturebown6983 Год назад
Hapo kweny kuuuwa hapo hapo ...so powa ...Ata Kam ni wew lazim uchimbe😂😂😂 ghaiii ghaiii 🙌😅
@innocentmathias8668
@innocentmathias8668 Год назад
Hahah oya dullah huyo jamaa usimuache unaendana nae kinoma🤣 ananifurahishaga anavyoshangaa
@mr25d
@mr25d Год назад
Tx Dullah bana umenifanya nimecheka kama fala nikiwa pekeangu 😂😂😂😂😂😂😂
@athumanichamzuri3844
@athumanichamzuri3844 Год назад
Idea kubwa mnooo tumependa lets go.... tunataka kila baada ya siku 3 epsode
@user-vx6nf8ol5z
@user-vx6nf8ol5z 3 месяца назад
Yan leo nilikua na stress kibao sijui kipi kimenifanya niagalie Mana furaha niliyopata nihatal dulla Ni 🔥
@abubakarabdallah9297
@abubakarabdallah9297 Год назад
Wakwanza duuh mauwa wazee
@user-yh7dc6tx4x
@user-yh7dc6tx4x Год назад
Unajuwa kaka dullah😂😂😂😂😂
@adamsadick2745
@adamsadick2745 Год назад
Nmeirudia😂😂😂
@patricksadiki254
@patricksadiki254 11 месяцев назад
Much love from+254 ,,hii ni kali sana
@silvandaddy
@silvandaddy Год назад
🤣🤣🤣 hii ya leo noma
@clintonystarson7121
@clintonystarson7121 Год назад
Oyaa tx fala saana 😂
@mosesdavid-vm5hk
@mosesdavid-vm5hk 11 месяцев назад
kiukweli ua mgumu kucheka ila nikimchek Tx dullah nakua laughing noma KAzi NZuri ase mnajua ase
@aminahussain3058
@aminahussain3058 Год назад
Nimecheka mbaka naisi mkojo unatoka 😂😂😂😂😂😂😂😂
@roi2554
@roi2554 7 месяцев назад
Anasisitiza Mmmh ni mkataba na umeshasaini😂😂😂
@robsonwisdom1994
@robsonwisdom1994 Год назад
😂😂😂😂😂umeshaaa sainiiiiii uza nyumbaaaaa dulaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@samwelmwaipopo7120
@samwelmwaipopo7120 Год назад
nimecheka sana😂😂😂😂
@Tanzaniamoviestrend
@Tanzaniamoviestrend 10 месяцев назад
Wanamwita tx dullah
@jonas_helias
@jonas_helias Год назад
Daaaah hii Kali 😂😂😂😂😂
@imaniemanuel3813
@imaniemanuel3813 10 месяцев назад
Mpangaji anaruhusiwa kula kwa mwenye nyumba kwa kujipakulia 🤣🤣🤣🔥🔥
@Shijajohn5084
@Shijajohn5084 Год назад
Hasara za kusain mikataba ya awali ndo hii sasa, tucheke na Dullah huku tunajfunza
@PHOSTINEMTAMU-lw7rp
@PHOSTINEMTAMU-lw7rp 10 месяцев назад
Hiyo ya pili ndio iko sawa😂😂😂😂😂😂😂
@ramlatshabani5235
@ramlatshabani5235 9 месяцев назад
😂😂😂🙌 nomaaaa
@chidboy-nl9bj
@chidboy-nl9bj Год назад
Hiyo imeeenda 😀😀😀😀
@sharifsaidshoka8684
@sharifsaidshoka8684 10 месяцев назад
Huyu mpangaji namsamehe na kodi namlipa hata km hajatoa kodi😂😂😂😂
@jumasaid106
@jumasaid106 2 месяца назад
We dulla miausho kwel😂😂
@MussaKitulanya-ys5ez
@MussaKitulanya-ys5ez 11 месяцев назад
Kulaaa chomàà ikooo
@IbrahimDzidzi-ss1ir
@IbrahimDzidzi-ss1ir 2 месяца назад
😂😂😂😂dulah ulikja dunian kutufurahisha
@tinakabyemela3593
@tinakabyemela3593 Год назад
😂😂😂 dah hii imeenda.
@aminielimushi8709
@aminielimushi8709 Год назад
Angalia Kuna watu wamechoka kuwa na amani,,,utauwawa hapohapo,,,ukikiuka mkataba haijalishi we ni mmiliki
@user-dx4gl5uu7u
@user-dx4gl5uu7u Год назад
Duh unasain kabla ya kusoma
@user-bk5cs4wo3t
@user-bk5cs4wo3t 7 месяцев назад
...mmh jamani nyinyi mtatuuwa❤❤❤❤❤❤
@osadgstuy5746
@osadgstuy5746 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hii imeenda
@user-zg5no1dy8z
@user-zg5no1dy8z 6 месяцев назад
😂😂😂😂😂 chizii kapewa rungu
@andrewmtn3449
@andrewmtn3449 Год назад
Dullah!😂😂😂😂😂😂😂😂 nakukubali sana
@abdallahmpogole-xw7br
@abdallahmpogole-xw7br 11 месяцев назад
Ichi kichwa ichii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣duuuh
@andrewmtn3449
@andrewmtn3449 Год назад
Hii ya leo kiboko🤣🤣🤣🤣
@bhokesaid3264
@bhokesaid3264 7 месяцев назад
Machozi yamenitoka kwa kicheko wallah😅😅😅
@johnas9496
@johnas9496 Год назад
kama kucheka ndokuongeza siku safi sana mi nina miaka ka 1000
@mohamednammenge1538
@mohamednammenge1538 Год назад
Sema Dullah wewe ni mwehu sana daaah
@meck_eight255
@meck_eight255 Год назад
Nimekubali hii txbrother❤❤❤
@josephatmasabari1348
@josephatmasabari1348 Год назад
Njala🔥🔥
@balltalk2024
@balltalk2024 Год назад
😂😂😂😂 kumjeruhi vikali
@albinishirima6981
@albinishirima6981 Год назад
wee mjamaa noma nimecheka mpk machozi TX big up sana kaka
@andrew0502
@andrew0502 11 месяцев назад
Mpangaji anampa mkataba mwenye nyumba hahahahaaa
@ferouzmasoud3104
@ferouzmasoud3104 Год назад
Noma 😂
@donne3452
@donne3452 11 месяцев назад
Duo yenu inabamba sana😂🙌
@olekuphilipz8226
@olekuphilipz8226 Год назад
❤❤nakwamini
@dullymsomaly3782
@dullymsomaly3782 7 месяцев назад
KIPAZA SAUT CHA NIN....KINAONEKANA MKIFICHEE SASA
@ibvisions4321
@ibvisions4321 Год назад
Oya dula umefanya nacheka kwa sauti usiku 🤣😂 mbavu zangu
@alfredjohn5693
@alfredjohn5693 Год назад
Apo kweny kuuwawa 😂😂😂😂
@YoungblackPeople-qf7vx
@YoungblackPeople-qf7vx Год назад
Owa nimechekaaa kinomaaaa😂
@mwakwelisaid3152
@mwakwelisaid3152 Год назад
Dullah ww n funny
@FranceThomas-ug2ed
@FranceThomas-ug2ed 11 месяцев назад
Broo Acha ujinga utaniuwa kwa kucheka punguza mapigo nyumba kuuzwa tena
@johalirankunda6618
@johalirankunda6618 7 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂mbavuzinavunjika kwa uyumkataba wampangaji umesaini
@bingwathedon
@bingwathedon Год назад
Jamaa unaweza sana upewe mau yako 🌹🌷🌷🌷🌷🌷
@mpundempunde1722
@mpundempunde1722 Год назад
Dah dula fala Sana walahi nimecheka ofisini kwa nguvu
@davidmkayula2471
@davidmkayula2471 Год назад
Kaka dullah😂😂😂😂
@imaxshine2210
@imaxshine2210 6 месяцев назад
Dula naomba tuu nirudie hii script aiseee, unawazimu kweli
@andrewraphael3098
@andrewraphael3098 Год назад
😂😂😂🤣😂 ni ushauri tu
@hillzshavee7041
@hillzshavee7041 6 месяцев назад
Alf Dulla Uyo Dogo Mbona Anaongea Kam Ww Lafudhi Ake
@RechoLusoko
@RechoLusoko 18 дней назад
Dula utaniuwa jamani
@conceptalabany7817
@conceptalabany7817 11 месяцев назад
Nakutoa belenge mpangaji ww 😃😃😃
@saimonsuwi994
@saimonsuwi994 Год назад
Daah txdullah na chard talent mnajua san
@PolyLasway-ln5ze
@PolyLasway-ln5ze Год назад
😂😂😂 aseee big up bos
@user-sk9vt3fi9i
@user-sk9vt3fi9i Год назад
Ww falaa sana uuze nyumba tenaaa😂😂😂
@AlbertAlistides-sv7ju
@AlbertAlistides-sv7ju Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 umetish san
@alphakiuyo9447
@alphakiuyo9447 Год назад
Anaruhusiwa kumuonya kwa kurudi usiku
@HappyLoungingPanda-cu2jf
@HappyLoungingPanda-cu2jf 7 месяцев назад
Kaka mnatisha❤❤❤❤❤❤❤❤
@AlyMAly-wf5dl
@AlyMAly-wf5dl Год назад
@Txdullah to be honest hii Clip ni kalii kinomaaa pongezi sana Mkuu. Nmecheka ile mbayaaa, lakin pia naomba kujua Location ya hiyo nyumba aisee imenyooka sana surely nimeipenda na kama kweli inapangishwa basii nahitaji kuwa mmoja wa wapangaji ambao watakuwa wanaishi hapo ila kama ni Guest au Lodge nataka pia kutumia hapo japo kwa mara 1 au hata 2. Thanks
@mrenjoyfootball8403
@mrenjoyfootball8403 3 месяца назад
Daaah ila tx subaru
@user-dx4gl5uu7u
@user-dx4gl5uu7u Год назад
Ila dullah mmekutana kwel nimecheka htar hdi mpngji ana mkataba😂😂😂😂
@johalirankunda6618
@johalirankunda6618 7 месяцев назад
😂😂😂😂😂na.mpangaji anamkataba❤😂😂😂
@bhokesaid3264
@bhokesaid3264 7 месяцев назад
Umesign enh,tyr umeshasign😂😂😂
@idirajab6652
@idirajab6652 Год назад
Mwenye nyumba kakimbia 😂😂😂😂
@user-xw2vu2mt2p
@user-xw2vu2mt2p 5 месяцев назад
Tx una hatari 😂😂😂😂😂
@yusuphmkomwa3427
@yusuphmkomwa3427 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 daaaa ila we jamaa ninomaaaaaaaa et kuuza nyumba
@jamesisram5833
@jamesisram5833 Год назад
It's been a long way 🙌
@jwakoofficial1560
@jwakoofficial1560 Год назад
Iyo imenda
@joramsengi9123
@joramsengi9123 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂 sa mwenye nyumba yake anaenda wapi
@dianerditto
@dianerditto Год назад
Ndio yaleyale Mwez huu sina kodi mwenynyumba aje achukue nyumba yake aniachie vyombo vyangu
@daudramadhan7379
@daudramadhan7379 11 месяцев назад
Eeh kila mtu na ubunifu wake😂😂😂
@elianaarsen9942
@elianaarsen9942 Год назад
😀 mpangaji anaruhusiwa kuuza nyumba!
@user-jg3yv5pr9q
@user-jg3yv5pr9q 7 месяцев назад
Hii n hatar 😂😂😂
Далее
MPANGAJI  EP 2
7:40
Просмотров 75 тыс.
SIJAWAHI KUDANGANYA 06
16:19
Просмотров 97 тыс.
MILLION JAMOASI 2024 4K
2:17:51
Просмотров 12 млн
Паук
01:01
Просмотров 2,8 млн
Аруси Точики ❤️❤️❤️
00:13
Просмотров 190 тыс.
ЭТО мне КУПИЛИ ПОДПИСЧИКИ 📦
22:33
TXDULLAH   DOGOSELE NAKUSHAULI
11:01
Просмотров 166 тыс.
Umekiona kifaa cha kunawia mikono cha TX Dulla?
3:34
KAUZU EP 1. TX DULLAH, CHARDTALENT, OBAMA 😂
7:45
Просмотров 34 тыс.
MPANGAJI EP 3
8:42
Просмотров 76 тыс.
TX DULLA AMUOKOA TENA NDARO
9:00
Просмотров 81 тыс.
SIJAWAHI KUDANGANYA 08
10:33
Просмотров 60 тыс.
TXDULLAH AMEMLA MKE WA BABA YAKE MKUBWA
9:36
Просмотров 72 тыс.
MILLION JAMOASI 2024 4K
2:17:51
Просмотров 12 млн