Тёмный

MR PIMBI AFUNGUKA // HARMONIZE KANYIMWA TUZO YA MSANII BOR WA MWAKA,,KACHUKUA MARIOO,,NIMEUMIA SANA 

PTVTANZANIA online
Подписаться 517 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

20 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 30   
@yasminally1015
@yasminally1015 9 часов назад
Asallam maalequ Mr Pimbi Allahadulilah Allahadulilah Allahadulilah Maashallah Maashallah Allah hjelp R A . T. B .J Ishaallaha Allah hjelp R .A.T.B.J ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@FaridjosDeroulo
@FaridjosDeroulo День назад
Basata nyinyi Nima ibwa sana kbs muko ma shenzi sana amujuwi mahana ya music ma shenzi
@cristianorobathchilambo4463
@cristianorobathchilambo4463 День назад
Ubaya sana wa tz. Harmonize ni Msaani bora ❤❤❤❤❤
@azizasadi5407
@azizasadi5407 День назад
Wewe ni mzee wa fact kabisa ❤️❤️❤️❤️
@TapiwaPhiri-s4h
@TapiwaPhiri-s4h День назад
Wewe unatowa fact kbs pimbi❤❤❤❤❤❤
@cedrickthebarber
@cedrickthebarber День назад
@mr pimbi Leo umenigusa kweli kweli
@jacksonmkala8154
@jacksonmkala8154 День назад
Hapo hongo lilitembea harmo is the best
@BarakaHarrison-l4t
@BarakaHarrison-l4t День назад
Kondeeeee ata achee mziki bado atakuwa boraa daima
@KassimMtima
@KassimMtima День назад
Mr pimbi mie sikukubali siku hizi kukaa mbali na mwanao hamo ila kwahili awa jamaa wamemuzurumu konde kiukweli
@EdsonDiocles
@EdsonDiocles День назад
Wamezingua sana
@vailetimsaghaa6008
@vailetimsaghaa6008 День назад
Umeongea kweli Mr pimbi
@shukurukitamuka6829
@shukurukitamuka6829 День назад
Huwo ndo ukweli wimbo bora kwanini asiwe musani bora😂😂😂
@JeniKasanga
@JeniKasanga День назад
Machine ni konde
@adammakame63
@adammakame63 День назад
Sasa unaongelea tuzo kwa ujumla au unaongelea harmonize. Wewe fala sana.ulikua unapenda vizuri ila leo unaharibu
@azizasadi5407
@azizasadi5407 День назад
Msani bora wakiume angepewa konde boy kwa kweli.
@JerryMuhima
@JerryMuhima День назад
Konde boy ndiye mushindi
@YusufTenge
@YusufTenge День назад
Sio Tuzo hizi mzee wa busara ni Zawadi tu wamepewa wasani wote
@limbomambo9728
@limbomambo9728 23 часа назад
Konde atabaki kua nyota milele daima hata wabane ipo siku wata achia konde ni teacher miaka yote harmonize ni nyota
@MeshackMagaro
@MeshackMagaro День назад
Msani bora ni umetoa hit ngapi huyo harmonize ana hit moja tuu
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi День назад
Shoga ww
@mwanahamisisadiki4892
@mwanahamisisadiki4892 День назад
😂😂😂😂😂​@@RomanMwinyi
@DickyMaitha
@DickyMaitha 17 часов назад
Ww unaongea nn eti hit Moja album yte umeeka wapi hizo zingine
@BertinajoseJúlio
@BertinajoseJúlio День назад
Konde 🐘🐘🐘🐘🐘🔥💪💪💪💪
@ChingaPambakalii
@ChingaPambakalii День назад
Kwani mziki anaimba peke yake shukulu amepewa hata izo tungechukua zote mbwa wew
@adammakame63
@adammakame63 День назад
Mr pimbi muongo.unasema hivyo kwa sababu harmonize kapitawa na diamond. Angepata usengesema hivyo. Kumbuka hizo tunzo watu walipiga kura.kwa hiyo kura zake hazijatosha.pimbj wewe
@sandramutabazi8666
@sandramutabazi8666 15 часов назад
❤❤❤
@SuleimanAli-jv3lt
@SuleimanAli-jv3lt День назад
Walio piga kura ni watu bro kumbuka hilo na sio waandaaji wa hizo tunzo
@MeshackMagaro
@MeshackMagaro День назад
Mario anastahili juu kila nyimbo ikitoka ilikua ni hit sema mario atakuj kumurithi simba
@SamsonJumanne-c1o
@SamsonJumanne-c1o 10 часов назад
wambie ukweli jeshii alistahili apewe
@BekaMsafi-qy5ry
@BekaMsafi-qy5ry День назад
Ilikuwa kalisana
Далее