Тёмный
No video :(

Msanii wa Nandy AMWAGA MACHOZI Hadharani baada kumuona MAMA YAKE MZAZI 

Rick Media
Подписаться 869 тыс.
Просмотров 195 тыс.
50% 1

...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram www.instagram....
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------
#Nandy #Yammi

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 191   
@hawaabakari6005
@hawaabakari6005 Год назад
Like kwa Nandi jaman kafuraisha kila mtu alivyo mtwaa uyuu msichana like tafadhali
@fedhandunga5935
@fedhandunga5935 Год назад
I am crying to don't give up single mother💪💪💪
@elyseenenette2358
@elyseenenette2358 Год назад
Nandy mungu akuzidishie ❤️❤️
@rachelbernad8330
@rachelbernad8330 Год назад
Hongera sana nandy wew ndo the African prinses no one again 💪
@arleneilunga9202
@arleneilunga9202 Год назад
Now kings music we find another princess to support in Tanzania ✌🇨🇩🇨🇩
@hellenbenny8913
@hellenbenny8913 Год назад
Hizi nyimbo kama alipania kuniimbia mimi haki vile congratulations 👏 young princess 👸💖
@rebeccaselemani9597
@rebeccaselemani9597 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@neemamondo3048
@neemamondo3048 Год назад
mashaAllah yusra uko vizur sana mungu akusimamie dada
@masoudshaib3779
@masoudshaib3779 Год назад
Ni yasrun sio yusra bestie
@dorispatrick462
@dorispatrick462 Год назад
Give up to single mama's ❤️🫶🏾
@mwabiawahadi6247
@mwabiawahadi6247 Год назад
Huyu Usimfananishe Na Zuch Sauti Ya Zuch Kinanda Anajua Kutunga Kucheza Nakulimilik Jukwaa Thenks Zuch Popote Ulip Tunakupend
@AfricaQueen
@AfricaQueen Год назад
Umeonaaaa Asante Waaleze Wasiojua Mziki .Hakuna Mwenye voice Tanzania 🇹🇿 Nzima Kama Zuchu 🙌🙌🙌🙌👌🏾☝️👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑💕❤️To Zuchu 🥳
@Firstkhao11
@Firstkhao11 Год назад
Lakini kuimba live is where she draw the line .. Si lazima mshushe mwenzenu
@halimahassankipanga
@halimahassankipanga Год назад
Zuchu hana sauti kinanda tuwache
@AfricaQueen
@AfricaQueen Год назад
@@halimahassankipanga hellow mwanawivu Zuchu atawachoma sana Na ngoja nyimbo mpya inakuja.
@AfricaQueen
@AfricaQueen Год назад
@@halimahassankipanga wacha wivuuuuu shost mungu kampa sauti imba wewe tusikie😏🤣😂😂
@winfridapeter9455
@winfridapeter9455 Год назад
Anajua sana huyu bint,mwenyezi mungu amtangulie sana
@justinakaronge5270
@justinakaronge5270 Год назад
Hongera Sana Nandy kwa kazi nzuri
@denismigayi8513
@denismigayi8513 Год назад
Princess katuletea another princess
@liliankish165
@liliankish165 Год назад
Mm sijuwi mbona munamulinganisha na zuch zuu ni 🔥🔥🚒
@ashakikuni2553
@ashakikuni2553 Год назад
Jamani acheni maneno mengi wote wanajuwa msiwakatishe tamaa wasanii wetu
@mudarisuburhan7182
@mudarisuburhan7182 Год назад
Hapn hapn Kusema ukweli wa mungu hajamfikia zuchu hata theruthi sema yeye nandy kwenye uwekezaji angetafuta msanii mwenyeuwezo mkubwa sio huyo labda kama kuna kitu .,nk
@tatuomari781
@tatuomari781 Год назад
Kweli kabisa
@beatricekadzo5215
@beatricekadzo5215 Год назад
Acha roho mbaya
@shakraoman2321
@shakraoman2321 Год назад
Acha wivu hata ivo vkubwa vliaza kuwa vdogo
@tatotato506
@tatotato506 Год назад
@@tatuomari781 acha .makasiliko umefatanini uwendekwazuchu huko anaejua.nyooooo
@ostakiamgaya2045
@ostakiamgaya2045 Год назад
Kwer kwenye msafala wa mamba na kenge wamo,tuonyeshe uwezo wako 🤌
@bishambajuma4533
@bishambajuma4533 Год назад
Yammy kwa ubora wake....my favourite song is NAMCHUKIA💕❤💞🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mizumo6935
@mizumo6935 Год назад
Uyu Binti Anauwezo Mkubwa Wa Kuimba live Yani Kila Baada ya Siku Atakua sawa Na Mzuri Bwana wee Kuliko uyo Zuchu Wenu
@zulually455
@zulually455 Год назад
Wachanaa na Zuchu ww
@aishamagoshi2852
@aishamagoshi2852 Год назад
Kwelikabisa
@sbm7319
@sbm7319 Год назад
@@zulually455 zuchu anajua kucheza sana kuliko kuimba kwenye stage
@elyseenenette2358
@elyseenenette2358 Год назад
🤣🤣🤣acha nicheke Kwanza Sina neno 🤣🤣🤣🤣
@zubedahusen
@zubedahusen Год назад
Mashallah sio kilamtu atapenda mafanikio yako najuwa unajieshim naunajuwa ulio pitia maneno yawatu yasikatishe marengo yako mungu akutangulie yammi
@njmahn3262
@njmahn3262 Год назад
Anasauti nzuuuuri mashaallah yakuimba kaswida
@mamazena3382
@mamazena3382 Год назад
Yupo vizr sna hogera yake kwakwer mwenye ezi mung akikuze kapaji chake inshaallah
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews Год назад
Yaani live mtotot kauwaa 👌👌go mama we love uuuuu
@halimaally6443
@halimaally6443 Год назад
Xixter yamm Allah akufanyiy wepex 🤲 na azid kukup uwez zaid yahuw na akuepuxh na lolot bay 🥰💋💋👏🤲 Amen nakupend xn dada
@yusrairakoze3966
@yusrairakoze3966 Год назад
Mashallah hadinraha kwakweli sauti nzuri sana
@rajumrecords711
@rajumrecords711 Год назад
Ray C is back
@Kbaya86
@Kbaya86 Год назад
Nandy Mungu akuzidishie
@salimasalma6109
@salimasalma6109 Год назад
Binti Bado bikra Ila asikutwe na mond🤣🤣
@amadembenzimbenzi9491
@amadembenzimbenzi9491 Год назад
BG sster nand for sapot yammy ujapoteza
@welcometoeat165
@welcometoeat165 Год назад
Leo anamwaga machozi kesho anakumwagia machozi 😢Yan wasanii heshima awana haswa wakishapata vihela kdogo na marafik wanawapotosha! Ila naomba iwe kher na mungu amlinde na waftn aje kumuhshm nandy leo na kesho! Asije kumuona takataka hapo mbeleni inshallah! Mana tunaona mengi kwa sasa wengi walioshikwa mikono kama hivi kwa sasa wamegeuka maadui hawafai ata kwa maandaz na chai ya maziwa
@safiasaleh669
@safiasaleh669 Год назад
Swadaktaaaaa mara anaiba Mumewe khaaa hao tena
@AfricaQueen
@AfricaQueen Год назад
@@safiasaleh669 😂🤣🥁🥁😂🤣Hapo ndio kama mbwai ni mbwai 😂🤣🔥🔥🔥🔥🏃🏿‍♀️🏃🏿‍♀️🏃🏿‍♀️
@mahmoodmohammed1679
@mahmoodmohammed1679 Год назад
tunategemea utofauti kidogo Kwa wakina hawana roho ngumu kma zetu za kiume
@chagaboy255
@chagaboy255 Год назад
Mashallah Mama Mzaa Chanda Chema❤️❤️❤️ Yammi n Mkali sana wallah Namuona Mbali wallah
@lornairungu8483
@lornairungu8483 Год назад
Aki watz mwapenda sana kujiskia mkiongea kizungu
@mcback4384
@mcback4384 Год назад
Sio kizungu ni English we ng'ombe wa Kenyatta, lugha kutoka England sio shithole yenu
@khaledoman8266
@khaledoman8266 Год назад
Nady Mungu akubariki
@aminatarabana7959
@aminatarabana7959 Год назад
Mashallah tabaraka allah sijuwi nisemenini ila najuwa san namukubali san toka apo awali
@obirinaom9611
@obirinaom9611 Год назад
She will go far
@rabekanjau6954
@rabekanjau6954 Год назад
I love you yammi ,keep fighting princess
@rutiissa-mg9fc
@rutiissa-mg9fc Год назад
Very nice
@japetisalimshemadanga7961
@japetisalimshemadanga7961 Год назад
Nampenda sana yammy jamn ❤️
@vannexkenya
@vannexkenya Год назад
Hivi nguo Ina shida gani maana Mimi sioni 🥺 dada mkaliii 🔥
@aminambwana5294
@aminambwana5294 Год назад
Nandi jamani kajiletea mke mwenzie kiltageuka chakula ichor cha nenga 😂🤣
@AliAli-rx6wu
@AliAli-rx6wu 11 месяцев назад
Tayari nenga kishakula huyoooo!!! Tena nenga mjanja kamtomba huyo demu paleeee Keys Hotels lainiiii!!! Kama Yasrun ka book chumba,kalipia, kaambiwa chumba namba 106 au siyo??? Nenga kaja kachelewa daah!!! Katukanwa!!!! Daah ila mwisho wa siku Nenga katomba!!!! Hilo li YAMI DAAAH!!!!
@fatmabazhee797
@fatmabazhee797 Год назад
mtoto sauti na shape hiyo!!!
@AfricaQueen
@AfricaQueen Год назад
Shape Sawa Haki Yake Tumpe Lakini Hana good Vocals Bado Zuchu Yuko na Best Vocals la Mihimu Ni kusikiliza Vocal Hiyo Ndio Mziki Mwari Wenu Badooo Kabisa Wamewahi Kumtoa 🤔Bado Hajaiva.😎
@sharifasalim7
@sharifasalim7 Год назад
Badoo Sanaa huyu hawez mfika zuchu
@joyanambuya4486
@joyanambuya4486 Год назад
Nandy mungu akuweke sio hao wengin yani
@deciocandidoussene3839
@deciocandidoussene3839 Год назад
African Princess 🇲🇿🇲🇿
@nuu-88.
@nuu-88. Год назад
😍😍mzurii san jamn zuchuu akasome shepu kam lote
@welcometoeat165
@welcometoeat165 Год назад
Makubwa Sasa unashndwa kumtaja nandy eti zuchu akasome 😅😅😅 makubwa
@AfricaQueen
@AfricaQueen Год назад
Wacha Roho Mbaya Hakuna Mwenye Sauti Nzuri The Best Vocals kama Zuchu Hamumuwezi hata uwe Na Shape kama Hujui Kuimba Na Shape Yako Hupati Soko Tunafuata Vocal Jifunze Kusoma mziki kisha Rudi kucoment wacha Roho mbaya mtoto wa kiislam loh !Roho Zitawachoma sana Na Bado Zuchu Yuko Chiani Na nyimbo mpya ndio itakuwa kwako chozi dibwi dibwiiii👑Zuchuuu Tanzania Golden Voice💕💕💕💕
@AfricaQueen
@AfricaQueen Год назад
@@welcometoeat165 Ni Watu Wenye Wivu Na Zuchu Hawamuwezi Zuchu Hawa huyu mwari wao arudi Ndani Bado Hajakomaa Hata uwe Na shape kama huna voice Vocal huwezi kutoboa Zuchu Kiboko Yako The Best Vocal Woman in Tanzania .wachana Na wanga wabayaaaa hao Na Unamuona linavyomchoka Hajui Wala Aandike Nini Eti Akasome shaepe😂🤣😂
@happinessburton7529
@happinessburton7529 Год назад
@@welcometoeat165 hahaha sijui kwann kila mtu zuchu akakome wanasahau km hata huyo boss wao kafunikwa kwa shepu n huyu dada
@justinakaronge5270
@justinakaronge5270 Год назад
Yammy hongera sana,umeingia kwenye mpambano kaza but I usijisahau!
@naillanassor2589
@naillanassor2589 Год назад
Usianze kuvaa ichi bwana funika kitovu uchi sio usanii unawezaaa vaa vizuriiii
@fatmaali4921
@fatmaali4921 Год назад
Yaan hiyo shepuu ya uyo mtoto imekwenda shulee hatar
@husnahusney
@husnahusney Год назад
English figa ❤
@mahmoodmohammed1679
@mahmoodmohammed1679 Год назад
Wanaume hawajamkamia ngojea wanaume wamkamie...nandy pia alikua ivo mwanzoni
@zawaditamari9752
@zawaditamari9752 Год назад
Ubarikiwe nandy
@kamikazisalma5209
@kamikazisalma5209 Год назад
Ukovizuri bi Dada ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@mahmoodmohammed1679
@mahmoodmohammed1679 Год назад
BASATA WANARUHUSU VIPI VAZI KAMA HILO LA YAMMI LIVE....nguo inakiuka tamaduni...Sisi Kama wakenya tumeskitika Sana😀🥺😭
@AfricaQueen
@AfricaQueen Год назад
Wacha wivu nguo imempendeza Na Basata wamerizika wacha Apendeze lakini Bado Hajamfikia Zuchu wala Hataweza Pata Sauti Vocal ya Zuchu 😏
@catewahu6860
@catewahu6860 Год назад
Talented bbygal
@salamasalum6956
@salamasalum6956 Год назад
Hongera nandi kutuletea kifaa changuvu
@panchovalentino3576
@panchovalentino3576 Год назад
YAMMI Yuko vizuuur saana 🔥💯💥💫🌟
@mariamkihemo897
@mariamkihemo897 Год назад
Nampenda aweke juhudi zaidi na uchangamshi tu
@pendochimammy5013
@pendochimammy5013 Год назад
Wowoo huyu dadaa 🔥🔥🔥🔥🔥
@zaninyanababy3799
@zaninyanababy3799 Год назад
Nyiye mpaka nimeliya nyimbo ya 2
@zainabsingo41
@zainabsingo41 Год назад
Mhhh mwachen zuchu wetuu
@aishaomar9621
@aishaomar9621 Год назад
Hongera Nandy Kwa kumpa ushirikiano dada yetu Mungu akubariki
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Год назад
Wanawake ndio wanaoharibu kizazi chao wenyewe
@madamgladytv
@madamgladytv Год назад
Shabiki ykoo
@crownprince399
@crownprince399 Год назад
Wooooooooh
@sophiamumbe888
@sophiamumbe888 Год назад
Ma.ashaa lla,h
@aishamwandau917
@aishamwandau917 Год назад
Love 💕 you from Kenya
@salomeandrew1741
@salomeandrew1741 Год назад
Wow amazing girl
@dalilaabdulkarim4458
@dalilaabdulkarim4458 Год назад
Woooow nice
@sallyadam683
@sallyadam683 Год назад
Hongera dada, uko vzr kwa kweli,🥰🥰
@maryraphaely9696
@maryraphaely9696 Год назад
Sasahivi wadada wataimba watapita bila rushwa yoyote .... God bless you Nandy ww ni African queen sio princess tena
@swariotibi6134
@swariotibi6134 Год назад
Mashaallah yammiy
@shamilamohamed4826
@shamilamohamed4826 Год назад
Da anajua mpaka ana kera
@maryamconstantine2232
@maryamconstantine2232 Год назад
Yummy anapata kashida na ako kanguo maskini
@schoolshamba
@schoolshamba Год назад
The best.
@zariadunia6328
@zariadunia6328 Год назад
Mbona huyu hamsemi taarabu⁰
@happinessburton7529
@happinessburton7529 Год назад
Hahaha m nashangaa
@magiehermess9949
@magiehermess9949 Год назад
Nlikua naonaga Nandy mbinafsi ila round hii kafanya uungwana
@aishaomar9621
@aishaomar9621 Год назад
Upo swa dadangu Mungu azidi kukuenua 🙏
@shedy_marie
@shedy_marie Год назад
Ungeleta ata wasichana watatu ingeiuwa shoo moja mbaya but nimefurah
@shekinahmurhububa7980
@shekinahmurhububa7980 Год назад
Tre ni pombe apa Sweden
@mwanamisimatini5908
@mwanamisimatini5908 Год назад
Wengine miaka mbili tu ashavulia boss wake chupi
@njmahn3262
@njmahn3262 Год назад
Wasoma comment tujuane hapa
@sharifasalum532
@sharifasalum532 Год назад
mashallah
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Год назад
Wamama wasojielewa mtoto yuko utupu linajitokeza
@joharihassani5782
@joharihassani5782 Год назад
Yani uyu binti anajuwa imba sana zuchu jiandaye kiekiekie kiekiekie
@rabinzsinoya1434
@rabinzsinoya1434 Год назад
Umetaka usanii subiri uwaze kutukanwa na kusifiwa.
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews Год назад
Kawaida
@fatumahaji5635
@fatumahaji5635 Год назад
Nandiii❤️❤️❤️❤️
@mejumaabaraza3989
@mejumaabaraza3989 Год назад
Usiadaike baadae ukenda wasafi utakwenda liwa na simba na uachwe mataa
@marthapaul3708
@marthapaul3708 Год назад
Changamka kidg mamy but uko vzr Kwa saut
@azizaaziza5453
@azizaaziza5453 Год назад
Sauti anayo kila kitu anaco namaanisha hata sura na muonekano kwaujumla
@azizaaziza5453
@azizaaziza5453 Год назад
Mimi nashauri usi jikoronge na madawa makali ngozi ysko nzuri unanapendeza
@khadija5761
@khadija5761 Год назад
❤❤❤❤❤
@azizamohamed7692
@azizamohamed7692 Год назад
Moto
@prodyuzastanley5369
@prodyuzastanley5369 Год назад
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@rahmaahmed9490
@rahmaahmed9490 Год назад
Yuko poa
@mdalamgir-gu9hu
@mdalamgir-gu9hu Год назад
Kwan mpka mtu avae nusu utupu ndio aonekane
@dantamusic8668
@dantamusic8668 Год назад
🔥 🔥
@salmasaid1521
@salmasaid1521 Год назад
❤ ❤ ❤
@zuwenasuleiman4060
@zuwenasuleiman4060 Год назад
Nyimbo zko zimetugusa wngi
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 Год назад
Rihanna copy kafanana nae sura yke.mhm zuchu ni fire nyie
@mwanabayadola5476
@mwanabayadola5476 Год назад
Zuchu tutamsahau sas hvi live n sauti nzri
@beyondintrusion1663
@beyondintrusion1663 Год назад
@@mwanabayadola5476 ww pekee yako
@hawaswalehe9796
@hawaswalehe9796 Год назад
❤❤❤
@miriammumbi4351
@miriammumbi4351 Год назад
❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@ngwacahnyagwaswa9979
@ngwacahnyagwaswa9979 Год назад
Sura kwa mbali kafanana na Paula
@salomeraymond2051
@salomeraymond2051 Год назад
umeona ee
@azizajaffar6475
@azizajaffar6475 Год назад
Good song
@justinrita7143
@justinrita7143 Год назад
👌🏽💯
@gracemnyani6848
@gracemnyani6848 Год назад
Sasa Zuchu anahusikaje hapa???
@happymwanyelele8576
@happymwanyelele8576 Год назад
Ndo msanii wa kwanza kwenye Lebo yake hapo ndo anamtambulisha
@fatmaally7252
@fatmaally7252 Год назад
Nashangaa sana wa tz ni hatari sana kwa doti
@mwezzireen17
@mwezzireen17 Год назад
♥️♥️♥️♥️♥️♥️🔥🔥
@adelaungwa8605
@adelaungwa8605 Год назад
Zuchu atampa na fasi kweli
@user-sp3gg7id8q
@user-sp3gg7id8q Год назад
Zuchu na wasafi ni wizi wa views hasa diamond platnumz anaboost views na wasanii wake anawabostia so hawa wasanii wengine hawana chance vile wanaonekana nyimbo zao km zimebuma 😆
@joycemfuru4752
@joycemfuru4752 Год назад
Ndo anaanza Mungu atamsaidia
@beyondintrusion1663
@beyondintrusion1663 Год назад
@@user-sp3gg7id8q unakasirika ukiwa wapi kigwegwe😂😂
@lusilatemu7099
@lusilatemu7099 Год назад
Yammi wewe kiboko wasauti
Далее
Коротко о моей жизни:
01:00
Просмотров 435 тыс.
C’est qui le plus fort 😂
00:18
Просмотров 9 млн
Yammi - Tulipatana na Nandy Tiktok
12:40
Просмотров 12 тыс.
Baba na Mama Nandy Wafunguka Mjengo Waliopewa na Nandy
11:46
#yammi  msanii wa #nandy   Show yake    #wedding
5:13
Просмотров 32 тыс.
Коротко о моей жизни:
01:00
Просмотров 435 тыс.