Тёмный

MSEMAJI MKUU WA SERIKALI: WENYEJI WANAOHAMA HIFADHI YA NGORONGORO HULIPWA MILION 10 HADI 15 ZA ZIADA 

MOTIVE TV_TANZANIA
Подписаться 6 тыс.
Просмотров 1,4 тыс.
50% 1

Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi, Leo May 26,2024 Ametia taarifa ya Serikali juu ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa uhamiaji wa hiari kutoka Eneo la uhifadhi ya Mamlaka ya Ngorongoro kwenda Msomera na Maeneo mengine yaliyo pangwa.
Atinyi amesema katika uhamisho huo umezingatia haki za kibinadamu na kwa wanao hama hulipwa kiasi cha shilingi milioni 10 hadi 15 za ziada ili kuweza kukidhi mahitaji yao ya kiuchumi na kijamii.
Pia Matinyi amesema kutokana na filamu ya The Royal Tour iliyofanywa Dkt. Samia Suluhu Hassani mapato yamepanda kwa kiasi kikubwa hadi kuvuka malengo.

Опубликовано:

 

6 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1   
@RafaelTiiye-vy7hz
@RafaelTiiye-vy7hz Месяц назад
Endeelea na upoto shaji tu ngorongoro Baba utanisamehe hatuhami sahau mpaka tuone tone lamwisho langorongoro
Далее
SARA avunja Rekodi NGORONGORO
10:39
Просмотров 58 тыс.
@ItsMamix учу делать сигму😎
00:12
Просмотров 679 тыс.