Тёмный

Msemaji Wa VITAL'O Alichokisema kwa Wa Tanzania Baada Ya Kufika BUJUMBURA,Kudundwa Goall 10 na Young 

Star TV257
Подписаться 84 тыс.
Просмотров 53 тыс.
50% 1

#tanzaniaupdate , #bujaupdate

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 188   
@SakuraWnews
@SakuraWnews 17 дней назад
Kama ni mtanzania tujikusanye hapa
@danielzambi8993
@danielzambi8993 16 дней назад
Huko huko ulipo Semaji la Caf tunakupenda saana huku Tanzania. Unajua kuongea vzr, na kitu kikubwaaaaa ulichokuwa nacho ni Appreciation Mungu anapenda Mtu wa kushukuru
@MichaelKingazi-wm7xj
@MichaelKingazi-wm7xj 17 дней назад
Transparency man.he talk realistic and with a fuly confidence. God bless you semaji la.cuf.
@shabanponera2895
@shabanponera2895 14 дней назад
Cuf ya lipumba itakuwa hiyo
@ashuramhandoashuramhando6798
@ashuramhandoashuramhando6798 15 дней назад
Nilikuchukia siku ya kwanza ulivyoiponda Yanga lakini nikaanza kukupenda siku zilivyokwenda sisi Watanzania ni watu Wema sana tunakupenda uje tena Tanzania tutakupokea tumekuelewa❤
@kudrasago9972
@kudrasago9972 17 дней назад
Karibu tena Tanzania
@oneegraphy8285
@oneegraphy8285 14 дней назад
much love from Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@humbimusisa-db1tg
@humbimusisa-db1tg 17 дней назад
❤❤❤❤❤❤❤ Hata URAIA we omba Tu siye tunakupa Tu ......❤❤❤❤❤
@geofreybarama4000
@geofreybarama4000 15 дней назад
Semaji la kimataofa la Vitalo karibu sana Dar es salaam...
@jokertv3073
@jokertv3073 17 дней назад
WATU WA BURUNDI semaji kashasema sisi n ndugu kwa hiyo nipo tayari kumpokea MTU WA BURUNDI Tanzania na kumsaidia kama kaja kutalii au kufanya kazi bora tu afuate sheria za nchi zote mbili KARIBUNI TANZANIA
@haburanimanagerard9505
@haburanimanagerard9505 15 дней назад
Napenda sana hiyi comment yako. Mungu akubaliki.
@jacksonruhahas1168
@jacksonruhahas1168 16 дней назад
Hahaaaa, asante sana bwana Bucuti, you're mostly welcome again to be with us. Tz is for everyone.
@jamesmwakila5866
@jamesmwakila5866 16 дней назад
Semaji welcome again to Tanzania🇹🇿
@KitangariGenerations
@KitangariGenerations 14 дней назад
Ujitahid kutoa interviews nyingi nyingi kwa Lugha ya kiswahili kila mara, utakuja kunikumbuka kaka, wengi tutazid kukufuatiria na utarud mjin niamini mimi. Yote kwa Hongera Bucuti.
@birundula
@birundula 17 дней назад
Tunakupenda uje tena
@DeoMsigwa
@DeoMsigwa 17 дней назад
Big up man
@sauka9622
@sauka9622 16 дней назад
Karibu sana tanzania kaka tunakukalibisha tena
@user-mp6zd2ui7r
@user-mp6zd2ui7r 17 дней назад
Semaji wa vitalo ulituchimba mkwala binafisi mm kama mwanayanga niliogopa.
@lazzR1935
@lazzR1935 17 дней назад
😮😅😅😂😂😂
@ronaldissack3338
@ronaldissack3338 14 дней назад
Arsene bucuti tunakukubali sana hapa Tanzania,karibu Tena 🇹🇿 Shabiki wa Young Africans SC hapa💛💚☑️
@AisamCapadia
@AisamCapadia 17 дней назад
Njooo Tanzania semaji la dunia tunakupenda na tunakuitaji kaka ❤❤
@emmanuelndabi1702
@emmanuelndabi1702 9 дней назад
One love Burundi. Karibu Tanzania
@salamSalehhhhh
@salamSalehhhhh 17 дней назад
Karibu bongo 🇹🇿
@renatusmgongo4083
@renatusmgongo4083 15 дней назад
Very honest Man
@simonanthonykayombo6913
@simonanthonykayombo6913 15 дней назад
Uko vzr semaji, ukiweza punguza mwili kwa afya ili tuzidi kukufurahia.
@user-dz5jc6pp8e
@user-dz5jc6pp8e 17 дней назад
Semaji kama semaji tumekukubari na sisi tunakupenda karibu sana nchi yenye upendo na vibweka
@josephambrose2215
@josephambrose2215 9 дней назад
Semaji la kimataifa la vital'o uje Tena Tanzania 🇹🇿💚💛🖤
@epimakussiyame5289
@epimakussiyame5289 17 дней назад
Tunashukur tulipata fedha ya mama semaji la cuf❤❤❤❤
@timamulituto
@timamulituto 17 дней назад
msemaji kibonge kwaza nikupe maua 🎉 yako mzee big 😂😂
@Jimmsuva-be5dc
@Jimmsuva-be5dc 17 дней назад
Karibu tena tanzania tunajua ilikua ni kazi yako
@Allankibweja
@Allankibweja 17 дней назад
Semaaji kama semaji 🔥
@jokertv3073
@jokertv3073 17 дней назад
#tigotz Semaji katoa codi NENDENI MKAKOPESHE simu BURUNDI mumpe kazi SEMAJI atawatangazia vizur XN
@habibumasenga6213
@habibumasenga6213 16 дней назад
Tunafumu sana kama wa Tanzania hamutupendi sisi warundi
@IssaKigwanya
@IssaKigwanya 12 дней назад
​@@habibumasenga6213apana unakosea sisi wote ni wamoja tunawapenda sanaaa tupendane wote
@kirakaabeid1824
@kirakaabeid1824 13 дней назад
Nimekupenda bure. Wa Tz tunaipenda Burundi hata Reli ya SGR Tutaifikisha Burundi ili mupata mahitaji muhimu kwa wepesi
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 14 дней назад
Ulituchangamsha sana watanzania karibu sana🎉🎉🎉😢
@AbdulkarimKigarawa
@AbdulkarimKigarawa 15 дней назад
Saf sana karibu tena 🇹🇿
@mariajames5558
@mariajames5558 15 дней назад
Vitalo🇹🇿 💚💛🧡 yanga mi mwananchii
@IbrahimKatebella
@IbrahimKatebella 16 дней назад
Savaa Mr buchut
@shabaniabeidi1852
@shabaniabeidi1852 14 дней назад
Karibu tena big seamaji la afraca Tunakupenda sana
@LucasHaile-dy9kd
@LucasHaile-dy9kd 16 дней назад
Karibu Tanzania kwa mara nyingine
@JustinMwakalukila
@JustinMwakalukila 17 дней назад
😂😂😂😂 umetsha sanaaaa, BUCUTI tunakuelewa sana .rudi TZ tena
@habibumasenga6213
@habibumasenga6213 16 дней назад
Ila tumegundua wa Tanzania hapendi warundi
@luganojohn2673
@luganojohn2673 11 дней назад
karibu tena tz🇹🇿
@betrackjasson6698
@betrackjasson6698 14 дней назад
Kalibu sana bongo kaka tunakukubali sisi ni ndugu majilani zetu tunawakibali
@MarakiyaNsengiyumva-vs9cl
@MarakiyaNsengiyumva-vs9cl 16 дней назад
Nakubali bg
@hamadimkunyulia5398
@hamadimkunyulia5398 16 дней назад
Munguakupemaisha malefu tunakupenda wa Tanzania
@swedywamba5535
@swedywamba5535 17 дней назад
Semaji la vital'o ulipo tupo tupo pamoja na wewe
@timotimo5501
@timotimo5501 17 дней назад
Wewe ni mbongo fanya urudi TZ
@chiengwalu6312
@chiengwalu6312 17 дней назад
Burundi tunawapenda sana❤❤❤
@kolosii4351
@kolosii4351 17 дней назад
Mimi nimekukubali, kazi yako unaijua na unaitendea haki.
@jumongjr5837
@jumongjr5837 15 дней назад
Bushuti Tz Tunakukubali sana 😂😂😂😂
@KamgishaIsaya
@KamgishaIsaya 14 дней назад
Karibu tena Tanzania tunakupenda sana
@WestonMbuba-ff4jk
@WestonMbuba-ff4jk 15 дней назад
Bonge upo vizuri sana
@startwithginegine1891
@startwithginegine1891 17 дней назад
Ukuje tena Tanzania bro
@DanielGaspel
@DanielGaspel 17 дней назад
Semaji la taifa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@aphillanduwayezu3147
@aphillanduwayezu3147 18 дней назад
Hongera sana
@user-gp1hi7sw5k
@user-gp1hi7sw5k 8 дней назад
Nakupata saana
@AlexMalile
@AlexMalile 17 дней назад
Semaji la africa
@AbdallaSuleiman-x5v
@AbdallaSuleiman-x5v 17 дней назад
Karibu Tanzania semane
@marthapaulofaida2785
@marthapaulofaida2785 16 дней назад
Karibu tena Tanzania semaji la caf
@jokertv3073
@jokertv3073 17 дней назад
Semaji LA CAF ulipo tupo fanya kioindi kila week tutakufuatilia
@daniellaizer1
@daniellaizer1 12 дней назад
Tunawapenda sana ndugu zetu wa Burundi. One Love
@SADIKIMDUGGI-g4l
@SADIKIMDUGGI-g4l 14 дней назад
Semaji umenifanya niwapende warundi
@mwanahamisihatibu590
@mwanahamisihatibu590 17 дней назад
Semaji la vital o
@elizabethmgassa7243
@elizabethmgassa7243 14 дней назад
Semaji la caf 😂😂😂😂😂uje tena mchezo burudani......😅😅😅😅😅😅
@bakarimdege5455
@bakarimdege5455 17 дней назад
Uje tu tz ufanye kazi
@WandibaDany
@WandibaDany 16 дней назад
Karibu Tena buchuti
@sallyeliya5213
@sallyeliya5213 17 дней назад
😂😂 uko vzr semaji ya Vital'o😂😂🎉🎉🎉
@marystambuli8045
@marystambuli8045 17 дней назад
Fanya mazoezi Buchuti😊
@iammaftah
@iammaftah 16 дней назад
Mtanzania anaeishi Burundi 💯💯💯💯
@simpleboytz255
@simpleboytz255 15 дней назад
Huyu jamaa huyu ni semaji la CAF Tanzania tulikupenda sana
@MathiesKwizerimana
@MathiesKwizerimana 17 дней назад
Ego nubwambere uburundi buvuzwe cane Tanzanie kweri
@tanzanite_info_dragon.9769
@tanzanite_info_dragon.9769 8 дней назад
Semaji lá vital o😅😅❤
@user-gp1hi7sw5k
@user-gp1hi7sw5k 8 дней назад
Njoo tena kalibu
@MawazoKitumbo
@MawazoKitumbo 14 дней назад
Ubhalamche bhujumbula yose na kitega
@vibetz9991
@vibetz9991 17 дней назад
Semaji Kala Goli kumi,, Apo ana cheuwa tu 😂😂😂Na hajashiba😂
@muadhihassan4486
@muadhihassan4486 16 дней назад
Kwa tumbo hilo kavimbiwa mkimzidishia goli atapima
@kasimkassam9565
@kasimkassam9565 16 дней назад
karibu. tena tanzania ndugu
@ayubuShukia
@ayubuShukia 17 дней назад
Siku nikija Burundi 🇧🇮 nitakutafuta boss
@chadrackroutine
@chadrackroutine 16 дней назад
Karibu utampata
@user-hp5zf2fw4o
@user-hp5zf2fw4o 17 дней назад
Siyo tatu moja nne moja azamu alikufa
@user-gp1hi7sw5k
@user-gp1hi7sw5k 8 дней назад
Huyo nimutanzania
@rajenderrobert8605
@rajenderrobert8605 14 дней назад
Semaji la CAF naamini utapata timu Tanzania. Bado tunahitaji uchekeshe Watanzania
@user-cx1ii7ov8x
@user-cx1ii7ov8x 17 дней назад
Uko poa semaji
@eliaskahory7116
@eliaskahory7116 13 дней назад
Kaka Wew ni mtu wa Mfano saaana You Are Very Smart!!!!!
@SADIKIMDUGGI-g4l
@SADIKIMDUGGI-g4l 14 дней назад
Daaah,semaji tumekupenda sanda
@edmondkazembe6707
@edmondkazembe6707 17 дней назад
Uyo msemaji ambae alrikuwa hajuwi maana ya kujiudhuru ni wenda ni mzariwa wa cenda juri 😅😂
@Amanikizota
@Amanikizota 15 дней назад
4.1 sio 3.1😅😅
@AmonBambanza
@AmonBambanza 17 дней назад
Tunakukalibisha tena
@fadhilidanieli1478
@fadhilidanieli1478 14 дней назад
Huyu aje Tz azid kuchangamsha game
@HarrisOthman-p7i
@HarrisOthman-p7i 17 дней назад
Arud Tena uyu jamaa
@flaxbeatman
@flaxbeatman 17 дней назад
semaji tumbo unajua baba😂😂😂😂
@mohamedleonard760
@mohamedleonard760 16 дней назад
jamaa kapata umaarufu chap uzuri Tz hatubagui
@DenistenisonDenistenison
@DenistenisonDenistenison 17 дней назад
Nakuku bari buchit
@JemaMhagama-oz6me
@JemaMhagama-oz6me 16 дней назад
Ongeeni kiswahili.
@kudrasago9972
@kudrasago9972 17 дней назад
Kweli nikiwa Tanzania
@MwajumaOmar-b2v
@MwajumaOmar-b2v 13 дней назад
Semaji la Afrika nice one
@salamSalehhhhh
@salamSalehhhhh 17 дней назад
❤️❤️❤️❤️❤️😂😂😂🙌🙌🙌🙌
@TussaMbilinyi
@TussaMbilinyi 14 дней назад
Lete mechi ya kirafik semaji la Caf!
@Mangara-qx2gg
@Mangara-qx2gg 12 дней назад
Ulituingiza mkenge kumbe ulitaka pesa za viingilio lakini kwa hilo uliwini na usingefanya hivo ungepigwa magoli mengi na bila ata pesa yoyote
@RedaniaAlberto
@RedaniaAlberto 6 дней назад
❤❤❤❤❤❤
@godypatrick6485
@godypatrick6485 14 дней назад
Ukitaka kutoboa Africa mashaliki
@betrackjasson6698
@betrackjasson6698 14 дней назад
Sisi watanzania tuna sabscrab account yako ya RU-vid tuwe tunamuona zaidi
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo 17 дней назад
Si nyie warundi ndugu zetu
@PastorNdabilaJembelaYesu
@PastorNdabilaJembelaYesu 14 дней назад
Tutakufuta huko bulundi wewe kamanda wewe umefanya niwe na maono ya kuja bulundi
@esromkanubo815
@esromkanubo815 16 дней назад
Semaji la Dunia
@salamSalehhhhh
@salamSalehhhhh 17 дней назад
Semaji 😂😂👑👑👑👑
Далее
UGOMVI WA MPOKI NA BROTHER KEY MBELE YA DEMU
21:41
Просмотров 94 тыс.