Tazama kipindi cha Mshikemshike kikiwa na habari kemekem za michezo ikiwemo taarifa kuhusu Yanga SC kuingia mkataba na makampuni kadhaa kwa ajili ya udhamini kuelekea kilele cha Wiki ya Mwananchi, Simba SC yaendelea kujitolea kwa kuchangia damu na kufanya usafi ikiwa ni sehemu ya Simba Week.
7 сен 2024