Тёмный

MSIBANI😭: UTAJIRI WA MARCO WA ZABRON SINGERS WAZUA GUMZO CHUMBA CHA SIRI CHENYE JOKA WA WANNE 

TALIKISIO Tv
Подписаться 392 тыс.
Просмотров 34 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 98   
@anoldamkumba3208
@anoldamkumba3208 14 дней назад
Hivi nawe msimulizi wa habari hiyo hutumia njia hizo? Acheni mipango ya Mungu itimie.Acheni uzushi.Hizo ni fikra za kivivu wasojituma.Mungu amlaze marehemu mahala pema peponi.
@PriscaMushi-u7l
@PriscaMushi-u7l 7 дней назад
Anakuhusuuu
@TUMAINICHAMSA
@TUMAINICHAMSA 8 дней назад
YAANI AKILI HAPA DUNIANI TUME TOFAUTIANA HIVI WEWE JAMAA UNA AKILI TIMAMU? HALAFU HIKI UNACHO KIFANYA SIYO MUDA UTAKAMATWA
@EsterAlois-d5s
@EsterAlois-d5s 14 дней назад
Yesu atusaidie
@PatrickKyalo-y6q
@PatrickKyalo-y6q 14 дней назад
I'm Patrick kyalo from kenya niwaulise Yani mungu akibariki mutu watu wanasema ni Majin ebu wacheni ujinga
@JohnsonRutta-k1c
@JohnsonRutta-k1c 14 дней назад
Pato they got shallow minds n nothing to offer the public but silly n stupid allegations
@FoynessMgaya
@FoynessMgaya 5 дней назад
Kwan izo mali zake znakuhus nin? Kam ni mali za Majin au zakupew na Mungu hilo ni juu yake na Mungu wake achen kutafuta pesa Kwa kudhalilisha watu
@maryannBoke
@maryannBoke 13 дней назад
Labuda huyu mwanaume alikua Adui wa Marco zabron ndio maana anamutafutia vijisabau vidogo vidogo apotelehe mbali Jana Marco ambumusike Kwa Amani
@DearDavidOdhiambo
@DearDavidOdhiambo 13 дней назад
Wee kwani Mungu wetu ana pesa nimaskini acheni karibu jina la watu
@rebeccanyamache4409
@rebeccanyamache4409 13 дней назад
Watazania anjeni utanikuhusu marehemu. Kwanini munafuatiria Sana juu ya Marco. Mnafadika nanini?
@JudithDoroth
@JudithDoroth 14 дней назад
Acheni uongo mbona mmesibiri mpaka amefariki ndio mnaongea siku hizi hata sifa za mtu hupewa kabla hajafa, Mungu anawaona
@susandaniel2671
@susandaniel2671 14 дней назад
Mungu wabiguni hakumalishe ju unachesha.na jina lake.
@MonicahMareri
@MonicahMareri 14 дней назад
Tanzania Yani mtu akiinuka kidogo yeye Ni wakishetani,
@songeza
@songeza День назад
Hasa siri hiyo mtu kafa yanakuhusu nn sasa umbea huo hata kama ya shetani mmoja tu mungu peke yake
@DianahWalukana
@DianahWalukana 14 дней назад
Muache br opakanda zenu izo za tazania nauongee ukueli acha kiaribia huyo kjana sifa jamani ka mnataka mali zake mseme tu ,mmetukera sna sisi wakenya,na tumeudhika sana na nyinyi ukueli.
@فاطمهمحمد-ج3ع
@فاطمهمحمد-ج3ع 13 дней назад
Sibora tuuu ungekufa wewe mtangaza ujinga usiokuwa nakweli
@MwajumaAlly-f4b
@MwajumaAlly-f4b 5 дней назад
IVI UNA KAZI .WEWE KAMA UPENDI NA WATU JILEKEBISHE ACHA KUFRU YAKO WANGAPI WALIO TANGULIA ULIWACHUNGUZA MWACHENI MAMA WA WATU .YUPO KWENYE MAUMIVU
@JAMES-y9j
@JAMES-y9j 8 дней назад
Jamaani unafiki hata kwa malehemu?
@JamesObaigwa
@JamesObaigwa 8 дней назад
Hata kama alikuwa freemason inakuhusu Nini wewe kaka mtangazji wa kujitegemea.Hauna ukweli wowote,yaan watu kama Hawa wanapaswa kula mahabusu.
@CarolineTasimy
@CarolineTasimy 11 дней назад
Tanzania mumetuchosha n Mambo mingi wacha kufuatilia maisha ya mtu wee bro tafuta mali zako sisi wakenya tumechoka n nyinyi wee bro usimnyanyase mke wa marco kwa mali ya bwanake fala sana
@user-ix9pg3pr5m
@user-ix9pg3pr5m 9 дней назад
Nashangaa mtu alikufa mpaka akazikwa but anafuatiliwa why?
@susandaniel2671
@susandaniel2671 14 дней назад
Watu gani,janeni .wacheni malemu akapumusike na amani.kila mutu hakifa Tanzania muko na maneno mingi sana .hawewe utakufa siku Yako hikifika Niko Nairobi country tumechoka na maneno yenyu..
@EmanuelyLuka
@EmanuelyLuka 13 дней назад
Wew kujadili maisha yamwenzio nakuyafatilia yanakuhusu nini ??? Huo ni unafiki kwann hukusema ingali yu hai kama kweli wew ni mwanaume.. Mungu atakupa kinachokustahili...
@eliudrugigana579
@eliudrugigana579 14 дней назад
Wewe Huwa sikuelewi, mwanzo nilikushobokea Ili kusikia ushuhuda wako, lakin nilipoanza kufatilia shuhuda zako, sukupata Cha kuisaidia kwenye maisha ya Kiroho
@EsterAlois-d5s
@EsterAlois-d5s 14 дней назад
Hamfiki tu
@songeza
@songeza День назад
Ulitaka awe karibu na wewe isitoshe hata huyo mwanamke atakua hana akili nzuri kuelezea habari za marehemu mali hizo zako na chama chske kinakuhusu nn mbea wewe unamtaka mkewe nn
@MonicahMareri
@MonicahMareri 14 дней назад
Kwani mungu hawezi bariki lazima utumie nguvu za ngiza????
@FortunatussMartin-r6f
@FortunatussMartin-r6f 9 дней назад
Siku zote ukipambana kwa nguvu zako na mungu asimama na wewe lakin mwanadam huwa hapendi mafanikio yako hivo watasema kila mtu atakavyojisikia juu ya mafanikio yako
@rechilSoloop
@rechilSoloop 7 дней назад
Wewe unabore sana
@josephinalyati7923
@josephinalyati7923 9 дней назад
Weee muongo usifikiri ndo njia ya kupata wateja toa habar na vichwa vya habar vinavyoendana usilazmishe dhambi ikufate
@elikasimu5327
@elikasimu5327 6 дней назад
Ili iweje?
@MollyAchieng-d4f
@MollyAchieng-d4f 11 дней назад
Wacheni kutuchezea na vitu za ujinga wacheni mwenzetu alale na amani it's so pein to los one of your family 💔💔💔💔💔💔
@esthernginila3085
@esthernginila3085 13 дней назад
Acheni ujinga nyie waandishi msiokuwa na maadili. Hamuoni hata aibu wezi wa mb za watu. Mungu atawashughilikia
@NeemaChacha-g1y
@NeemaChacha-g1y 8 дней назад
Wachana Marco ale na amani
@mariettagfyinagware9969
@mariettagfyinagware9969 10 дней назад
Mbona haikuhusu ndugu
@RosemarySebastian-ek9gi
@RosemarySebastian-ek9gi 14 дней назад
Hiv mmekosa kazi za kufanya
@AHISHAKIYEALINE-u4e
@AHISHAKIYEALINE-u4e 4 дня назад
Wa watu bwana sijui nisemeje
@MillicentMtua-v2y
@MillicentMtua-v2y 2 дня назад
Ilikuwa unatakaje
@GUCHACNHOME
@GUCHACNHOME 5 дней назад
akiwa hai mboka hamkumliza
@eddakasela
@eddakasela День назад
Sasa wewe mtangaza nyumba zinakuhusu Nini mshezi kweli
@karenthomas4595
@karenthomas4595 14 дней назад
Ww msimulizi acha unafiki mungu kachuma ua kake
@AsitiaStelah
@AsitiaStelah 8 дней назад
Watanzania mmezidi sana
@nilumbangogongogo4227
@nilumbangogongogo4227 13 дней назад
Ndo kenya sasa hapo!?
@janeaganyo3454
@janeaganyo3454 13 дней назад
Mali yake yawausu nini
@gorethrweyemamu3724
@gorethrweyemamu3724 14 дней назад
Watanzania bwana kwa stori ingekuwa kutafuta pesa nankujiendeleza tungekuwa mbali. Acheni hizo bwana
@philipoaloyce-g4v
@philipoaloyce-g4v 13 дней назад
Jamaa yaani msimulizi simwelewi Kwanza anatumalizia tu mb
@EneReuben-fy7kd
@EneReuben-fy7kd 13 дней назад
Wewe muongo sana ufikishi stori yote mwisho
@UwezoketiaFurahe-h1f
@UwezoketiaFurahe-h1f 13 дней назад
Zungu muzatu hiyo uogo. Wako m juwa mungu jo mutagazaji mukubwa ubwa wewe une dagaya hivyo
@EsterAlois-d5s
@EsterAlois-d5s 14 дней назад
Mbona inaeleweka kama nishotkat jaman
@LivityNakamba
@LivityNakamba 14 дней назад
Yani we we unajilaani mwenye. Kifo siyo siku ku yakushelekia IPO siku utakutana nacho
@FridarTesha
@FridarTesha 13 дней назад
Kipimo unachotumia kumhukumu Marco ndicho hicho hicho utahukumiwa wewe pia. Fahamu hilo kwanza.
@JuliaJuma-my3wq
@JuliaJuma-my3wq 14 дней назад
Mwanaume kuwa mmbeya cyo poa tena baba wa mtu mmmh
@JuliaJuma-my3wq
@JuliaJuma-my3wq 14 дней назад
Mali zake zinakuhusu
@HildaMacharia
@HildaMacharia 14 дней назад
Wewe unaongea, na unajua kile unasemaje sio watu wanasema wewe na tim yako
@susandaniel2671
@susandaniel2671 14 дней назад
Mungu hakuyamacje uyo mudomo wako.
@IpyanaMichael-f2b
@IpyanaMichael-f2b 14 дней назад
acha ujanga ulie kifanya mtangazaji Haoni aibu ukifatilia itakusaidia nn au watanzania watafaidika nn
@MwajumaAlly-f4b
@MwajumaAlly-f4b 5 дней назад
😂WEWE NI NANI KATIKA HII DUNIA HADI UWE NA USUBUTU HUO ?MWACHENI MUNGU AFANYE KAZI YAKE .HUJAWI KUFIWA SIO.SASA SUBULI WAKUTOKE WAKARIBU YAKO😅NAWAKATI UMEPANDISWA CHEO SIKU 2 NYUMBA YOTE MUNGI ANAWEZA KUPA WE.
@MulwanahAleco
@MulwanahAleco 14 дней назад
Madharau ni ya nni Heshima Bw Wacha kidomodomo
@KasokiBaseme
@KasokiBaseme 14 дней назад
Je muko n'a uhakokisho kuhusu Yale amboyo munaongeya kabisa .mtu alisha fariki mumuache apumzike kwa amani
@Noeliakunkuta
@Noeliakunkuta 12 дней назад
Ivi nyee watu hamuhogopi hata mungu kweli mulaniwe pamoja na kizazi chenu chote mumeona nisehemu yakupatia pesa wajinga tafuteni kazi zakufanya hacheni hayo mambo
@TwitikeMwakyonde
@TwitikeMwakyonde 14 дней назад
Inakuusu,nini,msengewewe,endelea,kufuatilia,maisha,yawatu,weweutaacha,pumbutu
@gabrielkweka8612
@gabrielkweka8612 14 дней назад
Nawe siukaingie kwenye chama utajirike
@SwallehJoseph
@SwallehJoseph 14 дней назад
Muongo mkubwa minaishi jilani wewe sio tafuta kazi ya kufananya
@phoebusmusa9556
@phoebusmusa9556 14 дней назад
Mali zake zakuhusu nini lakini watanzania nyie washenzi sana
@HenryMaliga
@HenryMaliga 14 дней назад
Toa ufara hapo
@marthamsacky6973
@marthamsacky6973 4 дня назад
😏😏😏😏😏fyuuuuu tafuta hela acha ujinga
@MagrethHamisi
@MagrethHamisi 11 дней назад
Waong mbon hufk
@Upendo-qb2kc
@Upendo-qb2kc 14 дней назад
Hata kama anamali inawahusu acheni umbea,vilivyomo chini ya jua ni ubatili mtupu
@MaryMary-dc2os
@MaryMary-dc2os 13 дней назад
Huna akili ww
@Hendricaevarest
@Hendricaevarest 14 дней назад
Dah,,ndio kawaida ya wat wa tz eti free mason
@SadaSada-p8f
@SadaSada-p8f 11 дней назад
Unajuwa km ww fala
@JaneMakemo
@JaneMakemo 14 дней назад
Wewe ndiye uli
@CarolineRwaichi
@CarolineRwaichi 11 дней назад
Pumbavu
@LeahWangari-pi4dl
@LeahWangari-pi4dl 14 дней назад
Watu na umbea inawahusu pilipili usio ila yakuachia nini
@emmanuelamos4581
@emmanuelamos4581 14 дней назад
Unakula mb za watu bure ulaaniwe.
@MariamKizinga
@MariamKizinga 13 дней назад
Acheni usenge atakama alikua kwenye chams hicho wewe yanakuhusu ni-ni? Acheni mtu wa watu apumzike huko alipo.
@SmilingAnteater-yp1jg
@SmilingAnteater-yp1jg 13 дней назад
Achen upumbavu ukweli wote anaujua mung c wanadam
@SmilingAnteater-yp1jg
@SmilingAnteater-yp1jg 13 дней назад
Kwanin mnatoa tarifa za uongo bila hofu ya mung
@فاطمهمحمد-ج3ع
@فاطمهمحمد-ج3ع 13 дней назад
Kwahio mtangazaji ukijua kaacha malingapi au magari mangapi itakusaidia nini acheni kujipa kazi ambazo hazina mshahara nyie wajinga kweli mtu bado anamajonzi nyie bado tuuu mnaendelea kumujazia inzi tuuu acheni ujinga nakiswahili ambacho hakijanyoooka
@RichardBigirwa
@RichardBigirwa 13 дней назад
Acha usenge ww,fanya kaz
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 14 дней назад
Watanganyika mnafanya vitu vya upuuzi sana. Kwani nani hatakufa hapa duniani? Mtumishi wa Mungu mmwache apumzike kwa amani. Mtumishi wa Mungu amepumzika mnaanza vituko. Mimi simfahamu sana ila najua Zablon Singers ni watumishi wa Mungu. Sasa mnaanza maneno ya kiswahili. Kuishi na waswahili bwana ni hatari sana. Kwani kwenu hajawahi kuona watu wanakufa? Hata ninyi mtakufa! Lakini msianze stories za primitivity na za kudharirisha Zablon Singers na familia yake. Watoto wake wadogo wakianza shule na pia watanyanyaswa shuleni na mastories yenu. Kwa nini? Ningekuwa na undugu ningewapeleka mahakamani. Wewe mwaandushi muzushi mkubwa.
@LilianJoshua-kj8ei
@LilianJoshua-kj8ei 14 дней назад
Msenge wewe yanakuhusu nn
@nilumbangogongogo4227
@nilumbangogongogo4227 13 дней назад
Duuuu!
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 14 дней назад
Hivi wewe vipi kk mbona Una nongwa MTU kafariki bado unachimba watu
@pascalinabarani-qj7pb
@pascalinabarani-qj7pb 14 дней назад
Mbn hufiki
@KulwaDesmon
@KulwaDesmon 14 дней назад
Tembea mpaka kesho
@HildaMacharia
@HildaMacharia 14 дней назад
Lakini wewe si uliokoka?
@user-vj1ur7dn1c
@user-vj1ur7dn1c 14 дней назад
Acha njaa nahizo Mali hazikuhusu
@pascalinabarani-qj7pb
@pascalinabarani-qj7pb 14 дней назад
Fanyà yako ya wengine hayakuhusu
@JaneMakemo
@JaneMakemo 14 дней назад
Q
@EmmaculateGembe
@EmmaculateGembe 14 дней назад
Yaani mpaka unahema hivyo kisa nini?wewe lijinga
@mainakane
@mainakane 14 дней назад
Wee achaa ujinga kesho ni wewe
@EsterAlois-d5s
@EsterAlois-d5s 14 дней назад
Umeanza uongo mtangazaj
@nyagawawilliam8328
@nyagawawilliam8328 11 дней назад
Bwege tu wewe
@Zainabuabdalah-vw1xw
@Zainabuabdalah-vw1xw 14 дней назад
Mhh
@JuliaJuma-my3wq
@JuliaJuma-my3wq 14 дней назад
Mmbeya wewe
@BernadineKyaki
@BernadineKyaki 13 дней назад
Hayaku husu mudjinga wewe
@LashelaNiyokwizera
@LashelaNiyokwizera 13 дней назад
👎🏿👎🏿👎🏿
Далее
IMENIUMA SANA by Zabron Singers (Official Video)
5:05
Inside Out 2: BABY JOY VS SHIN SONIC
00:19
Просмотров 4,8 млн
Our Mulitimillion Village house tour❤️-2024
28:17
Просмотров 703 тыс.
Israel Mbonyi - Nina Siri
11:11
Просмотров 61 млн
Inside Out 2: BABY JOY VS SHIN SONIC
00:19
Просмотров 4,8 млн