Тёмный

Mt. Kizito Makuburi-YESU NI MWEMA, (official music video) 

ZACHARIA GERALD
Подписаться 36 тыс.
Просмотров 4,4 млн
50% 1

Wimbo huu ni utunzi wa Bernard Mukasa, ulirekodiwa na kuimbea na Kmk Makuburi katika album ya Nyumba ya Roho

Опубликовано:

 

11 май 2011

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 782   
@beatriceloyang
@beatriceloyang Месяц назад
Who's here in 2024
@doreenchikuni2449
@doreenchikuni2449 Месяц назад
Am here oooo 🙏🙏🙏
@SiloRosy-oz1lw
@SiloRosy-oz1lw 11 месяцев назад
Natamani kujiunga na kwaya hii
@pattypatty9315
@pattypatty9315 2 месяца назад
2024 bwana Yesu asifiwe
@JeremiahMatuku-wb3fi
@JeremiahMatuku-wb3fi 2 месяца назад
Huu wimbo nasikianga ukinibariki sana
@immanicoikonko5287
@immanicoikonko5287 4 месяца назад
Kaiiiiii this song wueeeehhhhh!!!! Powerful!! Praise...Nimetafakari habari zako, nami nashindwa kuelewa kabisaaaaaaa, binadamu angenipa Neema, kesho angechoka kunipa zaidi....lakini wewe Haina kikomo wala mvua zako hazina majiraaaa!!!! This one got to my spirit with immediate Effect....vipi na hiiii....ulijua wazi ya kwamba mimi sikustahili lakini ukaruhusu nifanikiwe juhudi zangu!!! Dahhhhhhhhhh nyieeeeeeee aiseeee this song is preaching a great deal sanaaaaaaaa ❤❤❤❤❤❤Much Love for the song!!!!
@shukuranizawadi
@shukuranizawadi Год назад
Huu wimbo sisemi k2 kabisa
@mauruskomba9187
@mauruskomba9187 6 месяцев назад
Nimeanza mwaka 2024 na huu wimbo, naona nina kila sababu ya kusimulia ukuu wa Mungu siku zote za maisha yangu. 🎉🎉🎉❤
@winniem8115
@winniem8115 3 года назад
Nimetafakari habari zako nami nashindwa kuelewa kabisa Binadamu angenipa neema kesho angechoka kunipa zaidi Lakini wewe hauna kikomo, wala mvua yako haina majira Bwana, wanyesha mvua, Bwana, kwa walio jangwani Bwana, wawasha jua, Bwana, mpaka baharini Kweli Bwana wewe ni mwema sana Nitasimulia miji, Yesu ni mwema, Yesu ni mwema Nitahubiri vijini, Yesu ni mwema Yesu ni mwema Nitayafafanua haya, Yesu ni mwema Yesu ni mwema Watu wote wapate kuyajua, Yesu ni mwema Yesu ni mwema Nitasimulia nchi, Yesu ni mwema Yesu ni mwema Niliwaza kwa ubinadamu mpaka mwisho wa kufikiri Ukataka nijipe moyo, nisihofu kitu Kwa kuwa humtupi anayekutumainia Ukataka nijipe moyo, nisihofu kitu, kamwe Uzoefu wa mapito haya ukaninyima usingizi Ukataka nijipe moyo, nisihofu kitu Kanuni za dunia zikavunja matumaini Ukataka nijipe moyo, nisihofu kitu, kamwe Giza lilipotanda mchana likanifunika usoni Ukataka nijipe moyo, nisihofu kitu Nikapiga kelele hofu kuu ikanisonga Ukataka nijipe moyo, nisihofu kitu, kamwe < h i t i m i s h o> [t|b] Naimba he he, naimba leo Naimba he he, naimba mimi Ulijua wazi kwamba mimi sikuwa nastahili, Kwa sababu mimi mdhaifu mwili na roho Ukaruhusu nifanikiwe juhudi zangu Makusudi ili nione ukuu wako Ndugu wanipende, jamaa waniheshimu Marafiki wanijali, wanisaidie Ndiyo maana leo, mimi nakurudishia; [w] Utukufu ni wako milele Sifa heshima ni vyako daima Wewe peke yako unastahili Usifiwe na uhimidiwe! Nakushukuru Bwana, kwa kuwa umeniona asante Nakushukuru Bwana, kwa kuwa umeniona asante Nakupa utukufu, kwa kuwa umeniona asante Milele na milele, kwa kuwa umeniona asante Nakushukuru Bwana, kwa kuwa umeniona asante
@baariumicky6216
@baariumicky6216 2 года назад
Good job
@paulinemwemba2358
@paulinemwemba2358 2 года назад
wanted this thank you
@maggyshiquow3258
@maggyshiquow3258 Год назад
Thank you very much ubarikiwe kupindukia
@Ellybeny
@Ellybeny 11 месяцев назад
Hata ipte miaka 100 nikiwa dunian .,, Huu ndio wimbo wangu pendwa namba 1
@PerisMokeira
@PerisMokeira 5 месяцев назад
It's 2024 still the song like of yesterday,can't get enough of it🙏🙏
@benoitwaziri2004
@benoitwaziri2004 4 года назад
Bwana asifiwe na furaishwa na wimbo huyu ... from DRCongo
@khairatzinzibar1434
@khairatzinzibar1434 5 лет назад
Jamani Mungu awabariki kwa wimbo mzuri sana yaani ww acha tu mpaka nimelia kwa kukumbuka ukuu wa Mungu kwa kweli mwanadam angenipa neema angetaka kulipwa na maskini tungekua wageni wa nani tungekufa kama utitiri kwa kweli Mungu ni mwema tumsifuni mpaka kieleweke kwa ukuu wake na utukufu wake
@veronicamgimba5964
@veronicamgimba5964 Год назад
Hata nikiwa sina chakula niusikilizapo huu mwimbo naona Amani tele moyoni na njaa haipo tena mt kizito mbarikiwe sana
@anatolyandrew7777
@anatolyandrew7777 4 года назад
Huu wimbo ni mzr sana jmn hata ipite miaka 50 kama niko hai sintaacha kuusikiliza jmn naupenda san huu wimbo mpaka najion mwenye furah muda wote! Naimba eehh! Ulijua wazi kwamba mm sikuwa nastahili kwasabb mm mdhaifu mwili na roho ukaruhusu nifanikiwe juhudi zng makusudi ili nione ukuu wako ndg wanipende,jamaa waniheshimu marafiki wanijali wanisaidie ndio maan leo mm ninakurudishia Utukufu ni wako milele sifa na heshims ni zako daima ww peke yk unastahil uhimidiwe n Utukuzwe amina
@taracisiogikonyo9989
@taracisiogikonyo9989 5 лет назад
hongereni sana twangoja vibao vingine Mungu na awajalie neema
@Martha4422
@Martha4422 13 лет назад
NYIMBO INA MANENO MAZURI SANA KWELIMWANADAMU ANGENIPA NEEMA ANGENIDAI SIKUMOJA ILANEEMA YAKO MUNGU HAINA KIKOMO, NAKUSHUKURU MUNGU KWA KUA UMENIONA
@alexminde3129
@alexminde3129 7 лет назад
yesu no mwema katika maisha ya kila mwanadamu amina
@peterevalest-gp7md
@peterevalest-gp7md Год назад
Mungu ni mwema nyimbo nzury sana mbarikiwe sana
@sheckycobb5240
@sheckycobb5240 3 года назад
Nasisimkwa mwili kusikilizia wimbo huu....una uvuvio wa roho Mtakatifu. Kazi nzuri kumsifu Mungu
@fedhakamili942
@fedhakamili942 5 лет назад
Yesu ni mwema kilasiku mungu awazidishie vipaji
@morinemuonja3382
@morinemuonja3382 Год назад
Mubarikiwe makuburi kwa nyimbo zenu
@pasiensiabel7278
@pasiensiabel7278 Год назад
Miongoni mwa tungo bora zaidi kuwahi kutokea kwenye kwaya za Tanzania. Be blessed
@petermbinga3128
@petermbinga3128 5 лет назад
yesu kweli ni mwema sana mungu wetu yupo hai
@TibyondimuJooo
@TibyondimuJooo 3 месяца назад
Huu wimbo kila niusikiapo unakua mpya masikion mwangu haakika Mungu ni mwema
@rahelmanyama6338
@rahelmanyama6338 6 лет назад
Mbarikiwe sana hakika nafarijika sana nikisikiliza nyimbo zenu.hakika yesu ni mwema ck zote
@nelsonnchimbi5869
@nelsonnchimbi5869 5 лет назад
asante mungu maana huu wimbo nimeutafuta nashukuru kwa kuupata . barikiwe sana kwa uwimbaji wenu . by amina nchimbi
@justinemaingu1460
@justinemaingu1460 4 года назад
2020 Yesu ni mwema anazidi kutupa baraka tele heri wale ote wanaomtumainia
@tasharosre6026
@tasharosre6026 4 года назад
Ni kweli Yesu ni mwema dunia nzima mpate kujua jamani any one watch with me may 14 2020
@metrinenasimiyu7588
@metrinenasimiyu7588 Год назад
11 years down the line isn't a joke ,wimbo wenyewe waweza dhania uliimbwa jana,maybe some faces were too young now they are full grown kwa kimo na zaidi kwa hekima ya uimbaji
@magdalenakulwa4802
@magdalenakulwa4802 Год назад
Ni, 2007 rafiki😂... so, ni miaka 16 tangia wareckord audio na ku-shoot video
@georgelucas8031
@georgelucas8031 4 года назад
Nmetafakari habari zako, nami nashindwa kuelewa kabisa, binadamu angenipa neema, kesho angechoka kunipa zaidi, lakini wewe hauna kikomo, wala mvua yako haina majira. Bwana wanyesha mvua kwa walio jangwani, wawasha jua mpaka baharini. Kweli Bwana wewe ni mwema sana. Haya maneno yakiimbwa kwa Imani, katika ulimwengu wa roho yanisikika kwa nguvu, kuna namna fulani hivi unaanza kuyaona maisha katika mtizamo tofauti
@neemasaringe3307
@neemasaringe3307 6 лет назад
ukataka nijipe moyo nisihofu kitu kamwe ,jamani kakangu mukasa hongera saana
@dannjoroge2002
@dannjoroge2002 Год назад
Live long Bernard Mukasa😍😍😘😋🎶🛐🛐🛐🛐🛐🛐
@esthernzioka8988
@esthernzioka8988 22 дня назад
This man Bernard, God bless him for His own glory.God bless whoever finds comfort in this Godly inspired song, Amen
@sarah-hy7gz
@sarah-hy7gz Год назад
Mungu ape nguvu Tena atunge nyimbo nzur Sana ubarikiwe Sana 2:54
@whiteirambona5544
@whiteirambona5544 4 года назад
Wimbo huu naupenda sana. Nausikia Lila Siku asubuhi na jioni. ..unanipa fursa ya kutaja ukuu wa Jesus. Ila tu nigeomba aliye tunza huu wimbo atutilie maneno kwenye vidio ili tuweze tambua maneno yake yote. Juu kama mimi Murundi asiye zoeya vyilivyo Kiswahili cha Tanzania, Kuna maneno ambayo siyadikii vizuri.
@antonynganga4186
@antonynganga4186 4 года назад
Wanakizito hongereni...huu wimbo ata Cjui niseme nini jamani...dah!! Naupenda sana..nausikiza kila siku na c choki,Asanteni Sana,barikiweni!!!!!
@aggreyotieno
@aggreyotieno 8 месяцев назад
I like Catholic and I urge all the families to be in catholic church, this this the only church which teaches the way of truth. THANKS TO MT. KIZITO FOR THIS GREAT SONG.
@FraiscaNestory
@FraiscaNestory Месяц назад
SIFA NA UTUKUFU NI ZAKO MILELE 🙏
@mvellahanibarick3388
@mvellahanibarick3388 2 года назад
Hakika Yesu ni mwema sana fadhili zake ni za milele
@alexblazi4678
@alexblazi4678 Год назад
This song never die,me watching 2023🙌
@user-fredrickmtei
@user-fredrickmtei Месяц назад
Hongera mtunzi wa kwaya hii
@martinodhiambo1639
@martinodhiambo1639 Год назад
Huu wimbo naupenda sana.... the organist , the vocals....wacha tu. Mbarikiwe tena na tena.
@evelynemoshi5705
@evelynemoshi5705 Год назад
😊 tupo apa leo
@eplisbackchannel2358
@eplisbackchannel2358 Год назад
It's now 2023 and the song still afresh in our play list 😀😀
@PaulineNzioka-tc7iy
@PaulineNzioka-tc7iy 6 месяцев назад
It is truly said that "old is gold". I've always loved this song since the first time I watched it in 2013. 👏👏
@jacklinechepkoech1865
@jacklinechepkoech1865 4 года назад
Nitasimulia nchi, Yesu mwema!! Super! Super! Great voices and spirit!!!!
@user-in6me1mx5p
@user-in6me1mx5p Год назад
Mungu awabariki sana
@floramarco255
@floramarco255 Год назад
Yesu ni Mwema 🙏
@NeemaKmussa
@NeemaKmussa 4 года назад
Nakumbuka enzi hizo nafanya kazi iringa za ndani tulikuwa yunasikiliza kipitia redio Maria 2009- hadi leo28/ 01/2020 Yesu ni mwema
@johnsadiki2657
@johnsadiki2657 5 лет назад
A trillion likes for this catholic praise and worship song. Never will I leave the catholic church. Singing well is praying twice. Long live KMK Makuburi.
@petertemu6431
@petertemu6431 Год назад
O
@sarahcriss7642
@sarahcriss7642 10 месяцев назад
@@petertemu6431 Ppp
@dominashirima873
@dominashirima873 4 года назад
Mungu awalinde sana, wengine mmekulia hukuhuku jamani, Mungu naomba uwabariki
@zinedinezidane2129
@zinedinezidane2129 Год назад
Hadi raha jamani
@polinesagina-ut1rs
@polinesagina-ut1rs Год назад
Amen amen amen nimebarikiwa sana🙏🙏🙏🙏
@mercychepkorir656
@mercychepkorir656 2 месяца назад
After meeting Zacharia in person i had to look for his name everywhere and im realizing you are here. My favorite song, God bless you brother
@jamesmwasambili381
@jamesmwasambili381 8 лет назад
Yesu ni Mwema ni moja kati ya nyimbo za kwaya ya Mtakatifu Kizito Makuburi zisizonichosha kusikiliza,maana zausifu wema wa Mungu na hakika Yesu ni mwema sana.Mungu akubariki sana mtunzi B.Mukasa na kwaya yote
@fredmsemwa9671
@fredmsemwa9671 5 лет назад
Mungu ongoza jahazi l ako wasikate taamaa
@anthonygambishi5580
@anthonygambishi5580 6 лет назад
Hongereni kwa nyimbo zenu zenye ujumbe na majitoleo makubwa..Mungu awajarie uharisia katika myoyo yenu..uharisia wa nyimbo zenu
@martinmuthuititotitomuthui3383
@martinmuthuititotitomuthui3383 4 года назад
I feel much blessed with this song every time. Proud to be a Roman Catholic believer .in the name of the father the son and of the Holy spirit Amen!
@benmshongi3411
@benmshongi3411 2 года назад
Yesu ni Mwema Yesu ni Mwema..my favourite catholic song.,getting to watch this Choir perfoming live is a real life blessing..
@fadhilawashiku7
@fadhilawashiku7 3 года назад
Actually,Yesu ni mwema,kazi njema.Mbarikiwe sana.
@deogratiussweke5007
@deogratiussweke5007 4 года назад
Dah! Tusife moyo tu jamani,.....Ni Mwema kweli.
@witinessnombo4717
@witinessnombo4717 5 лет назад
Naipenda San hii nyimbo jaman
@lilianpatrick3990
@lilianpatrick3990 4 года назад
Mbalikiwe San wapendw wote mnaoskiliz nyimbo za din
@camycamilo316
@camycamilo316 3 года назад
Mi
@josephkhanyereri9405
@josephkhanyereri9405 Год назад
Who is here in 2023?🔥
@bonatasha176
@bonatasha176 5 лет назад
Huu wimbo unanisisimua hadi sijielewi. Yesu ni Mwema. Yesu ni mwema
@mamelitangemela5967
@mamelitangemela5967 3 года назад
Hata sasa YESU ni mwema kwangu, sitochoka kutaja jina. Asante YESU kwa wema wako kwng. 🙏
@metodymkamila3458
@metodymkamila3458 3 года назад
Amina sana nyote
@mkobapoli915
@mkobapoli915 7 лет назад
Sawa wachangiaji ila ni 'Mungu ' badala ya 'mungu' ....Yesu badala ya 'yesu'
@deogratiussweke5007
@deogratiussweke5007 4 года назад
Muhimu sana kukumbuka hili...-Mungu- na siyo -mungu-
@kabusinjaanselimi392
@kabusinjaanselimi392 7 лет назад
Bwana wanyesha mvua kwa walio jangwani,...........hakina wewe ni mwema. Kizito Nawapenda, Barikiweni
@angelkaiyula6980
@angelkaiyula6980 6 лет назад
Napenda sana kwaya mt kizito wako vizuri hasa kwenye wimbo wa yesu ni mwema mungu hawabariki
@jaynejoseph8368
@jaynejoseph8368 9 лет назад
Hongera wanakwaya ya mt kizito kweli mnatisha kwa nyimbo zenu tamu
@bonifaceikusua8604
@bonifaceikusua8604 9 лет назад
Jayne Joseph
@marynghumbu8437
@marynghumbu8437 5 лет назад
Hakika ni wimbo mzuri mubarikiwe ktk kuinjilisha.
@zachariagerald
@zachariagerald 5 лет назад
Mary Nghumbu amina 🙏🏽 tumshukuru Mungu
@wesleyrogito8326
@wesleyrogito8326 5 лет назад
mungu apariki kanisa letu katholiki na watunzi wetu wenye kibaji na neno LA mungu ienee kote
@rosepiere1857
@rosepiere1857 3 года назад
Uwiiii imeimbwa Leo kanisani wote tumesimama na kucheza hakika yesu ni mwema
@emmanuelsadiki7160
@emmanuelsadiki7160 8 лет назад
I have 10000 reasons to listen healing songs like these, God talks his people in several ways, among of these ways is through choirs, I'm blessed with your nice songs dears in jesus christ, let God go on blessing you
@restitutamartin7455
@restitutamartin7455 8 лет назад
i like Catholic Church for ever in my life but i like that song,be blessed all Roman catholic
@jeanmubemba1204
@jeanmubemba1204 5 лет назад
kwa kweli Benard mukasa amepakwa mafuta ana kipaji cha sana cha kuandika vigongo,huwa anatubariki sana na kwaya yote,barikiwa
@agnesskimario5477
@agnesskimario5477 9 лет назад
HONGEREN KWA KAZI NZURI,SALAMU HIZI ZIMFIKIE MWALIM WENU,KAZI YAKE ALIYOIFANYA MBEYA NIMEIKUBALI KWENYE KWAYA YA MT.YUDA TADEI.
@marymimina
@marymimina Год назад
11 yrs ago and still rocking.....I can only recognize two singers who are still active in this choir to date. May God bless them and KMK at large🙏
@chepkoechjanethrotich1318
@chepkoechjanethrotich1318 Год назад
Kwani wengine walienda wapi??
@lelo3106
@lelo3106 Год назад
Yesu ni mwema nakupenda yesu kristu
@HappyJaakim
@HappyJaakim 16 дней назад
Nyimbo nzuri Sana imenifariji sana
@leogardmbisa3767
@leogardmbisa3767 6 лет назад
yesu ni mwema maishani mwangu katika family yangu na kanisa lake na jamii yote ya watu wa tz na dunia kiujumla
@esternzumbi1888
@esternzumbi1888 6 лет назад
Hapo sasa ndo najuaga sifa ni kwa mungu tu barikiwa wapendwa
@veronicasyombua6193
@veronicasyombua6193 2 года назад
This song doesn't get old,,I like it...the sweetness of being a catholic😍😍😍
@bilalijumanne8818
@bilalijumanne8818 11 лет назад
Kongamano la vijana wa parokia ya Mt. stephano shahidi - kisarawe walihitimisha tamasha lao kwa kuimba wimbo huu. This is good. Asanteni kwa kuinjilisha.
@happykimario3768
@happykimario3768 2 года назад
Hii nyimbo nimelala naota naiimba kwakweli inanibariki sana hongera sana mtunzi ubarikiwe zaidi
@sigfridselestine4476
@sigfridselestine4476 11 лет назад
Tunawaombea Mungu ili mzidi kutuinjilisha kwa nyimbo zenu nzuri.
@johnsakala.9442
@johnsakala.9442 4 месяца назад
Hakika Ni mwema Sana Bwana Yesu.Amina.
@tryphonemkolokoti7734
@tryphonemkolokoti7734 5 лет назад
Nawapenda sana makuburi kwaya
@user-fredrickmtei
@user-fredrickmtei Месяц назад
Hata sasa yesu ni mwema🙏🙏
@emanuelmgana7066
@emanuelmgana7066 9 лет назад
mtunzi alipata ufunuo hata akatunga nyimbo hii amenigusa tumshukuru MUNGU
@jackiekisakali8747
@jackiekisakali8747 6 лет назад
Nimependezwa Sana na wimbo huu hasa mpiga kinanda mushoboz MUNGU akubariki
@gracekisinde6476
@gracekisinde6476 4 года назад
Mungu awabariki saaana kwa wimbo mzur.
@tarryfahy4317
@tarryfahy4317 6 месяцев назад
I thought it was a new song kumbe it's this old ❤
@geofreymilinga4763
@geofreymilinga4763 5 лет назад
Kuhusu huu wimbo sins LA kusema
@happinesskavishe9284
@happinesskavishe9284 7 лет назад
God is good...hongereni sanaa wana kwaya ya mt Kizito kweli mnavuma
@mshaharamamb22
@mshaharamamb22 7 лет назад
hakika wanavuma
@kikalulutherese533
@kikalulutherese533 4 года назад
happiness Kavishe sikiaya
@dinakaluka4794
@dinakaluka4794 7 лет назад
yap yesu Ni mwema kila siku ameeen mbarikiwe
@nellysamky6560
@nellysamky6560 5 лет назад
ameni nyimbo nzuriy sana mungu awabariki sana
@robertmose2428
@robertmose2428 2 года назад
Kweli Yesu ni mwema maishani mwetu. Yeye kajitoa mhanga kwa ajili ya maisha yetu. Mbarikiwe Sana.
@raphaelomwenga5436
@raphaelomwenga5436 5 лет назад
Huu wimbo hunipa motisha sana kwa maisha!YESU NI MWEMA,TUJIPE MOYO TUSIHOFU KITU KAMWE,Organist naomba tu tafadhali,unigawie hiyo talanta,naomba!!!You make songs zinakua na feelings moto Waah!!tugawie na Mungu akubariki
@Cilouh_Music
@Cilouh_Music 8 месяцев назад
Today I lost the Teacher Who made me know about the existence of this Hymn😢, It Will forever be special
@catherinenaliaka1125
@catherinenaliaka1125 7 лет назад
Nimetafakari haya yote nashindwa kuelewa binadamu angenipaa neema kweli ningemulipa zaidi lakini wewe yesu ni mwema kwa kila jambo inanipa mvuto zaidi ili nipate kujuwa yesu ni mwema kila wakati mubarikiwe sana wimbo mtamu unatufundisha tuwe na imani na subira.
@annakalihamwe8385
@annakalihamwe8385 4 года назад
Lalumba lumba nakuona hongereni sana jamani
@annakalihamwe8385
@annakalihamwe8385 4 года назад
Mbarikiwe sana,naipenda sana huu wimbo,namkumbuka marehemu mama siku ya msiba tulikesha tukimshukuru Mungu kwa kuvuna alichokuwa amepanda,r.i.p Appollo
@izackgarimoshi6828
@izackgarimoshi6828 4 года назад
Yaan nikisikiia hz nyimbo naona kama hakuna kfooo mungu atuszidie
@immaculataroeser3067
@immaculataroeser3067 7 лет назад
Mungu hiyana kwa wema wala wabaya hapa duniani .Lakini ukiendelea kutenda mabaya bila kurudi nyuma rafikiyangu utaipata fresh siku ya kyama.Hongereni sana wanakizito Makuburi.
@janethmassawe106massawe7
@janethmassawe106massawe7 6 лет назад
Yesu ni mwema ktk maisha yng naupenda sana huu wimbo kila niusikilizapo napata faraja
@josephlupasha6228
@josephlupasha6228 5 лет назад
Several years down the line, but this song never grows down mtunzi alituliza kichwa akaja na sala hii be blessed.
@philiposungu8035
@philiposungu8035 3 года назад
Aaaàll. À a a a a. A à
@angie_dance254
@angie_dance254 2 года назад
9 eh
@nyamohangamahemba534
@nyamohangamahemba534 Год назад
Fffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffgfyyyyhftfw
@puritywanjiku181
@puritywanjiku181 Год назад
@@angie_dance254 kkik88kkkikkkkk8kkkik8kikkikkkkkkkkk8kkk8kkkkkikkkkk8kkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkikkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkk
@julianakitinde7913
@julianakitinde7913 Год назад
Indeed
Далее
MIMINA NEEMA_OFFICIAL VIDEO
5:42
Просмотров 26 млн
Хотите поиграть в такую?😄
00:16
Israel Mbonyi - Nina Siri
11:11
Просмотров 53 млн
Mt. Kizito makuburi- Ni mmoja (official music Video)
8:06
Naomba Baraka by- Kmk Queens St. Kizito Makuburi
6:34
Iyelele
6:49
Просмотров 268 тыс.
Хотите поиграть в такую?😄
00:16