NI changamoto kubwa ambayo kila Mjasiriamali inamkuta ni wapi nitapata vifaaa kwa ajili ujasiriamali na Ni kwa bei gani. Katika video hii nitakufahamisha hatuz zote muhimu za utengenezaji wa sabuni hizi na sehemu ya kupata vifaa na bei kwa ujumla.
#Gawazabrain #NianzeNaShilingiNgapi
13 сен 2024