Yaani hiyo sura ya mtanga akicheka inaniacha hoi, pongezi sana kwako yaani mtu akikuona tuu hata kama hujafanya kitu, lazima ucheke, una kipaji sana, big up. 07.03.22.
Nakumbuka kuna siku nilvut ii kitu ilikua kijjni na nyumba zetu za nyasi so baada ya kunyonga nikaenda zangu kulala nililala chali wakati nimelala kuna kaupepo flan iv kalikua kanatikisa zile nyasi aicee nilicheka san mala akatokea mwan mmoja akanimwagia maji toka iyo siku sina mpang tena na bangi