Kazi nzuri, keep up the good work.. ila ushauri wangu kwenye sehemu ya kuonyesha Subscriber ni vyema mkaiweka wazi ili watu waone watu wangapi wanasubscribe. Kwa kufanya ivyo mnawapa watu motisha ya kussaport kazi zenu na ku subscribe ili namba izidi kuwa kubwa.