Лучшее на RU-vid
Кино
Авто/Мото
Видеоклипы
Животные
Спорт
Игры
Приколы
Развлечения
Хобби
Наука
Авторизоваться
Зарегистрироваться
No video :(
MTOTO NYOKA ( EPISODE 24 )
IYAGAMBA VFX
Подписаться 32 тыс.
Просмотров 75 тыс.
50%
1
Видео
Поделиться
Скачать
Добавить в
#boss #kicheche #cram #familia #snake #wrong #film #comedy #funny #ghost
Опубликовано:
5 сен 2024
Поделиться:
Ссылка:
Скачать:
Готовим ссылку...
Добавить в:
Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии :
305
@madymag6926
2 месяца назад
Lugodisha wow umetisha sana kazi nzuri kwakweli Nawakubali sana mieeh❤❤❤❤💪💪💪🙏🙏🙏😂😂😂
@africansinema7420
2 месяца назад
Asante sana 🙏 nashukuru kwa sapot Yako
@user-ec6ow2cx7c
2 месяца назад
Lugodisha bana unatisa kweli kazi nzuri sanaaaa wapendwa ❤❤🎉🎉
@africansinema7420
2 месяца назад
Asante sna sna sna 🙏🤝
@user-yv8zw5lm9g
2 месяца назад
😂😂😂mapesa anasikia kizunguzungu nabado umbea utakufanya usikie kichina
@africansinema7420
2 месяца назад
😂😂😂😂😂
@redittamtam3591
2 месяца назад
Kam mapema anasikia kizungu kizungu mim naskia kicheko kicheko😂
@user-yv8zw5lm9g
2 месяца назад
@@redittamtam3591 we chekamaana sikwahali iliyo mpata mapesa
@user-bf2gz7dq9m
2 месяца назад
Wakwaza Leo mm ❤ nawapenda mov yenu zuri Ila mnachelewasha Sana sijui mnafeli wapi
@AbitoAtieno
2 месяца назад
Aponiukweli wanachelewa sana
@africansinema7420
2 месяца назад
Mambo tu hayakukaa sawa mtusamehe jamn .. naamin tutawahi
@africansinema7420
2 месяца назад
Tusamehe Bure
@user-eb4vj3xy6y
2 месяца назад
Hatimae imefika ! Asante kwa story nzuriii sana
@africansinema7420
2 месяца назад
Asante sana
@Mariahsimiyu-ce4ie
16 дней назад
Story nzuri hatimae!naifurahia🎉
@CuteMaryam818
2 месяца назад
Napenda sana hii movie ❤❤❤❤❤❤😊
@africansinema7420
2 месяца назад
Asante sna
@veronicaagonga7415
2 месяца назад
Nimechelewa lakini Niko hapa good work amazing
@africansinema7420
2 месяца назад
Asante sna sna
@Lauresonline
2 месяца назад
Wakwanza naomba like zenu
@africansinema7420
2 месяца назад
🙏🙏🙏
@user-no8sz5nx7b
2 месяца назад
maashallah kazi nzuri sana watu wangu❤❤❤🎉
@africansinema7420
2 месяца назад
Asante sna 🙏
@MaamakomboMkuluomar-pd6wn
2 месяца назад
Jamaa yaleo kali mapesa kapewa k2 kikamlewesha😂😂😂😂😂😂😂😂
@africansinema7420
2 месяца назад
😂😂😂😂😂
@user-ec2lr7fg5e
2 месяца назад
Nmependa,,uigizo ulio bora🎉mwaaa
@africansinema7420
2 месяца назад
Asante sna sna 🙏🤝
@user-ec2lr7fg5e
2 месяца назад
Mependa maigizo,mefurahi🎉
@africansinema7420
2 месяца назад
Asante sna sna
@PriscangoshaNgosha
2 месяца назад
Hatimae mapesa kalipwa posho ya mwezi mzima 😅😅😅
@africansinema7420
2 месяца назад
Hahahahahahaa
@MariamOmary-uq3rs
2 месяца назад
😂😂😂😂😂mapesa leo kimemramba hongera lugodisha
@africansinema7420
2 месяца назад
Asante sna 🙏🙏
@MamaDan-pw4fi
2 месяца назад
Kazi nzuri sana, Mimi kila siku naangalia kama next episode imekam duuuh! Tamu sana .
@africansinema7420
2 месяца назад
Asante sna sna
@aishasaid1727
2 месяца назад
Kazi nzuri natima kutoka temeke
@africansinema7420
2 месяца назад
Asante sana 🙏
@user-zb2wx8ws6g
2 месяца назад
😂😂😂😂Mapesa shuwain bwabwa iili
@africansinema7420
2 месяца назад
😂😂😂
@user-rz9uf2xx1x
2 месяца назад
Nimemisi kuona mwasiti❤❤msalimi3ni sana nampenda sio mbeya lakini halilali neno😂😂😂😂😂kwake
@africansinema7420
2 месяца назад
Asante sna 🙏🤝
@Eunicemakokha-gc9ss
2 месяца назад
Mm nmependa kazi yenu safi sana kuroka kenya twawatizama sana❤❤❤
@africansinema7420
2 месяца назад
Asante sana sana 🙏🙏
@InnocentBoatLake-bq4gk
2 месяца назад
Waooooo niliimisi sana..jaman mnacherewa sana
@africansinema7420
2 месяца назад
Asante sana mambo hayakuwa sawa kidogo
@neemabaraka3800
2 месяца назад
Hongeraaa sana lugodisha
@africansinema7420
2 месяца назад
Asante sana
@valinemkanamkuverammbone-ci9ou
2 месяца назад
Kazi nzuri watching from Kenya 🇰🇪 😍
@africansinema7420
2 месяца назад
Asante sana 🙏
@AbdulRahman-dx3cs
2 месяца назад
Safi xn...matildaaaaaaa......u kill it...@bitulee
@africansinema7420
2 месяца назад
Asante sana 🙏
@user-vo7yb6wp1m
2 месяца назад
Kazi nzuri sana next plz 🎉🎉❤
@africansinema7420
2 месяца назад
Asante sna
@maulidimbona9420
2 месяца назад
Munacherewa sana
@africansinema7420
2 месяца назад
Samahan kuna mambo hayakwenda sawa..
@JanetRiziki-ut2is
2 месяца назад
Kazi nzuri sana mbarikiwe ❤❤❤😊
@africansinema7420
2 месяца назад
Inshallah 🙏
@EdwardTelewa
2 месяца назад
kazi nzuri bana!!!!! nilike nikulike😅😅😅😅😅
@africansinema7420
2 месяца назад
Karibu snaa
@Halimategulo
2 месяца назад
Kazi nzuri
@africansinema7420
2 месяца назад
Asante sna
@maurine3503
2 месяца назад
Kazi nzuri lakini mnakaa sana hadi tunasahau🙏🙏🙏❤❤
@africansinema7420
2 месяца назад
Kuna mambo yalienda hovyo Ila tumelud kwa kishinddo
@africansinema7420
2 месяца назад
Jamn mtusamehe Bure tu kuna mambo hayakuwa sawa..
@maurine3503
2 месяца назад
@@africansinema7420 ok 👍
@HappyJoseph-s3o
2 месяца назад
Kwa kwel kaz yenu n nzur sana nimependa❤❤
@africansinema7420
2 месяца назад
Asnte sna 🙏
@user-ot1wm9tg7u
2 месяца назад
Mapesa hukomi 😂😂😂😂ak ww kitakuramba🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@africansinema7420
2 месяца назад
Asante sana
@ROSEMAKALI
2 месяца назад
Kazi safi sana❤❤
@africansinema7420
2 месяца назад
Asante sana sna
@shakezmontash
2 месяца назад
Much Love from Kenya😊😊😊
@africansinema7420
2 месяца назад
Thanks so much
@hidayah3405
2 месяца назад
safi sana dj kitu roho inapenda hongereni jamani kwa kazi safi sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@africansinema7420
2 месяца назад
Asante sana 🙏🤝
@wamboiwamboh
2 месяца назад
good job lugodisha nd your team❤❤❤❤❤
@africansinema7420
2 месяца назад
Thnx so more much 🙏🙏
@wamboiwamboh
2 месяца назад
welcome
@user-iw1jt5ll7m
2 месяца назад
Memeka sana ady nasahau kama mko 🎉🎉
@africansinema7420
2 месяца назад
Bado tuko pamoja
@khanhabibu-ce9qg
2 месяца назад
kazi nzuri sana
@africansinema7420
2 месяца назад
Asante snaa sna
@elmalikoye1727
2 месяца назад
Waaah tamu sana ❤
@africansinema7420
2 месяца назад
Asante sana
@elmalikoye1727
2 месяца назад
@@africansinema7420 Leo mumenikosea sina usingizi sasa ep 28 hadi lini
@fatmaathumani7569
2 месяца назад
Kazi nzur ila mnachelew san kutoa vipenzi
@africansinema7420
2 месяца назад
Asante .. tutajitahid kuwah
@AnnahDominick
2 месяца назад
Jamn muna chele wesha ila kazi nzur johary kawaokowe Wana himaya
@africansinema7420
2 месяца назад
Asante sna 🙏 kuna mambo hayakuwa sawa Ila tuko pamoja
@danielmuema395
2 месяца назад
ongera kazi jema lingondisha.from usa
@africansinema7420
2 месяца назад
Asante sana sana
@husnahusna1544
2 месяца назад
Kazi nzuri sana nimeipenda sana hongeren lakini msicheleweshe
@africansinema7420
2 месяца назад
Sawa asnate sana ..
@africansinema7420
2 месяца назад
Sawa asnate sna sna 🙏🤝
@EstherChirangu
2 месяца назад
Leo umechelewesha sana kka sku nyingi zimepita
@africansinema7420
2 месяца назад
Nikwel kuna mambo mambo yaliingiliana kaka ..tuvumiliane
@EstherChirangu
2 месяца назад
@@africansinema7420 sawa naomba unisaidie namba yako siku nikija uko nikucheki Kama utojali kka
@kidofyarashid1141
2 месяца назад
Kwer kabisa saman
@africansinema7420
2 месяца назад
🙏🙏🙏
@fatumaandrea247
2 месяца назад
Dah umbea nao kazi
@africansinema7420
2 месяца назад
Kaz sana 🙏
@romanabarua9545
2 месяца назад
Kazi nzuri sana ila msichelewe kutoa
@africansinema7420
2 месяца назад
Sawa asante sana
@RoselineMiruka
2 месяца назад
Kwan izi likes watu wanaomba n chakula ama badala mpee kijana wetu pongezi kwa kazi nzuri
@africansinema7420
2 месяца назад
Asante sna 🙏🤝
@user-rz9uf2xx1x
2 месяца назад
Ila map3sa😂😂😂😂yamekua manoti😂😂😂😂😂😂😂
@africansinema7420
2 месяца назад
Mahela
@GraceLucas-rf1bb
2 месяца назад
Jamani lete 25 nzuri sana
@africansinema7420
2 месяца назад
Sawa asante sna
@theresaurio9691
2 месяца назад
Kambea kamekomeshwa😂😂😂
@africansinema7420
2 месяца назад
Amekipata Cha mtema Kuni
@kamiliusfabian
2 месяца назад
😆😆mapesaa
@africansinema7420
2 месяца назад
Amekipata
@paulotemba8881
Месяц назад
Mnafanya vizuri sana ila mna chelewa kutoa ep inayofuata
@africansinema7420
Месяц назад
Muda sio mrefu kuanzia sasa itakuwa hewan
@macrinafuraha-zg3mi
2 месяца назад
Aaa leo nimewahi likes zangu basi kutoka mombasa kenya
@africansinema7420
2 месяца назад
Karibu sana
@BerthaErasto
2 месяца назад
Nampenda lugodisha❤
@africansinema7420
2 месяца назад
Asante sana nakupenda pia..❤️❤️
@macrinafuraha-zg3mi
2 месяца назад
😂😂😂😂😂mapesa kimemramba
@africansinema7420
2 месяца назад
😂😂😂
@SadaMohamed-xl9rc
2 месяца назад
Nilikuwa naisubir ❤❤❤❤
@africansinema7420
2 месяца назад
Karibu sna
@ZulfaSengo
26 дней назад
Cha umbea leo kimemkuta kitu😂😂😂
@africansinema7420
25 дней назад
😂😂😂atar
@user-fr7ov1yy5w
2 месяца назад
Chaumbea huyo kazi anayo leo😂😂😂😂
@africansinema7420
2 месяца назад
😂😂😂
@johnbeda9334
2 месяца назад
Wamwishoo apa ata like 21
@africansinema7420
2 месяца назад
Karibu
@EstherChirangu
2 месяца назад
ndio maana nakupenda
@africansinema7420
2 месяца назад
Asante nakupenda pia mno
@catherinerichard9462
2 месяца назад
Mapesa amenifurahisha❤❤❤
@catherinerichard9462
2 месяца назад
Walichomfanyia leo😂😂
@africansinema7420
2 месяца назад
Amekipata
@amisafsaf3006
2 месяца назад
Umbea utakuuwa mapesa😂😂
@africansinema7420
2 месяца назад
😂😂😂
@MKOLOSAIonlineTV-cn2vr
2 месяца назад
KAZI ni nzuri sana kaka hongera kwa ubunifu wako story ipo makin sana maana nafatilia KILA ep kaka hongera kaka mkubwa
@africansinema7420
2 месяца назад
Asante sna 🙏 nashukuru sana kwa sapot Yako .. tuko pamoja .
@FélixMiburo
Месяц назад
Atanamm nimeenda kwel
@africansinema7420
Месяц назад
Asante sana
@levisshikanga610
7 дней назад
Nazi Nouri levis kutoka kiminini🎉😂😂😂😂😅😅😅😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮
@africansinema7420
7 дней назад
🙏🙏🙏🙏
@user-no8sz5nx7b
2 месяца назад
hii series ni nzuri sana lkn mwaifanya fupi
@africansinema7420
2 месяца назад
Asante tutajitahid kuongeza
@nafsajuma6269
2 месяца назад
Ata mm naisubr kwa hamu siku ya hawo bib lahma na lahm wake kufa
@africansinema7420
2 месяца назад
Asante sana 🙏🤝
@user-tn9kx4pg5p
2 месяца назад
Congrats good Job
@africansinema7420
2 месяца назад
Thnx
@user-do9xe1dc8i
2 месяца назад
Umetisha 😂😂😂 bro
@africansinema7420
2 месяца назад
Asante sana
@africansinema7420
2 месяца назад
Shukran sana
@machozimukucha
2 месяца назад
🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@africansinema7420
2 месяца назад
🙏🙏🙏
@TitoJulius-qx6bw
2 месяца назад
Wasukuma tunatisha sana like kwa iyagamba
@africansinema7420
2 месяца назад
Asante sna 🙏🙏🤝 kwa sapot Yako
@wambuitoids
2 месяца назад
😅😅😅tamu waiting for episode 25
@africansinema7420
2 месяца назад
Ok. 🙏🙏
@africansinema7420
2 месяца назад
Owk tuko pamoja
@Mudybo
2 месяца назад
Ila kwakwer munachelwwa saan jaman
@africansinema7420
2 месяца назад
Tusamehe Bure tu.. kuna mambo hayakwenda sawa
@IleneWami
2 месяца назад
Vip Leo mapesa taarifazinafika au
@africansinema7420
2 месяца назад
😂😂😂
@ajesterkalulu7927
2 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂mmbeya kashika adabu yake 😂😂
@africansinema7420
2 месяца назад
😂😂😂😂
@africansinema7420
2 месяца назад
😂😂😂
@merinazyd0532
2 месяца назад
Mko vizur
@africansinema7420
2 месяца назад
Asante sana 🙏
@user-ie5rx7nb2y
2 месяца назад
Kazi nzuri lkn cku hizi mwachelewasha sn
@africansinema7420
2 месяца назад
nikweli kuna mambo hayakuwa sawa.. tusamehe Bure..
@africansinema7420
2 месяца назад
Asante sna tutajitahid pia kuwahi
@saudianew2045
2 месяца назад
Cogratulations lugodisha,😂😂😂umemfanya mapesa ako na kazungu zungu 😂😂😂😂😂 wow umemkomesha sasa
@africansinema7420
2 месяца назад
Asante sana 🙏🙏🤝
@user-ly9hu5vx7k
2 месяца назад
Kazi nzuri ❤❤❤
@africansinema7420
2 месяца назад
🙏🙏🙏
@africansinema7420
2 месяца назад
🙏🙏🙏
@MwajabuMtitu-co6wx
2 месяца назад
Mnachelewa sn ht sijui nimeishia wp
@africansinema7420
2 месяца назад
Samahan kuna mambo hayakwenda vzur
@user-ic7felix
2 месяца назад
Nimependa sas
@africansinema7420
2 месяца назад
Asante sana 🙏
@Mudybo
2 месяца назад
Jamn kwan 23 ishatok au
@africansinema7420
2 месяца назад
Tayr kitambo sna
@BukuluTheBosscomedy
2 месяца назад
Kaz saf kbs
@africansinema7420
2 месяца назад
Asante sana 🙏
@Jayoflavour46
2 месяца назад
🎉🎉🎉
@africansinema7420
2 месяца назад
🙏🙏🙏
@MariaMumo-so6sn
2 месяца назад
Mnaomba likes za nn kwani n nn ya maana mmefanya
@africansinema7420
2 месяца назад
Tuko pamoja
@KenWamalwa-ik5vz
2 месяца назад
Watching from kitale kenya
@africansinema7420
2 месяца назад
Asante sna sna 🙏
@LegacySquadtakeOver
2 месяца назад
Kwan itafika,episode ngapi
@africansinema7420
2 месяца назад
Bado inaendelea
@saumujawa3817
2 месяца назад
Bibi yangu ameasha fariki mapesa😂😂😂😂😂😂
@africansinema7420
2 месяца назад
🙏🙏🙏
@SwaleheNgewele
18 дней назад
Muendelezo wake
@africansinema7420
17 дней назад
Upopo
@user-nl8my3ye5d
2 месяца назад
Kazi safi
@africansinema7420
2 месяца назад
Asante sana
@veronicaagonga7415
2 месяца назад
Hii nimeona nikipumzika juu yani ni nitamu
@africansinema7420
2 месяца назад
Asante sana 🙏
@user-ho2cg8ef1y
2 месяца назад
Kazi Iko sawa
@africansinema7420
2 месяца назад
Asante sana.🙏🙏🙏
@user-pk5ew9nh1f
2 месяца назад
🎉🎉🎉❤❤❤❤
@africansinema7420
2 месяца назад
🙏🙏🙏
@happinessjulius-up3sw
2 месяца назад
Gud job❤❤❤
@africansinema7420
2 месяца назад
Thnx
@africansinema7420
2 месяца назад
Thnx so more much
@user-fr7ov1yy5w
2 месяца назад
Mbwa mwitu karudi huyo mauwa yake 🎉🎉
@africansinema7420
2 месяца назад
Kwa kishindo
@lindawanjala3575
2 месяца назад
Lukodesha tuko pamoja
@africansinema7420
2 месяца назад
Asante sna 🙏
@aishaallyaishaally3220
2 месяца назад
Pamojaaa
@africansinema7420
2 месяца назад
Asante sana
@nasirikuzigile9228
2 месяца назад
Msicheleweshe jmn
@africansinema7420
2 месяца назад
Kesho mapema
@Veronica-xe3ss
2 месяца назад
❤❤❤
@africansinema7420
2 месяца назад
🙏🙏🙏
@salamahamid3766
2 месяца назад
❤
@africansinema7420
2 месяца назад
🙏🙏🙏
Далее
19:59
MTOTO NYOKA ( EPISODE 25 )
Просмотров 73 тыс.
30:22
BABA YANGU KIPOFU Full episode /34/ #love
Просмотров 164 тыс.
00:24
3d printed demon core vs real
Просмотров 7 млн
51:31
Вопрос Ребром - Михаил Шуфутинский
Просмотров 1,2 млн
00:23
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
Просмотров 760 тыс.
39:50
Шавҳарам талоқамро додааст, аммо ором намегузорад
Просмотров 156 тыс.
20:39
PENZI LA MTOTO WA BOSS 💞 NA DADA WA KAZI PART 15 | Love Story
Просмотров 30 тыс.
#Live : [06.09.2024] OPERATION KOMBOA FAMILIA
Просмотров 221
5:09
MWAKATOBE TANGAZO FOOD
Просмотров 17 тыс.
20:07
MTOTO NYOKA ( EPISODE 35 )
Просмотров 29 тыс.
LIVE!!!!OPIYO WANDAYI MUST GO, OMOSH ONE HOUR ON FIRE 🔥🔥🔥
Просмотров 12
18:00
MTOTO NYOKA ( EPISODE 31 )
Просмотров 42 тыс.
22:45
HOUSE GIRL EP 48 | S2 | love story💞💕
Просмотров 57 тыс.
6:24
PUMZIKA PEMA GERREY BOY..
Просмотров 2,2 тыс.
31:59
Baba Olivia Episode 17 Finale❤️// Single Father Story
Просмотров 75 тыс.
00:24
3d printed demon core vs real
Просмотров 7 млн