Тёмный

MTU MMOJA AMEFARIKI KWA KUCHOMWA KITU CHENYE NCHA KALI KWA KIASI CHA SHILLING 200 

CHUMBA CHA HABARI CLOUDS MEDIA GROUP
Подписаться 633
Просмотров 28
50% 1

Mkazi wa Ngerengere kaskazini wilayani Morogoro Hussein Steven (35) amefariki dunia kwa kuchomwa kisu sehemu za mwili wake na Kulwa Bosco wakati wakigombea shilingi mia mbili ,fedha waliyokubaliana kwenye mchezo wa Kamari
Kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama amesema tukio hilo limetokea jana majira ya saa moja usiku katika baa ya Itonyaje maarufu Kama Maokoto katika kitongoji cha Ngerengere Kaskazini wilayani Morogoro ambapo marehemu alikuwa akicheza michezo wa kamari na mtuhumiwa Kulwa Busco na kuahidiana atakayeshinda atampa mwenzake fedha lakini baadae katika mabishano ndipo mtuhumiwa akamchoma kisu kilichopelekea kifo kwa Husein Steven na kwamba mtuhumiwa tayari anashikilkwa na polisi kuhusiana na tukio hilo.

Опубликовано:

 

8 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Просмотров 6 млн
نترس تو برق نبود😅😅
00:17
Просмотров 996 тыс.
5 Times TikTokers Messed With The Wrong Cartels
23:46
Hukumu ya kesi ya Nyundo na wenzake wanne
38:03
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Просмотров 8 млн
The Iran-Iraq War, Mapped
21:02
Просмотров 2,7 млн
How to win a argument
9:28
Просмотров 592 тыс.
Jason Bourne Ultimate TACTICAL MOVES Compilation ⚡ 4K
27:26