Тёмный

MTUKUZE MUNGU TU.BY SIFAELI MWABUKA. SKIZA sms SKIZA 69311525 TO 811 

SIFAELI MWABUKA OFFICIAL
Подписаться 579 тыс.
Просмотров 15 млн
50% 1

#254799200738 #sifaelimwabuka
Music by sifaeli mwabuka performance MTUKUZE MUNGU TU (©) MWABUKA MEDIA LTD 2024
Subscribe for more official content from Sifaeli:
/ sifaelimwabukaofficial
Listen to Sifaeli mwabuka
RU-vid: / sifaelimwabukaofficial...
Audiomack: sifaeli mwabuka
Apple Music: sifaeli mwabuka
Spotify: open.spotify.com/artist/1o3pL...
For more information booking Sifaeli mwabuka
: WhatsApp+255769553055
call. +254799200738
Email: mwabukamedia@gmail.com
©2024 MWABUKA MEDIA LTD,all lights reserved

Видеоклипы

Опубликовано:

 

26 авг 2019

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 2,5 тыс.   
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 3 месяца назад
Hi!! my fancy thanks for following my content to all platforms be blessed!! youtube.com/@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL?si=8L-iW9FDTvqXzZET RU-vid onerpm.link/818041537428 Song= ULIYONITENDEA KUHESABU SIWEZI DIGITAL PLATFORMS SKIZA DIAL *811*117# OK onerpm.link/392578501032 SONG: NAOMBA MBINGU ZIFUNGUKE DIGITAL PLATFORMS SKIZA DIAL *811*457# OK ±254799200738 HIZI HAPA NYIMBO 50 ZA UPONYAJI -link below gusa hapa chini listen all. ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-6ZlC5yQ5AOg.htmlsi=aMw5gZvAJzIdF06u BEST CONTENT
@Celestine-my1kf
@Celestine-my1kf Месяц назад
😅
@carolineiliana-fs4is
@carolineiliana-fs4is 2 месяца назад
Wenye wako uku 2024 nipeni likes tukisongo,,, 🇰🇪twende nalo
@ReineKenia-mp1rj
@ReineKenia-mp1rj 14 дней назад
Pamoja ❤
@angelynwawuda6255
@angelynwawuda6255 Месяц назад
Wenye tunaskiza hii ngoma 2024 nipeni likes😊
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL Месяц назад
Be blessed
@jack9508
@jack9508 2 месяца назад
Let's gather here again, the year is 2024. Love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@wycliffboke3751
@wycliffboke3751 7 месяцев назад
Simama tukuze Mungu tu.. wimbo wapendeza zaidi pia una mafunzo tele. Kutoka 🇰🇪 tuko pamoja.
@domtillaowiro3000
@domtillaowiro3000 Год назад
2023,,Munipe likes,,My son his form four candidate,,, Was dump with the father,, And promise to pay school fee when was joining form one,, At last he refused to pick my calls and block me 😭 😭😭😭😭 This song really encourage me,, To make my son dream come true....
@user-to2xp1dr2e
@user-to2xp1dr2e 7 месяцев назад
Amen
@Anto-ml4th
@Anto-ml4th 6 месяцев назад
😂nmeona sababu ulidumpiwa
@jackyapps234
@jackyapps234 6 месяцев назад
❤❤❤amen
@florenceogando2340
@florenceogando2340 6 месяцев назад
Ni gani hio😂😂​@@Anto-ml4th
@user-rt4tm8yy6g
@user-rt4tm8yy6g 4 месяца назад
English was englishing😅😅😅
@amaniruth6808
@amaniruth6808 Год назад
Nimefiwa na mwanangu but this Song imenifanya nimsifu Mungu tu kwa yote ..God I thank you for everything
@dianawangui3698
@dianawangui3698 14 дней назад
I was comparing myself to my mates who have made it in life and felt low then I came across this song. Vile nilivyo ni mpango wa Mungu ndio maana nipo Leo,wengine wamekufa hatujui tutaonana lini lakini nipo leo,wengine wamepoteza viungo vya mwili lakini Niko mzima...nitamtukuza Mungu Tu.
@mikeokoth9705
@mikeokoth9705 8 месяцев назад
Wengine wamekufa hatujui tutaonana nini😢😢wewe uko hai MTUKIZE MUNGU TU🙏🙏
@jackydluciano4367
@jackydluciano4367 5 месяцев назад
Hii wimbo mtoto wangu anaipenda Sana na ata ajafikisha mia mbili ukieka anajua simama simama mtukuze mungu mungu akubariki Sana na uzidi a Kubariki wengine kwa nyimbo zuri
@PaulineMwasaru
@PaulineMwasaru 2 месяца назад
Mlungu akubariki sana kwa kutuinua kwa nyimbo safi.
@BarackOtieno-ws4qw
@BarackOtieno-ws4qw 8 месяцев назад
Nasikliza hii wimbo nikiwa hapa Somalia 🇸🇴, na sitarudi nyuma 😮
@millybrenda-il5ub
@millybrenda-il5ub 9 месяцев назад
Napenda Sana kuskiza nyimbo zako huwa zanijenga kwa mambo mengi, mungu akupe uzima uzidi kuendeleza injili
@mumukinga8327
@mumukinga8327 6 месяцев назад
mungu ni mwema kila wakat Kila sehem atukuzwe
@beritawambani5748
@beritawambani5748 3 года назад
Amen mungu Ana makusudi niweepo leo amen mtumishi wa mungu.
@gladysnyachae8816
@gladysnyachae8816 3 года назад
Oooh kweli mungu ametutoa mbali nikisikia hii wimbo roho inakaa kalibu na mungu sababu amenipigania sana mutumishi..... mungu akubaliki sana nyimbo zako.....lo!ubalikiwe na mungu akupe afya njema maishani
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 3 года назад
Amina Asante
@janevunyiwa6693
@janevunyiwa6693 3 года назад
Hakika nyimbo zako ndugu ni mahubiri kwangu barikiwa sana ili uendelee kutuletea ujumbe mzuri kila siku. Love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 года назад
Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,please subscribe my channel and share to others and God bless you
@jamesmuriithi1276
@jamesmuriithi1276 7 месяцев назад
Mtukuze mungu kwa kila njambo ndiye Ebenezer
@mercychiri5862
@mercychiri5862 Год назад
Kila cku nikiamka asubuhi lazima nicheze huu wimbo kabla mume wangu aende kazini ,, 🙏🙏🙏🙏🙏
@danielkimutai4334
@danielkimutai4334 3 года назад
Hii ngoma inanikumbusha far God bless you .
@margretnjoki8440
@margretnjoki8440 4 месяца назад
All the way from tiktok 🎉🔥💥💥💃💃🕺
@AyubuKanza-xr8hb
@AyubuKanza-xr8hb 14 дней назад
Nasikia raha sana nikisikiliza nyimbo zako😂
@eunicekombe6916
@eunicekombe6916 4 года назад
Ubarikiwe Mtumishi hakika nitakutukuza MUNGU
@emmanjambi3459
@emmanjambi3459 Месяц назад
Nikiwa chini naweka nyimbo zako sinanitia moyo
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL Месяц назад
Amen. MUNGU akubariki
@faithasika4852
@faithasika4852 Год назад
Nafurahishwa sana na nyimbo zako zinanipa tumaini yakuendelea na maisha kama huu wimbo mm ninani
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL Год назад
Amen amen ninakushukuru kwa kufuatilia kazi zangu Mungu akubariki usiache kushare na wengine, Amen thanks for watching my video God bless you more end don't forget subscribe my channel
@user-zn8jt6oc6o
@user-zn8jt6oc6o Месяц назад
uko vizul mtumish wamungu mungu akubalik
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL Месяц назад
Amina ubarikiwe sana
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 4 года назад
Vile ulivyo Ni mpango wa Mungu uwepo na si mpango wa mwanadamu hivyo mtukuze Mungu tu aliyekufanya uwepo Leo maana wengine hawapo hatujui tutaonana lini,wengine wanalia,wengine wamelazwa n.k lakini wewe uko mzima simama MTUKUZE MUNGU TU
@rehemapeter8692
@rehemapeter8692 4 года назад
Amen
@tediyohani7058
@tediyohani7058 4 года назад
Nitumie kwenye Watsap video hii mkuu
@tediyohani7058
@tediyohani7058 4 года назад
0766492798 Tedi
@naomijohn6041
@naomijohn6041 4 года назад
SIFAELI MWABUKA. Aminaa mtumishi uzid injilisha kupitia nyimbo
@rehemamusic7409
@rehemamusic7409 4 года назад
@@naomijohn6041 amen
@nasrahassan8102
@nasrahassan8102 4 года назад
Mungu atuongoze kwani safali tulio nayo Ni ndefu mungu atusaidie like zenu watumishi wenzangu balikiwa
@MauriceAbobo-dv1gy
@MauriceAbobo-dv1gy 8 месяцев назад
Nyimbo zako zinaniguza xana keep it up
@user-pc6su7oj4v
@user-pc6su7oj4v 5 месяцев назад
❤❤Mungu azidi kukuinua sifael
@joanatemo1858
@joanatemo1858 4 года назад
Napenda nyimbo zako hunibariki sana,nashukuru ndugu zetu watazania, 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@violetonsare2534
@violetonsare2534 3 года назад
Nakuombea meam mungu akuonekanie saidi .coz nyimbo sako snanfundisa moyo wangu
@Kingsolokotv-
@Kingsolokotv- 4 года назад
Safi sana mkuuu kazi yako ni njema
@witnessliberati915
@witnessliberati915 3 года назад
Jaman nyimbo nzur maneno mazur napenda Sanaa mungu aendelee kukuinua mtumichi❤️
@juliejuma8295
@juliejuma8295 10 месяцев назад
Before Mom passed yesterday Tumeskia this sweet song till the end Eiiiii Rest In Peace 🕊️ Mom
@tabithamathias8370
@tabithamathias8370 5 месяцев назад
Ubarikiwe Kwa nyimbo ñzuri 🙏🙏
@rehemapeter8692
@rehemapeter8692 4 года назад
Nlikuwa naisubr hii video jamanniiii barikiwa sana mtumishi wa Mungu
@mariamzephania3747
@mariamzephania3747 4 года назад
Yani navyokupenda sifael Mungu ndo anajua napenda nyimbo zako sana zinanibaliki
@princemo4563
@princemo4563 4 года назад
Mungu akupe zaid
@reginaalbini7981
@reginaalbini7981 4 года назад
Amina
@danielkimutai4334
@danielkimutai4334 3 года назад
Mungu akulinde usindi kutupa menono ya mwenyezi mungu
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 года назад
Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,please subscribe my channel and share to others and God bless you
@JuniorProsperswai-fy8eb
@JuniorProsperswai-fy8eb 10 дней назад
Mwezi 6 from kajiado like zangu 🙏
@nyambogemwita5823
@nyambogemwita5823 4 года назад
Vile ulivyo Simama simama mtukuze mungu tu,mungu akubariki
@asteriambwei95
@asteriambwei95 4 года назад
Amina nimebarikiwa sana mtumishi wa mungu
@samwelndiletelevisionc3385
@samwelndiletelevisionc3385 4 года назад
Yaaaan duu kakaa u real bless me jamanii jusajighwaa fijooo daaaaa ULYIMBO LWAKO LILINUBHUMI FIJOO...DAAA KIU YANGU TUSIPOONANA TENA APA DUNIAN BASI TUONANE BANDALINI KULE
@QueenQueen-np3go
@QueenQueen-np3go Год назад
Napenda sana nyimbo zako mtumishi wa mungu,,popote naishi kuloose hope naingia RU-vid natafuta nyimbo zako nafeel roho yangu kupona again. Yaani yale magumu yote ninayoyapitia nyimbo zako sinanitia moyo sana may God bless you always.
@getrudejengo2868
@getrudejengo2868 2 года назад
Bado nakupenda sauti tu ulibarikiwa.mm uskiza nyimbo zako zinaniguza
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 года назад
amen asante kwa support yako please sabuscribe my chanel and share to others
@cantonajosephofficial7743
@cantonajosephofficial7743 4 года назад
Hongera kamanda hujawai kukosea wimbo mtamu unabariki.
@maureenmamagift
@maureenmamagift 4 года назад
Napenda saana Nyimbo zako..wapi likes za wana Qatar......mungu akubariki sana
@impet7525
@impet7525 10 месяцев назад
This song makes feel very humbled...lots of love from kenya ❤
@DaKeSa254
@DaKeSa254 5 месяцев назад
Watu WA 2024 tupeane likes
@SagessethebestRich
@SagessethebestRich 2 месяца назад
❤ goma zuri sana
@neemakiumba5486
@neemakiumba5486 4 года назад
Sema nami nakusikia mtumishi wa Mungu
@kipronoalex1447
@kipronoalex1447 Год назад
The kind of songs that, when you listen, make you feel the presence of God-Kenyans believe in God, not your pastors and prophets. We are in tough times, but if we have direct communication with God, it will heal our hearts from the situation we are passing through as human beings. God is always ready to hear you whenever you talk to Him.
@shaminawinomartonmarton4017
@shaminawinomartonmarton4017 2 года назад
Nyimbo zako nizakubariki mtu, much love to God 🙏 from kenya
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 года назад
amen be blessed more thanks for watching and subscribe my channe
@Mwangi490
@Mwangi490 28 дней назад
Glory be to God🎉❤️🤍🙏🙌💃🇰🇪💯📌.Thanks Jesus🤍❤️.
@hatimalnaamani876
@hatimalnaamani876 4 года назад
Asante huu wimbo na Mimi ni nani. Havitoki masikioni mwangu kwani ndio rafiki wa karibu ninae ongea nao saivi. wapo marafiki lkn nakuwa mpweke sana lkn hizi nyimbo ndio naongea nao. Asante Mtumishi. Mungu akuinue zaidi na zaidi
@pastorjohnmburu6048
@pastorjohnmburu6048 4 года назад
Wimbo uliojawa na utajiri mkubwa wa Kiungu
@faithkiarie8816
@faithkiarie8816 6 дней назад
Have jst come from UK and happen 2 listen to this man and am thrilled !! What a blessing and touching song .God bless this man. 🙏wud like 2 see him for Appreaciation before going bk 2 uk
@enockkirorei3854
@enockkirorei3854 9 месяцев назад
Thank you so much for your encouraging songs..God bless you Ndungu.
@rosekandonga6023
@rosekandonga6023 Год назад
Baba. Ubalikiwe Sana Mungu akuinuwe zaid baba twakuombea
@josephramsonmtukufu3149
@josephramsonmtukufu3149 4 года назад
Wa kwanza kuangalia na kukoment! Naomba like zangu please🙏🙏🙏🙏
@faithfaith4782
@faithfaith4782 4 года назад
AMen 🙏 ❤ be blessed all singers
@stephanedjedje3549
@stephanedjedje3549 4 года назад
sehemu kutoka Kacou 6: Ufunuo kuhusu unabii wa Matayo 25:6 14 Katika mwanzo Mungu alitumika na watu ambao waliteseka sana duniani, Katika mwisho, Mungu anatumika na aina ya watu ambao waliteswa sana duniani... Na ni mwanaafrika ndiye Mungu atainua ili kutimiza unabii huu. Ndiyo maana nafikiri kwamba mtu hawezi kuwa mtetezi wa nchi isiyo yake. 19 Na hakuna mtu anayeweza kumtumikia Mungu juu ya uso wa dunia nzima isipokuwa tu anakumbusha kile Mungu iko anafanya hapa. Ndiyo maana nachukia wakiinjili, wabaptisti, wafoursquare, na kadhalika... Nami nawaonya jihadharini nao! Hatuna sehemu pamoja nao! Msiwe wanafiki na msiunde mapambano mengine dhidi yetu! Wao ni kunguru. Na tai zinapopiga kelele, makunguru nayabaki kimya. [Ndr: Kusanyiko linasema: « Amina! »]. Unapo mhubiri muislamu au mukatolika kwa kumtuma katika kanisa la wabaptisti au la wapentekosti, basi umefanya nini? Ulibadili tu mfungwa seli gerezani. Ni lile lile zizi moja la Shetani. Na wewe ni sauti ya vurugu dhidi ya kile Mungu anachofanya hapa! [Kc.108v21] #PKPCHANNELTV
@toahiwilfried3794
@toahiwilfried3794 4 года назад
51. Mimi Kacou Philippe, sikufa msalabani kwa ajili yako lakini mimi ni balozi na mpatanishi kati ya Mungu nanyi leo hii, mimi ni msemaji wa Mungu leo hii, ninashika funguo za Mbingu na wakati mimi ni hai duniani, hakuna mtu anayeweza kuokolewa isipokuwa tu kupitia mimi. Balozi sio roho fulani wala maiti bali mtu aliye hai. Maneno yangu peke ndiyo maneno ya Mungu yenye uzima kwa wokovu wako leo hii.Manabii ni miungu katika mwili wa mwanadamu, ndiyo maana maneno yao ni neno la Mungu. Na unapaswa kumpata nabii aliye hai wa wakati wako kabla ya kufa kwako na yeye ndiye atakujulisha Mungu. [Kc.95v1] [Kc.136v37]
@officierdelta
@officierdelta 4 года назад
1. Je! Mmeona mpango wa jengo maarufu la kidini la Abidjan, Kanisa Mtakatifu Paulo? Ni wavu iliyozinduliwa na Shetani. Na hii ni picha ya majengo yote ya Kikristo nje ya Ujumbe huu. Yote ni nyavu za Shetani. Mbali na ujumbe wa kinabii kutoka kwa Mungu, hizi ni nyavu za Shetani. [Kc.1v9] #PKPCHANNELTV
@catherinekossere2809
@catherinekossere2809 4 года назад
1. Kama manabii wa Biblia, aprili 1993, mimi Kacou Philippe, mtu ambaye alikuwa hajawahi kuingia kanisa lolote, nikapokea katika ono kutembelewa na Malaika na huyo akanituma na Ujumbe kwa dunia nzima kwa utimilifu ya Matayo 25 :6 na Ufunuo 12 :14. Haya ndiyo maelezo ya uongofu wangu na maono matatu makubwa ya wito na tume jinsi niliyapokea.
@davidmohamed4329
@davidmohamed4329 2 месяца назад
It's 2024 and the song is still fresh in our minds gonga 👍👍👍👍 likes tukisonga
@eliudwafula2014
@eliudwafula2014 2 года назад
Mungu ako na kusudi nami nko uhai nakushukuru Mungu wangu kwa kunitoa mbali
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 года назад
amen
@eliudwafula2014
@eliudwafula2014 2 года назад
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL nilisikiliza hadithi yako kwenye kituo fulani hapa nchini Kenya, ilikuwa jumapili iliyopita ndani ya Milele FM radio
@eliudwafula2014
@eliudwafula2014 2 года назад
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL hadithi yako ilinitia nguvu sana
@eliudwafula2014
@eliudwafula2014 2 года назад
Malango yako yafunguke katika jina la Yesu
@remigiusrwechungula7047
@remigiusrwechungula7047 4 года назад
Ujawahi kukosea mtumishi wa Mungu..... I salute you... umenifanya ninunue redio niiweke kazini kwangu kisa tu nisikilize nyimbo zako zenye jumbe safi za kumtukuza Mungu
@raissaalimasi1704
@raissaalimasi1704 4 года назад
I juju ujbgr
@ezekilimarko4149
@ezekilimarko4149 4 года назад
@@raissaalimasi1704 pow nunua
@ChiziMwanjoleMwatsuma
@ChiziMwanjoleMwatsuma Год назад
❤iii😂o0o❤o❤000ddcc
@leonardmponzi9151
@leonardmponzi9151 4 года назад
Safi sana jembe unatupa raha
@RuthMunywoki-bw6gr
@RuthMunywoki-bw6gr 19 дней назад
Mungu akutie nguvu jameni nabarikiwa sana
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 17 дней назад
Amina
@amoskipruto2166
@amoskipruto2166 2 года назад
I dedicated this song to my loved country Kenya 🇰🇪 as they endearing elections days peace ✌ needed
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 года назад
Amen thanks be blessed thanks for your support please subscribe my channel and share to others asante sana kwa kutazama nyimbo zangu
@agnesnditi1431
@agnesnditi1431 2 года назад
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 0
@maryotieno7104
@maryotieno7104 2 года назад
🙏🙏
@wilfridaokumu9459
@wilfridaokumu9459 2 года назад
Amen
@desireobara4702
@desireobara4702 2 года назад
Thanks for what you did in the course of last week crusade at Ruben ground Nairobi Kenya always feel welcomed 😊
@officialjamhurizachariagos2797
@officialjamhurizachariagos2797 4 года назад
Haya kaka Mungu akubariki Sana kazi mzur, saut nzur Hakika Uko na baraka kubwa Sana
@josephsanduli.5216
@josephsanduli.5216 4 года назад
Mungu akubariki kaka mwabuka wimbo ni mzuri sana yani
@celestinerehema5292
@celestinerehema5292 10 месяцев назад
Yani sijui nimwambie nn uyu mungu ila kushukuru kwa kila hali 😢😢 ee mungu nipe moyo wa kukutukuza kila saa barikiwa kaka
@djwash2542
@djwash2542 Год назад
We umetumwa na mungu utuhuburie kupitia hizi nyimbo wacha mungu akusaidie
@hopeanjelu5620
@hopeanjelu5620 4 года назад
Hakika simama mtukuze Mungu tu. Nitamtukuza Mungu wangu
@amosuswege9035
@amosuswege9035 4 года назад
Wimbo uko poa sana melodi za kutosha na vocal kama lote congeraturation my bro and god blees you (wewe simama mtukuze mungu tu)
@user-ek2tu6ve3b
@user-ek2tu6ve3b 2 месяца назад
God I will always praise you even in my state of joblessness
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 месяца назад
Amen nakuombea Mungu akukumbuke katika hitaji lako,Thanks for following up with my work.In all platforms use Sifaeli Mwabuka.Please like, subscribe and share with others. Be blessed more
@masibowanjala
@masibowanjala 2 года назад
Nime barikiwa
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 года назад
Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you
@letepetaasimon5927
@letepetaasimon5927 4 года назад
Jinsi nilivyo, Nakushkuru Yawe. Barikiwa mtumishi, wimbo nzuri wa kujipa moyo.
@josephatjordan2150
@josephatjordan2150 4 года назад
27 Augst 2019 Tusimame tumtukuze mungu jamani tutabarkiwa....mungu anatujua tulvyo
@fatmaupovizrnapendactoryza5245
@fatmaupovizrnapendactoryza5245 2 года назад
Asnt San kaka angu wimbo mzur Sana naupenda
@Farouk_Senior
@Farouk_Senior 8 месяцев назад
I used to listen to this at Dr. Boston's house and he always reminded me that wealth is spiritual before it gets physical. You can have it all and still be humble 😊
@mordekaivedasto4108
@mordekaivedasto4108 4 года назад
Wimbo huu umenibariki sanaa Amina
@nyongesalumbasi9232
@nyongesalumbasi9232 3 года назад
I real like your songs they are blessing
@sharontabitha4897
@sharontabitha4897 Год назад
I can't wait to have a car uweeeh 🥳am just imagining myself in my car with this song on uweeh God of car's locate me
@josephatjordan2150
@josephatjordan2150 4 года назад
Hii nyimbo imenitia moyo sana...nakushukuru uliekaa ukatunga nyimbo hii....dunia hii inamajaribu sana bora tushnde makanisani tukisali#tumtukuze mungu tu
@crintonjakobo7685
@crintonjakobo7685 3 года назад
Kabisa
@kenjamatindi1405
@kenjamatindi1405 3 года назад
Inanipende za
@juliuswachai7699
@juliuswachai7699 3 года назад
Mungu awabariki Sana kwa ujumbe huu muhimu sana. Unasaidia mwingi.
@gracewalter3696
@gracewalter3696 2 месяца назад
AMEN AMEN, ALL GLORY AND HONOUR BE TO GOD FOREVER AND EVER AMEN
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 месяца назад
Thanks for following up with my work. Please like, subscribe and share with others. Be blessed.
@d-maxScarlageKe
@d-maxScarlageKe 8 месяцев назад
Thank you God for standing with us all the time I will always be great full to you the almighty 🙏 🙏🙏❤❤
@georgekinyanjui6832
@georgekinyanjui6832 2 года назад
A dedication to all working in gulf countries mungu kwa yote😍😍😍😍😍😍mob love guys
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 года назад
Amen thanks be blessed thanks for your support please subscribe my channel and share to others asante sana kwa kutazama nyimbo zangu
@angeushindi359
@angeushindi359 Год назад
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL cjt
@hagaiwanyonyi
@hagaiwanyonyi Год назад
kama sio mungu maadui zangu wangenimaliza
@hagaiwanyonyi
@hagaiwanyonyi Год назад
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL mungu akusaidie upate neema itokayo Kwa mungu
@user-mz7gw6pi9g
@user-mz7gw6pi9g 3 месяца назад
Vile ulivyo ni mpango wa mungu
@CatharineNasipwondi-lk2hl
@CatharineNasipwondi-lk2hl 4 дня назад
hallelujah yesu wangu torch me amen wonderful song ❤❤❤
@monicasisya6779
@monicasisya6779 2 года назад
Mungu akupereke viwango vya Juu Sifaeli unanibariki mno mtumish wa Mungu ..
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 года назад
amen asante kwa support yako please sabuscribe my chanel and share to others
@ndenitoriakimaro9631
@ndenitoriakimaro9631 3 года назад
Haleluyaa yatupasa tumtukuze MUNGU kabisa !AMEEEN
@sammymacharia9223
@sammymacharia9223 2 года назад
Sauti safiiiii
@KimbaBahatiJaénmarie
@KimbaBahatiJaénmarie День назад
Ubarikiwe mtumishi mungu ni mungu
@naomijohn6041
@naomijohn6041 4 года назад
Nitasimama kumtukuza Mungu siku zote za maisha yang..barikiwa mtumishi kwa nyimbo yeny ujumbe umenibariki
@yaobleestelle2513
@yaobleestelle2513 4 года назад
3. Shule la uchungaji ni mahali tu ambapo watu hujifunza mbinu za kuchezea saikolojia ya watu. Mnaona ? Wanajifunza hali na mwenendo za watu. Hii yote huitwa uchawi. Na hiyo ndiyo wanaficha watu [Kc.2v1-3] [Kc.57v8]
@catherinekossere2809
@catherinekossere2809 4 года назад
1. Kama manabii wa Biblia, aprili 1993, mimi Kacou Philippe, mtu ambaye alikuwa hajawahi kuingia kanisa lolote, nikapokea katika ono kutembelewa na Malaika na huyo akanituma na Ujumbe kwa dunia nzima kwa utimilifu ya Matayo 25 :6 na Ufunuo 12 :14. Haya ndiyo maelezo ya uongofu wangu na maono matatu makubwa ya wito na tume jinsi niliyapokea.
@quinatahnabibia1498
@quinatahnabibia1498 4 года назад
Wau imeniguza bro mungu abariki
@tommulongo3441
@tommulongo3441 4 года назад
Sifael,wewe ni mbarikiwa.Jina la mungu liimidiwe.
@hagaiwanyonyi
@hagaiwanyonyi Год назад
pia Mimi jinsi nilivyo singekua hai ni Mungu amenijalia kua hai namshukuru mungu siku zote za maisha yangu
@judithnzuku1860
@judithnzuku1860 2 месяца назад
Hata wakinidharau haina shida najua Mungu ana sababu juu ya yote hayo🥺🥺#MutukuzeMunguTu# my song this year
@clairemutenyo4958
@clairemutenyo4958 4 года назад
Nimebarikiwa nilivyo ni mpango wa mungu tuu
@Malkey4real.Alleytha_d330
@Malkey4real.Alleytha_d330 3 года назад
Mungu akubariki karibu kwenye channel RU-vid yangu Mungu akubariki na usikose ku subscribe asante
@elinazasayi8659
@elinazasayi8659 2 года назад
1w1
@edithayouma1528
@edithayouma1528 4 года назад
Nina imani Mungu atabadilisha historia ya maisha yangu. Nitakusifu milele Mungu wangu. God bless you mtumishi
@kelvinkimeu8762
@kelvinkimeu8762 Год назад
Wewe n fire aki hizi song nilisikia kwa gari asubui nikieda kaz nikasema nitattafuta huku watu wamagari n madj mbarikiwe sana ...❤❤
@catherincharles345
@catherincharles345 Год назад
Kwakweli inabidi nishukulu mungu nilivyo balaka nilizonazo pamoja namapungufu yangu,, nikiangalia wenzangu ninaowaona wamekamilika kilaidala lkn hawaishi kulia kilasiku adinasema eeeh mungu
@joshuamulinge1540
@joshuamulinge1540 4 года назад
Huu wimbo unawatia nguvu watu wengi sana being one of them,,,,,,,may u be raised amongst the nations and beyond ,,,,,💕🙏 ,,,,,be blessed
@annerobi1328
@annerobi1328 4 года назад
Wewe simama simama mtukutuze Mungu tu😍. Ujumbe konkii ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu nyimbo zako huwa zinanibariki sana
@BarackOtieno-ws4qw
@BarackOtieno-ws4qw 9 месяцев назад
Marafizangu tukuze Mungu hako na mpango na sisi 😊😊
@rahmastephano7160
@rahmastephano7160 4 года назад
Wengine hawapo hapo sasa Baba angu amelala Leo huu wimbo unaniliza sn jamn cjui tutaonana lini umejua kunigusa kakaangu mungu azidi kukuinua milele daima
@lusekelosamweli3729
@lusekelosamweli3729 4 года назад
Barikiwa mtumishi wa Mungu
@janetkerubo6384
@janetkerubo6384 9 месяцев назад
Wooow! Amazing song God bless you all