Тёмный

MTUMIKIE BWANA KIJANA ACHA KUDAI MALIPO KANISANI 

NY TV
Подписаться 135 тыс.
Просмотров 104 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 115   
@monikakawogo9484
@monikakawogo9484 3 года назад
Wazee wetu wa Imani mnafanya vyema Sana kusema ukweli wa imani ulivyo.Usanii mwingi Sana mpaka kwenye makanisa ya kipentekoste umeingia. Najivunia kuona baba zetu Mnatuelekeza Roho alivyo.Barikiwe Mzee wetu
@gabriellyadam9415
@gabriellyadam9415 3 года назад
huu ni uamsho wa kweli.natamani dunia isikie imrudie Mungu
@EliahKabuje
@EliahKabuje Год назад
Mungu akubariki sana wengi tumezariwa kipindi kanisa limeshuka ee Mungu tukumbuke
@geitandelwa299
@geitandelwa299 2 года назад
Yes hii nimeielewa BALIKIWA Sana MTU wa MUNGU
@emmanuelmwandu.3126
@emmanuelmwandu.3126 3 года назад
Ahsante pastor, nimeelewa leo. Kwanini watu wananena kwa lugha na bado hawabadiliki, kuna umuhimu wa kuzitambua roho
@juvenaryburchard719
@juvenaryburchard719 3 года назад
MUNGU akubariki Mchungaji.Nimekupenda mno kwa kusema ukweri.kwa kweri tusipo ambiana ukweri tutalaumiana sana .
@methodkakoni4465
@methodkakoni4465 3 года назад
Asante sema tu kuna wachungaji wanao zofisha karama zawatu ila mungu awaangalie watu kama hao wasiohubiri dhambi wao ni mafanikio tu, Asante mtumishi mungu akubariki pia uzidi ktka ukweli maana makanisa ya meingiriwa
@LucasMayunga
@LucasMayunga 8 дней назад
Iyo nimekubari,,
@josephfiniasmmole3287
@josephfiniasmmole3287 3 года назад
Amina dady Magembe nakuelewaga sana kwa mahubiri yako Mungu akubariki uzidi kutusafisha moyo na ubongo kiukweli Kansan kuna watu tunasumbua sana jaman tutumike kikamilifu, maana kila mmoja atalipwa kwa kutumika kwake
@jnjtraders7274
@jnjtraders7274 3 года назад
Safi sana mtumish maana hali ya leo ni hatar sana.
@pastoreliedhahaule4562
@pastoreliedhahaule4562 3 года назад
Asante mungu amekupa neno LA kunena mbele yetu aendele kukupa mana ndio utumishi wake mungu mwema
@lazarodoma6666
@lazarodoma6666 3 года назад
Asante baba mchungaji kwa kutukumbusha yatupasayo kutenda
@edgarmwasaga232
@edgarmwasaga232 3 года назад
Asante baba kwakutukumbusha
@masanjagilya5938
@masanjagilya5938 3 года назад
Ameeeeen Mungu akubariki sana na azidi ku kutumia kwa utukufu wa Jina lake
@abisairobert5098
@abisairobert5098 3 года назад
Uko sawa mchungaji Ubarikiwe sana na Yesu
@ally2nyiii318
@ally2nyiii318 3 года назад
Asante kwa somo upo safi
@suzanavanessa2095
@suzanavanessa2095 3 года назад
Maandiko pia yanasema Roho mtakatifu ni msaidizi wetu
@amanikitsaolewaalanmkweha2469
@amanikitsaolewaalanmkweha2469 3 года назад
Asante Baba kwa injili ya kweli
@silasjoseph9033
@silasjoseph9033 2 года назад
HALLELUJAH 🙏
@anithakilasi3681
@anithakilasi3681 3 года назад
Amen Mchungaji umenena Mungu akubariki saana
@trifordjohnmlembe3109
@trifordjohnmlembe3109 3 года назад
Amina nimebarikiwa
@marympemba1829
@marympemba1829 3 года назад
Umesema vizuri baba, tujitolee kwenye kazi ya mungu.
@korathomas1249
@korathomas1249 3 года назад
MUNGU akubariki sana mchungaji,asante sana kwa mafundisho yako
@christinakembe3869
@christinakembe3869 2 года назад
Nakupenda baba ....MUNGU akutunze
@joshuakathandi7245
@joshuakathandi7245 Год назад
Dady God bless you , you have revived my spirit
@akiligaifalo5585
@akiligaifalo5585 3 года назад
Ubarikiwe na MUNGU
@chrisviatv6345
@chrisviatv6345 3 года назад
Baba, Mimi ni mukongomani, ninajiuliza kama kuna watumishi wengine ambao wanajazwa na Roho kama uyu baba. Baba, ninaomba namba Yako, utakapo kufa, niwe nimekuona tu. Kuongea nawe kabla ungali mzima baba yangu.
@OscaLucas
@OscaLucas 2 месяца назад
Aneeeeen
@meckmbilinyi6077
@meckmbilinyi6077 3 года назад
Mungu nifundishe kunyamaza. Kwan kazi ya sadaka na mafungu ya kumi ni ipi
@reverentnkyami582
@reverentnkyami582 3 года назад
Kuwasomeshea watoto wao Shule za gharama na kuishi kifalme!
@ngwanafabian9668
@ngwanafabian9668 3 года назад
@@reverentnkyami582 soma biblia ujue nani anatakiwa ale madhabahuni. Tamaa ya fedha mmeiweka mbele sana kama kila mtenda kazi anakodolea sadaka alipwe. Sadaka zenyewe hazitolewi kama biblia inavyoagiza watu wanamwibia Mungu zaka na sadaka ni buku.
@dianashokolo2266
@dianashokolo2266 3 года назад
Hongera kwa mafundisho mazuri
@RobatiKilima
@RobatiKilima Год назад
Amen
@Brown0068
@Brown0068 Месяц назад
MUNGU TUREHEMU
@beatricestanley1416
@beatricestanley1416 3 года назад
Kweli ,,.baba sema tu.
@celinayohane7994
@celinayohane7994 3 года назад
Umenena vema baba🙏
@mchungajijacksonmlowe.mlan502
@mchungajijacksonmlowe.mlan502 3 года назад
UBALIKIWE SANA SANA MPENDWA MCHUNGAJI NA MWINJILISTI WA KIMATAIFA wa UAMSHO KARNE HII YA 21 KTK SIKU HIZI ZA MWISHO
@rockcitynative9985
@rockcitynative9985 3 года назад
Huo ndio ukristo sasa.
@shukurukihwelo3084
@shukurukihwelo3084 3 года назад
Kiujumla mzee yupo 100% , lakini watumishi wa mungu walio wengi niwapotoshaji wa biblia nasasa mataperi kupitia neno la mungu niwengi mno
@ally2nyiii318
@ally2nyiii318 3 года назад
Wakristo tubadilike
@janeysemagogwa2670
@janeysemagogwa2670 3 года назад
Sema tupone kwa kweliii🙏🙏
@geitandelwa299
@geitandelwa299 2 года назад
Ameni na watu tujue KUWA baada ya kifo Ni hukumu hakuna kutubu kule Ni Bora kutubu dhambi Sasa na kuacha IKIWEMO kuacha KUJICHUBUA na KUVAA mawigi
@TumtukuzeMpindo
@TumtukuzeMpindo 5 месяцев назад
Ameni mtumishi
@marympemba1829
@marympemba1829 3 года назад
Umesema ukweli baba 🙏🙏
@safielitogolani3535
@safielitogolani3535 3 года назад
Shikamoo mchungaj
@abnerymailosy3267
@abnerymailosy3267 3 года назад
Mch. Nahitaji kukuona
@evaristkayimba9148
@evaristkayimba9148 3 года назад
Hongera sana Mchungaji Moses Magembe kwa huduma nzuri sana ,ila binafsi nataka kuuliza hilo kanisa lako linapatikana Maduka sita Shemu gani??
@derickerastus7662
@derickerastus7662 3 года назад
Kanisa lipo majumba sita njiapanda ya segerea ukifika apo ulizia Tag majumba 6 kwa Mchungaji Maghembe
@pastorjimsonchengula844
@pastorjimsonchengula844 3 года назад
Kunena sio utakatifu upo vizuri Ila msingi ni kutubu dhambi na kuziacha
@Amina-jj1rq
@Amina-jj1rq Год назад
Hapo sasa
@deborambwambo5463
@deborambwambo5463 3 года назад
KELELEZA.. ZASHANGE.. NYASUBI S. D.A
@Stephanosilwimba
@Stephanosilwimba Год назад
Jamani 😮
@georgemassebu2083
@georgemassebu2083 3 года назад
Ukimsikiliza huyu mzee inakuja kumbukumbu ya mzee Moses Kulola
@StellaPaul-z9y
@StellaPaul-z9y 10 месяцев назад
Kwel kbs na wana fanan
@PauloAmos-k2f
@PauloAmos-k2f 12 дней назад
Kweli kweli ❤
@hilaliabdallah203
@hilaliabdallah203 2 года назад
Samahani unaweza kunionyesha andiko kama kanisa ni nyumba ya mungu
@YamunguMatamya
@YamunguMatamya 20 дней назад
Karibu kwenye semina
@shadrackwilliam8218
@shadrackwilliam8218 2 года назад
🙌🙌🙌🙌🙌
@daudsukwa44
@daudsukwa44 3 года назад
Imekaa vizuri
@methodkakoni4465
@methodkakoni4465 3 года назад
Tukumbushe kara a sanasana tutumike
@WisemanHoliness
@WisemanHoliness 3 года назад
Shida sana sana kwa church musicians sijui ili suala litakuaje siku zijazo, maana unakuta mpigaji akiinuliwa kidog anaanza kujifanya kuwa yupo bize kumbe anataka aanze kuaprecietiwa na kanisa kwa kulipwa allowance daa
@ngwanafabian9668
@ngwanafabian9668 3 года назад
@John faraja Hivi kanisa lina mapato kiasi gani hadi kila mtenda kazi alipwe kanisani ikiwa tu zaka haitolewi kikamilifu? Waumini sadaka zao shilingi 1000 kila mtu anazitolea macho kama si kuleta machafuko tu makanisani? Unapoimba kanisani hauimbii kanisa bali unamwimbia Mungu so kama unataka ulipwe mwambie unayemwimbia akulipe.
@giftedmindschools418
@giftedmindschools418 3 года назад
Sure
@imelidastevesteve5127
@imelidastevesteve5127 3 года назад
Umenena baba yaaani watu kuimba sifa tu wakimaliza ibada wanataka nauli hichi kitu jaman NI balaaaaaa kwa kweli wokovu wa kweli haupoooo
@mpazielelisifa9187
@mpazielelisifa9187 3 года назад
Soma biblia vizuri
@imelidastevesteve5127
@imelidastevesteve5127 3 года назад
@John faraja oooh saw maana ya wokovu ninaweza sema NI MTU ambaye Mungu kamuondoa dhambin na amefanywa upya Tena lakin hapo maan yangu NI kwamba kanisan wapo waliookoka na wapo wanaosali so asilimia kubwa ya wanaosali tu bila kumjua vizur wanaemtumikia ndo wanataka walipwe pesa wakati neno linasema nimewapa bure toeni bure 🙏🙏🙏
@imelidastevesteve5127
@imelidastevesteve5127 3 года назад
@@mpazielelisifa9187 nimesoma vizur
@ngwanafabian9668
@ngwanafabian9668 3 года назад
@@imelidastevesteve5127 wavivu wa kufanyakazi ndiyo hutaka kulipwa makanisani. Kuimba siyo kazi ni huduma ya kila mtu someni zaburi. Shetani alikuwa mwimbaji naye alitimuliwa kwa majivuno kama ya waimbaji wa sasa. Bila shaka hata Shetani alifikiri bila yeye kuimba mbinguni pangekosa waimbaji. Hadi leo mbinguni Mungu bado anasifiwa kwa nyimbo licha ya Lucifer kutupwa kuzimu.
@fredipalei3533
@fredipalei3533 3 года назад
🙏🙏🙏
@estermathias8354
@estermathias8354 Месяц назад
😂😂😂😂vituko vya wanenaji
@paulsimiyu7916
@paulsimiyu7916 3 года назад
Kichwa cha ujumbe kinanichanganya
@elizabethrichard4640
@elizabethrichard4640 3 года назад
Sema tupone kwa Kweli maana wengine wanalalamika
@gabriellyadam9415
@gabriellyadam9415 3 года назад
mpaka naogopa kweli.
@malindisamwel4144
@malindisamwel4144 3 года назад
Ameeeee
@StellaPaul-z9y
@StellaPaul-z9y 10 месяцев назад
Wengin mpaka wanao imba Wana kwaya wana lipwa
@mtangag774
@mtangag774 3 года назад
mzee huyu ana balaa
@ibrahimlameckministry1867
@ibrahimlameckministry1867 3 года назад
Barikiwa San
@rizikishemsanga3735
@rizikishemsanga3735 3 года назад
Barikiwa
@frankmark853
@frankmark853 3 года назад
Nena mkuu nikweli unayoyasema
@thelivingwordchannel9027
@thelivingwordchannel9027 3 года назад
Hahaaaaa! Message send to Mwakasege+ Diana .
@mpazielelisifa9187
@mpazielelisifa9187 3 года назад
Usishabikie kitu usichokielewa
@ezekielamos252
@ezekielamos252 3 года назад
How ??? Na kwann
@fredrickmuia8855
@fredrickmuia8855 3 года назад
Please nakuomba wachana na watumishi wa MUNGU kila mtu ana mwito wake Please Please 🙏.
@thelivingwordchannel9027
@thelivingwordchannel9027 3 года назад
@@fredrickmuia8855 Hahaaaa! Kwamaana hiyo wakifanya kinyume wasisemwe kisa ni watumishi?.Mtu yeyote ni mtumishi wa Mungu kwa eneo lake,hata wewe ni mtumishi.Usitishwe na title za mwalimu,Askofu,Nabii,mchungaji nk.
@davidshango4202
@davidshango4202 3 года назад
Yote ni sawa lakini unaonaje na wewe usiwe unapewa mshahara ?? Japo imegeuzwa inakuwa inaitwa posho
@EddaYohanis
@EddaYohanis 18 дней назад
Jitahif kuwa na utulivu wakati wa mahubiri ni kweli unasema ukweli lakini sikuelew unaongea bila kicho na hekima mbele za MUNGU shida yako ndo hio tu tulia mzee unalukaluka nini kanisan
@emmanuelmwandu.3126
@emmanuelmwandu.3126 3 года назад
Ha haaa. Druuuu! Umekuwa simba?
@eliudminga6085
@eliudminga6085 2 года назад
sasa ni miaka 14 ya uamsho MUNGU aendelee kuitetea injili yake
@linetmokami4247
@linetmokami4247 Год назад
Tungepata watumishi Kama wewe mbi nguni tunaingia direct
@bahatihacks8472
@bahatihacks8472 3 года назад
Mtumishi mbona unawabebesha watu mizigo ambayo wewe huibebi. Kwani wewe hulipwi ? Kama kutAka malipo kwa kazi halali ya madhabahu ni kuwa msukule vipi wewe ni nani🤷‍♂️
@georgeigogo2426
@georgeigogo2426 3 года назад
Sidhani kama umewai kumwelewa
@bahatihacks8472
@bahatihacks8472 3 года назад
@@georgeigogo2426 haya nieleze nisiyomuelewa.
@bahatihacks8472
@bahatihacks8472 3 года назад
Tangu mwanzo wahudumuo hekaluni hula hekaluni, hayo ya wachache kula hekaluni wengine kujitolea yameanza lini?
@maomao3837
@maomao3837 3 года назад
Panamna hii ndugu uwe unanyamaza tu,hata ukitaka kuhoji siyo kwa namna hii uliyoitumia ww.
@wisdomushindi104
@wisdomushindi104 3 года назад
KICHWA CHA HABARI NA ANAVYOONGEA HUYU MTUMISHI, NI TOFAUTI KABISA. ABASILISHE KICHWA CHA HABARI.
@thelastcall8258
@thelastcall8258 3 года назад
I believe we should serve God without ask8ng for any pay , but that doesn't mean that people also should not be supported by the church if they are in need. If we go back to the book of acts the believers helped each other . So if a church is able to help the people helping around in church with payment that would be godliness. Aren't we told if someone is in need and you are capable to help do not send them away w8thout the help.
@erickmutungi8792
@erickmutungi8792 Год назад
Mind you that, helping people in need is another issue and serving GOD is also another issue,if people are in need then they shouldn't render service for them to be helped but when it comes to serve GOD,we are supposed to serve GOD willingly and that is wether in need or not in need... which is BIBLICAL.... so try to understand the context of the preacher please!
@gallousgosbert4993
@gallousgosbert4993 3 года назад
HILI KANISA LIPO WAPI? NAHITAJI KUFIKA HAPO.
@godfreykapalale1546
@godfreykapalale1546 3 года назад
Lipo banana. ukifika ulizia mchungaji magembe
@gallousgosbert4993
@gallousgosbert4993 3 года назад
@@godfreykapalale1546 asante Mimi naishi kitunda hapo banana siyo mbali sana
@nnkv1480
@nnkv1480 3 года назад
Kwa upande wa kunena kwa Lugha mpya uwe makini sana la sivyo utazimisha Roho mtakatifu ndani ya watu wakidhani kua sio Lugha sahihi.Biblia inasema Lugha za wanadamu na malaika.Wewe unajuaje kama sio roho hata kama ananena neno moja?inawezekana akawa bado mchanga ktk hayo .Labda kama unasema hazai matunda yapasayo toba.Kunena kwa Lugha hakufundishwi ktk vyuo vyovyote bali Roho anavyomjalia mhitaji ndivyo anavyonena.Ujazo hauna kanuni ,wewe unavyojazwa na kunena kwa Lugha huku unatembea madhabahuni usifikiri wote wanapaswa kuwa hivyo.Wengine wananena kwa machozi na kutetemeka,wengine hata kusimama hawawezi maana nusu wanakua duniani nusu nyingine wanakua mbinguni wakiongea na Mungu.Hivyo pastor nenda taratibu ktk hilo ,,,asante tunakupenda
@sharonyasin7521
@sharonyasin7521 3 года назад
Tupe neno la kusaport hoja yako,speaking in tounge is language
@nnkv1480
@nnkv1480 3 года назад
@@sharonyasin7521 ndiyo ,hakuna ariyepinga,ila lugha hizo kuna za wanadamu na malayika(1 wakorinto 13;1).Za wanadamu ni kama zile walizoongea wanafunzi wa Yesu siku ya pentekoste na sisi hivyo hivyo wapo.Za malayika nazo zipo ila kwenye bible hazikutolewa mfano ila zimetajwa ktk wkrnto hapo juu.Mimi nisipokubariana na askofu ni hapa ,yeye anapinga mnenaji kutamka neno moja tu na kunena ukiwa unatoa machozi.Ndo hapo nikamuuliza je hilo neno au herufi moja anajua maana yake?au machozi hayo anafikiri ni sawa na ya kawaida?Sisi tuliompokea Yesu tangu miaka ya 1980_____tumeyashuhudia haya na kumshangaa Roho mt anavyojaza watu.Achana na siku hizi watu wote wawe wale tunaowaita manabii wa uongo wawe walio sahihi utakuta wanatamka lugha moja mfano koroboshakara au yakata,au ribosi ribosi au yamama au karabashakara,.Jaribu kufuatilia wahubiri wa kimataifa kwenye youtb utaniambia lkn sisi enzi hizo tulikuwa zaidi ya mia tano Roho akishuka tulikuwa kila mmoja ananena tofauti na mwenzie !sijui Roho mt siku hizi kaishiwa nazo? au! Ya sku hiz bwana! Mungu atusaidie tu,asante na ubrkiw nimekupnd
@sharonyasin7521
@sharonyasin7521 3 года назад
@@nnkv1480 sawa nami nimekuelewa vizuri,nilijua na wewe ni mmoja wa manabii wa siku hizi siwapendi alafu siwaelewi,asante sana Mungu akubariki
@nnkv1480
@nnkv1480 3 года назад
@@sharonyasin7521 asante mpendwa,ubarkiwe na tuendelee kumsikiliza askofu wetu
@erickmutungi8792
@erickmutungi8792 Год назад
Mpaka anaongea hivyo, usifikiri yeye ni mchanga kulisema, usifikiri ni mjinga au mbumbumbu, ukweli ni kwamba usanii umekuwa mwingi mno siku hizi mpaka imekuwa kero na hii imetokea hasa baada ya kanisa kupoa kiroho, kitu kilichopelekea ule uhalisia wa bubujiko halisi la MUNGU ROHO MTAKATIFU kupotea,na hatimaye usanii mwingi kuingia na hali ya kujitutumua kuingia na hivyo bas usifikiri yeye anaongea asichokijua.....na ufahamu pia MUNGU ROHO MTAKATIFU sio mbumbumbu,anaposhuka huwa anajua ashukeje kwa mtu, kuanzia kwa aliyeko madhabahuni mpaka kwa aliyepo huko nyuma, maana kwa mfano wakati wa kuombea watu itamlazimu mhubiri kuwekea mikono (pale inapobidi), wakati mwingine itambidi azunguke huku na kule ili kuombea watu au vinginevyo kulingana na kazi anayoipata kwa wakati huo,sasa ikifika hapo hilo ni suala jingine na ukumbuke mpaka mtumishi yeyote wa kweli wa MUNGU mpaka anasimama madhabahuni tayari anakuwa ameshahudumiwa na BWANA kibinafsi kabla hajahudumia aliopewa kuwahudumia.., hivyo jitahidi kufikiria kwa mapana hata unapotoa hoja yako ndugu....
@luhekelondelwa9714
@luhekelondelwa9714 3 года назад
Amin
@naidawikechi6990
@naidawikechi6990 3 года назад
Amen
@willisonfribert7173
@willisonfribert7173 3 года назад
Aleluya kubwa umenifugua kiloo,
Далее
ONYO KWA VIJANA ;REV.MOSES MAGEMBE
17:05
Просмотров 86 тыс.
I get on the horse's nerves 😁 #shorts
00:12
Просмотров 3 млн
#KIPIMO CHETU HIKI HAPA#DR.REV.MOSES MAGEMBE
38:13
Просмотров 62 тыс.
I get on the horse's nerves 😁 #shorts
00:12
Просмотров 3 млн