Hakuna sauti iliyo bora kuliko nyingine! Mahadhi ya wimbo wenyewe yametokana na mchanganyiko wa sauti za wote hawa wasanii🙂..... Ivyo tukiikosa sauti ya mmoja wao, nyimbo itakosa ladha! Nawish wangerudiana tena na kuendelea kutoa midundo kama ii❣️
Can someone send me the phone numbers of these guys, I want to call them one by one to appeal for their re-union again. They are ambassadors of African music
Basi mama basi na nyenye kea, KizaZi sana nakama wewe ndo mtunzi , ungali bado utafika mbaaali zaidi ya Mbali mzee wangu kwamaana iyo kazi ni 🔥🔥🔥🔥 mkuu wangu
Jitegemee kaka awala kula jasho unayopata bila kundi amh mkirudiana ushijishirikishe na Freemason you make me feel at high speed nakutambua Kati ya yamoto bendi mwenzangu