Тёмный

MUME KATUKOMOA 2 

JIMBO MEDIA
Подписаться 84 тыс.
Просмотров 93 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 242   
@ZulfahMuhammad
@ZulfahMuhammad 8 месяцев назад
Mbavu zangu😂😂😂😂 wake wenza jamani na Beka balaaa😂😂😂
@everlinekenga437
@everlinekenga437 8 месяцев назад
😂😂😂😂😂 jamani beka mume ywauma😂😂😂
@user-xd9ye7wk6c
@user-xd9ye7wk6c 8 месяцев назад
Yaani kawaweza kweli ila wake wenza mnaweza nawapenda bure 🎉🎉🎉🎉🎉
@AishaBinti-k1m
@AishaBinti-k1m 8 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 aaah bujra umenifanya nimecheka nikasahau niko kwa mwarabu😅😅😅😅😅😅😅
@AaBb-q2l
@AaBb-q2l 8 месяцев назад
Namimi shoga yangu utajuwa Niko kwangu
@AishaBinti-k1m
@AishaBinti-k1m 8 месяцев назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 twatka part 3
@UmmuAisha-xk8mj
@UmmuAisha-xk8mj 8 месяцев назад
Beka dzitso rikakusakuka na mshepu wa bahati😂😂😂
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 8 месяцев назад
Nawapenda hawa wake wenza❤❤❤❤🎉🎉
@ramasarai7875
@ramasarai7875 8 месяцев назад
Jmni mwafuraisha mungu awape maisha marefu ❤❤🎉🎉
@BintalyB
@BintalyB 8 месяцев назад
😂😂😂😂umewaweza kka.bujra ayo wake zko maan ujeuri meingi Bahati kaza kamba ivyo ivyo
@BintalyB
@BintalyB 8 месяцев назад
Bujra nisalimie mtu wa kwetu kingwede uyo beka apooo macho yamemtoka kwa Bahati 😂😂😂yuwamtaka
@maryamathman8917
@maryamathman8917 8 месяцев назад
Hii ya leo kali 😂😂😂😂, asanteni sana kwa kazi yenu nzuri
@luckylucky7153
@luckylucky7153 5 месяцев назад
Nimecheka sana nimekubali somo bahati jina la bahati si lakuchezea wee😂😂😂😂
@aligodah3622
@aligodah3622 8 месяцев назад
Goodwork home boys,napenda kazi yenu na in shaa Allah mzidi kutuelimisha
@Kalssambabo-gv6uh
@Kalssambabo-gv6uh 8 месяцев назад
Saphi nakitako chake ss 😅😅😅😅khaaa
@CheerfulBeignets-se8dn
@CheerfulBeignets-se8dn 5 месяцев назад
Am watching from Qatar nawapenda thu bureeeeeeeeeee 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 beka watuchokesha bana
@mwanaharusitsuma5880
@mwanaharusitsuma5880 8 месяцев назад
Wow toka wanagobana mpaka wameshikana nikeipenda iendelee bas leteni patr 3
@ummusulaish5586
@ummusulaish5586 8 месяцев назад
😂😂😂 Beka kashampenda Bahat
@amam2211-
@amam2211- 8 месяцев назад
Keept up ma madikodiko na sofi kz zr sna na beka wao nimecheka mpaka kidzago nimekienua juu.kka bujura mauwa yko nikiwa Amerika mwanifurahisha sna
@mesaidikazungu4299
@mesaidikazungu4299 8 месяцев назад
😂😂😂😂 Bahati ni bahati kweli beka pambana bahati asiende.
@wemakalama6458
@wemakalama6458 8 месяцев назад
Jamani mbavu zangu🤣🤣🤣#jimbo tv you are the best .
@BintalyB
@BintalyB 8 месяцев назад
Nawaagalia nikiwa saudi nimecheka sna. Mpka warabu wamesikia 😂😂😂😂
@mariamkassimu5040
@mariamkassimu5040 7 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 7 месяцев назад
@@mariamkassimu5040 😂😂😂😂😂
@Alice-mb9vi
@Alice-mb9vi 2 месяца назад
Yani beka wewe nimcheka mm ❤🎉
@shakilasharifa9
@shakilasharifa9 8 месяцев назад
🤣 🤣 Uke wenza kazi jamani 😂😂😂😂
@daddyjnr4250
@daddyjnr4250 8 месяцев назад
😂😂😂umewaeza ,,,,wish could be a member also bro bujra
@daddyjnr4250
@daddyjnr4250 8 месяцев назад
Can i be a member of jimbo media
@Saodah-x3p
@Saodah-x3p 8 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂 umeweza bwana
@user-ir9xj5yt5p
@user-ir9xj5yt5p 8 месяцев назад
Beka wamtaka bahati lkn washindwa kumtongoza,ndio wajifanya kullamika nyiko naijua iyo 😂😂😂😂😂
@fare7720
@fare7720 8 месяцев назад
😂😂😂 mama madikodiko na sofia kiboko yao bahati
@zni8z
@zni8z 8 месяцев назад
😂😂😂😂😂yani bado mchambo wa mfanyikazi unaendelea❤❤❤nawapenda sana
@user-ld2wd3ww8h
@user-ld2wd3ww8h 8 месяцев назад
Yani nimecheka mpk naulizwa nimekuja mwenda wazimu mwarabu ni nani kwakupenda kusikiza 😂😂
@ThamimaRajabu-bs2nd
@ThamimaRajabu-bs2nd 8 месяцев назад
Sima y mbwarata Beka jamani 😂😂😂
@FatmaMoha-o6e
@FatmaMoha-o6e 8 месяцев назад
Nimawahi na mm leo 🎉🎉😂😂
@user-eq8dd6sl7u
@user-eq8dd6sl7u 6 месяцев назад
Hahahaha 🤣😂🤣😂🤣 jamani nimecheka kwa sauti
@MaulidJuma-e3w
@MaulidJuma-e3w 7 месяцев назад
Naitwa MAULID Ali bin jumaa wete pemba ila muko vizuri kimichezo tasnia ya kiswahili kuliko nyumbani zanzibar
@UmmuAisha-xk8mj
@UmmuAisha-xk8mj 8 месяцев назад
Na bahati n bahati kweli😂😂😂
@RamaKahindi-vw4oz
@RamaKahindi-vw4oz 8 месяцев назад
Becka on top but isiwe ni tabia yako kweli bro😂😂😂😂😂
@user-tg2mn3xu1y
@user-tg2mn3xu1y 8 месяцев назад
I proud to be mijikenda digo tribe
@MwanakombokhamisiKhamisi
@MwanakombokhamisiKhamisi 8 месяцев назад
Jaman nimeipenda hii 😂😂😂😂hongera sana
@AmenaMm-r5t
@AmenaMm-r5t 7 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂 nimechek jaman ad rah wakewenza ongeren hhhhh
@rizikaCharo-kn7se
@rizikaCharo-kn7se 8 месяцев назад
😂😂😂 yarab.. ak beka chukua 🎉🎉🎉 paka mishipa ya shingo yakutoka, bahati asiondoke basi kwa ajili ya beka 😂😂😂 madikodiko hajui kumanya kusua ata nyungu 😂😂😂 hii kali ya mwaka
@MaryamMoosa-g5s
@MaryamMoosa-g5s 8 месяцев назад
Nawa anqariya ni kiwa omani wake wenza nashemeji yenu beka nawapenda sana 😅😅😅😅😅😅😅😅❤❤❤❤❤❤
@biihusseinbakar5087
@biihusseinbakar5087 8 месяцев назад
😂😂😂😂Nrahaa😂😂😂Bujra mmeupiga mwingi😂😂
@shamsaaaaa3963
@shamsaaaaa3963 8 месяцев назад
😂😂😂😂 beeka et mbwarata 😂😂😂😂🎉🎉❤❤❤
@AminaJuma-j3r
@AminaJuma-j3r 6 месяцев назад
Mashallah Kaz nzuri ila beka wanivunja mbvu 😅😅😅😅😅😅😂😂😂
@mwana9848
@mwana9848 8 месяцев назад
Beka ww et madikodiko akazora😂😂😂
@rahmaoman5122
@rahmaoman5122 8 месяцев назад
Beka sijui una nn jamani khaaa 😂😂😂😂kwann bahati
@تتغتا-س6ش
@تتغتا-س6ش 8 месяцев назад
Mmm😂😂Tena bado wanyooshe kabisa.
@shamimhassan4385
@shamimhassan4385 8 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂Mim hawa wataniua cku monja Wallai 😂😂😂
@user-ly2fs6zm3n
@user-ly2fs6zm3n 8 месяцев назад
I like it aky good work...love you all ❣️❣️❣️
@fellst4159
@fellst4159 8 месяцев назад
We beka ww😂😂😂wafanya madikodiko anafany zoezi😂😂😂
@leylaabuu7025
@leylaabuu7025 8 месяцев назад
Ayo yote yansababishwa na Beka 😂😂Bahati ankuwa rule r
@fadhilaabdurahman3161
@fadhilaabdurahman3161 8 месяцев назад
🎉 kweli mmenyooshwa
@SalmaSalma-py2kc
@SalmaSalma-py2kc 6 месяцев назад
Hahaha 🤣🤣 hio kali sna
@user-wz8ig9xl8i
@user-wz8ig9xl8i 5 месяцев назад
Sio bure bahati ana kitu
@user-mj6cb7eq4b
@user-mj6cb7eq4b 6 месяцев назад
Nawapenda nyote naangalia nkiwa oman
@Mwandegu
@Mwandegu Месяц назад
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Beka ww ni chizi Haki vile waongea kaambae ni kwl
@user-xu6uc5zg8t
@user-xu6uc5zg8t 6 месяцев назад
Jamani kazi hipo
@zhshsh-us8tf
@zhshsh-us8tf 7 месяцев назад
😮😮😮😮😂😂😂😂 Beka loop wafurahisha nyumba ya ndungue unatawala kwako niwapi
@mimonahomre9818
@mimonahomre9818 8 месяцев назад
😂😂😂😂😂Beka utaka ngoto ndipho 🤣🤣🤣
@NanaaCutee
@NanaaCutee 8 месяцев назад
Ila mnanifurahisha sana jamn uwiii😂😂😂😂🤣🤣 mbavu zangu miee
@fhugghi4109
@fhugghi4109 8 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂Uwiiii jaman tena 😂😂😂
@shakirashakira-gc2yw
@shakirashakira-gc2yw 8 месяцев назад
Kwani lazima bahati hahaha
@bintyramadhani7585
@bintyramadhani7585 8 месяцев назад
😅😅😅😅😅 nkazi hii nayo😅😅
@khadijah7217
@khadijah7217 8 месяцев назад
Nimeipenda sana muendelezo jamaniiii😊😊😊😊
@AishaAishaathuman-ov5pk
@AishaAishaathuman-ov5pk 6 месяцев назад
Bahati is the best 😂😂😂😂😂😂
@MahraMansoor5969
@MahraMansoor5969 8 месяцев назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 janani nimecheka mpaka nawapenda sana kwa ajili ya Allah from uk 🇬🇧
@user-fq8ff7tz5c
@user-fq8ff7tz5c 7 месяцев назад
Nawa penda bure watching from Saudi arabia beka mbavu zangu 😂😂😂
@KamikaziAnneMarie
@KamikaziAnneMarie Месяц назад
Nimecheka jamani uwiiiii😂😂😂
@zhshsh-us8tf
@zhshsh-us8tf 7 месяцев назад
Mtegemea cha ndungue hufa masikini baye
@yusufngare3438
@yusufngare3438 8 месяцев назад
Wale ambao hamjasabsribe mufanye hivo tuinuane kimaisha💪💪💪
@MwanajumaShaban-c5k
@MwanajumaShaban-c5k 8 месяцев назад
Uke wenza raha😂😂😂😂😂
@user-uc6xe7ht4k
@user-uc6xe7ht4k 8 месяцев назад
Imeweza saja
@BintiM-di1wm
@BintiM-di1wm 8 месяцев назад
Aki mwafurahisha 😂😂😂hya beka chapati huli😅😅
@MwanaishaRama
@MwanaishaRama 8 месяцев назад
Bakari bakari uwe eti madzikombe 😂😂😂😂gaanyooka kama GA jne😂😂😂😂😂😂
@FaithChivatsi
@FaithChivatsi 8 месяцев назад
I like that 😄😄😄😄
@MankaMeski-o5k
@MankaMeski-o5k 2 месяца назад
Shkamoo mume wawenyewe umejua kufunza wake
@user-bw8un9ds6t
@user-bw8un9ds6t 7 месяцев назад
Naangalia jumbo Media nikiwa Riyadh saudia. Ya mke n mke msifanye mchezo 😂😂😂
@NaomiRehemaMichael
@NaomiRehemaMichael 5 месяцев назад
Nawapenda sawa jaman
@user-sv5nw2ny9w
@user-sv5nw2ny9w 8 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂 baati kajua kuwakomesha
@Kijosh854
@Kijosh854 8 месяцев назад
😂Beka unaphunga sana
@user-qh2ij3kj8s
@user-qh2ij3kj8s 8 месяцев назад
Beka unaamba atu akaanyooka km ruler 😂😂
@waleedbinali3211
@waleedbinali3211 8 месяцев назад
😂😂😂 sawa ta mwanamke ni mwanamke
@Jaydaddy906
@Jaydaddy906 8 месяцев назад
Good job watu wangu
@DelightfulPenguin-wk4kv
@DelightfulPenguin-wk4kv 7 месяцев назад
Mashallah Kwa kweli mnetufundisha mengino
@mwana9848
@mwana9848 8 месяцев назад
Nacheka mm😂😂😂
@user-wk3nx2mu2f
@user-wk3nx2mu2f 8 месяцев назад
Mlozeni hiye beka ye baati😂😂😂😂
@sofiabora668
@sofiabora668 8 месяцев назад
😂😂😂 I keep on following you guys🤝
@MishiJuma-vn6lm
@MishiJuma-vn6lm 8 месяцев назад
Owa because umezidi umbea na kuchochea mashemegi zako umumbea mrume kakara hivyo
@aishaomar2287
@aishaomar2287 8 месяцев назад
Beka huo mshipa wa shingo dwamani😂😂😂
@judithkadhengi7230
@judithkadhengi7230 8 месяцев назад
😂😂😂😂😂ww beka walizwa na nn
@RehemaSalim-d3g
@RehemaSalim-d3g 8 месяцев назад
Bekaaaa.mphozera baati😂😂😂
@florencekanze
@florencekanze 8 месяцев назад
Bekaa😂😂nmekuona wamtaka huyo bahat😂
@user-ip9sc4vn5e
@user-ip9sc4vn5e 8 месяцев назад
Good work 🎉
@gunibedzame6119
@gunibedzame6119 8 месяцев назад
Beka unamanjine ama nibahati unamanya kazi mana utsuma kurira😂😂
@Mwanaharusi
@Mwanaharusi 8 месяцев назад
Nawependa sana😂😂😂
@Zeinabmea
@Zeinabmea 8 месяцев назад
Beka Alipata bahati hamtaki tena Sophie 😂😂😂😂😂😂😂
@hidayaalisaid1083
@hidayaalisaid1083 8 месяцев назад
Beka unahanzo amba utaka mchetu 😂
@MwanasizetuMohammed
@MwanasizetuMohammed 4 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂sawa sawaa
@FatumaMwinyi-ox8qi
@FatumaMwinyi-ox8qi 8 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂hatari kwa usalama
@HazinaSaid-ze8lk
@HazinaSaid-ze8lk 8 месяцев назад
Beka we ni kiboko buanaa😂😂😂
@user-gg7pg4wy4u
@user-gg7pg4wy4u 8 месяцев назад
Mwanivunja mbavu jaman❤
@OverdozClassic
@OverdozClassic 8 месяцев назад
Imeanza kushika vile inatakikana mashallah
@YassinIssa-hj4yo
@YassinIssa-hj4yo 8 месяцев назад
Hongra Sana
@HalimaK2ga
@HalimaK2ga 3 месяца назад
Filamu kama hizi zina nakufundisha nmzur xana
@swag12345ize
@swag12345ize 8 месяцев назад
Bahati Yujin kupiga deki kweli
Далее
SERIKALI YA GACHAGUA
12:34
Просмотров 34 тыс.
MUME KATUKOMOA
10:33
Просмотров 127 тыс.
KUMBE NI MJOMBA
9:47
Просмотров 71 тыс.
YUKO WAPI
14:45
Просмотров 87 тыс.
BODA BODA EP1
3:20
Просмотров 1,5 тыс.
Utumwa wa mume
16:24
Просмотров 11 тыс.
MKE AWEZA KUWA NUKSI KWA MUME (MLANGO WA NANE)
18:24
Просмотров 96 тыс.
Mamaa Madikodiko Amnyima Wifi Yake Chakula
4:55
Просмотров 29 тыс.
RAFIKI KINDAKINDAKI
12:03
Просмотров 28 тыс.
CHUMVI KANTA NZIMA
7:25
Просмотров 47 тыс.
Ze Comedy-mafundi cherahani
6:33
Просмотров 258 тыс.