Тёмный

MUME WA DUNIA (OFFICIAL MOVIE) 

MPOYOKA PICTURE
Подписаться 12 тыс.
Просмотров 708 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 431   
@beatriceamina1337
@beatriceamina1337 3 года назад
Huyo dada kapata bwana mzuri sana akumbuke ndoa niyawatu wawili tu akiingia wa tatu hpo hakuna ndoa mwisho itakua mbaya
@khadijaangore4408
@khadijaangore4408 4 года назад
Hongerani sana kwa Elimu hi ni movie nzuri wenye mafunzo. Wanawake wenzangu tujirekebishe usione mwanaume anakupenda kuna siku atachoka. Hongera sana baba othmani na mama Asma💗💗❤❤💕💕💕👍
@janetkithi775
@janetkithi775 7 месяцев назад
Kbsa dadangu
@allysaid6742
@allysaid6742 4 года назад
Masha Allah kwakweli ndio Kwanza niwaone Leo kwenye movie ILa hongereni Sana mpo vizuri Sana na mumeonesha ustadi wa Hali yajuu katika hii filam, Allah awazidishie Zaid ya hapo mlipo na mfike mnapotarajia. From: DOHA QATAR.
@khadijaangore4408
@khadijaangore4408 4 года назад
Ameen yaraab alamiin 💕💕
@saidali2707
@saidali2707 4 года назад
Assalam alaykum muvi ninZur Sana funzo Kwa dada zetu juwa kwamba ukiwachwa taeaka Tatu hauruhuaiwi kulegelewa lamda uwolewe namume mwengine akuwache ndio mtalaka wako wa Kwanza aweze kukuwoa tena napiya vilevile ukimdai mume taeaka bila sababu zamsingi hutoipata hata harufu ya Pepo Najuwa tuko kwenye mafunzo Niwape hungera watengenezaji wahii muvi
@mustafasharif4761
@mustafasharif4761 3 года назад
Aiseee.move kali sana yani bonge la fundisho
@saudahamad7481
@saudahamad7481 3 года назад
ASANTE JIRANIIII😍😍😍😍😍😍NAKUPENDAJE..... ALAFU MAMA ASMA UMEFANANA SANA NA MAMAANGU MDOGO............!!!!!!!!!
@wilewile1318
@wilewile1318 4 года назад
Mungu awabark sana kwa fram zuri imenifudisha kabisa
@ukhtysuu7026
@ukhtysuu7026 Год назад
Chezea talaka ww ......salimia mamdogo😍😍😍😍
@salomemukani1627
@salomemukani1627 4 года назад
Hongera sana kwa hii vilamu nzuri haya mambo yapo 💪💪🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦
@carolinelipesa1056
@carolinelipesa1056 4 года назад
Funzo kubwa kwa sis wanawake. Usiache mbachao kwa msuala upitao
@محح-و6ش
@محح-و6ش 3 года назад
Uko sehemu gan wewe uko saudi
@khalfanabdalla8098
@khalfanabdalla8098 3 года назад
Shot move but I like it woooooow amazing big up sana kwenu sijaona kosa lolote wa mapunguf kwenye hii move og og
@TauhidaHaji
@TauhidaHaji 3 месяца назад
Ninachoamini.mtu.mwenye muume na mjane haiwezekani. Wakawa.marafiki mnoooo❤❤❤❤❤ movien naipenda.sana.sana
@priscadaudi4849
@priscadaudi4849 4 года назад
Movie nzuri sana.baba asu nimekupenda pia big up
@catherinekanale9545
@catherinekanale9545 3 года назад
Movie tamu sichoki kuiangali hongerenii jaman
@sharifaallan2386
@sharifaallan2386 4 года назад
Nice movie...ukisema wa nini.....wenzio wasema watampata lini....love from mombasa Kenya❤💞
@khadijaangore4408
@khadijaangore4408 4 года назад
Kweli dadangu
@bintihassan6534
@bintihassan6534 4 года назад
Mashaallah...... Yn hukikosa Kujifunza kupitia hii ww c mwanafunzi😍😍😍😍😍😍piga keleleee kwa baba asu ake Weeeuweeeeeeeeeeeee😘😘😘😘😘mama asma umependeza acikwambie mtu💝💝💝
@khadijaangore4408
@khadijaangore4408 4 года назад
Weweeeee
@mazrui1948
@mazrui1948 3 года назад
Movie nzuri sana in a mafundisho kwa wanawake wajeuri went wako kwa ndoa. Ndoa haichexewi.ilobaki ni ukandange.
@loicekazungu1297
@loicekazungu1297 2 года назад
Hongereni kwa kutuletea thamuthilia
@liliankavishe6889
@liliankavishe6889 4 года назад
Dah big up sana yan nimeipenda sana baba asu love sana kwakuwa unamaamuzi mazur sana maan hyu mwanamke dharau sana
@khadijaangore4408
@khadijaangore4408 4 года назад
Kweli mwanamke jeuri hii Ndio dawa yake.😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣
@fatmakungu2160
@fatmakungu2160 4 года назад
Akhasante Kwa somo zuri Sana nimejifunza kitu. .huyu baba masu hakika amevaa uhusika kama sio move kuvaa uhalisia wa matukio kwenye jamii
@VictoriaSanga-y6q
@VictoriaSanga-y6q 6 месяцев назад
Mwana kulitafuta! Kayataka mwenyewe sawa angalia ninini funzo kubwa sana hili
@fahimomar7850
@fahimomar7850 Год назад
Baba asu kapata chombo uamuzi wako nimeupenda mafundisho safi sana
@happyjuma9611
@happyjuma9611 4 года назад
It's a nice story very educative..... i luv it soooo much
@TatuTatuibrahim
@TatuTatuibrahim 7 месяцев назад
Nimeipenda san hii movie toen mapem sana movie nyengine
@josephatmvambi3933
@josephatmvambi3933 3 года назад
baba asu mama asu hatari sana move nzuri sana msalimie mamdogo😂😂
@mpoyokapictures1405
@mpoyokapictures1405 3 года назад
Asante kwa pongezi usiache kuangalia nyingine nzuri 1.Ndoa jela 2.lovenness 3.Mtoto wa haramu 4.Moyo Zote zipo RU-vid
@anitanahimana2115
@anitanahimana2115 4 года назад
Mashaa Allah nzuri sana leta nyingine
@mpoyokapictures1405
@mpoyokapictures1405 4 года назад
Ume subscribe lakini!?
@betinvestment3204
@betinvestment3204 3 года назад
Taaammmm kuliko asali dah waweza unguza mboga
@mtaratibumpolemnyenyekevu2115
@mtaratibumpolemnyenyekevu2115 4 года назад
alimudulillahi nimeipenda sana ipo kiwango sana tena sana pia tengeza zingine zenye mafuzo kama haya (ibarikiwa kazi ya mikono yenu)
@mpoyokapictures1405
@mpoyokapictures1405 4 года назад
Emen
@khadijaangore4408
@khadijaangore4408 4 года назад
Alhamdulillah tunajifunza humu humu.
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 4 года назад
jiraniiiii unaweza si mchezooooo
@lailakhamis432
@lailakhamis432 4 года назад
Hongereni sn nimeipenda sana muko vizur
@GdddsHddd
@GdddsHddd 4 года назад
Jamani wanawake talaka tatu duh this movie is so wonderful I love it wapi part 2jamani
@fakhirhamad1273
@fakhirhamad1273 4 года назад
Tumejifunza bna wanawake tuache jeuri😁😁😁👌
@lkshmykomar5472
@lkshmykomar5472 4 года назад
Mukovzur sana hiyo ndodawa ya mwanamke anayejiona yy ndo yy
@aminamsomali1619
@aminamsomali1619 4 года назад
Movie tamu sana lete muendelezo tafadhali tena araka jamani
@TauhidaHaji
@TauhidaHaji 3 месяца назад
Naipenda.hii.movies.sana.sanna❤❤❤❤❤
@khadijaangore4408
@khadijaangore4408 4 года назад
Masha Allah tabaraka Allah. Asanteni team nzima.
@sefukimangasefukimanga2197
@sefukimangasefukimanga2197 3 года назад
Hanaaa lakeeee huyoo
@asheliramadhani7440
@asheliramadhani7440 4 года назад
Na iwe somo kwa wengine kazi nzuri jamani
@sahlamussa8538
@sahlamussa8538 4 года назад
Hongeren baba asu kwa move nzuri
@mpoyokapictures1405
@mpoyokapictures1405 4 года назад
Zimefika
@bintmjapanddhh314
@bintmjapanddhh314 4 года назад
Mashallah movie nizur nimeipena inamafunzu daniyake tupe party 2
@bhfmncjvm503
@bhfmncjvm503 4 года назад
Eti nampenda sana mmewangu we jinga sana
@samsungj7pro64gb5
@samsungj7pro64gb5 4 года назад
Tena sanass
@nasraally1708
@nasraally1708 3 года назад
Movi mzur jaman mmejitahidi ongereni
@zakyahya4645
@zakyahya4645 4 года назад
Ukisema cha nin Kuna anae Sema nitakipta lini Asante xn kwa move mzuri yenye mafundisho
@khdijaahmed8458
@khdijaahmed8458 4 года назад
Umeonaeeh
@zakyahya4645
@zakyahya4645 4 года назад
@@khdijaahmed8458 kwakwel na nimejifunz
@zulfasalum8558
@zulfasalum8558 4 года назад
Kabisa
@عليمحمد-و6ي9غ
@عليمحمد-و6ي9غ 3 года назад
nampenda san huyu kijana mov zake mzuli san
@catherinekanale9545
@catherinekanale9545 3 года назад
Mama mzazi wa mama asu kichaa sanaa
@annaswai6072
@annaswai6072 4 года назад
Bado mrithi wa kanumba hajatokea kwa kweli gonga like km unakubaliana na mm lakini hii muvi ni nzuri sana👏👏👏👏
@SleepyBabyPenguin-oh7fb
@SleepyBabyPenguin-oh7fb 7 месяцев назад
Mashaallah movie nzuri sn
@kessyfilbart3133
@kessyfilbart3133 3 года назад
Kanumba namba 2 movie nzuri sana tunaomba part 2
@samiamohamedi1408
@samiamohamedi1408 4 года назад
asanteee kwa move ila tunaomba mwendelezo
@aishaddddhh6272
@aishaddddhh6272 3 года назад
😁😁😁😁😁pambe zamama asma nimezielewa
@saidiasdd5043
@saidiasdd5043 4 года назад
Pole sana Kaka niatari sana kbs 👌👌
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 4 года назад
Naona coment. Zimedamshii wacha niangaliaa
@nurafedrick378
@nurafedrick378 4 года назад
Mweusi ngala AMA🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙊🙊🙊🙊🙊🙊 masikio yangu jamani kuna watu wanapendaa kugoa wezao wakati wao weupe bandia
@siapaul3346
@siapaul3346 3 года назад
Jamanii mwenye jicho kMa langu ajibu "Huyu ni mtoto wake kweli au maana siyo kufanana huko kila kitu bichwa, pua, sura na komwee
@riyahemed8712
@riyahemed8712 4 года назад
Very nyc movie congratulations to baba asuu n mama asma👌😘
@adidjasengadidjaseng4007
@adidjasengadidjaseng4007 4 года назад
Tama mbay mpe'da tuwili kamoja kumponyoka
@maureentebakol7520
@maureentebakol7520 4 года назад
N zruri xna naomba part 2 jamani it amazing movie
@mamaeliya5611
@mamaeliya5611 3 года назад
Hapa kwishine
@mathildemwangaza109
@mathildemwangaza109 3 года назад
Utajua hujui we mama
@hamisrashid4406
@hamisrashid4406 3 года назад
Hongela Sana Kaka
@mpoyokapictures1405
@mpoyokapictures1405 3 года назад
Asante
@asteriakimaro5660
@asteriakimaro5660 4 года назад
Huwa siangalii movie yenye comment chini ya 200 na lazima nizisome kwanza🤣🤣🤣
@abbykivuyo348
@abbykivuyo348 3 года назад
Bac wew mvivu
@azizakassim-lw4ts
@azizakassim-lw4ts Год назад
Hhhhhhhhh
@ayishaayisha3625
@ayishaayisha3625 4 года назад
❤️❤️❤️❤️👍Tamamu sana kwel 🇧🇮🇧🇮🇹🇿
@hawaa2227
@hawaa2227 4 года назад
Move ma sha Allah Rahman Allah awazidishie ufahamu
@momososo7282
@momososo7282 3 года назад
Ikopoa kweli movies
@brisherjoshyie2316
@brisherjoshyie2316 4 года назад
Asante Sana kwa filmu nzuri sana
@مارياكافشى
@مارياكافشى 4 года назад
Umeorewa na duniya??????mume kitu gani😅😅😅😅❤❤❤🇧🇮
@TauhidaHaji
@TauhidaHaji 3 месяца назад
Wahusika.wote.pambeeee❤❤❤❤❤
@richardjuma7708
@richardjuma7708 4 года назад
Nimeipenda sana hii
@agnealoise1656
@agnealoise1656 4 года назад
nimependa eti hapa kwishinei hahahahaha ikopoa hiyo
@mulhatmudrik9828
@mulhatmudrik9828 4 года назад
jambo la kwanza naangalia comment
@mumynyika6689
@mumynyika6689 4 года назад
It's so amaizing nimeikubali wapi part 2 jamani
@anita2965
@anita2965 3 года назад
Nzur sana
@lightnessseifu5983
@lightnessseifu5983 4 года назад
Mashaallah moves nzuri inamafundisho mazuri imenifanya nimelia kwa uchungu . Duu hivi vitu vipo yaan haya Mambo yapo et.
@wakudunda3145
@wakudunda3145 4 года назад
ikopwa sanaa nimeipendaa
@wakudunda3145
@wakudunda3145 4 года назад
mashallah
@misigarodavid4715
@misigarodavid4715 4 года назад
Aaaa mafundisho mazuri eee mungu tusaidie
@zahraosman4407
@zahraosman4407 4 года назад
❤❤
@aishaddddhh6272
@aishaddddhh6272 3 года назад
Mama asma kajua kucheza na fursa
@rinaalbaloushi2981
@rinaalbaloushi2981 4 года назад
Nzuri sana Asante mnajuwa sana 💯
@Amina-sf8kb
@Amina-sf8kb 3 года назад
Muendelezo plz nice movie
@zenasudishabani4179
@zenasudishabani4179 4 года назад
Ukiona comments zaidi %100 ujuwe movi ni moto
@محح-و6ش
@محح-و6ش 3 года назад
Umeonaee
@kibasamohamedi8029
@kibasamohamedi8029 4 года назад
Movie nzuriiiiiiii sanaaaaaaaaaa!!
@sadaturuku4003
@sadaturuku4003 4 года назад
Naombeni namba ya baba asu 😂😂😂😂😂😂movie nzuri sanaaaaaaaaaaaaa
@mpoyokapictures1405
@mpoyokapictures1405 4 года назад
Anatmia jina la mume wa dunia Instagram
@fathimafathima4760
@fathimafathima4760 4 года назад
Sichokii kuiangaliia leo mara tatuu ni nzurii kwakwel na ipo kwwnye maadili wawezaa tizama na mtu yyt
@kibasamohamedi8029
@kibasamohamedi8029 4 года назад
Nzur sanaaa
@mwanambarouk2486
@mwanambarouk2486 3 года назад
mm.pia hainish hamu mana nimeanza cd mpk leo nimekuja uku
@rahmahrr4471
@rahmahrr4471 Год назад
Keee maa mdgo wee una mafunzo na mwanao et mabwana tunawaachaje jamn😅😅😅😅
@Shabaniissa-i8h
@Shabaniissa-i8h 2 месяца назад
Kweri Tumepata Funzo Kubwa Hongera Kwa Mtunzi Wa Filamu Hii
@nancyabiazari3876
@nancyabiazari3876 4 года назад
Mavaz manzur unaangali at a na mzazi
@qatarshamal9808
@qatarshamal9808 4 года назад
Mwanamke kuachwa hutaka yy mwenyewe kwa mambo anao yafanya kuna watu watamani ndoa lkn wapi?
@fatmakungu2160
@fatmakungu2160 4 года назад
Nimejikuta nalia Kwa kweli sikuzote simamia unacho kiaman haki. .wako wapi walio kufanya umdharau mumeo
@mejumwinyi5404
@mejumwinyi5404 4 года назад
MaaShaaAllah ❤️👌,, Alhamdulillah movie nzr nimejifunza
@khadijaangore4408
@khadijaangore4408 4 года назад
Alhamdulillah
@mustafasharif4761
@mustafasharif4761 3 года назад
Mama wadogo muache kuwakuwadia watt wenu et mume hana hela
@benezethkapongwa3111
@benezethkapongwa3111 4 года назад
Huyu jamaa anajua sana... Ila movie zake ndio ghali sana kuziona. I really appriciate his films. Mpoyoka mi naomba tumia pia media katika kazi hii...maana ulimwengu tulio nao umebaki mitandaoni
@mpoyokapictures1405
@mpoyokapictures1405 4 года назад
Ushauri mzuri sana ila media wanabana sana, watu walio pewa dhamana ya kukagua movie mpaka uwahonge ndio wqnapitisha. Nimeoeleka media zote ujinga ni uleleule ndiomana tumekimbilia tukiwa na imani tukipata wafuasi wengi mambo yata kaa sawa cha muhimu ni sapot kutoka kwenu
@mpoyokapictures1405
@mpoyokapictures1405 4 года назад
Watabana wataachia tuombe mungu tu
@benezethkapongwa3111
@benezethkapongwa3111 4 года назад
@@mpoyokapictures1405 Daaah, very sad...hata wabane vp kizuri siku zote huwa kinajiuza. Mungu atatusimamia inshallah....
@لينا-ظ1ك
@لينا-ظ1ك 3 года назад
Nawapenda sana munajuwa ku act
@ashunebebi9518
@ashunebebi9518 4 года назад
Kigumba kwa nguruwe kwa binaadamu u chungu hana hata aibu nyoooo
@aishaaisha1495
@aishaaisha1495 4 года назад
Bora ukosee kujenga nyumba utaboa uanze upya kuliko kukosea mke wa kuoa
@mesalimumwabidia5607
@mesalimumwabidia5607 4 года назад
Mashaallah kazi nzuri kabisa
@rahmatonystan2691
@rahmatonystan2691 Год назад
Mvi nzur
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 4 года назад
Mov mzr jamanii ongereni sanaa
@aminaamina5308
@aminaamina5308 4 года назад
Mashaallqh muko vizuri.sanaaa
@athumanisaid5086
@athumanisaid5086 4 года назад
Endeleeni hivi hivi
@sefukimangasefukimanga2197
@sefukimangasefukimanga2197 3 года назад
Paaapaaa Kk
@samsonodhiambo1180
@samsonodhiambo1180 4 года назад
Kweli dunia kuna mambo
@mkazahamisi8508
@mkazahamisi8508 4 года назад
Wezenu watafuta ndoa wewe waichezea Hahaha kikowapi sasa
@kibasamohamedi8029
@kibasamohamedi8029 4 года назад
Yaan hatari na nusu
@mwabwagizojaytummumwabwagi7182
@mwabwagizojaytummumwabwagi7182 4 года назад
@@kibasamohamedi8029 yani kali sana duh atari😁😁
@miriamshadrack4122
@miriamshadrack4122 3 года назад
😂😂😂😂 msalimie mamdogooo
@skipperkassim44
@skipperkassim44 3 года назад
mashallah movies nzuri ilio na mafunzoo
@mariemukamana4995
@mariemukamana4995 4 года назад
asante kuni Patia iyo movie
@lameyajaff8881
@lameyajaff8881 4 года назад
Iko.poa sana nzur
Далее
SARA💕NIPENDE💋MICHAEL WA SHILINGI🙌FULL MOVIE H.D
1:07:24
MTALAMUNA
1:17:16
Просмотров 5 тыс.
🔴#MBWIZA SEHEMU YA KWANZA
29:05
Просмотров 198
NDOA JELA PART 2
1:01:40
Просмотров 40 тыс.
TETE (Official Swahili/Bongo Movie)
1:02:07
Просмотров 274 тыс.
NJIA YANGU | FULL MOVIE | NEW MOVIE 2024
56:05