Тёмный

MUME WANGU (PART 01) 

ASMA FILMS
Подписаться 403 тыс.
Просмотров 713 тыс.
50% 1

#mtotoasma #clamvevo #bhailam

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 608   
@gidenprotz
@gidenprotz Год назад
Wapili nipeni like zangu apa kutokea Congo 🇨🇩🇨🇩
@khalidikiabe3477
@khalidikiabe3477 Год назад
awa watu nawapenda sana
@mumtazsaid2570
@mumtazsaid2570 Год назад
Dah!!!! Yan hii movie niliangaliag ikapote ghafla naipenda San hii movie
@SalumuWembo-fo5rr
@SalumuWembo-fo5rr Год назад
Mwanamuke mwenye akili saaaaaana ❤️❤️nafata hiyi films Tangu RD Congo 🇨🇩🇨🇩❤️
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 Год назад
Vai na Bailam mmeigiza vizuri sana. Nimeirudia kuitazama mara nne. Ningetamani mtoe hata movie ya masaa 2. You are very talented
@fatumaomary9635
@fatumaomary9635 Год назад
Nakupenda sana mdada unamaneno mazuri sana kwa ao mashoga wambeaa🥰🥰
@saumunurdin1280
@saumunurdin1280 Год назад
Hii ni bonge moja la fundisho tumejifunza 👏👏👏👏
@princemuchui
@princemuchui 24 дня назад
funzo kubwa sana wallai🎉🎉🎉🎉
@juzelujo2169
@juzelujo2169 Год назад
Director mzuri kakutana na waigizaji wazuri....great job
@consolatamedard6593
@consolatamedard6593 Год назад
Kabsa yani
@ዚዱጋልትግራይ-አ7በ
@ዚዱጋልትግራይ-አ7በ 5 месяцев назад
Mashaallah ❤️ funzo kubwa sana wallai 🎉🎉🎉
@abdallahomary1423
@abdallahomary1423 Год назад
Wanaoirudia kama mimi kutoka Zanzibar gonga like hapa. Salute kwenu
@frankntibenda66
@frankntibenda66 Год назад
Kwer daah Kaz nzur xana inafundicha kwer an❤❤❤❤
@yakubhassan865
@yakubhassan865 Год назад
Nimeupenda Sana ndoa kumbe ni mmojawapo kuwa mpole ili muendelee kuishivizur pia kumbadilisha mwenza wako ni mbinu
@mahembajulius7036
@mahembajulius7036 Год назад
Nahisi mnajua ila nawaambia BAILAM NA VAI MNA GOOD CHEMISTRY EVER
@soloartist_ivanvespalusind1609
Hii sasa ndo Sanaa, hiki ndo kioo cha jamii. Ni zaidi ya Shehe au Mchungaji mnavyoponya ndoa za watu. Hongereni
@ambindwilehosea6837
@ambindwilehosea6837 Год назад
Yaah aweza kubadilishwa kihuvyo pongezi sana tena sana kwa hili funzo mwanaume habadilishwi kwa magovi kupigana Bali sokolojia yatosha we unadhani huyo jamaa nikipi kimeingia kwa moyo wake ❣️❣️❣️❣️❣️❣️
@joackimnyandindi5746
@joackimnyandindi5746 Год назад
Aise nimeangalia,nimesikia,nimeelewa , nimejifunza wao nimepokea wao❤
@personpeter2221
@personpeter2221 Год назад
We we we hii ni kali ya kufunga mwaka inafundisha na kuelimisha ckutegemea kktana na madin kama haya 👏👏👏utafka mbali
@TradingPHD
@TradingPHD Год назад
Watoto wadogo mmenifanya nilie.. machozi yana tiri rika.. dadadeki.. Nimekubali.. story kama hizi ndo zenyewe.. ,🙌🏾🙌🏾💥💥💥
@angelakitimu272
@angelakitimu272 Год назад
Mungu nipe moyo kama wa vaileth
@OusmaneAkida-mm6je
@OusmaneAkida-mm6je 2 месяца назад
​@@angelakitimu272ôo
@leycan6986
@leycan6986 Год назад
Vai nakubali Sana unaigiza vizur good job
@immaculatekutto2121
@immaculatekutto2121 Год назад
Nshukuru mwenyezi mungu, kwa upendo Aliyetujali hakika maisha ya ndoa kuna milima na mabonde.kenye Nwasi kama uko kwa ndoa tuvumile na kusameana nkupendana tusiji tukatenda dhambi.tusilipize kisasi kuna Mwenye Ata lipiza kisasi ndiyo mungu pekee yake.ukitaka ndoa yako isimame piga magoti chini na uombe mwenyezi mungu Atajibu sala zetu Amina 🙏🙏
@angelakitimu272
@angelakitimu272 Год назад
Duh!!sio kwa fumanizi live hivo😑😑😑
@najhawilliam9281
@najhawilliam9281 Год назад
Wallah me mvivu kucoment...Ila we mdada mwenye Mume unatisha
@labelleshashank8852
@labelleshashank8852 Год назад
💯💯🇧🇮🇧🇮❤️❤️❤️❤️nimejifunza kitu
@francescafrancesca8901
@francescafrancesca8901 Год назад
Munaongea ukweli kabisa. Huu mwanamke ni jasiri kabisa. Na ameookoa ndoa yake kwa ujasiri wake na hekima yake. Hongera sana Bariam na kundi lako.
@JosephSifuna-re1vu
@JosephSifuna-re1vu 5 месяцев назад
Nmejifunza mambo mengi na ambayo n ya msingi ktka maisha yangu kwa hao wachumba wawili, Mungu awabariki sana tena awazidishie hekima
@kanyamagaraabdallah8300
@kanyamagaraabdallah8300 9 месяцев назад
Oui nikweri kabisa kimia ni nzuri sana!
@AbdusidMohammed-hi5ib
@AbdusidMohammed-hi5ib 10 месяцев назад
Wanaume wengi uwa tunapenda mwanamke mwenye uwelewa kama wa uyu dada Mimi mdanga Yangu waga wananambia tulale ad asubuh uwa nakataa sana
@ibrahimismail-he2rc
@ibrahimismail-he2rc Год назад
Aiseeee nimefulahia movie hii fundisho kubwa nzur Sana kweli unaona tatizo bado unachekelea lkn atar
@Gerardirankunda2885
@Gerardirankunda2885 Год назад
Huy mwana muke anajua kuceza🤣🤣🙏🙏🙏🐘🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇧🇮🇧🇮
@ElizabethJohn-b9c
@ElizabethJohn-b9c 7 месяцев назад
Dhaaa uyu dada ajua anajua tena maneno yake ya mwisho adi nimelia❤❤🎉🎉🎉🎉
@fidesbernard4835
@fidesbernard4835 Год назад
Hongereni kazi nzuri sana
@burhanngomile6216
@burhanngomile6216 Год назад
Ww dada unajua kuigiza salutes 💖💖💖
@Mwafrika
@Mwafrika Год назад
I just love Tanzania and her people. Majirani nawapenda sana ❤
@djbaddest1220
@djbaddest1220 Год назад
Dah mungu npatie mke kama huyu mbwa mm ntaenjoy sana 🙏
@elisha-boy3809
@elisha-boy3809 Год назад
Kazi nzuri sana muendelee kubalikiwa dada leo ukacheza vizuri zaidi
@AhadiBwanyungu-j6s
@AhadiBwanyungu-j6s 6 месяцев назад
Akokawimbo kanapendeza kweli kabisa Mwambiye uyo aliye iimba aendeleye naicho kipaji kabisa
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 Год назад
Skuiz mnaupigamwingi hongeren sn 🔥🔥🔥🔥🔥👆👌👌👌👌👌👌
@Mushalotelevisionkiswahili
@Mushalotelevisionkiswahili Год назад
From Congo Lubumbashi totomboli bendele 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@Award247
@Award247 Год назад
Ni kweli kabisa Ugomvi unavunja ndoa kuna njia ya ku'deal na U'Danga Kutoka North Korea 🇰🇵 from Kenya 🇰🇪
@japhethelijah4252
@japhethelijah4252 Год назад
Duh nowma Sanaa uyu demu anakipaji aseeeeeeee Yaaaàni kaecheka baylm nae kafata Kisha nimemalizia Mimi kwa kucheka alllo Mnajua beana
@taysonmgalama3558
@taysonmgalama3558 Год назад
Jamni Ila huyu mwana mke vai...Mungu anakuona mamaaaa daaa..Yan anavaa uusika kabisaaaaaaa daaaa...😊😊😊
@damianmhagama4398
@damianmhagama4398 Год назад
Aisee sio kwa kutunyoosha namna hii, bonge la funzo yaani mmepoga ikulu hakika kanzi nzuri sana sana
@willerboytz
@willerboytz Год назад
Nakubali sana kazi yako vaylate
@hassanbaoma8798
@hassanbaoma8798 Год назад
Pongezi kwenu mnajua Sana kuigiza wallah levo zenu inatakiwa mpate movie ya masaa mawili ili tuenjoy watazamaji wenu aisee mko good Sana
@kevinmwinuka9531
@kevinmwinuka9531 Год назад
Kabisa
@mchambuzitv
@mchambuzitv Год назад
MALAYA NDOIGE LEO KATISHA 🔥🔥🔥
@aminarashidi1621
@aminarashidi1621 Год назад
😆😆😆😆😆😆😆😆
@jovintosssi3287
@jovintosssi3287 Год назад
🤣🤣🤣🤣
@claudmwasi43
@claudmwasi43 4 месяца назад
Vai ni mke wa kipekee ni mfano mzuri wa kuigwa ❤
@revocatusbenezeth2282
@revocatusbenezeth2282 Год назад
Jamani mnanichanganya sana kutoka malaya ndoige hadi mke mwenye hekima😃😃😃🙃
@ramlasuleiman9236
@ramlasuleiman9236 Год назад
Nawapenda sana ..from kenya.nimejifunza kitu
@fatumahassani690
@fatumahassani690 Год назад
Mnaweza sijui niandik nn🌹🌹🌹🥀🥀🥀🥀🥀🥀
@kassidpandu866
@kassidpandu866 Год назад
huyo dada mbali na uzuri wake ni hodari sana na kazi zake pia
@kalamapendo2701
@kalamapendo2701 Год назад
Am Kenyan watching from Saudi Arabia 💕
@jservantofgodgosplemusic6943
Aisee nimekubali sana leo..! Inapendeza kama mkianza movie Single kali kama hii ..! Aisee mtafika mbali sana maana dunia itawajua na kuwatambua ni nini MUNGU kawapa ninyi wasanii kioo cha jamii kwa ajili ya kuwafundisha watu....
@felixnyandindi4350
@felixnyandindi4350 Год назад
Daaaaaà safiiii Sana na nmepndaaaaa njikuta Kam n mm michepuko basiiiiiiiii
@andrewcriff7489
@andrewcriff7489 Год назад
Jaman achien saiv part 2 coz tam sanaa hiiiii piah mna cheza sanaaa na akiriaa za watu good job ma team
@aminakitsao2819
@aminakitsao2819 Год назад
Surely hii comedy imeniliza na nimejifunza kitu.. shukran sana big love from Kenya 🇰🇪💪💪
@MomyDylan
@MomyDylan Год назад
Sio comedy tena😢
@HeroJoseph-nm8pv
@HeroJoseph-nm8pv Год назад
😢😢😢 nimeipenda message ya huu mai ambae amemtupia huyo binti mtana na mumbea kam nini ishalla Mungu ndie jibu ,kisasi ha kijengi bali kinabomoa na kureta bifu isio iisha🙏🙏
@nasrangatanda8708
@nasrangatanda8708 Год назад
Nmejifunza jambo kupitia video hii,ila kiukweli munajuwa kuigiza nauwalisia,mungu awabiliki
@officialxule2674
@officialxule2674 Год назад
Ahh hamjawah kuniangusha aiseh yan mnajua mpk mnakera tupeni rahaa
@manyanyazakaria
@manyanyazakaria Год назад
Mskuma wa watu kaambulia kofi kwa vai very sad bairam akil mingi very talented et nampenda mke wangu utadhan alijua vai anamsikiliza
@mwajumamsham5265
@mwajumamsham5265 Год назад
M mh hii sasa imeniingia hongeren sana sana sana
@hassankalu540
@hassankalu540 Год назад
Mko juu Sana napenda Sana thamthilia zenu watching from Bahrain
@humphreynduye6239
@humphreynduye6239 Год назад
huyu dada yupo serioz kinoma nmkubali ,,,akiigz nmkubal mbaya
@arafatirakoze6135
@arafatirakoze6135 Год назад
Hongereni sana. Ni wanawake wachache wana moyo kama huyo, love you vai from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@ceciliaprosper7105
@ceciliaprosper7105 Год назад
That emotion rollercoaster she made at last scene she killed it completely. 👍🏻👍🏻👍🏻😀😀
@FabianoJumanee
@FabianoJumanee 2 месяца назад
asante kwa funzo vai wangu ni mwanamke wa kuigwa sana
@bashiruhassani1017
@bashiruhassani1017 Год назад
Leo narudia tena iyo nymbo jamn n saidien jina naipenda sana
@ingenieurkarim3355
@ingenieurkarim3355 Год назад
Hakika mmetisha saana. Tukopamoja leo na kesho yanini milele daima. Kheshima kwenu, salut from Burundi
@kitunganolwebo7570
@kitunganolwebo7570 Год назад
Huyu mdada akiwa na huyu mjamaa anajuaga sana ni kama kazaliwa na content za uigizaji ❤
@hellenjuma5534
@hellenjuma5534 Год назад
Dah vai unamoyo dada mpk choz limenitoka mungu akusimamie uwe hivo na kwenye ndoa yako utafika mbali 🥲
@y5y5prime58
@y5y5prime58 Год назад
Napenda San mushimam wa uyu dad félicitations dad umeweza kbs kweny ndoa niivo ukitak idum👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌💋
@ambindwilehosea6837
@ambindwilehosea6837 Год назад
Aise niwachache wanawake wa namna hii hongeleni sana kwa hii kazi
@حليمهالبلوشي-ز5ث
Masha Allah ongereni sana wapenz kwazi yen zuri sana mubarikiwe wote ❤️❤️❤️❤️❤️
@khamisalli8824
@khamisalli8824 Год назад
Kaka hapa nimekukubaki dada yupo vizuri sana hongereni sana sana mupo sawa kabisa
@vickhongole6611
@vickhongole6611 Год назад
Hiyo naweza sema METATHINKING (YOU GUYS you think beyond our levels. Hongereni Kaz nzuriiiiiii
@mrben227
@mrben227 Год назад
This is not comedy, this is serious message. Congratulations 👏 all characters you did it,you kill it 👏
@hamisibalale7648
@hamisibalale7648 Год назад
Nkweli.ata.mm.nawaombea.wafike.mbali.kwa.mafunzo.wanayo.tufundisha
@angelakitimu272
@angelakitimu272 Год назад
Aaah weeeee!!!!! Ningepita tu hapo nikasalimia ili ajue nimemwona hata nisingepigana !! Ngumu kumeza hii duuh
@ayuyuvi42
@ayuyuvi42 Год назад
Wewe mwanamke sijaikuonea mwegine keep it up more love
@aliyoussoufaichat800
@aliyoussoufaichat800 Год назад
Niwukweli dada nakuhechimu sana 😪💖😘
@marrialmary3510
@marrialmary3510 Год назад
Nmejikuta nabubujikwa na machozi😭💞
@pinecove4350
@pinecove4350 Год назад
Real comedy... I respect you all guys
@alphanlukombe3774
@alphanlukombe3774 Год назад
Hii inafundisha sana hii pacha ya vaileth na bailham noma sana
@rabinzsinoya1434
@rabinzsinoya1434 Год назад
Mpo vizuri sana, alafu vailet kafanana na Elizabeth Mike
@allyhamadi5064
@allyhamadi5064 Год назад
Ww dada una kipaji kikubwa sana mana kila unapo pangiwa ucheze unafanya vizuri
@amanishiughaaa6345
@amanishiughaaa6345 Год назад
Iko njia ya kumfanya mwanaume Abadirike na kuturiah rakin ugomvi ni kuharibu bali uturiv na ukimya ni njia nzuri sana kumubadirisha mtu
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Год назад
Usijidangnye na mchezo wa kuigiza, hakuna njia ya kumfanya mzinifu abadilike unless yamkute mwenyewe
@anethsamuel2713
@anethsamuel2713 Год назад
Mnaigiza tu dy maan unachek kumfumania mmeo yakikukuta kiuharisia hutatoa jino lako lakicheko ata moja umfume alaf usem nakupenda kun wanaum wengn hat umwambie nakupenda kweny maish yak hawez kulizik namwanamk mmj kbsaa yaan kam mim nitakufa nawivuu tu jamn moyo wang moyo wang mimi jamn nitakufa nawivuuu
@gastondofra9151
@gastondofra9151 Год назад
Nilependa sana mlivyocheza haka ka movie, inamafundisho mazuri
@maombijoseph1522
@maombijoseph1522 Год назад
Ameeeezing nmependa sana mnajua kuelimisha haswa
@adinanzacharia409
@adinanzacharia409 Год назад
Ndo awe muke wangu ameniona kabisa harafu nirudi nyumbani anipokee hivo warahi Dunia itapinduka
@thomasmachogu860
@thomasmachogu860 Год назад
Awesome 👍👍👍💯..hii song ya kufungia Nani ameimba
@FnellyB
@FnellyB Год назад
Dada umehongeia mno ongera Sana dadahongu do força ai moça nao canse
@amahorofaridah519
@amahorofaridah519 Год назад
Kwakwel mnaweza Burundi 🇧🇮 ♥️
@deegraphics-pf1pq
@deegraphics-pf1pq Год назад
sema ule mkofi ulompga mwnzko mungu anakuona
@iraakasubete8287
@iraakasubete8287 Год назад
Sema namkubali huyo mdada anae tendwa huwa anakuwa serious
@juddykilungya9278
@juddykilungya9278 Год назад
Vai wewe ndio mwanamke wa pekee tu.hii video naicheki daily. Great 👍
@kelly-drichfabrice9957
@kelly-drichfabrice9957 Год назад
Kazi zenu noma sana. munaongeleya maisha za kisasa na sapot sana from. Moz🇲🇿
@beckermbagala8
@beckermbagala8 Год назад
UYU DEM YUKO NA TALENT.... PLEASE MLINDENI UYU🙏🙏🙏
@zebedemirambi3067
@zebedemirambi3067 Год назад
Naomba upewe award brother bailamu you are so special man, hii ni ushauri tosha ♥️❤️🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇹🇿
@berthadaudi6433
@berthadaudi6433 Год назад
Daah
@ZuraAmisseAbudo
@ZuraAmisseAbudo 7 месяцев назад
Boa história, palmas para voces
@Alkibosstz
@Alkibosstz Год назад
Kwamara ya kwanza najifunza mambo mengi sana kutokana naiyi video 📹 kwa kweli mungu awabariki 10 like kama unakubali watafika mbali 🔥🔥🙌🔥❤
@robinsonombeo2789
@robinsonombeo2789 Год назад
Jaaaaamaaniiii
@mkongolivinus
@mkongolivinus Год назад
Nimependa swaga za uyo mlembo ♥╣[-_-]╠♥"kiukwel Dada unafaa kuwa mke,mwema kwenye ndoa,nakukubali mlembo,
@williamorwaru1136
@williamorwaru1136 Год назад
May they climb the rada mungu awabaiki
@IsraelDaniel-x4q
@IsraelDaniel-x4q 11 месяцев назад
​@@mkongolivinus 🎉😢😊❤
@Isayajofre
@Isayajofre Год назад
Funz kubwa hl
@cutesuu7255
@cutesuu7255 Год назад
Queen eti umefanya mazoezi kwaajili yakupigana😂😂😂🤣🤣
@AghHh-v3f
@AghHh-v3f 6 месяцев назад
Dada nimekupenda sana subla niyarazuma kwenyedoa umenikumbusha Dada 😊😊😊
Далее
DUNIA (EP 08)
16:41
Просмотров 91 тыс.
PENZI LA MAMA NTILIE
12:43
Просмотров 912 тыс.
MAGIC RING | FULL MOVIE |
1:13:45
Просмотров 671 тыс.
SIKU NILIYOPATA MIMBA (Part 01)
14:51
Просмотров 954 тыс.
MWANAMKE MWENYE MIMBA |SEHEMU YA TANO
11:19
Просмотров 1,4 тыс.
PENZI LA MASIKINI
9:45
Просмотров 391 тыс.
BABA YANGU KIPOFU Full episode/44/ #love
20:05
Просмотров 614 тыс.
Steady Bongo - Fake Mariad (New Music Video)
8:51
Просмотров 49 тыс.
ZA MWIZI AROBAINI (BAD DAY)
8:03
Просмотров 523 тыс.