Vile hizo movie zilikuwa zinatunyamazisha kijiji mzina..you could not be left out...alafu you couldn't help but kuachwa in stitches..machang'i man solo man papa
Aki Machang man solo man papa, ulienda wapi? Bona kakubali kunyamazishwa Aki, hii yenu na Warigia ulikuwa talent from heaven, Machang kuna time eti miguu yako ilitaka kupelekwa garage for alignment 😅😅😅😅 muthekagia ngethugumira ma!i