Thank you tooo.... Tunashukuru sana kwani uwepo wenu umewezesha suala hili kukamilika Kwa namna hiii nzuri Mungu awabariki sana.... HT - clear choice ❤️❤️❤️❤️❤️😁
Tunaona wazi Mungu anavyotupenda Kwa kutukirimia baraka zake na neema Kwa wakati ufaao na usiofaa. Akamtoa mwanaye Yesu Kristo Kwa Upendo huo Ili aje kutukomboa wanadamu. Hongereni sana majirani Kwa ujumbe huo mzuri na kazi nzuri mliyoifanya Mungu awabariki Katika utume wenu.🔥🔥🔥
Amina sana majirani zetu.... Mungu mwenye kutoa Kila kitu aendelee kubariki kazi yetu sote tunayofanya ya kuhubiria watu wake Kwa njia ya uimbaji.... We love you so much
Duuuh...!! Amazing..Mungu awatunze ndugu zangu wa Udsm-Mchas...!! Mmenibariki sana .. credit kwa mtunzi Mwl.. perfect Mtuka,na HT studios kwa kazi hii iliyotukuka... Wapi lubukiloooo👏👏
Nipo hapa kaka mkubwa..... Tunashukuru sana kwakweli Kwa kutembelea ukurasa Huu na kupata nafasi ya kusikiliza wimbo Huu.... Upendo udumu.... Mungu akubariki