Mungu ibariki Africa Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Ulaya Mungu ibariki America Na Mungu ibariki pia Asia Mungu Mbariki Bongo zozo Tupabriki watoto wako Dunia Nzima
Ndio mara ya kwanza mimi kuskia Wimbo wa Taifa wa Jamhuri ya Watu wa Tanzania 🇹🇿. Kazi nzuri sana Bongo zozo na kundi lako. Mungu ibariki Tanzania. Mungu ibariki Afrika. Hongera kutoka Thika, Kenya 🇰🇪
Nakuomba imba tena kwa lugha Taifa lako ili Taifa lako lione raha ya wimbo huu na lipate tafsiri ya wimbo huu na kwa sauti hihi, kwa kweli mmeimba vizuri sana hongera waimbaji wote nawapongeza sana.
inawezekana ila wimbo wa africa ni nembo ya taifa huwezi ubadilisha kwa lugha yoyote au kuedit maneno ni sawa na neno maji kuita mchanga ukiamanisha ni kitu kimoja
I love Tanzania my home be proud to born here watu kama wakina bongo zozo wanaacha nchi zao zina kila kityu lkn wanaipenda Tanzania how blessed we're One love bongo zozo
😘😭👏👏👏👏👏asante love wetu mungu akuzidishie kila la heri kwenye maisha yako pamojana FAMILY yako ww uko sawa kweli watu penda Africa nzima asante nakupenda sannna bongozozo pamoja na familia yako😘😘😘😘
Bungozozo hakuna Kama wewe unapenda Sanaa Tanzania na upo tayari kutumia chako kwa nchii hi mungu alibaliki Sanaa ulipaswa kupewa ubalozi was uongereza kuwakilisha Tanzania walahii
Me nakukubali bongo zozo kwa mikakati yako na mapenzi na nchi yetu sote, mungu ikariki africa mungu ibaliki tanzania 💍🌹🌹💍🌹🌹💍 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹 💍🌹🌹🌹🌹🌹💍 💍💍🌹🌹🌹💍💍 💍💍💍🌹💍💍💍
Zozo leo umezozota umebubusa umenifanya nimefurahi sana mungu akuendeleze kipaji chako na uendelee na uibaji huo unakipati sasa toa wimbo hata mmoja unaweza sana kabisa
Wow!! You made sing with you guy,Bongo zozo you real are doing awesomely and humbly amazing for Tanzania we love you and THANK YOU SO MUCH,you all sang passionately
hongera bongo zozo wewe nizalendo wa kweli ningefurahi kuona na bend yako mkiimba wimbo wa natazama raman huo wimbo umejaa hisia za kweli za kiutanzania